bughaaaaaaaaaaaaa .love from qatar mkenya mzalendo
@ronald_terer9 ай бұрын
Wisdom nyingi sana Bughaa🔥 Hakuna kupoa😂
@mpundempunde17229 ай бұрын
Leo yupo low key ila mwamba yupo na IQ kubwa mnooooo
@benardakure69348 ай бұрын
That y l like ob sana , ww hapa na pale kubweka tu acha wivu bugaah
@Dennoh254-n5m9 ай бұрын
Heshima kwa bughaa all tym muziki ni hela🎉🎉 miaka ni Mia sita hamsinii 😂🎉
@tamanjilogodi46459 ай бұрын
😢 wisdom mingi walahi , eti aligonga Ngombe 😂
@BrianMuthoni-bk9zo9 ай бұрын
KRG IS THE BEST
@askofu_muziki59929 ай бұрын
Wisdom nyingi bro Vita za ndani sio za inje
@shabbyofficial_9 ай бұрын
Sai yuko bongo ametuliaaa akirudi kwao utaona vile atabwata 🗣️
@billjames12169 ай бұрын
Huyu ametulia siku hizi Hata Kenya apigi kelele ,Sasa Tanzania mtafanya Nini nyinyi pesa Iko chini uchumi Haina chochote umaskini ndio hiyo Sasa ni Nini mtafanya
@AlvinKhim-lc1jo9 ай бұрын
@@billjames1216 Amna sehemu nzuri ya kuishi na nzuri kama bongo bongo Kila raia wa nchi yupo ata kama pesa Iko chin siku iz we are using dollar so acha makasiriko
@nelsonkoi1489 ай бұрын
Huyo jamaa achaneni Akili anayo yakutosha tu na hela pia
@wycliffmarando62589 ай бұрын
Ni mtulivu sana lakini ukikanyaga line yake ndio utapokea answers 😂😂😂😂😂
@devisomorientez14199 ай бұрын
Kwaida yake uyu ka punny the donkey
@benardakure69348 ай бұрын
Wivu haiwezi kukufikisha mbali bugaa
@officialdavidoh9 ай бұрын
Bughaa ata uongee vipi otile alikupita kitambo Fanya KAZI yako tuone pia sio mdomo mwingi OB❤ TO THE 🌎
@123228799 ай бұрын
Otile ni nani Mbona hatumjui
@254HBS9 ай бұрын
Ghasia heshimu Bughaa miaka ni 650 bomboo
@wycliffmarando62589 ай бұрын
Kampita, how....!! Hii game is all about cash na Bughaaa ni hela bana Otile hana kitu since alianza kuimba tuko Kenya twaona kabisa 🤣😂🤣😅😅
@damagemziki56239 ай бұрын
@@254HBS mia sita hamusini
@Tizzyt-bwoy9 ай бұрын
Sasa Toile surely ajemkosea mtu kisema ako na Range rover kwani bugah hiyo imemuumiza Sana miaka 650 itakuwa umesaulika