Mlima wazidi kuteleza: Viongozi waliomsaliti Gachagua wapata ugumu kuwashawishi wenyeji

  Рет қаралды 65,961

KTN News Kenya

KTN News Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@juliusmaina4256
@juliusmaina4256 8 күн бұрын
Na bado hady 2027 tuwapeleke nyumbani na kasongo (rubwa
@annastaciawanjiku2199
@annastaciawanjiku2199 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kasongo
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 6 күн бұрын
Matako ya mama ya Watu wa Mrima
@charlesthuku1131
@charlesthuku1131 3 күн бұрын
Ni December enda utahiri kwanza mkiwa na babako ​@@georgeodhiambo2118
@Usercintahcin
@Usercintahcin 8 күн бұрын
Ebu tuacheni sisi mlima tuko sawa endeni mkafanye maendeleo kwenu sugoi
@AaAa-tf7sl
@AaAa-tf7sl 3 күн бұрын
😂😂😂🎉
@puritymugo8153
@puritymugo8153 8 күн бұрын
Hata akichangua uhuru mwenyewe nothing will change
@nyoroantony8281
@nyoroantony8281 8 күн бұрын
We don't need security minister please it can be given to mr kutengas wife
@aheudit
@aheudit 4 күн бұрын
And you think it cannot be done? And if he does that you will be the first to open your mouth in criticism.
@junia_254
@junia_254 4 күн бұрын
​@@aheudit😂😂😂😂😂mwambie sasa bila kulia
@nyoroantony8281
@nyoroantony8281 4 күн бұрын
@@aheudit Mr kutengas government is the government you cannot criticism
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ZacharyNjenga-m3o
@ZacharyNjenga-m3o 8 күн бұрын
Ata wakipeana waziri murimani ni bure wanaichi wamechoka
@aheudit
@aheudit 4 күн бұрын
Sema wakikuyu wengine wamechoka, si wanainchi.
@ketamuainvestments2030
@ketamuainvestments2030 8 күн бұрын
If gachagua was a tribalist, picking someone from the same community to please them is still tribalism.....wachague from the mijikenda
@johnyjoe2894
@johnyjoe2894 7 күн бұрын
The divorce is complete......Ruto and Mt.Kenya are done.....atafute kura kwingine na sisi tuchague mtu mwingine tupatane baada ya uchaguzi
@Amadla-w9g
@Amadla-w9g 8 күн бұрын
We want nothing from him. But he should return Riggy Gs security. Ruto's dogs and chicken are guarded by security paid for by tax payers who include Mt. Kenyans, why is the former DP not guarded and the money is not from bwana Uongo's pockect?
@francisoluga
@francisoluga 5 күн бұрын
Gachietha anapewa Govt security kama nani?Kuna private security firms he can hire wells Fargo or Kk
@Amadla-w9g
@Amadla-w9g 2 күн бұрын
@@francisoluga Kama the legitimate Deputy President of the republic of Kenya ng'ombe wewe.
@adelaidemuraya8615
@adelaidemuraya8615 8 күн бұрын
Will change nothing we dont want it
@geedupyo
@geedupyo 8 күн бұрын
Wake huko Nairobi.... useless mistresses for ruto
@josephkimiki5696
@josephkimiki5696 3 күн бұрын
STOP IT!!?????we don't need any sit. We need good governance. KITI APATIE MKE WAKE.
@jimmykariuki4340
@jimmykariuki4340 5 күн бұрын
Waiting for February we will see the truth.
@joysabena5879
@joysabena5879 8 күн бұрын
Hata akuje na malaika, mountain has gone, they don't forgive betrayers
@stevekioi2044
@stevekioi2044 5 күн бұрын
Makosa. Sana wacha iteleze kabisa . mwenye kuchaguliwa atakuwa msaliti. Pia
@mathewoundo8710
@mathewoundo8710 7 күн бұрын
No this government must stay
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 күн бұрын
"Waziri wa usalama wa ndani" such positions should be rewarded to pple who are serving in the millitary but not just outsiders who have no idea about security
@Goch46
@Goch46 8 күн бұрын
Hatutaki viti Acha tungoje 27
@clauderigan7047
@clauderigan7047 6 күн бұрын
2027 ni lini..n if ataendelea mtangoja tenan2032?
@JaneMimi
@JaneMimi 3 күн бұрын
Na Bado
@AnnAnnie-ow4tn
@AnnAnnie-ow4tn 8 күн бұрын
That's a lie,,hata Ruto arudishe rigathi,I can't support him,, it's not that rigathi was perfect,,the duo failed,,,,,yaani tu support MTU anauza Kenya,, vaccinating our livestocks,,hapana
@bonifacemutahi7774
@bonifacemutahi7774 8 күн бұрын
Nyeri ama mlima hatuta uwaziri wowote kwa hii serikali nawakipeana hatumbaduki mwenye atapewa atayeye atahesabika kwa hiyo serikali ya kuenda apeane nyanza Dio wanamsaidia kufanya mambo maofu wapee wakusaondiye kumalisa hii Kenya sii mlima tuu itaisha
@mosesnderitu-kh5gz
@mosesnderitu-kh5gz 8 күн бұрын
2027 hii government home
@martinmutie3941
@martinmutie3941 2 күн бұрын
Hata achangue gachangua waziri wa usalama bado ataanguka
@aheudit
@aheudit 4 күн бұрын
Walitaka kukojoa Kwa gate ya mama Ngina, sasa ONA
@aifelriley
@aifelriley 5 күн бұрын
Tuzidi hivyo hadi '27
@marykibe9369
@marykibe9369 5 күн бұрын
Kwa nini anaforce leave mt alone
@aheudit
@aheudit 4 күн бұрын
It shows that they are not mature enough to be in opposition. Let them ask baba for advice. Chasing people away doesn't help.
@samoeikibet
@samoeikibet 4 күн бұрын
No news is new. Already mlima iliteleza. Kwani inateleza mara ngapi. Wait 2027.
@benben8065
@benben8065 5 күн бұрын
Uhuru betrayed us,we punished him harshly.....Na bado Kwa Kasongo
@francisoluga
@francisoluga 5 күн бұрын
So ua betrayal is working with Raila?
@marykibe9369
@marykibe9369 5 күн бұрын
We are okay without tumekumbali wachana na sisi sasa
@juliusmwai7005
@juliusmwai7005 4 күн бұрын
Hilo halitabadilishi Kitu.Mlima uko nyuma ya Rigathi na uamuzi umefanywa.Huku Ruto apana.
@odero1003
@odero1003 6 күн бұрын
Instead we want also DP out from there.
@alextercisio
@alextercisio 7 күн бұрын
Wakwede kabisa Kasogo na hao watu nyumbani wote
@JohnMuithere-yb7fc
@JohnMuithere-yb7fc 3 күн бұрын
That is cheap politics. We are not the likes who are lied with a political ollipop.Things were not even better b4 Gachagua removal. The removal pushed things a bit higher.
@albertkioko6431
@albertkioko6431 4 күн бұрын
Wagikuyu wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa hapa... Bure kabsaa
@mosesngala1274
@mosesngala1274 4 күн бұрын
Kitu hamuelewi ni, 'Murima si wakikuyu'. 'Murima' is every Kenyan who's prophesying on the Victory of the Kingdom of God over the plan of the Evil one in Kenya. And this is happening sooner than we expect. So I believe mi ni wa Murima, na mi si Mkikuyu 😂. Mi ni Murima damu!!!.....Hatugawanyiki this time! As kikuyus say 'tundu wa hinya wa Ngai' Mnielewe kama sijapata spellings andu wa Nyuba😅
@mainawilliam6418
@mainawilliam6418 8 күн бұрын
We are okey without
@jacklineachieng1131
@jacklineachieng1131 8 күн бұрын
😂😂😂 wasikie vibaya na😂huko 😂😂 shauri yao
@Harrisonngugi11
@Harrisonngugi11 8 күн бұрын
Hadi wafanyi nni lazima tutume ruto nyumbani
@Create-d6i
@Create-d6i 4 күн бұрын
Mt Kenya alone has aprox 5million votes. Food for thought
@LIZZITdotCOM
@LIZZITdotCOM 6 күн бұрын
He can as well pick two or ten interior CSs from murima. Msimamo ni ule ule, Ruto must go!
@jacksonnyaga4021
@jacksonnyaga4021 7 күн бұрын
The only solution is reinstating Gachagua na kuvumiliana hadi term iishe! Anything else will fail!
@jessenjuenjoka4440
@jessenjuenjoka4440 6 күн бұрын
Wee maji yakimwagika hayazoleki Sasa ni avune matunda mpaka 2027.
@francisoluga
@francisoluga 5 күн бұрын
Tribal begot Gachietha yake na siasa imefika ukingoni.
@mainawilliam6418
@mainawilliam6418 8 күн бұрын
We were told Gachagua was the problem in the government,Now the problem is people with pepo baya
@agneswanjau559
@agneswanjau559 5 күн бұрын
Keep dreaming. Nothing can reconnect Ruto to Mt Kenya.
@njukiaeunice8376
@njukiaeunice8376 8 күн бұрын
Hata wanchague mimi kaa mwana mlima....haturundi nyuma
@edmunddianga8641
@edmunddianga8641 8 күн бұрын
Ama tupigie ruto tufanye venye mlikua mnataka😂😂😂
@njerimunge2108
@njerimunge2108 7 күн бұрын
Even if he put President Uhuru, ng'o.... It done and dusted ... Tumetoka hapo
@paulwamutitu2447
@paulwamutitu2447 7 күн бұрын
You can't replace a DP with a security minister alafu you think that that will appease us. We are not stupid
@jennifernyambura2620
@jennifernyambura2620 4 күн бұрын
Individuated electrorates not herd 🦬 ngombe, 🐑 mentality....people
@MrTabasamu
@MrTabasamu 8 күн бұрын
Hata apee cabinet nzima kwa murima hawatakubali Kasongo Mwongo tena.
@AllanKimani-hw3pu
@AllanKimani-hw3pu 6 күн бұрын
We don't need any ministerial position leave alone the interior. Having been betrayed,why now try to appease Mlima with peanut. We are contented having ourselves having nothing only waiting for 2027 to send home traitors and the whole regime.
@AnnetKendi
@AnnetKendi 8 күн бұрын
Mbona wasimpee Rachael Ruto
@SteveIrunguJermaine
@SteveIrunguJermaine 8 күн бұрын
The ground is hostile
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 8 күн бұрын
Who said ukiwa na mlima nusu sai utapata president 😂😂😂 aaaiii hiiyo ni Ndoto ya mchana nani
@cytkl
@cytkl 6 күн бұрын
Muingereza ndiye shinda kumbwa
@RK-xv1si
@RK-xv1si 8 күн бұрын
Mountain we need to protect our Own gachagua after his security was withdrawn. Gachagua don’t accept to be intimidated by this failure regime. Go out and meet people.
@DNC55-v2j
@DNC55-v2j 8 күн бұрын
Thats what Ruto wants, turn us against one another, tumemuonea 18
@Harrisonngugi11
@Harrisonngugi11 8 күн бұрын
​@@DNC55-v2jtrue
@RK-xv1si
@RK-xv1si 8 күн бұрын
@ True, we should condemn that hate.
@odero1003
@odero1003 6 күн бұрын
Hakuna na akijaribu basi ata sisi tutamuona mwoga na tumwache.
@dennisndirangu2536
@dennisndirangu2536 5 күн бұрын
Patiweni hiyo kiti Mt Kenya hatuitaki mkora wewe
@GedionKihara
@GedionKihara 8 күн бұрын
Ata achague Uhuru mwenyewe,icant change mi minds,niamalinze aendeeeeee I don't even want to hear anything from her
@AliNgao-r3j
@AliNgao-r3j 5 күн бұрын
Kwani mulima ni lazima uwe kwa serikali wacheni ukabila mukwende
@Ndungu_Chege
@Ndungu_Chege 5 күн бұрын
Imagine si lazima, na tuko tu sawa kwa opposition. Achaneni na sisi tukae opposition
@francisoluga
@francisoluga 5 күн бұрын
​@Ndungu_Chege Kama mumeridhika na opposition kelele ni y nn?
@AliNgao-r3j
@AliNgao-r3j 4 күн бұрын
Mulima Kenya ni ya makabila 42 wakikuyu we are tired with you munatuharibia nchi, Kiukuyus they don't want any tribe to led Kenya except Kikuyu wuende kabisa tumechoka na nyinyi
@estherkariuki2859
@estherkariuki2859 6 күн бұрын
Mukui mondo waambie Nini inaaendrea katinka mulima
@miriamkaranja4972
@miriamkaranja4972 8 күн бұрын
Ground imehama even if Ruto ataweka nani it wont save his skin.....Ruto must go. Watu wameamuka na ni kenya yote if they call elections today hapo sasa ndio watajua hawajui
@davidmutua4998
@davidmutua4998 8 күн бұрын
Tukisonga
@willydfrey2465
@willydfrey2465 8 күн бұрын
We wanted only Gachagua not security minister... Tuipeleke wapi hio security...mambo bado bumper to bumper hadi 2027
@membasamuel4218
@membasamuel4218 8 күн бұрын
What a poor analysis of politics
@worshipsongs1573
@worshipsongs1573 7 күн бұрын
Ruto is a liar, Raila too is av very Big problem in Kenya yaani ni mtu wakunjipenda how yeye huwa Anaingililia mlango ya nyuma??? Hateteangi wana nchi yeye tu ni tumbo yake na watu wake....KENYANS hapa kahuna watu wakuwaangalia nikumaliza wanawamaliza tu but wanjue hakuna mtu atazikwa na mali Nkt
@francisoluga
@francisoluga 5 күн бұрын
Kwanza nikuulize,,ulipigia Raila kura 2022 ndiyo akutetee?Kama ulipigia Ruto basi usilaumu Raila.
@michaelmwangi1221
@michaelmwangi1221 8 күн бұрын
NOT EVEN INTERIOR MINISTRY WE WANT BUT MOUNTAIN DON'T WANT TO BE ASSOCIATED WITH RUTO'S GOVERNMENT ANYMORE, ALL WE WANT HE SHOULD DELIVER HIS PROMISES THEN TUKUTANE KWA DEBE😅😅😅😅😅😅.
@mettekariuki4250
@mettekariuki4250 8 күн бұрын
@@michaelmwangi1221 infact he should be voted again 2027 so that people get to differentiate good governance and tribalism some think it's all about kikuyus as if they are in a different country...
@francisoluga
@francisoluga 5 күн бұрын
​@@mettekariuki4250Mutuse Hoyeee...!
@victorymurangiri5164
@victorymurangiri5164 8 күн бұрын
Hata wafanye nini imeenda!!
@KinyuaKimaru
@KinyuaKimaru 7 күн бұрын
Anybody with Ruto in the mountain to stay with him till 2027
@ickymicky6830
@ickymicky6830 8 күн бұрын
Mt kenya waache ujinga
@qrankmw.
@qrankmw. 8 күн бұрын
....ehh...mutuse hoyee....this tribal nonsense entitlement by murima must stop...ig is from that area...interior vs must be frim pokomo or any other tribe.... ...wakwende...na wakwende kabisa...ukabila inaisha...wasipewe nafasi kuanza tena...wakwende....
@LilianGathoni-l8g
@LilianGathoni-l8g 7 күн бұрын
@@qrankmw. They can give them we don't care all we care is zakayo must go
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 17 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 11 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 43 МЛН
Kimani Ichung’wa Reveals the Real Agenda Behind Ruto-Uhuru Meeting
4:14
President Ruto's "Story za jaba'
7:05
KTN News Kenya
Рет қаралды 761 М.
Citizen Nipashe, 11th December 2024
26:26
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 29 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 17 МЛН