Pombe ni mbaya sana mmi nilirundi home kutoka Nairobi na ngunia baada ya kuwa Nairobi 10 gud yrs ata my wife na my son walikuwa washarundi kwao but now i thanks Jesus nilijitoa kwa ulevi family ikarundi tukabarikiwa na watoto wengine nikapata mali ingine mingi ata najibeba nko na kwangu
@Docspecialist7 ай бұрын
This is a funny yet inspiring story may God never make you go back to that wretched path ever again...Amen