Kama kuenda ,wanaenda wote,,ama ruto amefanyia wakenya nini,isipokuwa kuwauwa.. we need a flesh start.
@AndieliBwalaАй бұрын
Kabisa.... ❤❤❤
@samjuma4207Ай бұрын
Ata ruto ndio anafaa kuwa wa kwanza akwende home
@shuaibalula9003Ай бұрын
Wacha aende hom hata hivyo waliiba kura
@johnkimani7944Ай бұрын
The method being used here to send home packing is legal and supported by majority MPs; he's the author of "siasa ya kumalizana" and he did so by kumaliza Uhuru and even after winning stopping so low as to send goons to rob Uhuru of his goats and cutting down trees ...on day time under full police protection. Doing this shameful acts to the then immediate head of state was just awkward and nature can't allow such vile acts to go unpunished
@SAM-o5e2bАй бұрын
Kubadilisha uamzi wa wakenya au watu wa murima?...rekebisheni hapo juu huyu sio dp wa kenya ni wa murima pekee😥
@LucyCute-xg5vdАй бұрын
Ruto atangulie hanafainda hapo kazi yake ni kuuwa watu kila wakati
@kimathi7118Ай бұрын
Gashagua will have the last laugh in 2027
@MableGayiАй бұрын
Heee kondooo za uhuru zinakurudia sasa ndio umeona wakenya na huwa unasema mt kenya utajuta bwana kashagwa
@samjuma4207Ай бұрын
Iyo maombi ni kelele tu unaenda home home na iyo tribalism yako