Рет қаралды 4,500
Gavana wa Garissa Nathif Jamah, amewalaumu baadhi ya viongozi wakuu katika muungano wa jubilee kwa masaibu yanayomkumba. Jamah ametoa kauli hizo muda mfupi baada ya kuhojiwa na maafisa wa tume ya eacc. Gavana jamah anadai kiongozi mmoja mwenye ushawishi wa kisiasa katika jubilee na hasa bungeni anamuandama.. Ali manzu alishinda katika makao makuu ya tume ya eacc na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Watch KTN Live www.ktnkenya.tv...
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya