KUBANA KIDOTI CHA RASTA /KIDOTI KIZURI CHA RASTA

  Рет қаралды 155,978

FARIDA OTHMAN

FARIDA OTHMAN

Күн бұрын

Пікірлер: 357
@briyanna8139
@briyanna8139 11 ай бұрын
Mteja anawengee mpaka anakera ila farida unaweza mnoooo🎉🎉🎉
@DismasStanley-s1i
@DismasStanley-s1i Жыл бұрын
Nimeelew da farida uko vizur San sana ansante
@rhofraka5574
@rhofraka5574 2 жыл бұрын
Kazi yako nzuri Sana dada, ila mi ngekua wewe ningemzaba kibao huyo mteja atulie, maana anaboa Sana, video nyingine tunaomba usimtumie
@vumimtwangi4347
@vumimtwangi4347 3 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kupitia kwako hongera sana
@mariethapetro3826
@mariethapetro3826 2 жыл бұрын
Waoooh nzur Sanaa nimejifunza na nimeelewa da Farida ila naomba nifundishe kbana kidt Cha nywle bla lasta asante
@bahinajma4748
@bahinajma4748 4 жыл бұрын
Hongera sn ila uyo Dada anajishauwa mala aoneshe tatuu utazani kapata mda wakujitangaza tu nakupenda nakukuheshim leta watu wanao jielewa
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 3 жыл бұрын
Nikajuwa paula
@rehemasaloon6777
@rehemasaloon6777 5 жыл бұрын
kwa kweli Da Farida mafunzo yako nakuelewa sana Mungu akubariki uzidi kutufundisha zaidi
@faridaothman
@faridaothman 5 жыл бұрын
Ubarikiwe pia dear Ahsante sana
@sophiadavid5469
@sophiadavid5469 4 жыл бұрын
ahsante sana...da farida...nakupenda sana...nikija dar nakuja kujifunza zaidi.
@JacklineOktavy
@JacklineOktavy 18 күн бұрын
asante farida mummy mungu akubari
@lulumwashambwa8272
@lulumwashambwa8272 2 жыл бұрын
Hongera mnafundisha vizuri Sanaa🙏
@EmyyGulamsen-or8ju
@EmyyGulamsen-or8ju Жыл бұрын
Jmnii nimependaaa na nimejifunzaa sanaa asantee dadaa
@rahmahcute6647
@rahmahcute6647 2 жыл бұрын
Mashaallah nimejifunza💕❤ na nimeelewa kabisa ahsante sana dada farida .ila samahan nahitaji kujua mafuta yakukuza nywele zilizo pishana za mbele na za nyuma au namna yakufanya ili ziwe sawa
@mwanaakilindi7888
@mwanaakilindi7888 3 жыл бұрын
Dah nihatar mko vzr sana nimependa
@dianamwanjabr758
@dianamwanjabr758 10 ай бұрын
Kaz nzur da Farida naomba kujifunza krochet Zaid na yebo achia
@edinamwanansolo1243
@edinamwanansolo1243 Жыл бұрын
Asante dear kwa somo zuri, ila huyo mbanwaji yaani hajatulia kabisa mpk kero
@sarahmethy2842
@sarahmethy2842 4 жыл бұрын
Shuzi limepata mjambaji 😂😂😂😂 so kwa mteja hiyo 😁😁😁😁😁
@veronicamanguli1493
@veronicamanguli1493 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kwakweli duh!.
@esterndahani3877
@esterndahani3877 4 жыл бұрын
Aisee Dada huna choyo kabisaa Mungu akuinue zaidi
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
Madada kana cheka cheka 😁😁😁❤️❤️❤️ afu akatulii Jamani uyo angekuwa mama yako daaaa ungeli pigwaaaaa weeee bahati yako mrembo ❤️❤️❤️❤️❤️
@SarahNovick-b4b
@SarahNovick-b4b 11 ай бұрын
Nimependa dada mungu akubariki
@KyleChale-g9p
@KyleChale-g9p Жыл бұрын
Mteja sasa 😂😂😂 ,,, ila mi nashukuru nimejifunza kwa kweli
@esterkira501
@esterkira501 3 жыл бұрын
Nashukuru nimeelewa kidoti cha rasta Mungu akuongezee baraka
@triphosamhiro2753
@triphosamhiro2753 4 жыл бұрын
Simple style but very nice
@anithatryphone231
@anithatryphone231 2 жыл бұрын
Dada uko vzr sana
@halimaally2757
@halimaally2757 3 жыл бұрын
Dada upo vizuri katika kazi zako Mungu azidi kukupa ufahamu zaidi,,,ila Dada naomba kuuliza kwamba uniambie mafuta ya ambao unamweka mtu baada ya kusuka yebo yebo baada ya kumchomachoma,
@faridaothman
@faridaothman 3 жыл бұрын
Tunatumia spray ya povu dear ila kam nywele n natural unapaswa kuziweka maji ndio uanze kusuka
@anesterlaizer3892
@anesterlaizer3892 2 жыл бұрын
Mteja ana mbwembwe hatari
@faridaothman
@faridaothman 2 жыл бұрын
Yes
@victormhambe5813
@victormhambe5813 4 жыл бұрын
Kapendeza sana huyu Dada mpo vzr dada farida
@christinajoseph1249
@christinajoseph1249 4 жыл бұрын
Nimejifunza sana nimeelew ubarikiwe sana da'farida
@swagger7053
@swagger7053 4 жыл бұрын
Uyu dad khaaa cjui ndo mar kwanz kupak make up km iv
@linnahcasmir5275
@linnahcasmir5275 3 жыл бұрын
Huyooo mteja ana mbwembweee
@JacklineOktavy
@JacklineOktavy 18 күн бұрын
mhhh mm hoi kwauyo anae sukwa mapozi atr
@mriyachacha1980
@mriyachacha1980 4 жыл бұрын
Kazi nzur jamoon nimeelewa
@carolinemmuni752
@carolinemmuni752 2 жыл бұрын
Hongera sana kazi nzuri
@sweetberthageorge2065
@sweetberthageorge2065 3 жыл бұрын
Najifunza vingi sana,, kazi nzuri
@AnnamarySamwel
@AnnamarySamwel Жыл бұрын
Asante sana nimejifunza jinsi ya kupaka makeup nashukuru
@happynessmlelwa8980
@happynessmlelwa8980 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Da Farida
@lucycharlesnhembelo7528
@lucycharlesnhembelo7528 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@neylord8509
@neylord8509 2 жыл бұрын
Namba ya was My dear
@safinahanga476
@safinahanga476 Жыл бұрын
Umenifurahisha alika anaudhi loh mapozi kama yy ndy mwny saluni..shuu kimemshuka
@anastellaagustino4343
@anastellaagustino4343 2 жыл бұрын
Asantee pia madam nimeelewa vzr
@TullyFungo
@TullyFungo 9 ай бұрын
Kazi imetulia,safiiii
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 3 жыл бұрын
Unajuwa nakuelewa sana farida sipat picha nikija salun ndo ntaelewa wiki tu ila mteja anaimba imba nn mweeh🤒
@faridaothman
@faridaothman 3 жыл бұрын
Karib sana dear
@beatriceonyango4
@beatriceonyango4 2 жыл бұрын
Asante Kwa kazi nzuri
@mariamseif9802
@mariamseif9802 4 жыл бұрын
Nashukuru sana farida nimeelewa nanaendelea kukufatilia asante
@RozaTumusime-ur7vd
@RozaTumusime-ur7vd Жыл бұрын
Kapendeza sana
@sarahjames5493
@sarahjames5493 4 жыл бұрын
Nakupenda bure Da farida
@farajaowden9506
@farajaowden9506 4 жыл бұрын
Hicho kidoti kinauzwa dukani au kinatengenezwa pia dada Farida
@anniepaschal8348
@anniepaschal8348 2 жыл бұрын
Kinauzwa dukani
@williamkaganda2895
@williamkaganda2895 Жыл бұрын
Mbn mteja nima pepe sana. Ila kazi nzur
@sharifupolly1139
@sharifupolly1139 2 жыл бұрын
Jaman nimependa sana mafundisho yaka
@Marry-t6p
@Marry-t6p 11 ай бұрын
Hahahah😂😂😂😂😂 nilijua ni mm tuu nd nmekereekwa nahuyo mdada
@tatunyambala-iv5sz
@tatunyambala-iv5sz Жыл бұрын
nimependa sana
@hildermuna7228
@hildermuna7228 4 жыл бұрын
Mteja mwwehu
@hawashaaban5926
@hawashaaban5926 3 жыл бұрын
Hashuo hasaaa anajion ovyo😒😒😒😒
@rehemabryson5101
@rehemabryson5101 3 жыл бұрын
Kapendeza Sana'a,asantee Dada kwa mafunzo
@radhisikisamagombe1238
@radhisikisamagombe1238 4 жыл бұрын
Gud
@fatmamazige865
@fatmamazige865 4 жыл бұрын
Kapendeza sanaaaaaaa kafanana na tanasha wamondi
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Santee
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 3 жыл бұрын
Mteja kafanana na paula wa kajala
@JeniferMshiu
@JeniferMshiu 10 ай бұрын
Nimeelewa sana
@JojiLimo-i3m
@JojiLimo-i3m 9 ай бұрын
Huyo dad kam mshamb wa camera jomon hatulii hat kidog
@ceciliajohn6329
@ceciliajohn6329 3 жыл бұрын
Stail nzur nimeipenda sema huyo mteja kadabukwa hatulii kwenye kiti😂
@obedimariko6358
@obedimariko6358 Жыл бұрын
Jamani nzur sana nimeipena
@alexkornelio5560
@alexkornelio5560 2 жыл бұрын
Dada farida nikitaka kujiunga nachuo plosesi ganizakuzingatia,
@AminaRamadan-n7i
@AminaRamadan-n7i 15 күн бұрын
Nzuri San dada
@judithambrose5070
@judithambrose5070 2 жыл бұрын
Kapendeza mdada na kidoti chake👌
@amosbundi5490
@amosbundi5490 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@teychriss3248
@teychriss3248 4 жыл бұрын
Mteja ulimpata dada! Ambwembwe hatari!
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Mapoziii hahahaa
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 3 жыл бұрын
Anajijua kapendeza et si unajua tena ukipendeza huwa hutulii😃
@nurushabani2453
@nurushabani2453 2 жыл бұрын
Nakukubali xn nitakutafuta kwa mafunzo
@nunuyahya493
@nunuyahya493 2 жыл бұрын
@@laylatabdallah2796 gfgggggfgftggfgfffggggfg there
@priscaalex9100
@priscaalex9100 2 жыл бұрын
Anatuonesh had tatoo
@HappyLwena-o1z
@HappyLwena-o1z Жыл бұрын
Samahani kama Sina icho kibanio Kuna njia nyingine yakuweza kubana ivyo
@samwelmartin5208
@samwelmartin5208 3 жыл бұрын
Kongole 👏👏👏👏kwako Farida
@sophiaetta7633
@sophiaetta7633 2 жыл бұрын
Napnda sna kz yako 🥰
@nurusultan2517
@nurusultan2517 4 жыл бұрын
Nimejifunza dada nimeerewa
@neema3370
@neema3370 4 жыл бұрын
Nimeelewa asante
@agripinakitule3294
@agripinakitule3294 2 жыл бұрын
Hapo mwishoo nywele ulizolaza mwishon haziwez zikafumka vikaka juu au huwez ukavishona na uzii?
@LucciDickson
@LucciDickson 13 күн бұрын
Mteja pambe 👌🏻 cjui aliboost kichwa kabla ya kubanwa au ndo first time kupakwa make up 😆🤣 hapo anajiona wa mbele mbele hv
@fatmamwera6645
@fatmamwera6645 2 жыл бұрын
Nimejifunza💓
@RehemaWilliam-w1h
@RehemaWilliam-w1h Жыл бұрын
Very nice
@anniepaschal8348
@anniepaschal8348 2 жыл бұрын
Dia farida plz naomb uwe unataj aina za jelly unazotumia
@bahatiiddi106
@bahatiiddi106 4 жыл бұрын
Uyo anaebanwa icho kidoti mbona atulii jamani ana hekaheka atari
@pieremchome5202
@pieremchome5202 4 жыл бұрын
Acha kujishau ,sis tunaangalia nywele ,we vipi?
@jjjjkkkk87
@jjjjkkkk87 4 жыл бұрын
Uko vizuri best
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Sante sana
@veronikakumburu4757
@veronikakumburu4757 2 жыл бұрын
Uko vizur
@rosemarycosmas-oi7im
@rosemarycosmas-oi7im Жыл бұрын
Mmmmh Mbona anayetangenezwa kama mwanamke Malaya vile
@irenenzuki551
@irenenzuki551 3 жыл бұрын
Asante mpenzi nimejifunza kitu nitajiongeza sasa
@happynesslucas1906
@happynesslucas1906 5 жыл бұрын
Uko vizuri mamy
@faridaothman
@faridaothman 5 жыл бұрын
Sante
@epifunnyluke1179
@epifunnyluke1179 3 жыл бұрын
Hi many nikihitaji makeup na brash zake itakuwa sh ngapi na mzigo utanifikiaje rombo kilimanjaro?
@HappinessNyarusanda
@HappinessNyarusanda 5 ай бұрын
Umetumia bunda ngapi icho kidoti my
@ceciliajohn6329
@ceciliajohn6329 3 жыл бұрын
Big up sana dada amedamshi mrembo
@balasisiterezia1609
@balasisiterezia1609 4 жыл бұрын
Uwiii navyoenda unique look nabana hii😘😘
@kalekwaalmasi8877
@kalekwaalmasi8877 3 жыл бұрын
Nice work my sister Ila nimeambiwa ety laberband inakata san nywele
@annethycyprian3520
@annethycyprian3520 2 жыл бұрын
Thanks madam
@secilialuhopelo
@secilialuhopelo Жыл бұрын
Napenda mafunzo yako
@florencekisumo7548
@florencekisumo7548 4 жыл бұрын
Nzuri sana umetumia rasta ndefu au fupi
@mwajumahemed7582
@mwajumahemed7582 4 жыл бұрын
Ametumia ndefu
@giftboniphace552
@giftboniphace552 4 жыл бұрын
Huyo Dada anauz
@urembonamimah4909
@urembonamimah4909 4 жыл бұрын
Gift boniphace 😂😂😂😂😂😂
@kamulikalikwendwa1201
@kamulikalikwendwa1201 4 жыл бұрын
Sanaaaaaa
@lydiakangongole6783
@lydiakangongole6783 4 жыл бұрын
Sijui ni sifa au
@vumiliamwakanyamale4579
@vumiliamwakanyamale4579 3 жыл бұрын
Nakupenda bure Farida , MUNGU akubariki
@leocardiaraphael4970
@leocardiaraphael4970 4 жыл бұрын
Nimeelewa ubarikiwe sana Da Farida
@evacharles8612
@evacharles8612 4 жыл бұрын
Nimejifunza Asante sana
@theodoraelipidi3289
@theodoraelipidi3289 4 жыл бұрын
Huyo model sasa
@evakoka300
@evakoka300 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sanaaaaa.
@Iam_info
@Iam_info 4 жыл бұрын
Asante mno mungu atakubariki
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ameen barikiwa pia
@catherineachieng5176
@catherineachieng5176 4 жыл бұрын
Unatumia mafuta gani kwa nywele
@rebeckashadrack2373
@rebeckashadrack2373 4 жыл бұрын
Ahsante nimeelewa
@aggiejonh25
@aggiejonh25 4 жыл бұрын
Mko good sana jamn
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Sante sanaa
@estherrobertrobert8209
@estherrobertrobert8209 3 жыл бұрын
Iko powa
@salomelyimo7026
@salomelyimo7026 4 жыл бұрын
Hngra sana upo vizuri
@mayasaabdallah1008
@mayasaabdallah1008 Жыл бұрын
Wooow...
@faridaothman
@faridaothman Жыл бұрын
❤️❤️
QUICK AND EASY HAIR STYLE USING BRAIDING HAIR😱
11:06
mimizbeautyspace
Рет қаралды 79 М.
How To Do A Traditional Seamless Sew-in Step By Step DETAILED
19:29
Duchess Braids
Рет қаралды 894 М.
JIFUNZE  KUBANA BINGO STYLE ,.....Style nzuri Kwa maharusi.
12:11
FAITH BEAUTY CLASSES 💄
Рет қаралды 14 М.
😱 10 MINUTES QUICK HAIRSTYLE USING BRAID EXTENSION
8:35
Ivonmelda
Рет қаралды 7 МЛН
JINSI YA KUBANA MKIA WA FARASI/PONY TAIL
11:35
FAITH BEAUTY CLASSES 💄
Рет қаралды 30 М.