Mawaidha/Darsa: juu ya Kuchukua jeneza inayofundishwa na sheik Nassor Bachu (Allah Amrehemu). #SheikhNassorBachu #Darsa #Kisa #Mawaidha #IslamicKindness
Пікірлер: 3
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Sheikh Albani katafsiri kwa mujibu wa kiwango chake cha elimu na wengine wapo waliotafsiri kwa mujibu wa kiwango chao.
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Ooooo! Sasa nimefahamu so by.
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Na lazima tuangalie jee Mtume alikusudia nini mpaka akataze sauti? Manaswara jee wakimtaja Mwenyezi Mungu? Wakileta adhakaar?Wakileta sifa za Allah? Ama mimi nimefahamu kinyume na Sheikh Albani na mzungumzaji anayezungumza. Shukraan.