KUFRU ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA BARZANJI | MOHAMMED NASSOR BACHU

  Рет қаралды 6,978

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@KishkitvAhmad
@KishkitvAhmad Ай бұрын
Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa uhibuka fi allahi sheikh muhammad bachu
@kihimbamushyaibrahim7284
@kihimbamushyaibrahim7284 Жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah ukweli baraka llahu lakum namuomba mungu awalipe kwakutuelimisha bidaa zinatambaa zikazidi kwenye watu wallahi inakuwa au inapelekewa kama nidini,sasa nimehakikisha nanikichunguza wandugu zetu wabidaa wanae mudomo mutamu kutetea bidaa zao,ukweli mutu mujuzi hata nikiwa kwenye kosa wallahi nibora sheikh akiri asipoteze watu bidaa nimbaya,kuanzia,matanga,maulid,kukata ndevu!!hatuwafwate watu,masufi,mashia wataaribisha,Dini zetu kisha washeikhe wapotofu wanae pamba bidaa mimi nisheikhe nimeona huu upotofu upo hapa uganda!!Congo drc!!masheikhe wanasomea huko tanzania,mombasa,mashekhe simameni!!
@abalkaram786
@abalkaram786 Жыл бұрын
Subhanallah. Anasema Mwenye kuomba msaada ktk hawa MAMAITI. AKASEMA AKIWEMO MTUME(SAW) Yaani tayari kashamdharau Mtume (saw). Yaani Anasema MAMAITI YAANI HAYANA MAANA YAANI MWILI WA MTUME HAUNA MAANA. ETI NI MAMAITI. RUDI KWA MOLA WAKO HARAKA. NDUGU YANGU. UMESHAPOTEA. HUWEZI KUWA MUISILAMU KWA KUMDHARAU MTUME.(SAW).
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
omba mnakasha nae ... tukuone hoja zako kama zinamashiko tusome mawld sio kuja kutukqna kweny comment section
@OngezaMaarifa
@OngezaMaarifa Жыл бұрын
Quran 3:169
@abalkaram786
@abalkaram786 Жыл бұрын
Ntaombaje munakasha na Mwendazimu. Makosa tele yakilugha ktk fasiri zake Nakupa mfano. Alipofasiri أنت للمولى شكور Akadai wewe mbele ya Mola ni mwenye KUSHUKURIWA MNO. SASA ANGALIA HAPO UMEMSIKIA NANI NA LINI AKAFASIRI SHAKURU NI KUSHUKURIWA JE IYO NI FASIRI YA NCHI GANI?. . .SASA MTU ATA ANACHOFASIRI HAKIJUI. THEN NIKAPOTEZE MDA KUFANYA MJADALA?. شكور
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
@@abalkaram786 unachopaswa wewe kisheria ni kumkosoa ikiwa unahis amekosea, sidhan km ni uadilifu kuja kulalamikia kwny comment section!!! Huyu shekh yupo available 24 hrs ni wewe tu kumtafuta na kumnasihi kama unaamini unahoja za kufanya ivo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Kijana toa hoja zakueleweka sio use ety ksmtukana mtume
@AllyMamlo-w9y
@AllyMamlo-w9y Жыл бұрын
Wewe bachu we
@AbeidGodhana
@AbeidGodhana 5 ай бұрын
Abdu haina maana moja babu
@kherimakame212
@kherimakame212 Жыл бұрын
Kumbe huyu mpuuz yupo
@HawaOmary-fb6wo
@HawaOmary-fb6wo Жыл бұрын
UKISEMA HAWA NI WATU WA BIDAA, MAANA YAKE HAWA NI WATU WA MOTONI,SASA HII NDIO DAWA YA MTUME AU NI UKOSEFU WA MAADILI YA UTOAJI WA DAWA;UNALAZIMISHA LAZIMA FULANI AWE MSHIRIKINA,WEWE NI MWANA MIPASHO SIO DAWAA.
@abalkaram786
@abalkaram786 Жыл бұрын
WEWE KILA UKISOMESHWA UNAZIDI UJINGA NA KIBURI TU.
@abalkaram786
@abalkaram786 Жыл бұрын
WEWE HUMO ASAA KTK HAO WANAOTENGENEZA WALIYO HARIBU WATU. WEWE NI MPOTOVU NA PIA NI JAHILI AMBAE HUNA ELIMU KABISAAA LAKIN UNALAZIMISHA UMAARUFU. LAKINI UNAJIDHURU TU.
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Ah lal maulidi bwana, Uchambuzi wa wazi waxi kabisa bado hamutaki.Keli mapenzi mengine bwana
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Shegh m bachu nakubali umesoma ila suala la kumkosoa jafar barazanji haliingii akilini,hii nikutokana na history ya elimu yake
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Hivi unajua hitoria ya Iblisi ya elimu yake na ibada zake mpaka akaitwa Abaa sijida tafakari na uzingstie ukweli na haki
@abdulrahmanhaji631
@abdulrahmanhaji631 Жыл бұрын
Ww ndo mpotevu kwan lazima kufanya maulid kwan maulid ni ibadaaa
@rajabuathumani5775
@rajabuathumani5775 Жыл бұрын
Huna elimu mdogo wngu njoo nikusomeshe
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 8 ай бұрын
Ww mm nataka unisomeshe cw?
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 8 ай бұрын
Nipe namba
@abalkaram786
@abalkaram786 Жыл бұрын
AYO MANENO YAPO KIBALAGHA ZAIDI NA KWA VILE WEWE KICHWA KIBOVU NA KIARABU HAKIPO KICHWANI NDIO KABISAAAA. UNABAKIA TU KUROPOKA.
@abdulrahmanhaji631
@abdulrahmanhaji631 Жыл бұрын
Ww ndo mpotevu kwa lazima kufanya maulidi ?kwan maulidi ni ibada?
@abalkaram786
@abalkaram786 Жыл бұрын
@@abdulwahidhaji3245 NI MIONGONI MWA IBADA NDIO . KWANI WEWE UNAFAHAM IBADA NI NINI?.
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
Kila anae tetea bidaa anasema balagha Nyie ni watu wa hovyo sana sio kila jambo balagha Mambo mengine tumieni akili maulidi ni dhambi kuliko wizi
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Hii sio daawa Hii ni mujadala… mashekhe badala kufanya Daawat watu waswali waache maasi nyie ni mijadala tu… haisaidii kitu bali inazidisha chuki baina ya waislam….
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 Жыл бұрын
Anayemkosoa mwanachuoni kwa ukosefu wa elimu akili hana
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Katika makosa ya aina hii ya shirki?
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Thumun,bukmun,uumyun ni hatari
@ameirameir4349
@ameirameir4349 Жыл бұрын
Sadakta
@ameirameir4349
@ameirameir4349 Жыл бұрын
Sadakta
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
Ujinga unawasumbua mawahabi na upumbavu tuu
NJIA ZA KUMUOGOPA ALLAH || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu. 3/2023 KENYA.
1:01:55
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 8 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 8 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН
FULL MUNAQASHA   UONGO NDANI YA KITABU CHA MAULID YA BARZANJI
3:33:02
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 45 М.
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 692 М.
BARZANJI MAULIDINI Sheikh Said Bafana
47:08
Masjid Riyadha Nairobi
Рет қаралды 45 М.
Othman Maalim Kuipa Mgongo Dunia
48:36
Khidhry 29
Рет қаралды 47 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:23
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 8 МЛН