KUFUNGULIWA UFAHAMU WA ROHONI |14-03-2021 | FULL VIDEO HD
Пікірлер: 55
@kindnessmathowoАй бұрын
Nimemsamehe Baba wa watoto wangu leo kuanzia leo kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth, naomba ukamfungue na kumponya kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth
@kindnessmathowoАй бұрын
Mungu naomba urudishe nafsi yangu na fahamu zangu kwako kwa Jina la Yesu Kristo
@carolinetoto87068 ай бұрын
Ameen🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥🔥
@kindnessmathowoАй бұрын
Mungu naomba leo urudishe Nafsi ya jamal na fahamu zake kwako kwa Jina La Yesu Kristo wa Nazareth. NAKEPENDA MUNGU WANGU.
@MuyamaBetwa6 ай бұрын
Amen amen Mungu wangu nisaitia bwana yesu ni funguliwe ufahamu wangu wa rohoni Asante yesu 🙌🙌🙌🙌🙌
@directioncommerciale24518 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana mpendwa Sumbe
@hawasaleh-e2t7 ай бұрын
mungu uliemwaninifu ktk madhabahu hiii ubarikiwe mtumishi wa mungu hili somo limenifungua ufshamu wangu . Ameen Ameen
@QueenterZawadi7 ай бұрын
Eee mungu wangu mponye nynyngu na Sina za kla magonjwa usi mpite eee mungu wngu pamoja na bwanañgu tumaini anasumbuka na kiuno nauti wa mgongo
@hawasaleh-e2t7 ай бұрын
Bwana yesu naomba ufungue ufahamu wangu wa rohoni
@purymumykarisa88636 ай бұрын
Amen and amen in the might name of Jesus christ
@carolinetoto87068 ай бұрын
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@suzanne95176 ай бұрын
Asante Mungu kwa upendo wako kwetu sisi wanadamu
@stephanosospeter17096 ай бұрын
Asante BWANA YESU KRISTO
@suzanne95176 ай бұрын
Haleluya Haleluya Haleluya
@yalalaambobe95288 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah
@GHgh-hq3zj8 ай бұрын
Amen baba🙏🙏🙏🙏🙏
@purymumykarisa88638 ай бұрын
Amen and amen baba
@purymumykarisa88636 ай бұрын
Amen and amen 👏👏👏👏🙏
@FrankKirita7 ай бұрын
Nimebarikiwa sana somo hili
@SINKOLONGOISAAC-kz5jk8 ай бұрын
Emen baba mungu akupe sikunyingi
@GladysZeituni8 ай бұрын
AMEN BWANA YESU FUNGUA UFAHAMU WANGU WA ROHONI NA NINAOMBA MUNGU WA MBINGUNI UNIRUDISHIE UFAHAMU WA ROHONI KATIKA JINA LA YESU KRISTO MWENYE UZIMA NA UHAI
@AnnociataMushosheke6 ай бұрын
Mungu animé n'a kufunguwa ufahamu wangu ' wangu wa rohoni