Mashaallh nimejikuta napenda kupika Kupitia mapishi yako
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Alhamdulilah
@noreenalriyam28925 жыл бұрын
Bismillah Masha Allah Tabarrak Allah Alhamdulillah Allah akuzidishie zaid ya hii unatupa fundisho zuri sanaa tunakupenda 😘
@joharihuseni28346 жыл бұрын
Mashaallah habty wallahi nimejifumza vingi kutoka kwako allah akupe umri mrefu na akujaalie husnal hatima mwisho wa uhai wako
@kessykupawa44466 жыл бұрын
shukran mamy nimejifunz vingi kupitia ww mungu akuongoz kwakila jambo
@MariamMohamed-bw8xf5 жыл бұрын
Mashaallh ina kaa ta sana
@nyanzalakaporo25045 жыл бұрын
Inaonekana tamu sana, Asante sana Aroma
@davidkossy4 жыл бұрын
aisee uko vizuri.....ila iko kipaja cha kushoto mbona kimeungua sana.
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ndio imeungua moto mkali
@fatihiasalim87534 жыл бұрын
Mashallah mashallah napenda sanaaaa kutizama video zako ,Allah akuzidishie kila la heri hbbty
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Amin nashkuru
@salmafaraj92937 жыл бұрын
mashallah tumefurahi sana kwa mapishi yako allah akupe sihha ishallah
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Salma Faraj Shukran habibty, Amin kwetu sote
@juliethurio68404 жыл бұрын
Be blessed mrembo. Asante sana kwa kazi nzuri.
@zeynabomar71515 жыл бұрын
Mashalllah jmn upo vzr
@mwanaishambili2417 жыл бұрын
mashaallah ma jazzak Allah khery uzindi kutupa mapishi ya pwani nikirundi kenya hilo pishi la kku maana uko nitapata nazi zenyewe c huku za mikembe inshaallah
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah, mie natumia hizo hizo za mikebe maana sitarajii kurudi anytime soon
@mwanaishambili2417 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar ntajaribu inshaallah
@aminahamad3428 Жыл бұрын
Asante kwa mapishi
@fatmanasser68297 жыл бұрын
shukrani dada Allah akujalie kila la kher
@umuganwamarie61235 жыл бұрын
Waaaaaaawwww you are the best teacher ever.God really bless you.
@fatumakadute79595 жыл бұрын
Shukran sana Dada unatufunza vzr
@ramilimohammed52657 жыл бұрын
Aroma of zanzibar Asante anty mashallakh mambo mazur mapishi Allah atuzidishie ameen nitamomba mungu lnchallakh napenda sn mapishi yako
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
RAMILI Mohammed Shukran habibty Amin kwetu sote ya Rabb
@kamoteismailkamote16747 жыл бұрын
Alhamdullilllah dada. pishi la kuku lilitoka vizuri chakula kilikuwa kitamu. Allaah akufanyie wepesi kila kwenye uzito.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Amin, shukran. Nimefurahi kusikia umependa chakula na hongera sana kwa jitihada zako
@nafisakelema9557 жыл бұрын
Mashallah,na mie ntajaribu
@zahramunir85965 жыл бұрын
Jazzakallahukheir...
@mwawaliwali67084 жыл бұрын
Great recipe! I tried it today and the results were remarkable. Thank you and be blessed.
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Wonderful! thank you for your feedback
@khatimmahsen37536 жыл бұрын
Wooow yummy yummy mate yananitoka
@aishaomari18816 жыл бұрын
Santeeee Sana dada nipo Kuwait nikiwapikia hivo naongezwa pesa shukean
@afiasaid58496 жыл бұрын
MashaAllah habibty Ajaab
@maryamoman59265 жыл бұрын
Mashallah mzuri sana ❤❤❤
@zainabrishad46507 жыл бұрын
Shukran Aroma of Zanzibar love from Nairobi🙏🤗
@halimazubeir11144 жыл бұрын
Proud of u wallah tabarakallah
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
shukran
@rehemankingi72854 жыл бұрын
Nimependa sana naomba Kila siku mutufundishe mapishi
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Inshallah hoja uzima tu
@foreveryoung60367 жыл бұрын
Woww mashallah shukran sana
@tarahasina57767 жыл бұрын
jazakallah aroma of zanzibar keep it up. love from UK
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, thanks for your support dear
@clarionphilips25565 жыл бұрын
Ningependa nikuoe
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Nipo tafuta video za celebration ya 50k or 100k
@wardaabubakar48556 жыл бұрын
Mashallah habbty
@wakeshongarera87195 жыл бұрын
Wow.looks delicious
@mwajumaaliy81197 жыл бұрын
maa shaa Allah shukran habibty nakupenda sana jaman mapishi yko mazuri yaani kila ninachokipika nikiwa nimetizama vdeo basi chakula kinasifiwa sana
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran , na wewe unajitahidi pia hongera
@kamoteismailkamote16747 жыл бұрын
Asallaam alykum. Shukran sana dada kwa pishi hili. In shaa allaah najaribu leo kupika.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah usisahau kutujulisha matokeo
@wemakalam94157 жыл бұрын
love you roma from zanzibar mapishi kweli
@muhmahahmshaibrahim31097 жыл бұрын
"lakini ananukia vizuri tena sana" hahaha asante..ndo tunakula kwa.macho asante..I cant wait nirudi pwani ya east africa inshaAllah na mie nikukoshe kwa kukuiga mapishi yako hasa haya ya asilia.shukran sister in islam.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Aswadikul Amin Pole Dada ndio maisha Inshallah utarudi soon kwa salama Na furaha and I can't wait to see your creativity
@diyaosman89927 жыл бұрын
ماشاءالله عليك شكرا برك الله فيك
@rehemankingi72854 жыл бұрын
Mapishi ni meyapenda
@elishamwita6 жыл бұрын
Naomba pishi la Sekela la ndimu tafadhali @Aroma of Zanzibar
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Sekela naifaham lakini la ndimu sijawahi
@safiarashid84443 жыл бұрын
Mie nataka kujua ivo viungo
@aromaofzanzibar3 жыл бұрын
Nimeandika viungo na vipimo vyote hapo chini kwenye description box
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Safi sana dada yangu unajua wewe, mimi ni mroho sana naangalia mapishi kwenye youtube halafu mate yananitoka ukipika 😅👍
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Pole sana
@azzaalmaamry766 жыл бұрын
MaashaaAllah
@ramilimohammed52657 жыл бұрын
Aroma of zanzibar yummy yummy kuku mashallakh 😋😋😋
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
RAMILI Mohammed shukran habibty
@raniaalkhaifi56985 жыл бұрын
Naona kaungua Sana
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Moto ulikua umoto nimeshndwa ku control ilikua joto sana kuku wangu akaungua
@zahramunir85965 жыл бұрын
Anaonesha mtamuu sana waaawwww
@selemanihassani44196 жыл бұрын
Maa Shaa Llaah
@ukhtyashurasakinamnyoti17866 жыл бұрын
nimefurahi kwa pishi la pizza ukhty shukran sana
@ahlamverynice.36057 жыл бұрын
mashallah habibty pambe asante kwa kutufundisha my dear 🍗🍗🍖🍖
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran dear
@aminahabibmuhammad25836 жыл бұрын
mashallah inapendeza
@ruksgranny31795 жыл бұрын
Mashaallah Mimi form Mombasa naku penda sana recipe shukran Dada
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Thanks for the love dear
@ummusamira35187 жыл бұрын
Masha allah lima juwani ulie kivulini 🤣🤣😘
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Haha nzuri hiyo
@aminaozageni8277 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar asante my yani ww familia yako inaraha sana mihavyumati hioooo mimi naomba kuliza kwani ww unaishi wapi
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Amina Ozageni Mimi naishi America
@aminaozageni8277 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar mashaglaa mabruki
@zakatshaban88945 жыл бұрын
Nzur sana
@abdulmananabdulraoufe1584 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@kennethgaeyner97266 жыл бұрын
Nzuri sana
@aasiyabibi23027 жыл бұрын
Sorry sis iv never heard of this language 😊it's seems so cool thu .thanks for your reply 👍
@f.almansour72407 жыл бұрын
Mashallah Mashallah unimaliza darling ! naskia arufu mpaka huku weeh ntajaribu inshallah it looks absolutely yummie😋 thank you so much for this video! bless you🙏🏽
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran habibty, much love
@dabiijamal92937 жыл бұрын
mashallwah rasmi
@mumyally59017 жыл бұрын
shukuran sanaaaa
@fatihiasalim87534 жыл бұрын
Thanks wajina wangu
@mamitojuma70607 жыл бұрын
maashaalla
@ubakhalfan84136 жыл бұрын
Mashallah
@wemamanikana97916 жыл бұрын
Yummy yummy 😋
@hadijafakhi43007 жыл бұрын
mashallah ilo jiko nitapata wapi niko kenya
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Sorry mie siishi Kenya ni vigumu kukushauri
@pauldamas69556 жыл бұрын
mashaaaaalahhhhhhh nice foood ila umeunguza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ila ukaficha weusi ulioungua kwenye mkaa mkali kama moto wa kuchomea makongoro badala ya kuweka moto mdogo ili kuku iive hadi ndani, ukaficha na mpako wa viungo. ila tuache unafki umejitahid kidogo
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Paul Damas kuku aliiva ndani lakini bahati mbaya moto ulikua mkali sana
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
tamuuuuu
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
nimepika jan acha mama watu wamejiranba atari na iyo shata shata la nazi usipime mpka nimepata usingiz wa mchan
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
alaa kumbe🤣🤣🤣
@fatmajezan68127 жыл бұрын
Delicious
@sallynznas64617 жыл бұрын
shukran habbibty
@amenaamena22837 жыл бұрын
asante
@tumaomar89997 жыл бұрын
Masha Allah
@farimataylor3267 Жыл бұрын
Traduction translate it in english or french please. Thanks a lot
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
All my videos are in English and Kiswahili , here' s the English version kzbin.info/www/bejne/gIG0l3mnrZ17i5Y
@kulthumcadir54253 жыл бұрын
🌻🌻🌻
@abudebinabri12877 жыл бұрын
شكرا ربي بحقظك
@khadijaomar45376 жыл бұрын
mashaAllah
@halaahmedhala19207 жыл бұрын
hapipty ya fathia i love evry food you mak
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran habibty
@halfanjamzy64126 жыл бұрын
unafaa wewe mama
@ramilimohammed52657 жыл бұрын
Aroma of zanzibar juz nikuchekeshe nimetaman badia kunde bs nimeipata kunde mbaya siku 2 nimeroweka 😂hazijabambuka ht chembe sijui za plastic nikaishia kubambua moja moja lkn alkhamdulilakh mashallakh tamu sn lkn kz ilinikuta
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
RAMILI Mohammed Hahaha 😂😂 pole labda za China za plastic lol
@umabdallah43106 жыл бұрын
Aroma ilo jiko zuri umenunua wapi
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Hilo jiko nimenunua amazon
@mimamkassy65637 жыл бұрын
shukran
@lynbanks9905 Жыл бұрын
Hii unasave na nini mama
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Utakachopenda wali au chapati
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
natumia nazi ya unga na sio tui zito je itakuje
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Kwa Nazi ya unga changanya na maji kidogo mchanganyiko uwe mzito
@angeldt36204 жыл бұрын
Katika kuweka viungo naweza kuweka soya sos?
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Kama unapenda soy sauce weka dear
@pilimwagakitu92347 жыл бұрын
shukran habibty
@kulthumcadir54253 жыл бұрын
Asante
@padmapereira3157 жыл бұрын
Pls give us English sub-titles.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Padma Pereira Welcome to my channel pls note all my videos are in both languages, here's the English version kzbin.info/www/bejne/gIG0l3mnrZ17i5Y
@ukaswat6 жыл бұрын
Shukran barakallahi feek where can I find the English version of this recipe
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
ukaswat Please follow this link for the English version kzbin.info/www/bejne/gIG0l3mnrZ17i5Y
@faithfella43655 жыл бұрын
Give me the recipe ingredients in English,, I loved it thank you
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
All my recipes are in both languages, here's the English version of the recipe and you will find all the ingredients in the description box kzbin.info/www/bejne/gIG0l3mnrZ17i5Y
@mashaido5 жыл бұрын
je weza mchoma (deep fry) au lazima samaki wa kupakwa awe baked?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Samaki wa kupaka hasa huwa anachomwa kwa mkaa kupata ile ladha ya moshi mimi nili grill in the oven kwasababu ya mvua nilishindwa kutumia mkaa
@mashaido5 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar ok! Na kwahio ulitumia moto wa 180 katika settings ya bake au broil?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
@@mashaido nimetumia broil
@mashaido5 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar thank you so much, can't wait to try the oven style!
@fardowsosirat69757 жыл бұрын
Asc dada kipenzi! Guess who's coming to dinner? Just guess 🤤
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
fardowso sirat mhhh, I am waiting
@munirashabanmnubi86506 жыл бұрын
maashaAllaaah!jmn aonekana mtamu uyo adi raha.. sasa mfano nataka kufanya nyama ya ng'ombe ya kupaka km hvo pia yafaa?au hii ni maalum tu kwa kuku?
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Unaweza kufanya , nyama, kuku na samaki pia
@munirashabanmnubi86506 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar maashaAllaah!shukran sana ukhty..upo very active unajib haraka yan hadi raha..Allah akubaarik sana..
hi?? asante kwa pishi zuri...binzari ya manjano inaitwaje kwa kingereza??
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Bizari ya manjano inaitwa turmeric powder
@happynesslema78856 жыл бұрын
asante sana..ubarikiwe
@queenmariana58875 жыл бұрын
Swali la kizushii pole lkn kama ntakuaa nmekukwazaa kwan zanzibar hakuna nazi au wapendaa nazi za mkebe
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Hujanikwaza , mimi siishi Zanzibar . Hukuna nazi za kukuna
@queenmariana58875 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar oooh uko Oman ama coz mm nko Saudi na nlitafutaa izo Nazi za mkembee kaa bado uko unipee picha ya hiyo mkebe vile uliandikwaa🙏🙏🙏
@rahmamuhidin28534 жыл бұрын
What's the white stuff
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Please watch the English version kzbin.info/www/bejne/gIG0l3mnrZ17i5Y
@mbaroukabdul34304 жыл бұрын
No kuku wa kupaka hapikwi hivi kiswahili
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ok no problem kila mtu ana upishi wake alivyokulia
@bahatiirene88462 жыл бұрын
Kama huna friji
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Naweka kwenye friji isiharibike kwa joto kali
@thamamaureen48284 жыл бұрын
Kindly list the ingredients in English
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Please note that all my recipes are in both languages, here's the English version kzbin.info/www/bejne/gIG0l3mnrZ17i5Y
@winnieokutoyi83077 жыл бұрын
kama hauna fridge nitaiweka wapi?
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Fridge linasaidia kuku asiharibike basi usiroweke kwa mda mrefu sana au tia kwenye mfuko uweke kwenye barafu
@aasiyabibi23027 жыл бұрын
would be nice if she gave the ingredients in english
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
A Khan welcome to my channel please note that all my videos are in English and Kiswahili here's the link to the English version kzbin.info/www/bejne/gIG0l3mnrZ17i5Y
@bevelitajohns68913 жыл бұрын
English Resepi
@aromaofzanzibar3 жыл бұрын
Please check the link on the top it's for English version