KUMBE NI UCHAWI😭😩 DAKTARI MUKALI ALMOST DIED WHILE HELPING ME GET BACK MY WIFE ANGIE B!!!

  Рет қаралды 40,144

Brighton Thee PL

Brighton Thee PL

Күн бұрын

Пікірлер: 335
@BrightonTheePLNetwork
@BrightonTheePLNetwork 4 ай бұрын
Did you watch last episode kzbin.info/www/bejne/qn-4dZmbmMSee6csi=CevLWOlSoB4FZeng
@Africanqueen36
@Africanqueen36 4 ай бұрын
Lkn PL WHY ARE YOU NO REPLYING MY MESSAGES ON WHATSAPP 😢
@abigaelwanyonyi7434
@abigaelwanyonyi7434 4 ай бұрын
Brighton narataka number yako tuongee watsap
@fatumafadeshi2514
@fatumafadeshi2514 4 ай бұрын
Pl plz nizaidie na namba ya dakitari kama unaeza, nimekuomba tu pls
@LOISENJOKI-b8n
@LOISENJOKI-b8n 3 ай бұрын
​@@fatumafadeshi2514ulipewa number
@NNwr-b8h
@NNwr-b8h 4 ай бұрын
Mm nitafurai san Angie b akiwa na Brighton ilikuwa couple tamu sna in the world 🌎 Love Guys 😻😻
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 4 ай бұрын
Alafu umekua mweusi karibu ufanane embarambamba
@celiphaprince
@celiphaprince 4 ай бұрын
Call a spade a spade its high time people should know GOD
@BariisSamatar
@BariisSamatar 4 ай бұрын
True
@nancynyaboke2719
@nancynyaboke2719 4 ай бұрын
Exactly 💯
@liliankemuma9475
@liliankemuma9475 4 ай бұрын
Exactly
@dennyosoko8075
@dennyosoko8075 4 ай бұрын
Huyu mganga ni mpole but anafanana na adi wa badala Yule mwenye alikwaabatumia image wa Daina wa Azizi
@carolboondox4349
@carolboondox4349 4 ай бұрын
True
@everlineodiri3283
@everlineodiri3283 4 ай бұрын
Brighton unaamini katika Mungu????... Seek God young man,
@lynlk2346
@lynlk2346 4 ай бұрын
Acha kuekelea uchawi ... Treat bibi yako vizuri
@MERCY254-l3b
@MERCY254-l3b 4 ай бұрын
Kama Huwamini uchawi upo na mimi hapa nina ushuhuda walifanya hadi tukahama kutoka shamba la ukooo and thanks to God sai maisha yetu amebadilika kidogo
@MERCYmercy-rl3lu
@MERCYmercy-rl3lu 4 ай бұрын
Aki uchawi uko walai kwanza huko kisii
@gladysnyongesa5124
@gladysnyongesa5124 4 ай бұрын
Exactly 👍kunywa soda kwa bili yako🤣🤣🤣
@nyangarisaSharon
@nyangarisaSharon 4 ай бұрын
Of course kuna uchawi najua soon watarudiana,ata sai n yy anawashughulikia,,,mambo ya watu wawili never ingilia piii
@user-help046
@user-help046 4 ай бұрын
​@@MERCY254-l3bnakupa mukono pia mm hta wemefanya babagu wasimu sijui nibate aje huyo dakitari
@SebiasWandera
@SebiasWandera 4 ай бұрын
Tafuta mungu bro achana na uganga angie b anapenda mungu ndio mahana mpatani akuna siku mungu ataelewana na uchawi unakosana na wife juu ya uchawi na uganga bro tafuta mungu please
@Hildahlimoo
@Hildahlimoo 4 ай бұрын
Ata bibilia imekataa "amelaaniwa anayemtegenea mwanadamu"
@ChristineWaswasikinga
@ChristineWaswasikinga 4 ай бұрын
Mungu wangu na tamani nikuone na angie b mungu abariki ndoa yenu
@zipporahkemunto4409
@zipporahkemunto4409 4 ай бұрын
Ndio ivo wengine furaha yao wanataka waachane
@user-help046
@user-help046 4 ай бұрын
Niko sure mungu hta fanya jambo ak
@RehemaYassin-n8t
@RehemaYassin-n8t 4 ай бұрын
Mmi natka mkeo arudi na umueshim kma bbi yko napia mambo na prank uache na umpende mkeo juu mkeo anakupenda sana na pia maneno ya watu kwa ndoa sio poa mmi napenda sana ukiwa na familia yko❤❤
@emilynyaberi5875
@emilynyaberi5875 4 ай бұрын
Why do you want her back si ulisema she is not your type achana msichana ya watu anone 😂 utosheki kumtesa
@maggieshi690
@maggieshi690 4 ай бұрын
Qwani hauoni shida ya ndoa Yao kuvunjika ..qwani hujawai pitia negativity in life ,,,,,,shetani akiingilia maisha ya mtu huonagi maxuri
@AGNEST-f9n
@AGNEST-f9n 4 ай бұрын
Si upelekee Huyu sènior Dave Haki,hali anaptia imekua ngumu 😢😢😢😢
@MERCYmercy-rl3lu
@MERCYmercy-rl3lu 4 ай бұрын
Hapa Sasa mtarundiana kabisa mungu awasaidie kwa ndoa yenu aki nilitamani sana,, naomba number ya huyu dakitari please na inaeza kua how much please
@winniegasheri2137
@winniegasheri2137 4 ай бұрын
Ukipewa unisaidie
@nellykaimuri2587
@nellykaimuri2587 4 ай бұрын
Nice episode. Naona season 2 we are moving on well
@mercyongangi
@mercyongangi 4 ай бұрын
Tumefika episode ngapi wadau😂😂😂😂 mlisikia angie akisema anaumwa na kichwa ama atajipata kisii kama eve alijipata Nairobi 😅😅😅 angie uko wapi prepare ur self usijipate bila nguo 😅😅😅😅😊
@mumblessed001
@mumblessed001 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅ata buruka leo
@Lzzlzz-k3m
@Lzzlzz-k3m 4 ай бұрын
😂😂😂😂hii ni maajabu😂😂
@naomykorir2919
@naomykorir2919 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kweli but wakirudiana ni sawa aki
@christinekayosa2224
@christinekayosa2224 4 ай бұрын
Yeah 🤣🤣😂
@Sky-rancky..
@Sky-rancky.. 4 ай бұрын
Aah 😂😂😂😂 Mercy wacha
@chancyfoods4548
@chancyfoods4548 4 ай бұрын
What's the name of the director in KZbin?
@annclere4739
@annclere4739 4 ай бұрын
Kwani lazima upitie njia ya uganga kumrudisha bibi yako, it's high time ujue hata njia ya kuenda kwa kanisa.
@rizzieangote36
@rizzieangote36 4 ай бұрын
Imagine once you connect yourself na uchawi it means you're one of the maombi na Mungu anafungua
@Mosetieunice
@Mosetieunice 4 ай бұрын
Kabisa
@MartoMurithi
@MartoMurithi 4 ай бұрын
​@@rizzieangote36vipindi tupu 😂😂😂
@NabwireGladys-mu6lr
@NabwireGladys-mu6lr 4 ай бұрын
My happiness is seeing you together with your wife
@sifasifa2217
@sifasifa2217 4 ай бұрын
Me too ❤❤🇬🇦🇺🇸👌
@RAMANETWORKS.
@RAMANETWORKS. 4 ай бұрын
Amelaaniwa amtengemeaye mwanadamu, Jeremiah 17:5
@Mamabrandon
@Mamabrandon 4 ай бұрын
Yes
@maximillahmakokha3783
@maximillahmakokha3783 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kipyeqonchepkwony177
@kipyeqonchepkwony177 4 ай бұрын
namba ya dakitari bro juu niko na shida please
@Janet-p6k
@Janet-p6k 4 ай бұрын
Tena pl akirudiana na angi b .amuombe musamaa juu alimukosea sana😢😢
@conniekerubo8325
@conniekerubo8325 4 ай бұрын
Hata Angie b alikosea kuweka kila kitu kwa mtandao mambo ya ndoa ni ya watu wawili
@AbigaelNekesa-fc4cz
@AbigaelNekesa-fc4cz 4 ай бұрын
Wyf ni mtu wa maana kweli, uyu ameparara araka sana
@sifasifa2217
@sifasifa2217 4 ай бұрын
Musimuseme vibay Briton pl bcz wamewachangany wote akili mahaduyi zao 😢
@jasminmoraa-io8tw
@jasminmoraa-io8tw 4 ай бұрын
Mchawi ulijitakia mwenyewe
@PhilomenaKawira
@PhilomenaKawira 4 ай бұрын
Walae sijawai amin Kuna uchawi for real but vile nmewatch thee pl from yesterday I'm no longer to believe it guys 😮
@daphinekemto3094
@daphinekemto3094 4 ай бұрын
Nothing is really here
@galaxyqwer7438
@galaxyqwer7438 4 ай бұрын
Mi iko penye niliona hivi vitu zikitolewa na hiyo mboma ilikwa nashinda no ilipo tolewa ikakwa sawa na mtu wahiyo family ndio walikwa wakiweka
@PhilomenaKawira
@PhilomenaKawira 4 ай бұрын
@@galaxyqwer7438 I believe it now for real
@PhilomenaKawira
@PhilomenaKawira 4 ай бұрын
@@daphinekemto3094 I don't think so
@mwangisalim
@mwangisalim 4 ай бұрын
Just acting,
@Omobasitv2
@Omobasitv2 4 ай бұрын
You're cheating and you are here saying ni uchawi😢😢😢 respect yourself and your wife
@collinswafula4404
@collinswafula4404 3 ай бұрын
Kabisa mi hua siamini huyu jamaa tangu ile time walifake death ya Fai
@josephatogori2086
@josephatogori2086 4 ай бұрын
Bro naeza taka unaeza mipea namba ya yule ndugu tulifanyia show Anaitwa ongiri niongeze naye anizaidie na swala fulani
@chustekimani
@chustekimani 4 ай бұрын
Mkirudiana please pl muache kuweka vitu zenu ni public 😢😢Angie B alikuwa anakupenda but hizo vitu mingi zinatokea kama Levyne Tv na Trish na vyeye mlikuwa mnakaa fine together❤❤❤
@Naj276
@Naj276 20 күн бұрын
sorry Brighton 😢😢 duh umpitia magumu jmn
@silviatsi8946
@silviatsi8946 4 ай бұрын
Angie alikua ameanza kurudisha mwili,,umchukue tena umpee stress abaki mifupa😏take care of that gal plz❤
@sharonjelagat6207
@sharonjelagat6207 4 ай бұрын
Brighton I can't wait to see you with anjieB together,i am Soo happy.God is good
@DianaMuhonja-oi9co
@DianaMuhonja-oi9co 4 ай бұрын
But you must believe in God not uchawi, mungu ni mzuri na mwaminifu kwa kila jambo after hiyo uchawi murudie mungu muumba mbingu na inchi
@christabelchemutai9970
@christabelchemutai9970 3 ай бұрын
Pl plz aki rudi kwa mungu hata heri Ezekiel sasa
@EuniceEuny-po2hw
@EuniceEuny-po2hw 4 ай бұрын
Please pl watch your video with Angie ya June 28 the 2020 and go back to that life
@catherinemakokha1400
@catherinemakokha1400 4 ай бұрын
Hi pole sana Dakitari Mungu awafunguwe katika jina la Yesu kristo
@maximillahmakokha3783
@maximillahmakokha3783 4 ай бұрын
Unaunganisha muganga na yesu😂😂😂
@aplokimo405
@aplokimo405 4 ай бұрын
Pl ??unataka kuwa mganga??😂😂Acha hizo
@Hildahlimoo
@Hildahlimoo 4 ай бұрын
This is the last episode i think
@MaryAyona
@MaryAyona 4 ай бұрын
Waaaaa ni mungu tu atusaidiye wanadamu awana wema😮😮😮
@JoyceJoy-sy3zj
@JoyceJoy-sy3zj 4 ай бұрын
Brighton pls mini fans wako naomba pls saidia senior Dave ako kwa shida😭😭😭
@MosesOuma-lk2bo
@MosesOuma-lk2bo 4 ай бұрын
Senior dave ni mukora 😂😂😂😂
@JoyceJoy-sy3zj
@JoyceJoy-sy3zj 4 ай бұрын
@@MosesOuma-lk2bo aki apana
@eunicendege576
@eunicendege576 4 ай бұрын
Kabisa ​@@MosesOuma-lk2bo
@Kanawajeschu59275
@Kanawajeschu59275 4 ай бұрын
Bright be strong! Hiyo ni kisii wachawi wako May God be with
@MercyNadia-o1k
@MercyNadia-o1k 4 ай бұрын
Mungu awasaidie ndoa yenu irudi aki
@stellahagata4567
@stellahagata4567 4 ай бұрын
Aky content wewe 🤣🤣🤣🤣🤣
@Lzzlzz-k3m
@Lzzlzz-k3m 4 ай бұрын
Uliona angie anaendelea coz ulitarajia ateseke😂😂😂😂wacha kuwekuelea uchawi 😂😂
@SolomeKuto
@SolomeKuto 4 ай бұрын
Hii kuringa ringa kwake ndio inafanya ata anarongua mbona asisimame kwa maobi kama mke wke kuna day mke wke alikwa akioba pl akamwambia ati awache kujifanya
@charityrita415
@charityrita415 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@Faithmokeira254
@Faithmokeira254 4 ай бұрын
😂😂😂 akii wewe
@Estee649
@Estee649 4 ай бұрын
Exactly my thoughts dear God bless you 😂
@Lzzlzz-k3m
@Lzzlzz-k3m 4 ай бұрын
@@SolomeKuto waah..ama ni kamchawi sababu huezi penda vitu za Giza ukiwa mzuri,angie atarogwa na hako ka sheitoo
@Jackline-e9h
@Jackline-e9h 4 ай бұрын
Saidia senior dave pl bodyguard wake alitekwa nyara
@SylviaChuni
@SylviaChuni 4 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢Nimelia
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 4 ай бұрын
Mungu arudishe ndoa yenyu pamoja
@nancymuendi4768
@nancymuendi4768 4 ай бұрын
Agy usirudi aende aoe
@jackiedosh4855
@jackiedosh4855 4 ай бұрын
Mnipee number ya huyu doc plz
@TeresiahWaithera-zu3qe
@TeresiahWaithera-zu3qe 4 ай бұрын
Aki n watu walisema vile Brighton anabehave hayuko sawa its means ilikuwa uchawi waaah trust God every thing itakua poa
@Catherine-jv4qg
@Catherine-jv4qg 4 ай бұрын
Wonders shall never end😢😢😢hio uchawi yooote iliwekwa na mtu mmoja ama kuna combination
@Faithmokeira254
@Faithmokeira254 4 ай бұрын
Wah mm sina maoni juu sijawei amini hawa watu kuna kutu nataka hiyo siku dio nitamini😢
@IrineKosgei-kd5bf
@IrineKosgei-kd5bf 4 ай бұрын
Clout imeisha sasa...wacha "warudiane "
@mwanaidi444
@mwanaidi444 4 ай бұрын
Nani anakumbuka story ya fay mimi siamini huyu mtu
@Nyakachi
@Nyakachi 4 ай бұрын
Ni content creation they are here pamoja
@MwanamisiMohamed-tk7le
@MwanamisiMohamed-tk7le 4 ай бұрын
Namba ya dakitari plz
@ScholarJoyline
@ScholarJoyline 4 ай бұрын
Brighton sio unipee number ya huyo dakitari please
@Vedcah
@Vedcah 4 ай бұрын
Mm nilipewa number kiza nikaborwa Doo 😢
@Nyakachi
@Nyakachi 4 ай бұрын
​@@Vedcahhuyo ni mzee wa nduthi
@SiphirahWaithira-e2f
@SiphirahWaithira-e2f 4 ай бұрын
​@@Vedcahna nani?
@annetManyonge-gw7rh
@annetManyonge-gw7rh 4 ай бұрын
But ata kama angie atarudi ujue ulimuonyesha your true colour ukipata tupesa she will be very wiser than you think and believe from huyo doc wako bro
@rachelmaina3476
@rachelmaina3476 4 ай бұрын
Briton Uchawi tu.Hujui kuna mungu
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 4 ай бұрын
Ndyo ujue watu ni mashetani awapendi kuona watu wakiendelea😮😮😮pl mbona unataka kukimbia😂😂😂
@hellenkamau6842
@hellenkamau6842 4 ай бұрын
Why ukumaliza story ya Ongiri
@dolphine62
@dolphine62 4 ай бұрын
Can't wait to see Angie happy ❤❤❣️❣️🫂
@nancyanderson3599
@nancyanderson3599 4 ай бұрын
Lakini unakosa kwa nn uoe mabibi wawili please
@AmyMuindi
@AmyMuindi 4 ай бұрын
At least tunaeza sikizana ukirudisha familia back ❤
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 4 ай бұрын
Umeona anjie ana glow anaendelea vizuri uko desparate Sasa unadanganya ni uchawi shame on you
@rizzieangote36
@rizzieangote36 4 ай бұрын
Angie maombi yake haiwezi enda bure
@DorrisKathini
@DorrisKathini 4 ай бұрын
Nlijua n uchawi inawasumbua ak kisii na uchawi mmesidi kuliko wakamba
@nyokskinyah8246
@nyokskinyah8246 4 ай бұрын
Kwa kweli mganga hajigangi
@collinsnamunwa4630
@collinsnamunwa4630 3 ай бұрын
Nawez Pata digits please
@Zahara-l3l
@Zahara-l3l 4 ай бұрын
Briython Mimi namtaka dakitari mkali anjoo tz🇹🇿😭anisaidi jamani
@nancynyaboke2719
@nancynyaboke2719 4 ай бұрын
Now u can recall she is your wife angie b😂haki dunia ina mambo,
@damariskathambi6910
@damariskathambi6910 4 ай бұрын
Hizi ni vipindi 😂😂😂, we knew it.
@marionnyambura7784
@marionnyambura7784 4 ай бұрын
Wakisii ni wachawi tupu
@miriammasai8602
@miriammasai8602 4 ай бұрын
Ata Levyne anaitaji help😅
@levinerdewano1597
@levinerdewano1597 4 ай бұрын
Haki hii syllabus inaenda mbio sana...mimi ata sijui sai tumefika wapi🤣🤣 aseol chuth🙌
@flezzyroshan9380
@flezzyroshan9380 4 ай бұрын
Bt nilijiuliza maswali sana kwanza huko kisii watu hawafurahii wakiishi pamoja uchawi upo na kiko na nguvu aje🤔🤔🙄🙄🙆
@Emmaemily-cj5bz
@Emmaemily-cj5bz 4 ай бұрын
Hi ni kama acting
@CiaraMulela
@CiaraMulela 4 ай бұрын
Na bado kuna wenye wanaamini ni uchawi,,,,juzi kuna video pl alifanyia kwa bedroom yao na viatu za angie zilikua hapo.
@Achy650
@Achy650 4 ай бұрын
Good content kw wenye wanaamini ni uchawi wiii 😅😅kaende kaende​@@CiaraMulela
@marymary8313
@marymary8313 4 ай бұрын
Faith na Debra walipotelea wapy, nimeona huyu dakitari nikawakumbuka
@Glorymuthoni-t2x
@Glorymuthoni-t2x 4 ай бұрын
Glory to God,, but nlikua nafeel nkuchape makofi
@hildanjoki8317
@hildanjoki8317 4 ай бұрын
That's why I said I can't get married in kisii,hii uchawi ni moto moto,kumbe kulikuwa na sababu ,
@Doriskapretty
@Doriskapretty 4 ай бұрын
Team briton kindly nipitieni plz,tawapitia back❤❤🎉
@ErumbiAgens
@ErumbiAgens 4 ай бұрын
How are you I wanted to talk to you
@biggievandar254
@biggievandar254 4 ай бұрын
Twd pitia huku
@prizooresh6293
@prizooresh6293 4 ай бұрын
Aqh mambo ingine so mchawi akishafanya hivi anapata nini kwa Angie ama kwa PL wakiachana huyu atachomeka tu na uchawi yake,,mungu awafunganishe na pingu ya maisha mkiwa na your wife
@Princes-zy7un
@Princes-zy7un 4 ай бұрын
Mbona hungeenda upige magoti kanisani au popote pale na uombe Kwa kumaanisha
@Roz-m2z
@Roz-m2z 4 ай бұрын
Tulikwambia kitambo unatembea na dactari awezi kusaidia anji b ni mutuwa kuomba alafu nunamtesa katmai yeye angekua na mali
@AminaAlly-q5f
@AminaAlly-q5f 4 ай бұрын
Daktar mmi nipo Tazania je unaweza kuja nkikuhitaji
@marygatiji5576
@marygatiji5576 4 ай бұрын
Siku hizi watu hawataki kuona familia xikiwa pamoja Brighton .na ujue shetani ni binadamu but hananga nguvu.mi ningependa kila kitu kiwe sawa mrudiane na madam wako Amen 🙏🙏
@paulantony5401
@paulantony5401 10 күн бұрын
Nisaidia na namba ya daktali aki plz
@wilyfrida9558
@wilyfrida9558 4 ай бұрын
Pl wakati mulikuwa n your wife ulikuwa unaglow ebu siangalie saii..some tyme men plz think twice
@Simeonfbitv
@Simeonfbitv 4 ай бұрын
Mmepannga tumdanganye
@abdulasiz7822
@abdulasiz7822 4 ай бұрын
kama ni hivo afufue aliye kufa.....aache za ofyo
@dennyosoko8075
@dennyosoko8075 4 ай бұрын
Am sure Trish new that uchawi
@florencebosibori9961
@florencebosibori9961 4 ай бұрын
Kwani unamtaka Angie B tena!!!??
@kathyndwash9103
@kathyndwash9103 4 ай бұрын
Mmnilisema Hawa vijana ni uchawi labda wamefanyiwa b4
@AlshashaCenter-u8q
@AlshashaCenter-u8q 4 ай бұрын
Namuache kuhipost post kwa social media,,protect what you have,not all people in social media has good agender some are using social media to accomplish their evils agender,,pple hate progress,, succeed in silent,,wataendelea TU kuwaroga kaa hamtajiwejea privacy
@TotoMashaku
@TotoMashaku 4 ай бұрын
Haki ntafurahia mukiwa pamoja ❤❤❤weee God 🙏🙏🙏🙏👐👐👐
@FaithNyandieka
@FaithNyandieka 4 ай бұрын
Aki wachawi mbinguni amuoni
@felixmaigo7743
@felixmaigo7743 4 ай бұрын
Muache uongo na kuibia watu maumbwa nyinyi
@alexsaidi3940
@alexsaidi3940 4 ай бұрын
What we is two of you reunite cz Satan fights marriages cz if marriage's are spared he has no peace
@Mercy-gi8cn
@Mercy-gi8cn 4 ай бұрын
Unamuitaji juu ameomoka
@FaithNyandieka
@FaithNyandieka 4 ай бұрын
Ombi langu ni mrudiane ndoa ni mwanamke hadi pl amekonda wueee
@wayawaya-xi4vk
@wayawaya-xi4vk 4 ай бұрын
Nesaida
@ceciliamutua
@ceciliamutua 4 ай бұрын
Yaani mwanaume ni mke tu huyu ni pl amekonda hivo wah depression is really kweli pole
@bakhoya
@bakhoya 4 ай бұрын
NA vile alikuwa na kiburi,hadi kwa wazazi
@djpdaprince2233
@djpdaprince2233 4 ай бұрын
Hapo ndo unajua umuhimu wa mke🎉
@ceciliamutua
@ceciliamutua 4 ай бұрын
@@bakhoya eeh akiitwa anakataa kusikiza mama yake
@ceciliamutua
@ceciliamutua 4 ай бұрын
@@djpdaprince2233 sure
@JoyBobohKe
@JoyBobohKe 4 ай бұрын
Ameona Angie is glowing 😂😂
A very big shock that the mother brings to the family
23:47
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 42 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 19 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
DAKTARI VERSES BABA EVE🔥💔WHO IS MORE POWERFUL THAN THE OTHER????
19:27
Brightone thee pl and Angie B viral song
3:47
Angie B.
Рет қаралды 31 М.
SEE HOW CUKURA YA NAIROBI SLAPPED KEZIAH ,,DURING INTERVIEW
59:31
Miracle and katrue Tv
Рет қаралды 59 М.
DAKTARI MUKALI IS NO JOKE!!! ONA SASA BABA EVE CHENYE KIMEMPATA😭💔
12:25
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН