Hio title imenikumbusha ile ngoma ya Jimwat. Piga like kama unakumbuka hio ngoma. Watoto wa 2005 kaeni kando pls sankyuuu
@Donnald613 жыл бұрын
This reminds me of a childhood friend mwenye tulimeet na akaniomba keja na ukumbuke huyu jamaa tulikuwa tumekaa like 15 yrs bila kupatana....nilishtuka usiku saa ya kudoze this guy akiwekelea pistol kwa meza....the first time kuona that thing kwa karibu hivi.....ilibidi keshoye nite girlfriend apige kambi wiki mbili.....
@gregory79983 жыл бұрын
tricky sana
@anngichuki53993 жыл бұрын
By the end of April wakuru tufike 250 for live audience
@sammymugo59803 жыл бұрын
Tamu Mkuru Point taken
@k32-q4e3 жыл бұрын
The opening stories makes someone so happy to go ahead 😂😂😂😂😂
@kevinomin55053 жыл бұрын
My first phone ever, was a kabambe from my uncle as a birthday gift... and his advice was,should anyone, random or friend borrow from you, mwambie tu hauna credit or texts and now I get to understand!
@SammyKiokoComedian3 жыл бұрын
Adios mchachos...tumenywaicee
@samuelmwendwa3783 жыл бұрын
Kumbe Sammy k Kioko uko huku..... Its nice to see fellow artists support their fellow artists.Wacha niingie KWA VONZA NIONE drama za Kioko.😜😜😜🤓🤓
@jimmyreaganwafula39913 жыл бұрын
kumbe pia we ni mkurugenzi. welcome uku
@Mkurugenziii3 жыл бұрын
Bro si tuorganize huyo Mwalimu wako aingizwe inda pia. Hata kama ni 17 months.
@Kipsabet3 жыл бұрын
💪🏿
@Kipsabet3 жыл бұрын
Leo hakuna joke umepractice wiki tatu??😲
@chrispinlukidi36443 жыл бұрын
Ukiona Mkuruuuu yuko waiting room jua he is a good waiter😀😀unasema ijaweza na nime rehearse hiyo joke 3 weeks😀😀sawa tu
@abdullahiadan2023 Жыл бұрын
😂😂😂 kali kbsa
@teddymoses1403 жыл бұрын
Apart from entertainment, Mkurugenzi's stories are also informative and eye-openers. By now anyone should always think twice of someone asking you for some kind of help no matter how desperate they look.
@mercymulandi51023 жыл бұрын
Same story my cousin went through.. 5yrs in jail... Kadem kakam kuconfess babake alimtuma aseme ivo. Cuzo alisaidiana keja tu.... Weeeeeeeee... Wengi wako ndani bure tu.... Mapensi tu mkuru
@chrisndungu11393 жыл бұрын
Hapo ni true mkuru... ID muhimu sana... I used to be a fan but after this episode am a whole air conditioner system
@Sharikshariksharik3 жыл бұрын
hehe kali sana mi hunfanya repair ya AC nipate linkdin
@shirogitari84773 жыл бұрын
Headline only make me start smiling alone 😍kama K species twende kazi .
@briangichia87463 жыл бұрын
True .....even in America the first thing you do when you meet a girl is ask her age
@chekek3 жыл бұрын
so sad! nothing like having an injustice done against you and there’s nothing you can do about it. mkuru kuvisit inda inaezakuwa such a brilliant project. i’m sure there are a lot of stories that need to be told huko esp considering criminal justice system yetu is just vibes and corruption 😡
@lonahlonstar43293 жыл бұрын
193K💪💪💪ID kwa meza hata Kama mtu ako na tuwrinkles😂🤣
@waitheragichuru98623 жыл бұрын
Only place I never get late to is watching mkuruu.... Counting down for the jyuuuuuiceee😂😂😂
@bonfacekwasi11283 жыл бұрын
Mukuru show kama hii nipoa you invite a lawyer to give deeper education on Child Sexual Abuse.
@anngichuki53993 жыл бұрын
Leo Niko here,kesho Niko there,cause am young and stupid
@johnkihara94803 жыл бұрын
Kama wwe ni ariff wa myn na unataka nikupee keja yangu mnyanduane itabidi mmeenda kukulana kwa msitu🤣🤣🤣🤣keja yngu si lodging
@ronniksentertainment3 жыл бұрын
Thanks Mukurugenzi kwa kutuchanua and as you take that step of visiting people in remand you see by yourself that most people who are there are just innocent trapped in other people mess or accused falsely.
@funzonechannel13 жыл бұрын
This has been a trending hustle in the communities we are living in, I know some guys who have suffer from this and my advice to the BOYCHILD is as MKURU has said ID KWA MEZA
@davidmwaura76583 жыл бұрын
Wawawawa nipepitia similar case just like two weeks ago luckily dame alikua wa north eastern and we had met uko.......alikol the dad using my fone,spent like 3nyts na yeye uko,she kept saying her id ws lost and uko ni ushago kwao na ati ako kca uni......the dad started looking for me calling akisema nko na mtoto wa shule luckily my stay uko north eastern ikaisha nkarudi nairobi.....ivi ndio niliponyoka plus uhuru akaweka lockdown.......up to knw sjajua ka alikua underage au cz vitu anajua si za minor.....cud it b it ws a set up...?🤔
@winniemutisya71193 жыл бұрын
Wow wht a story! I think he shd sue the gal for damages so tht wengine wa learn a lesson. Asante mkurugenzi 👏👏👏👏
@silviatyla31323 жыл бұрын
Mkurungezi is on an endless vacation hope nobody has seen that😂😂😂
@maureennish64363 жыл бұрын
Dislike moja hapo ni ya huyo jamaa alitoroka naomba ANDA KAVA wachunguze hizi dislike
@antohlebron_creations80843 жыл бұрын
My role model nadai classes za story telling
@RoyaltyMOG.3 жыл бұрын
I don't think I'm ever giving anyone my phone ata Kama anakufa🙌
@omuke2543 жыл бұрын
hey Able, i just loved you from day 1 - freddy. i love more when it comes to youtube and more when you take me through the events especially that of laptop and the drive.
@ibrahkim71643 жыл бұрын
I can only imagine hw it feels manzeee kuwekwa kwa such a trap na huwezi do anything. Aki kutoka leo ni ID. 😂😂😂
@carolinemuchiri80643 жыл бұрын
Hujapatana na turesh twa high school tuko na ID za kuiba? Sijui due diligence hufanywaje in that case
@samuelmwendwa3783 жыл бұрын
New episode na i know ni noma kuruka..... Lakini Mkuru kuna mahali mliniacha hanging kwa ile stori ya Njugush vile walipatikana n matron wakipika then akaingia coil ikaguzana na matress.What happenned to them?
@florenceojowa77063 жыл бұрын
What a sad story. Thank you so much for talking about it. I believe many people will learn something from it.
@carolkamau53103 жыл бұрын
Waaah...he should sue everyone for damages..emotional, psychological,financial..bad prosecution processes...tena why do you need to have a girlfriend when you can't put a roof on your head..acha ubeshte ikae alaaar!
@sarahnyambura16343 жыл бұрын
17 months za mtu zilienda Ivo Tu?😭 Trust nobody except God
@pauloseriaan69043 жыл бұрын
Very true one boy from my hood also suffered the same but yeye akufika court alipigwa fine 40k police station
@stanleygachoka3 жыл бұрын
The only channel that makes me open KZbin and only channel that I never miss an episode. Big up mkuru👊
@briogibbs33843 жыл бұрын
Mkurugenzi juzi tu pia ulitupea story ya vile being generous can land you in trouble,ule wa juzi aliponea but huyu bahati yake ilikua mbaya. What we are learning is that be mean with your generosity,if you feel too generous or too kind,itabidi tupeleke Church
@yvonnesyshix26573 жыл бұрын
Waaaaah wacha ID itembee aky its sad pple suffering for other pples mistakes
@aliceadhiambo11603 жыл бұрын
waiting for the jyuuuuce♥️♥️
@millicentmicheni97913 жыл бұрын
Mkuruu amefura macho au naona zangu?? He looks sleepy
@wacheraeunice95253 жыл бұрын
ID👏🏽kwa👏🏽meza👏🏽.. wueh, kutenda mtu hivyo, that's just evil.
@foziyaheydhar41083 жыл бұрын
Mkuruu ,merchandise?
@H_abbie_bee3 жыл бұрын
waiting mkuruuu....hope u've gat the jyuuusss
@Sylacarptella3 жыл бұрын
Dude you're a natural... many blessings to you and yours. Thanks for the smile on my face! 😄
@frederickorigo17303 жыл бұрын
Muhimu ujue dem vizuri before umlete kejani kwako ju wengine wanakuekea mchele wanakuosha na wanasafisha hutawai muona tena. True story from a friend experience
@erickariuki5169Ай бұрын
Mkuruuu si urudishe the background music kwa story zako.... nime re-listen this one and the nostalgia men.
@gracenjuguna12033 жыл бұрын
This is soo true,my hubby is a cop and recently he handled a similar case
@TheBlackIndian4 ай бұрын
That is why I always take photos with my friends for TBTs. After watching more than 20 videos of Young and Stupid, I decided to start from S1 Ep1. As per now...S3 Ep 3 done and dusted.
@samuelmwendwa3783 жыл бұрын
Wadau.... C show imeweza, atleast nmejanjaruka. Thanks alot mkuru
@jaynenjenga37183 жыл бұрын
Waaaaah! OMG! Its a rough world out here! There's a show that comes on Inooro TV and KZbin called "Njeraine Ciitu", you will be shocked by the stories of the people behind bars. Very harrowing I must say. They even say crime ni mbaya....avoid at all costs.
@patrickgaita3 жыл бұрын
17 months ndani yet msee alikuwa innocent!!🤦🏽♂️🤦🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️ Izi streets sio safe tena!!
@Hammik_-4563 жыл бұрын
Mkurugenzi leo umenibamba.nimewasha tv first thing you advert with quick mart.makofi ya kilo.wacha sasa tuingie story
@mwendiapius78373 жыл бұрын
Am the new addict. Kila siku lazima nipitie hapa kwa mkurugenzi nipewe dose.
@YtheraJ3 жыл бұрын
Hawa watu wanafanya wengine wafungiwe bure wanafaa wafinywe kabisa. Also, hizo generosity excess itabidi watu wakuwe generous lakini waulize maswali kama mia moja.
@johnmwilu39033 жыл бұрын
Yaani nakaa tu kejani, the only sauti ya radio naskia ni, wakurugenziii, mtafraia and such termininologies from mkurugenzi. Nanwiiiiiiiiiiicee tu.
@agnesladasha56413 жыл бұрын
Mkurugenzi never disappoint much love ❤️ ❤️
@josephkamau93523 жыл бұрын
Sijui kama umeona pale Twitter venye tunafanyia mambo ii serikali yenyu ya maloans 🤣🤣
@Mwenyewemkenya3 жыл бұрын
We appreciate your commitment to bring us a story every week. Please your theme song volume is very high compared to your voice. I'd to jump for my remote to reduce the volume. Karibu nivunje my juiiiice glass.
@Explore8693 жыл бұрын
Day one of the week begins at 12:15. Loyat to the gutter
@simonachililongor97393 жыл бұрын
it's about to go down!!!!!!!🔥
@kyallogideon86253 жыл бұрын
Cruel and Harsh world...Golden Mouthed story kali
@jacktonnyamora44143 жыл бұрын
Maze mkurugenzi niko na confession na nadai wasee wenye wanadai kusupport channel yako na hawana kakitu wafanye... Ju at times mi ni fan mdeadly but mfuko imetoboka, mi huwatch youtube ads on this channel like nonsense. This way najua kakitu hukam through. All the best Kaka
@Mkurugenziii3 жыл бұрын
Wewe ni Mtrue!!!
@icardiroyy92833 жыл бұрын
Straight outta London, UK loving the episodes Mkuru
@nunniznurcky97243 жыл бұрын
Jina mpaka imepnda ndenge 😆l love dat risto maanzee umechanua wengi🤔
@paulinekiragu7858 Жыл бұрын
This is a very important warning to our youth bachelor's and singles. Shukran 🙏🙏
@nivandalulaxy93763 жыл бұрын
😭😭😭weee,mtu asiniombe simu wala keja🤦🏼♀sai naogopa human beings kabisaa
@RoyaltyMOG.3 жыл бұрын
Ok...ni Mimi tu ama kila mtu anaimbanga hako kawimbo ka young and stupid?😂😂
@Mr_Stev.e3 жыл бұрын
these lessons manze. alot of us here are ignorant of the law. and "sikujua" is not a defense. naona itabidi Mkuru ameleta series ingine called. "Know the Law"
@misskigori3923 Жыл бұрын
Abeli, aki apart from kutuentertain, aki shukran ju lesson nmelearn the vida zako zote nmewatch, it's very informative. shukran👊
@Bancyceleb3 жыл бұрын
Ata naogopa kumaliza story yooooh
@mark_virgintot54543 жыл бұрын
Mkuruuu ya leo imenitouch sana...nko apa naogopa kusaidiana tenje tena🤝
@flexymonicah35842 жыл бұрын
it's very true,,,one of my friends ako ndani Sai ako ndani yet the lady ata ukimwangali ni mkubwa, she looks 24 hapo yet wanasema ako 17
@kevohmseeh3 жыл бұрын
Kumbe ni under 18😂😂 This seems to be fire 🔥 Hatareee!!
@irvinemusau18693 жыл бұрын
Kuriaa, vipi
@kevohmseeh3 жыл бұрын
@@irvinemusau1869 poa sana irvine😂
@josephinenduku23283 жыл бұрын
Kwa premier gang nakosonekana siku hizi juu ya hustle but lazima jioni niwatch
@estarnyaga14943 жыл бұрын
are the mkurugenzi college jackets ready yet? need to gift someone, birthday coming up.
@Mkurugenziii3 жыл бұрын
When is it?
@damarisnyakiongana20623 жыл бұрын
Following too for myself....i need to recruit a subscription for mkuru by all means.
@hannahkangethe75873 жыл бұрын
It's about to go....that look explain kufurahi easter
@marywanjiku1343 жыл бұрын
Waiting....
@wacukatatha59543 жыл бұрын
We should all be careful, but the parents and the kids who are doing that kind of work to send other people to jail falsefully will surely pay for their actions because kile ambacho unapanda utavuna and their generation will never know peace because it started with somebody else's tears.
@vviperbeehumble14103 жыл бұрын
Mara niko here Mara niko there Kama mara mia Coz i was and stupid...+1 tunaimba tuu lyrics ni wewe...love you mkuru
@duncangachuru87973 жыл бұрын
Please bring oloo mchape story of how the top comic was .I know it will be fire.
@kwamesagisore7612 Жыл бұрын
Lesson of the day, hire a lawyer especially when the truth is on your side
@janejeniffer2803 жыл бұрын
Notification gang here we are
@jescaonsumu20253 жыл бұрын
Aaaaah.....mkuruuu😂😂😂...ati akatuma picha na kujishika mwenyewe😂😂😂🤣🤣🤣kali sana Na uambie lagiaka ache kusumba internet yangu😒🤭
@Sharikshariksharik3 жыл бұрын
this is why nilichorea mandume hapa nje we unasaidia mtu ye anakurusha ...HADILINI wadau...
@Vin-ip3jd3 жыл бұрын
Huyo msee wa kutuma selfie latest ameninice😂😂😂I'd like to meet him
@angelamuchiri33683 жыл бұрын
Dats a crazy story Nai is just crazy n wild. Let truth b told.. Honesty is the best policy. Where was your glass of juiceee today??? Story imenwiceee!! Let’s play smart where we are n keep safe!! Thnx Mkuru Endelea Kucheza Kama wewe!!!.
@cbariwot3 жыл бұрын
Issa about to go down ...the juiiiiceee🍹🍹...week rejuvenated
@maggie-divinejoy3 жыл бұрын
The same case happening to my cousin alipatana na dame kumbe alikuwa form 2 with big body alikuwa amehepa home.. Cuzo ako Thika rumande tuliishwa 200k kushindwa kuraise hatujui fate yake sasa
@lucyadhiambo77753 жыл бұрын
17 months wasted, sorry to the guy.
@musale22773 жыл бұрын
Kumbe lockdown imepiga mkurugenzi pia. Hakuna juice bana. Watu waweke ID kwa meza, always.
@evansmukumbu49603 жыл бұрын
Hiyo story ya huyo jamaa wa Ohio ilkua short sana. I like it
@habelkariuki22913 жыл бұрын
Nikaitisha chupa for me myself and I. Juu Mimi huwa pekee yangu si.. lakini today ni kunasty,Nina shore Nina Manzi😂😂😂😂
@SeroneyMatoke3 жыл бұрын
Mkuru tunafaa kukinvite kwa our man enough meetup. Wadau wamechange based on kushikana mkono
@belindamartinj3 жыл бұрын
This is very informative....mkuru thanks for this💕💕
@evansmosomi68923 жыл бұрын
man that's so sad. After kusaidia rafiki halafu unaingia jela
@susansoita46003 жыл бұрын
Hapa nje watu ni kujiarrest....pea makarau kazi rahisi
@gregory79983 жыл бұрын
Abel hii risto imenitouch, me kuna kupindi kaa hii ishawai nitendekea. Dem nmedate bila kujua kumbe ni twenty years but anakaa twenty five. Walinicheza na wazazi wake eti ana ball akaja kukatalia kwangu kumbe ni mimba ya chura. alinitoka lappy na job yangu yote ya designing juu niligundua ukora. wasee wajichunge. Asante mjeshi
@wanguikinyua79473 жыл бұрын
Izza sana kwa huyo jamaa also asanti kwake for wanting to create awareness
@elizabethirungu65323 жыл бұрын
It's been long. Great one Abel... Continue enlightening us
@damarisnyakiongana20623 жыл бұрын
Niko hapa kama kawa....bring the juuuuuce
@puritykings69133 жыл бұрын
Hii 3 minute naona haishi na vyenye nimengonja hii kitu bana😂😂😂😂
@Simolitto3 жыл бұрын
This content is always having that juuuuice u always giving us the best Mkuru