Nikweri kabisa msichana wandani ndio kira kitu kwasababu anakuwa kabeba maisha yako wewe kwahiyo nandi acha roho mbaya mnatakiwa muwapende wasichana wakazi nawenyewe watawapenda hapa duniani hakuna boss isipokuwa mungu ndiye boss au kisa Hera ndiomaana anamtesa hivyo wafanyakazi tunashida tusikate tamaa tupambane haya yote nimapito 🙏🙏🙏🙏🙏 tuombeane😢😢😢❤❤❤
@EveKadogo-v8h3 ай бұрын
Sasa amependeza nandy nandy aache rohoo mbaya dada wa kuangalia mtoto ni wa muhimu sana ata wa kazi za ndani aone mfano wa mke wa msanii wetu wa kenya Diana Bahati anavyio waudumia wadada wake wa kazi sina ubaya kweli watanzani mkiambiwa ukweli mnaumwa do the right thing ok Tanzanian