hii inachukua usemi "mtoto wa kiume" kwa kiwango tofauti kabisa
@ephremmtuya30943 ай бұрын
kwa kweli nami nimefurahi sana sana jamaa anatakiwa kupaishwa
@TALLUBOY3 жыл бұрын
Jamaa ni nomaa
@omanoman13713 жыл бұрын
😂😂😂😂yuko vzr kwa kweli 😂😂😂😂
@balqisabdullah62003 жыл бұрын
Nikienda dar lazima nikodi bajaji yake.😂😂😂😂😂😂
@manasadunia34583 жыл бұрын
Hahaaaa
@ommybrown57193 жыл бұрын
Yupo safi sana bro
@isabellahkwamboka93813 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ako vizuri kabisa
@mkazilakwamchilloh35633 жыл бұрын
Huyu jamaa kapitiliza ataenda mbali na hiyo sauti mungu amempa hicho kipaji chake
@ram19century892 жыл бұрын
Nakubali babu unaweza
@juliuschami95002 жыл бұрын
Nimemkubali sana mponda kisauti
@athumaniwazirisengoli43213 жыл бұрын
Kibongobongo huyu kashakua super staa
@mariamabinalla89663 жыл бұрын
Awe staa malambili
@patricksilumbe54433 жыл бұрын
Wewe kabila gani
@balqisabdullah62003 жыл бұрын
Woow.
@manasadunia34583 жыл бұрын
😂😂😂😂 eti uwo ujinga wakoumekuja kuuwazia mjini
@khalfanramadhan77113 жыл бұрын
😅😅hatar
@josephmalema34113 жыл бұрын
good
@lilyrose79833 жыл бұрын
😂😂😂jamani we mtangazaji eti huo ujinga wako umekuja kuuanzia huku mjini?😂😂
@ellenatilio56663 жыл бұрын
Eti jmn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lilyrose79833 жыл бұрын
@@ellenatilio5666 🤣🤣🤣😂
@ndacyblame18673 жыл бұрын
Jamaa sijamuelea alivyosema ameanzaje kaongea hvyo kaeleza tofauti na alivyoeleza Ayo Tv
@elizerbethmichael99923 жыл бұрын
Duuuh kipaji unacho jombaaaa 😂😂😂😂😂😂
@clementiddi62443 жыл бұрын
Mtangazaji ni mpumbavu " ujinga wako umeanzia huku" huna maadili ya kuhoji
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Nasi tumeona maadili yako hapa mtu wa kwanza mwenye akili usiyejua unatazama aina gani ya interview sources anafanyiwa. Soma sura na na muitikio wa source mwanzo mpaka mwisho naamini inferior yako uliyokua nayo usingeweza hata kujibu swali moja.
@mariamabinalla89663 жыл бұрын
Ujielewi hayo ndio Mambo tunayo yataka
@celestinapaulo31823 жыл бұрын
Safi
@boazmwakasala28013 жыл бұрын
Baba unatisha🤣🤣
@ellenatilio56663 жыл бұрын
Safi sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@itiamekimbui7222 жыл бұрын
Sauti ya mtoto aingie kwa utalii awe anatembeza wageni bongo wajionee vipaji vyetu ni global