URUSI WAMEKANUSHA KWAMBA PUTIN KAONGEA WAKILITUHUMU GAZETI LA WASHNGTON POST KUENEZA TAARIFA ZA UONGO
@philipochongwe24472 күн бұрын
No 1
@hassangaddafi23472 күн бұрын
Putin baba lao ❤❤❤❤ Team urusi one love ❤❤ 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@denisbongore30985 сағат бұрын
God help us because without u sis atuwez ww ujuaye mawazo ya watu tusaidie
@HajiMwanz-to3vgКүн бұрын
Viva mweshimiwa putin uraaaaaaaaa
@Visionofeagle96892 күн бұрын
Zelenskyy kasha anza lilia chumbani kwake 😂
@IshipalemyPasko2 күн бұрын
Mapangoni sio chumban ck hizi anaishi mapangon
@labunaabouna61222 күн бұрын
Hii sio kweli urusi ime kataa hii habar
@hamzafishten95602 күн бұрын
Viva urusi
@awadhsalim26802 күн бұрын
Naona zelegirl kakondo kweli kabaki pua na maskio tu.😂😂
@SalumSaid-w8i2 күн бұрын
Ninacho kiona hapa wanataka wagawane trmp anataka amuachie ptn ukrain afanye atakavyo nayeye aachiwe kule palestna na irana afanye atakavyo nadio maana trp amesha anza mbinu kule iran anadai kama walitaka kumuua nidalili yakutaka kuleta vita lakini ana hufia ukaribu wa iran na urusi kwaiyo lazima kwanza amtafute urusi wawekane sana na kama ikiwezekana wafanye watanyotaka lakini wamarekani watazidi kufeli
@johnlightmkose47232 күн бұрын
Point kubwaaaaaa
@SalumSaid-w8i2 күн бұрын
Trp hana mpango na ukrain una mpango na mayahudi nguvukubwa atazitumia huko lakini hata waungane dunia ilevita hawato iweza watauwa marlfu ya watu lakini vita haitoisha na kuisha kwaoniku kubali kudhindwa wao