Mrudiye mungu wako dadaangu dooo mungu awe pamoja nawe😢😢😢😢amen
@salomewandya72573 ай бұрын
Duh wote wamelewa😂😂😂
@matridasambali64323 ай бұрын
Eeeh jamani muacheni wema wa watu kila mtu anamapungufu yake hakuna mkamilifu utofuti ni kwamba yeye anajulikana kwenye mirandao sisi hatujulikani.
@aboudijaaboudija3 ай бұрын
wema si ulisema umeacha pombe jamani😅😅😅
@mr.yahzadochuno79143 ай бұрын
Wanamchoresha Wema yko zake high 😂
@hassanabdala73833 ай бұрын
Wema ameshakua kibibi uso unakataaaa
@honeyatz99373 ай бұрын
Mwenye no za huyu Mc anitumie
@adelinabaitu32913 ай бұрын
Jamani ata kama usanii jaribuni kujisitili tumbo nje mtu mzima
@aiokenya3 ай бұрын
Ukilewa usichati
@salomewandya72573 ай бұрын
Saaaana aiseee😅😅😅😅
@HamisYahaya3 ай бұрын
Wema umezeeka kamwil kaka utamaniki kiuso ka kibibi
@bongo393 ай бұрын
Unaona sasa unavyodhalilika wanakusanif wanakukejeli wanskuina kama kikatuni tafakari sasa kazi kwako huko unapoelekea sio paziri thamani yote itaisha utakapo pita utakuwa unazomewa huna hadhi tena rudi kwa mola wako wewe ni muislam mungu anatusamehe makosa yetu ukimuomba msamaha
@bongo393 ай бұрын
Yani huyu mama amezidi kukauka kimezeeka lakini bado kinajiona kischana mama rudi kwa mola wako japo huo mda mchache uliobakiza muombe mungu wako sii unaona sasa mpaka unachukua watoto wadogo sasa wanakukimbia unadhalilika huoni tuu bado huo mfano irafikia wakati hata ukipita sokoni watu hawana hsbari na wewe kama mtu wa kawaida tuu usiejulikana kama sie angalia mbele
@IdarousPossy3 ай бұрын
Hiiiiii we vipi acha majungu acha roho mbaya hio unayo yasema wewe,ni wew na mitazamo wako usisemee mtazamo wa watu wengine ambao hujui hata wanawaza nin hahah unamuongeleq mtu hata hakujui,nawala hajui km umecommnt ujinga wako km ulivyo mjinga bora ungekaq kimya kuliko kuongea na kiasi cha ujinga ulionao..wew mbona mama ako anatembea nawatoto wadogo unalijuq hilo???wew mwenyew umekauka kama mgonjwa wa kwashakooo
@DavidMbwilo-qk1bz3 ай бұрын
Morrison kashazoea maisha ya bongo😂😂😂
@kanezajoella66633 ай бұрын
Mbona una chitia tu kila siku hadi una paniki unautamu tena mvuto umeisha una jikaza kaza tu
@shyfettymtunda46193 ай бұрын
Morrison kachome sindano za kuzuia kichaa cha mbwa.😂
@LeilaSadik-o1w3 ай бұрын
Huyo mc au mfukunyuku mie mwenyewe alikua ananikela maswali gani yale
@KituRu3 ай бұрын
C vzur
@hopefully70903 ай бұрын
Mbona hatumuoni whozu?
@ArthurBobWarburg3 ай бұрын
Sasa huyu mc nae anategemewa huko mbele atakuja ku host mambo makubwa Kwa style yake hiyo???? Dah!!!