KUNA SIRI KUBWA KATIKA ARDHI/UDONGO.

  Рет қаралды 227,729

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

5 жыл бұрын

Katika somo hili Apostle Mtalemwa anatoa ufunuo juu ya siri zilizoko katika ardhi/udongo.
Katika somo hili utaona jinsi ardhi ilivyo na uhusiano mkubwa na mwanadamu.
Ardhi ina kinywa,inaongea hivyo mwanadamu anaweza kutawala kwa kuitumia ardhi.
Fuatilia somo kamili na usisahau ku-subscribe ili kupata video nyingine zaidi zitakazopostiwa.

Пікірлер: 411
@naserian.9789
@naserian.9789 3 жыл бұрын
Who else is listening this great teachings 2021,i have learnt new thing about soil.
@judyngeno3020
@judyngeno3020 2 жыл бұрын
Me here from Kenya I'm being blessed
@irenemtenga5716
@irenemtenga5716 4 жыл бұрын
Pastor uyo anasema ooh yes!ako too much kusema haache tusikiliz neno plz
@salomemueni100
@salomemueni100 3 жыл бұрын
Kwetu kenya...hivi nimesikiliza ujumbe juu.. kweli nimehibiriwa hila ufunuo kupitia hii neno naweza kiri udongo na kazi yake imenipa ukombozi wa kweli AMEN
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi nimepata kitu kipya ktk maisha yangu
@hhholeoole5329
@hhholeoole5329 2 жыл бұрын
I love your teaching man of God.Nikishindwa Mahali hurudi Kwa mafundisho najipata Nina uhai Tena.
@paulomwalimu6731
@paulomwalimu6731 3 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri mtumishi ubarikiwe hakika nimejifunza kitu kikubwa kupitia somo la ardhi
@rizikishemsanga8627
@rizikishemsanga8627 Жыл бұрын
Mungu akubariki mm ni mwinjilisti Riziki kutoka kkkt malandizi kibaha pwani nakufutilia nataka kuhama kwa hiyo nitasemesha udogo wa kazini kwangu Mungu akubariki sana
@deborahndosi9138
@deborahndosi9138 4 жыл бұрын
Amen chief wa watu SoMo zuri Sanaa hili Mungu wa baba yetu Major one akufungue macho uendelee kuona maono makubwa,neema ya Mungu isipunguke kwakooo❤️❤️❤️❤️
@pastorginojennings3125
@pastorginojennings3125 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Kanisa hili linawatu wazurii adi raha wanangara aaa
@dorismasakhwe688
@dorismasakhwe688 3 жыл бұрын
Thank you Apostle for opening our eyes concerning the earth and mwana-Adamu.May God increase you in Jesus name 🙏
@lightforafricatv3122
@lightforafricatv3122 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Bwana Mungu alie hai. Ahsante kwa mafundisho ya ardhi. Nimejifunza kitu kikubwa sana
@mropeamadeus5445
@mropeamadeus5445 5 жыл бұрын
Nimelewa, chief, kuazia sasa nitatumia Arihdi kutawala na kumiliki, Asante sana Chief wangu kwa Kunifumbua macho na Ubongo
@user-em6bg9ue2d
@user-em6bg9ue2d 4 жыл бұрын
Amen nitatamukia udongo unipe
@pastorginojennings3125
@pastorginojennings3125 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@HanaMangula
@HanaMangula 5 ай бұрын
Amen nimekuelewa Mtumishi ubarikiwe
@mithletlwoyelo6044
@mithletlwoyelo6044 3 жыл бұрын
This teaching is deep than you can imagine, and not all servants of God will teach you this.I have to write down notes !Thank you servant of God! I'm blessed and more grace
@user-wc9zg6hk5s
@user-wc9zg6hk5s 3 жыл бұрын
Nakupata Mtumishi Barikiwa sana mtanii wamiyee
@user-wc9zg6hk5s
@user-wc9zg6hk5s 3 жыл бұрын
Yaaaaapppp Mtumishi Barikiwa sana Mungu akuinuuwwee
@ericaernest5263
@ericaernest5263 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi, wakola Mutalemwa, walangilila kwokwokwo.
@jenetanyango500
@jenetanyango500 3 жыл бұрын
Very true. I've been awakened honestly.
@richardesther6738
@richardesther6738 4 жыл бұрын
Asante baba kwa somo nzuri hakika nitavuta katika ardhi hii kwa Jina LA YESU naipa uhai ardhi yangu Leo
@levinekalikuela4916
@levinekalikuela4916 4 жыл бұрын
Please Pastor pray for my family especially our land in Bukoba, Igombe Bulamula. My father has never succeed to put a structure there. All the money has been wasted. Despite that some of our neighbours have taken part of our land. With your teaching I am grasping something.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 7 ай бұрын
Wewe jamaa unayesema oh yes ungeweza kunyamaza ingekuwa safi sana. Sipendi hizo ho yees zinaboa
@d_chi0ma687
@d_chi0ma687 4 жыл бұрын
who else is with me 2020 be blessed apostle
@rosekadope7700
@rosekadope7700 4 жыл бұрын
Unahubili vizuri
@symphrosawilliam8737
@symphrosawilliam8737 3 ай бұрын
Mafundisho haya huwa nayarudia Rudia sana , nilisema udongo sehemu nilipoajiriwa hakika nilipata kibali cha kulubaliwa na huduma ninayoitoA. Asante sana mtumishi
@oscarngati1224
@oscarngati1224 7 ай бұрын
Mtumishi barikiwa Kwa mafundisho ya ardhi udongo.
@reymasenya6450
@reymasenya6450 3 жыл бұрын
Ubalikiwe Mwajina Wa Baba Yangu Mutalemwa God bless
@stivenikileo1837
@stivenikileo1837 3 жыл бұрын
Amen mtumishi wamungu naamini yote uyanenayo ni ya kweli naomba mungu aendelee kukuongoza na kukulinda ili tuendelee kujifunza mambo mengi na mema kutoka kwako
@reachelivandon1611
@reachelivandon1611 Жыл бұрын
Amen barikiwa Sana mtumishi
@daemmy3685
@daemmy3685 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi,,kweli mungu amekuita kufanya kazi yke....nimebarikiwa sana na mafundisho ya udongo
@Devothakimei
@Devothakimei 3 жыл бұрын
Nimerudia tena hili somo. Mungu akubariki mtume wake
@sussynasimiyu8467
@sussynasimiyu8467 3 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Amen Amen Amen mimi ni udongo, mwana wa Adam ubarikiwe mtumishi mungu akupe guvu ya kufanya kazi ya mungu pia akuzidishie kibali hicho 🙏🙏🙏
@judyngeno3020
@judyngeno3020 2 жыл бұрын
What a blessing, through your teachings i have really grown in faith, my life has the touch of Jesus from the first day i randomly bumped into your preaching on KZbin i always yearn to listen to more and more!
@andasonjackson623
@andasonjackson623 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana Apostle, Mungu akubariki zaidi uzidi kutufunulia yaliofichika
@yohanamwasambungu9233
@yohanamwasambungu9233 Жыл бұрын
Ndiyo unaeleweka sana barikiwa sana
@user-ci3kw7bc8j
@user-ci3kw7bc8j 8 ай бұрын
Amina nimebarikiwa mtumishi tufundushe tupate kupona nikweli mtupu nakuelewa sana tena sana ♥️ ❤️
@suphiapatson3541
@suphiapatson3541 3 жыл бұрын
Nimepata kitu kikubwa sana Hasante mtumishi kwa ufunuo huu!.
@esthercharles2210
@esthercharles2210 3 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri uishi milele Apostle.
@celinalyimo1870
@celinalyimo1870 3 жыл бұрын
Amin🙏🙏🙏
@linetligono1371
@linetligono1371 5 жыл бұрын
Apostle hakika wewe ni kichaa cha yesu kristo amen?Nimejufuza kitu kutoka kwako ooooh hallelujah God bless you, hakika tu miliki ardhi ya mbwana
@gamaliellubondo1206
@gamaliellubondo1206 2 жыл бұрын
Mwalimu , asante kwa mafundicho,Mungu akubariki.
@danielkyalo5666
@danielkyalo5666 5 ай бұрын
Very nice teachings
@theresialasway7660
@theresialasway7660 5 жыл бұрын
Amen Nimejifunza kitu kikubwa sana na ninaenda kupata muujiza mkubwa sana
@kasimzakayo2873
@kasimzakayo2873 4 жыл бұрын
God bless you paster
@pastorginojennings3125
@pastorginojennings3125 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@joycemabarika584
@joycemabarika584 3 жыл бұрын
Hakika neno la Mungu linaishi, hili somo ningelipata wakati huo labda lisingefanya kazi Sawa, laknii nimelipata Kwa wakati wa Bwana uliokubalika ndani yangu, From Dubai
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Yes
@ruthnyanza1887
@ruthnyanza1887 Жыл бұрын
Kuanzia leo Naitamkia ardh chochote kilicho fukiwa kwenye ardh kuhusu maisha yangu kifunguliwe sasa Niko huru asante mtumishi kwa kunifungua macho nimepokea kwa Imani Ame
@waltermunuo3650
@waltermunuo3650 2 жыл бұрын
Nipo Ars nakuelewa sana mtu wa Mungu. Mungu akuiinue ktk viwañgo vingine
@eliudmwakamela187
@eliudmwakamela187 2 жыл бұрын
Naomba kufunguliwa nipate kazi yoyote ile
@imanmwashitete5243
@imanmwashitete5243 2 жыл бұрын
Hakika mungu Yu hai Asante mtumishi kwa neno lako zuri kutufundisha kupitia aridhi mungu akubaliki sana
@lydiakanah4478
@lydiakanah4478 3 жыл бұрын
Hakika ni mepokea mafundisho.ubarikiee sana APOSTLE. Natazama kutoka Mombasa Kenya
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Amen nakubali sana Papaa
@avelynebiyengo9168
@avelynebiyengo9168 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, sisi tunaofatilia mafundisho yako kwa njia ya mitandao tunakuelewa sana
@user-cu3lb4xl9i
@user-cu3lb4xl9i 3 жыл бұрын
ubarikiwe pastor fundisho zuri sana
@diligententerprises3986
@diligententerprises3986 3 жыл бұрын
All the way from Kenya . Thika . I am blessed
@benmbwele
@benmbwele 3 жыл бұрын
Prophetic Teachings....
@bernardmuli4495
@bernardmuli4495 Жыл бұрын
Hallo apostle, Bwana yesu asifiwe niko hapa ECG University of word of God, napokea ijili kisawasawa very deep Revelations God bless
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
ameeeeeen ameeeeeen nakupata dady ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@badlandz6673
@badlandz6673 3 жыл бұрын
Amen Asante mtumishi wa mungu kwa funzo Hili nimebarikiwa na nimepokea ushindi naenda kuinenea ardhi ubarikiwe sana
@madammesatalks6913
@madammesatalks6913 Жыл бұрын
Kuanzia sasa namiliki nakanyaga kila eneo kwa maneno ya mamlaka.Amen💪
@winniesainet8635
@winniesainet8635 2 жыл бұрын
Amen... Usife mapema My Pastor Kwajina la Yesu..mi nabarikiwaga sana tena sana.
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 2 жыл бұрын
Amina kubwa Sana. Blessed
@StarwaYesu
@StarwaYesu 4 жыл бұрын
Amina nimefurahi sana mtumishi wa Mungu
@pastorginojennings3125
@pastorginojennings3125 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..
@fabiankilato6649
@fabiankilato6649 3 жыл бұрын
Napoandika hii meseji mpaka sasa ni dakika ya 6 na sekunde 44. Mtumishi hapa kuna kitu kimesha click akilini mwangu. Mungu apewe sifa na azidi kukutunza. Lete Mistari mtumishi!😅😅😅👍
@mzalendohuru...4967
@mzalendohuru...4967 3 жыл бұрын
I love you...apostle mtalemwa Amblessed with your teaching🙏
@esttieirungu7704
@esttieirungu7704 3 жыл бұрын
May God Almighty bless you for opening my eyes
@habibakhamis4701
@habibakhamis4701 2 жыл бұрын
Mchungaji big up
@eliasbadyana
@eliasbadyana Жыл бұрын
Nawewe hizo Ooh!yes unabowa punguza tusikilze mafundsho kutoka kwamtumishi.vingereza vyako hivyo peleka marekani.
@chumbachaneemaccnonlinetv6271
@chumbachaneemaccnonlinetv6271 5 жыл бұрын
Asante sana Chief Apostle ,somo nzuri saaana ,nimejifunza mengi kupitia somo hili.May God bless you .
@pastorginojennings3125
@pastorginojennings3125 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.
@safy2225
@safy2225 3 жыл бұрын
NA kupata sana mtumishi NA ninabarikiwa sana katika mafundisho yako kutoka muskat oman
@magrethmathias1546
@magrethmathias1546 3 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu ,ninafurahia sana Mafundisho yako ,nimeona Kuna nguvu kubwa katika kuiombea Ardhi/dongo kukemea upepo ,asante sana Mwana wa ,Mungu 🙏🙏💖💖
@deboraanord7174
@deboraanord7174 2 жыл бұрын
Mumishi wa mungu nimekuelewa kalibu wilaya yangara mkoa wa kagera
@biragestephen9772
@biragestephen9772 5 жыл бұрын
Asante sana mtumishi, nimejifunza kitu kikubwa sana maishani mwangu ambacho sikukijua tangu mwanzo, nazidi kukusikiliza na Mungu akubariki sana
@pastorginojennings3125
@pastorginojennings3125 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.
@aishawabwire7182
@aishawabwire7182 3 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu,,umenifunza kitu cha maana,,may God uplift you higher
@maryphilimon7370
@maryphilimon7370 4 жыл бұрын
Kla nikimwangalia chief m natabasamu tu naona n neema mbele ya macho yangu mungu ambaliki sana
@bernardmuli4495
@bernardmuli4495 Жыл бұрын
Apostle naogea 2chronicles7 :14 very sweet teachings
@mountrungweitc6570
@mountrungweitc6570 5 жыл бұрын
Chief Apostle. Classic teachings
@lilianlubanga4010
@lilianlubanga4010 3 жыл бұрын
Powerful powerful powerful teachings .GOD BLESS you .
@ponsiananombo9423
@ponsiananombo9423 3 жыл бұрын
Asante ubalikiwe Sana mtumishi wamungu najisikia amani Sana nikisikilia maubili yako
@geoffreymakori4158
@geoffreymakori4158 2 жыл бұрын
Asante sana apostle umenibariki sana kutoka Kenya God bless you abundance.
@stellahbirungi3410
@stellahbirungi3410 5 жыл бұрын
Point clear Dad . Muuuuuuuch looooove Dad
@christopherbundalah6908
@christopherbundalah6908 4 жыл бұрын
Hakiikaa..
@pastorginojennings3125
@pastorginojennings3125 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@prophetrichardmwakapalila8314
@prophetrichardmwakapalila8314 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@janetmulongo2731
@janetmulongo2731 2 жыл бұрын
Haijalishi ni miaka ngapi hili neno mtumishi wa Mungu ulihubiri, Bado linanibariki
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 11 ай бұрын
Thank you God for this teaching I believe this will work for Jesus power
@tereziamwashiuya8682
@tereziamwashiuya8682 2 жыл бұрын
Baba umenivusha snasana Mungu asikupungukie
@noreenmillicient8101
@noreenmillicient8101 4 жыл бұрын
Wonderful preachings,,,am so blessed
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 3 жыл бұрын
Mungu akubariki.tumeelewa natunatakiwa kutii.nakuja kwa somo hili ni mpangoo wa munguu sio bure.nimebarkiwa.sana.
@janepaulkimaro8865
@janepaulkimaro8865 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu umenitoa pahala
@rimepeter789
@rimepeter789 3 жыл бұрын
Amen in Jesus name, it's well with me in the name of Jesus, indeed am blessed with it, to God be glory forever and ever 🙏
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 жыл бұрын
Ardhi ina masikio pua, mdomo na akili mingi. Inazalisha , inaua, ina nena inatembea mambo uchungu nzima. Ninabarikiwa baba MUTALEMWA.
@user-wc9zg6hk5s
@user-wc9zg6hk5s 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@barackananyaro8995
@barackananyaro8995 2 жыл бұрын
Amen naenda kumiliki na kutawala kwa azia leo
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 жыл бұрын
Asante sir kwa mafundisho.Ubarikiwe!
@rispathequeen
@rispathequeen 3 жыл бұрын
Nimebalikiwa sana na malifa makuu
@dismondamwoka3563
@dismondamwoka3563 3 жыл бұрын
Amina bariwasana mtumishi umeni fungus be blessed.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Sawa mh nakusikiliza adi mwisho
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 3 жыл бұрын
Halelujah nimepokea hakika nimepokea Barikiwa mpakwa mafuta,Amina.
@akhalakwalubisia1738
@akhalakwalubisia1738 Жыл бұрын
Uko poa sana
@KeturaKihongosi
@KeturaKihongosi 6 ай бұрын
Mungu nakushukuru Kwa kuniona.
@faithmedia7718
@faithmedia7718 2 жыл бұрын
Huyu mtu wa OH YES yuaudhi sana na kuharibu ujumbe .
@hezronielioth1999
@hezronielioth1999 3 жыл бұрын
Hakika
@bbrsssaad1282
@bbrsssaad1282 3 жыл бұрын
Amen...nmekuelewa vzuri sana mchungaji
@tulibumisalu8812
@tulibumisalu8812 4 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu yaani umenifungua macho. MUNGU azidi kukubariki na kukutmia
@fadhilisammwampamba1539
@fadhilisammwampamba1539 3 жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako mteule wa Mungu Ubarikiwe sana
@makokamakoka341
@makokamakoka341 4 жыл бұрын
Nakushukuru sana pastor kwa somo zuri barikiwa sana
@bensoninyella6677
@bensoninyella6677 5 жыл бұрын
Asante kwa neno la mungu mungu Awe seemu yenu ya kinabii na Kila unabii uwe na neno la mungu. Namacho yenu ya ndani yajae Roho mtakatifu na macho yenu ya nche yajae neema na nguvu za mungu ili kazi ya mungu isonge mbele na watu wa mungu wawekwe huru na wafuraie maisha katika mungu?
@enaimtanga624
@enaimtanga624 4 жыл бұрын
Good msg bt jina linaanza na herufi kubwa ni Mungu si mungu ,asnt mpendwa
@kombeonaumishenaritv642
@kombeonaumishenaritv642 3 жыл бұрын
Kila hatua
@adammwaihojo1671
@adammwaihojo1671 3 жыл бұрын
Balikiwa Sana ndugu yangu
@joetemba4614
@joetemba4614 4 жыл бұрын
Hii ardhi leo nimeilewa muda wa kufunguliwa na kuinuka kwenda viwango vingn kupitia somo hili la apposte
@devothapoyongo4440
@devothapoyongo4440 Жыл бұрын
Balikiwa sana mtumishi nimejifunz sana somo zuli sana zaidi ya sana
@milkahkibui6058
@milkahkibui6058 Жыл бұрын
Amen i receive in Jesus name amen and amen
@sumahmvellah7476
@sumahmvellah7476 4 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri mtu wa mungu,
@twinaweloyceissack6076
@twinaweloyceissack6076 3 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu .I receive in Jesus Christ
@bertinmvungi530
@bertinmvungi530 5 жыл бұрын
Nasikia kuokoka sasa.
@margyblessing
@margyblessing 3 жыл бұрын
Wokovu umekusikia upokee sasa
@justinmanenomaneno5909
@justinmanenomaneno5909 2 жыл бұрын
Emen mungu akubalik sana poster
MAFUNDISHO -- JINSI YA KUTAWALA FEDHA NA MALI.
51:00
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 51 М.
NINI CHANZO CHA MIPANGO YAKO KUHARIBIKA?
43:38
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 30 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
MJUE ADUI YAKO
37:21
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 52 М.
HATARI YA MAZOEA
19:21
Rev. Pascal Linus Mjili
Рет қаралды 590
HII NDIYO SIRI ILIYOPO KATIKA ARDHI AJABU SANA!!!!
1:07:09
NABII JOE (PROPHET DR. L.A JOE)
Рет қаралды 504
UKIYAPATA HAYA UMEFAULU KATIKA MAISHA.
52:05
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 102 М.
NINI KINATOKEA  UNAPO AMUA KUFUNGA SEH 1(OFFICIAL VIDEO)
57:28
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 64 М.
ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:35
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 34 М.
TABIA ZINAZO WASHINDA BAADHI YA WATU KATIKA MAOMBI
49:29
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 55 М.
KUFUKUA YALIYO FUKIWA(Hatua tatu za kushinda vita vya maadui zako)
57:51
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 3,8 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН