Mwenyezi mungu mkubwa sana kawatoa mashekhe wetu turikua tunaomba dua kira siku
@alishiyaalitaqwa52483 жыл бұрын
Wallah kukaa hawa mashehe gerezani hata sisi sote tumedhuluniwa tumekosa mengi kutotoka kwao maneno ya Allah na ufananuzi wake kama huu
@bakarihchitanda3273 жыл бұрын
Ni kweli tumeàsirika KWA muda wote huo.
@hamadsuleimaan8023 жыл бұрын
Namkubali sana shekh wangu Msellem nimefurahi sana miongoni mwa dua zangu kukubaliwa Alhamdulillaah
@khalfanisuleimani50763 жыл бұрын
Maashaa Allah! Allah akuhifadhi shekh wangu! Yaa Allah muhifadhi mjawako huyu na uumpe afya njema! Ili tuendelee kupata faida yakile ulichomneemesha!!!
@husnahaji79453 жыл бұрын
Amyyyn 🤲🤲🤲🥰
@ashajoj42113 жыл бұрын
Ma shaa Allah sheikh wetu kipenz Tumemiss Mawaidha yako Allah akulipe her
Ni zaid ya professors Talent from Zanzibar Amaizing
@saashaahmada40433 жыл бұрын
Maa Shaa Allah! ya Allah wakhifadhi na uwastiri na uwalipe yaliyo mena na yenye kheri mashekhe wetu amiin ya rabil aalamiin
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Ukweli kabisa Sheikh hiyo ulivo khutubu ndiyo watoto wetu wamepoteya uzunguni yasikitisha kuna watoto wa wakisilamu 😢😢💔
@bakarihchitanda3273 жыл бұрын
Allahu Akbar allahu Akbar siamini macho yangu nimefurahi saana tena sana mungu awalipe pepo ya daraja LA juu kabisa KWA mtihani muliopata
@kasalamrisho67023 жыл бұрын
Yaa ALLAH nakuomba uwalipe kwa lile walilolifanya lakuwatesa mashekh zetu
@abdulatifmoxamed80473 жыл бұрын
Tumekumiss sana mungu akubarik shekhe wetu
@bokasa51503 жыл бұрын
Allahakbar hakika allah kakupa ujuzi shehe mselem
@kasalamrisho67023 жыл бұрын
Adha awalinde masheikh zetu na awajaalie mwisho mwema
@marrowog89753 жыл бұрын
Waaleikum salam warahmatullah wahi wabarakatu
@abhaaly3 жыл бұрын
Waalaykum Salaam, Warahmatullah Wabarakaatuh...Ahsante Maalim na Sheikh Wetu... Wallahy Tumefurahi na Tumefarijika Sanaa uwepo wenu nasi kwenye uhuru Wakufanya Mambo yetu ya Kawaida...!!! Allah ni Wa Kushukuriwa Sana.
@abdulmohamed20443 жыл бұрын
Allahamdulillah sheikh Mselem Allah akufanyie wepesi insha'allah natamani tungeonana kwa kupeana mkono nami.
@rashidkhalifa353 жыл бұрын
I love my best preacher
@muhammadfadhil98353 жыл бұрын
Marhaba sh Mselemu Allah akujaze nuru in shaa Allah.
@ywconline28173 жыл бұрын
Allah Akbaru ujakosea
@hamedyahya98463 жыл бұрын
Alhamdulillah washukuri lillah
@ibrahimumohamed46483 жыл бұрын
Allah ameonesha ukubwa wake kwa viumbe maana yeye ndiye Azizul Hakeem
@neemainabikorwa55703 жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah. Amiin thumma Amiin
@bullyboy13703 жыл бұрын
MashaAllah he's so humble
@binothman92843 жыл бұрын
Maa shaa Allah kwaukumbusho
@becks38983 жыл бұрын
MashaAllah.. Alhamdulillah.
@marrowog89753 жыл бұрын
Masha Allah
@haarunsaidabdillahi40823 жыл бұрын
Ipo milango 7 ya kuingilia motoni. Waliowatesa masheikh wa UAMSHO chaguweni kabla hamujafa mlango wa kuingilia motoni.
@mohamedhaidar80403 жыл бұрын
Alhamdulillah..
@hamudseif3 жыл бұрын
Kaka Adil vp unatoa CD..? if yes, unapatikna seem gn
@nak34773 жыл бұрын
Weken namba ya sim ya pesa
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Subhan Alla 😢
@munirriyamiy41943 жыл бұрын
🙆🏼♂️🙆🏼♂️ Siku za ajabu. Tunatega alam kutuamsha kwa khofu tusichelewe makazini Na tunasahau kuamka kwa ajili ya ALLAH kwa sala ya fajri. Na tunajua upo uwezekano wa kuweka alam ikatuamsha mda wa sala na muda wa kazi. WINGI TUNAVAA SAA LAKINI HATUZINGATII MUDA.😭😭 . . #manenomafupiyakuzingatia #mafunzoyakiislam #zingatia #mwanaadam #sikuzaajabu #nimefikishakwenunduguwaislamu #munirelriamy #sheikh #ustadh #mwanafunzi #dhulhijjah #mwakawakiislamu #kuridhika #comingsoon #newnasheed #newnasheediscoming #getready #1442 #2021 #zanzibar #muscut #tz
@iddyramathan45073 жыл бұрын
Hawa ni waja wa Allah ole wao wanaodhiihaki,tuwaheshimu vinginevyo Allah akinyanyua dunno,,,,,,,,?
@matukiotvonline63663 жыл бұрын
Mashallah 🥰👍
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
💔
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@abhaaly3 жыл бұрын
Waalaykum Salaam, Warahmatullah Wabarakaatuh...Ahsante Maalim na Sheikh Wetu... Wallahy Tumefurahi na Tumefarijika Sanaa uwepo wenu nasi kwenye uhuru Wakufanya Mambo yetu ya Kawaida...!!! Allah ni Wa Kushukuriwa Sana.