Here after the Machekenzi story, I wish more people could listen to your word.
@WisdomSichilima-c7i2 ай бұрын
Zambia we are listening to you amen God bless you pastor
@mosesnalyanya4882 жыл бұрын
Truth be told to all. Thank God for such forthrightness
@dawoodlewa67752 жыл бұрын
Am a Muslim but these are the things the clergy should address. His teachings are applicable in all faith
@kelvinmtavangu77012 жыл бұрын
Yes! Yes,He could have been a predident
@hervekisomero8182 Жыл бұрын
Muamini yesu
@kyakagoro6584 Жыл бұрын
@@hervekisomero8182 Tunaamini mitume na manabii walio tajwa kwenye Taurat na Enjili kupitia Quran miongoni mwao ni Nabii Issa au Yesu na wala hatubagua ktk Imani ya Manabii na huo ndio Uislamu lkn manabii wa uongo na wala pesa za watu kwa dhulma hao ni wasanii Namuombea Mr Mgoga Apate nuru ya Uislamu maana ni mkweli ktk baadhi anayoyasema
@Eddyke Жыл бұрын
@@kelvinmtavangu7701 haha president ndugu
@carolinemwugusi89452 жыл бұрын
Napenda huu ukweli ili nipone barikiwa sana mtumishi wa Mungu endelea kuhubiri🙏🔥🔥🔥
@jeanm.29732 жыл бұрын
Dini na wokovu ni vitu viwili tofauti. Umesema vizuri mhubiri. Mungu akubariki. From USA nakupata vizuri.
@lusiakilawe19042 жыл бұрын
Baba Mungu akupe maisha marefu mchungaji! Yan talent alokupa Mungu unaifanyia kazi kiukamilifu! Nakuelewa Sanaa 🙏🙏🙏🙏
@putgmedia2 жыл бұрын
This is indeed pure truth gospel...injili ya kweli!!
@frankkayange64212 жыл бұрын
Asanitebaba nimekuerewa Sana kaka mungu atusaie Sana nipo kilwa masoko kaka karibu Sana nimejifuza kitu kwako
@marywanjirumburu34822 жыл бұрын
Indeed
@issamkuchula83452 жыл бұрын
Mkuu mungu akulinde na akubaliki uendelee kutuelimisha maana jamii zilikua zinapotea ila tumejifuza mengi na tuendelea kujizunza amen
@abubakarihamissi41782 жыл бұрын
Mimi ni muislamu pure but namfuatilia sana huyu pastor
@mapinduzmapinduz5587 Жыл бұрын
Kumbe tupp wng
@ibrahimxptv Жыл бұрын
Ndio mchungaji mkweli pekee yake dini tu ndio kakosea
@ElizaNjeri-zn2nb Жыл бұрын
Alhamdullilah ,,,
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Asante baba ❤
@truth7796 Жыл бұрын
@@ibrahimxptvdini haitakupeleka mbinguni neno la Mungu tu
@mahitajimulemera12762 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji kwa maneno ya kututengeneza ili tukutane na Mungu. Kwa kweli tuna matatizo ya watumishi wanao onya watu kuacha dhambi. Hili neno ni kweli na amina.
@aishambise65292 жыл бұрын
Wewe ndo muhubir kiboko unapasua majipu bila ganzi unaubir ukwel mtupu tunakuelewa sn Mungu akupe umri Mrefu 🔥🔥🔥🇰🇪
@daisyakhini93312 жыл бұрын
Amen, 🙏🙏🙏umenena pastor, barikiwa sana, mungu azidi kukufunulia zaidi, nami nizidi kukaa ndani mwake milele🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@gahunguemmanuel91892 жыл бұрын
Mtumishi wa Mu gu Rev Mugogo Daniel, Ubarikiwe Kwa neno hili. Sema ukweli .
@evamusuruve31962 жыл бұрын
Be blessed Baba ,,,am watching Yu in🇧🇭🇧🇭🇧🇭 injili ya kweli ndio hii
This is deep!.......no wonder we have empty seats in the background.....this is true preaching.....God bless you man of God
@GAYAKUKE2 жыл бұрын
Umepakwa mafuta kweli Mungu, your preaches are very full of truth and blessings 🙏🙏🙏
@SaidaKihonza18 күн бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi wa mungu uwe viwango vya juu zaidi
@francisomondi1162 жыл бұрын
this is the Gospel of truth 👍🏼👍🏼
@sophiajamali8312 жыл бұрын
Pastor anajua anajua anajua tenaaaaaaaaaaa❤️🙏👉👣 MUNGU akupe afya tereeeeeeee babaangu 🙏
@kevinekataka23462 жыл бұрын
Wa! Amina nimembona tumushukuru YESU mwokozi wetu be blessed pst
@kisaiwasimango62532 жыл бұрын
Mungu akubariki na aendelee kukupa kibali uhubiri ukweli mtupu hakika nimeipenda somo lako
@AngelinaPaul-l1b Жыл бұрын
Mungu akutmie nguvu maana unavyo sema ni kwel kbsa amen pastor mgogo
@shadrackokwero69162 жыл бұрын
Gospel full of wisdom
@jobabuga2689 Жыл бұрын
This is the true teaching's of God, not this lie's we have in Kenya May Almighty God bless you
@kahenyamburu56692 жыл бұрын
Pastor I like the way u preach true gospel
@harrietkiden7808 Жыл бұрын
Holly Molly😂😂😂😂 Pastor Daniel karibu wetu South Sudan 😂😂😂
@peterndirangu79672 жыл бұрын
True Gospel, hapa kenya ni biashara ya Gospel
@bintimohamed26466 ай бұрын
Thank you so much pastor may GOD guide you all the time I pray Amen 🙏🏽 ❤❤🤣🤣
@jeanm.29732 жыл бұрын
It’s all about connection. Thank you Jesus
@yufacekawinyo34972 жыл бұрын
Yufesi 4rom Uganda....I love what is him....I have been transformed by his teachings
@ruthwangari32522 жыл бұрын
I love your preaching Man of God,huwa unasema ukweli kabisaaa
@steveirungu31322 жыл бұрын
im extremely humbled by Steve Irungu Jermaine
@danielilunga38372 жыл бұрын
AMEN AMEN papa umezijega doa zetu baba sisi tuli muamini mungu asante sana baba from Finland.
@stevenmwakitalu99922 жыл бұрын
Hakika najuhisi kubarikiwa MUNGU akutie nguvu Baba Amina 🙏🙏 hakika hizi nondo kweli
@dinahmutie1342 жыл бұрын
This is the really Man of God 🙏🙏
@ekudamekimombasa4619 ай бұрын
God bless you for standing with the body of christ
@ramadhaninyangasa7275 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu mjalie mja wako awe muislam,,, Amin Amin amin
@saimonmizingo7485 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Bwana Yesu kristo wanazalet aliye hai.
@jamesmutonga2750 Жыл бұрын
May the good God empower you again and again and keep it up to tell the truth. I like this kind of preaching because it is in accordance to the will of the Most High God.
@hannahnjoroge80502 жыл бұрын
Hearing from Germany. Thank you for a great message
Very strong words ..God bless u pastor ..the truth will set us free
@JanetiJohniJanetiJohni2 жыл бұрын
Asante baba, nabalikiwa sana na maubili yako, kutoka tbr
@AzAz-sy6zp7 ай бұрын
Aminaa ubarikiwe san mtumishi wa MUNGU
@aliwilfred3046 Жыл бұрын
Kwakweli huyu pastor ni mfano wa kuigwa, nampenda sana uyu mchungaji.
@ustadhshafiionlinetv Жыл бұрын
Pastor mgogo nakufatilia sana unavitu vingi unafundisha jamii ...sio wale manabii wanawaza kuuza mafuta tu
@daudimjema260 Жыл бұрын
Maisha halisi ya watu wa leo, daaah! Mungu akubariki san pastor nakufuatilia vilivyo
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Ubarkiwe mtu Wa Mungu kazi yako ninjema sana
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
Umejitahidi sana mchungaji na mungu azidi kukuonyesha njia sahihi ili uweze kuifwata nao kondoo waweze kukufwata. Hawa hapa ndio baadhi ya wachungaji...Isaya 56:10-11. Yeremia 50:6.
@Clintez254 Жыл бұрын
Huyu pastor napenda Sana maubili yake watching from Kenya
@modestermkirya45482 жыл бұрын
Hii nimeikubari baba,Mungu akubariki kwa kusema kweli,
@danielilunga38372 жыл бұрын
AMEN AMEN papa mungu amibariki saaana
@simonmwangi6988 Жыл бұрын
Ume nikubuka una coma saimoni moinora mwangi
@JOANESIUSHINDI7 ай бұрын
Ubarikiwe muchugaji make huu ni ukweri mtupu
@zulfasaeed74452 жыл бұрын
Nimetulia hapa nikiwa oman nasikia nondo kutoka kwa baba mgogo 😘mungu akubari sana mtumishi 😍😂😂😂😂🙏🙏🙏
@maryamsaid13072 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mbwilloyohana67162 жыл бұрын
Baba asante nashukuru kuwagonga wachungaji hawo penda pesa.sana
@magdalenasakaya7323 Жыл бұрын
Mbarikiwa na Baba Mchungaji..unahubiri ukweli mtu, ukweli unawaweka watu huru
@happinessmtawala8552 жыл бұрын
Amen Amen pastor ,,,Mungu azidi kukuongezea nguvu
@TomNatembeya Жыл бұрын
Amen, 🙏🙏🙏 pastor uyu ni wa ukwali kabisa
@mwasiazangambanda18942 жыл бұрын
Nasema amen kwa sahuti kubwa 💥💥💥💥
@habibuluyangi2702 Жыл бұрын
Pastor nakuelewa sana, uendelee kuwepo, huyu Ni zaidi 🙏
@edwardmbugua7068 Жыл бұрын
This is the truth according to the Gospel and the Truth message of God
@sophiewatiti18512 жыл бұрын
Nakupata huku Kenya Mungu akubariki.
@jacksonmairo44622 жыл бұрын
I support you pastor... God bless you.
@mulimarobine20202 жыл бұрын
Ni kweli mtumishi...umenicorrect mahali ....barikiwa mchungachi
@ramsey6293 Жыл бұрын
Asantee Sana mchungaji unatubadisha Sana kiloo na mungu akuongeezee ubunifu wa kiloo
@djumakasigwa95292 ай бұрын
Umeni bariki baba Daniel
@kefaaboki63872 жыл бұрын
This is my kind of pastor not the kenyan ones who are full of deceit and conmanship. The fella is talking the truth...Amen
@alexmuriungi2444 Жыл бұрын
Not all Kenyan pastor are conmen......you just met the wrong pastor
@zablonkwendo35822 жыл бұрын
Man of Power, God bless you 🙏🙏
@djddjd27262 жыл бұрын
Ameen 🙏 mchungaji hio ni kweli kabisa Mungu azidi kukubariki na azidi kukuongezea wisdom,,
@abisaizablon38052 жыл бұрын
Always reality is building the mindset, very good paster, I believe on hardworking, that all
@remyally24452 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji neno tamu, nikiwa Nshamba Muleba Kagera.
@LikeMlimakifi Жыл бұрын
❤ ubarikiwe sana Mtumishi
@ignacenepa93862 жыл бұрын
My God blesses u pastor.
@neemaseko4988 Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏 MUNGU akubarik san
@mburulucky95802 жыл бұрын
When they need you contribute when you need they tell you receive
@agreysteven2 жыл бұрын
Kkk like this pastor so,,so much ,good colusedy
@routhrou42312 жыл бұрын
Amen and Amen powerful message 💪💪💪
@reginameitavan40322 жыл бұрын
Glory to God
@happygiftmwalwimba33022 жыл бұрын
Be growly upon you pastor.
@ramamoise2160 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana wewe nishujaa waukweki paster
@James-hu3pc2 жыл бұрын
Mm James nko Kenya nakupata vyema sana baba mgogo
@FrenkMkilindi-mj4rd Жыл бұрын
Mungu akutunze mzee kwa kuwaambia ukweli wanawapoteza watu
@jacksonkilonzo1439 Жыл бұрын
I wish all preachers would preach like this
@nyandwisamson25882 жыл бұрын
Pastor, baada ya haya tayarisha mafundisho ya juu ya kutulia kwa wanaume. Asante. Samson /Naivasha-Kenya
@elizabethogosia1312 Жыл бұрын
Na sanasana, Pst waume wa kupokonya waume wenzao wanawake kwa kujidai eti Wana hela,mfano ni mkenya Boniface kumnnyanganya mtanzania Ayubu ndoa yake huku akizingisia kuwa yy ana hela kibao anaweza oa wake wengi kma Solomon.Mtumishi wa Mungu omba hela zake Mungu achukue alishe mayatima na wajane.
@louisendunguru7106 Жыл бұрын
This changed my mind set complete 🤝
@EdouardNtaho15 күн бұрын
Asate mucungaji nabarikiwa
@erickndulilo54372 жыл бұрын
Asante mgogo we nyumban wap unanichoma mahubiri yako
@georgiusndege64722 жыл бұрын
Ubarikiwe baba mungu akuongezee miaka mingi
@naomi60712 жыл бұрын
Mwinjilisti mwenyewe,,,, waaaa ameenii,,, mwizi ni mwizi tu na Malaya ni Malaya tu
@maikomatayo2794 Жыл бұрын
pastor mungu akubariki sana mungu akuongesee siku ya kuishi hapa duniani
@KisagasiLuyangiАй бұрын
Huyu jamaa nampenda sana, angekua muislamu ingependeza sana
@kaytwok23452 жыл бұрын
I like the way you preach the truth gospel
@NeemaMasika-de4qt Жыл бұрын
Kweli baba wenye tabia hiyo wapo
@nyamwekomatoke99512 жыл бұрын
Yuko mmoja pale mwenge aliwadanganya watu wangi Sana na Kweli wengne waliuza hadi nyumba zao Mbaya sanaaa walipofilisika akawatupilia mbali