Kundi la vijana walioacha uhalifu ladai kuwa polisi wanawadhulumu mtaani Mathare

  Рет қаралды 21,217

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер
@raphaelmuthoka1521
@raphaelmuthoka1521 16 сағат бұрын
Hii mathare ni Noma Sana ...huezi pita na simu kwa mkono
@afrodomusic5934
@afrodomusic5934 15 сағат бұрын
Once a thief, always a thief.😂😂
@johnotieno6784
@johnotieno6784 6 сағат бұрын
That would assume that people are not able of changing their behaviour.
@georgendiga
@georgendiga 5 сағат бұрын
Not always
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 15 сағат бұрын
This kids should b now given freedom of movement, speech waliombewa wengi sana na pastor Ezekiel 😢😢😢😢
@jammienjogu1455
@jammienjogu1455 7 сағат бұрын
Na wenye wamechinjs jamaa amepeleka mtoto shule asubuhi
@Domiano-by9ok
@Domiano-by9ok 14 сағат бұрын
Bi- afra Eastleigh.. police wakam , vijana wanandungana sana na visu, mpaka leo morning mtu amedungwa😢26/1/2025
@hillaryAlpha2395
@hillaryAlpha2395 8 сағат бұрын
Wapigwe kabisaa 😊 wezi hao
@Timohprezoh
@Timohprezoh 5 сағат бұрын
Muache kuongea hii lugha ndio inawaharibia😂
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 Күн бұрын
Pigwa kabisa mpaka muache crime
@nasra9540
@nasra9540 Күн бұрын
Baby girl smooth ❤
@yashmarley7917
@yashmarley7917 4 сағат бұрын
Mathare ndo home
@jamesnganga6387
@jamesnganga6387 14 сағат бұрын
Which Country is this👀
@EmmanuelMwenda-cn6ps
@EmmanuelMwenda-cn6ps 15 сағат бұрын
Wapigwe adi waseme waalifu
@VictorOtienoOnyango
@VictorOtienoOnyango 10 сағат бұрын
This was obvious after the confessions they have been making in various chanelles. This is Kenya.
@ckrusherkay.y6307
@ckrusherkay.y6307 10 сағат бұрын
Vile tu nimefikiria😂😂😂wueh
@Dfre1328..
@Dfre1328.. 10 сағат бұрын
Waseme mwenye alidunga baba kijana kisu hadi akaaga, huyo mtoto nilimuona jana akielezea Mike sonko vile babake alidungwa kisu hadi nikamhurumia, mbona wakadunga baba kisu wakaacha mtoto mdogo hivyo akiwa orphan?
@Wannabeee6
@Wannabeee6 14 сағат бұрын
Wapigwe hadi wakiuliwa ni sawa
@RichardMocheche
@RichardMocheche 13 сағат бұрын
Lazima wafungwe ili haki kwa walio adhirika na uharifu wao!!!
@stevegisemba8293
@stevegisemba8293 12 сағат бұрын
It's either they're involved, or they know those involved. They should talk
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 15 сағат бұрын
Maumbwa pigweni kbsa
@Elibuk
@Elibuk 6 сағат бұрын
Ask the youths nicely and they will produce the bad ones amongst them
@bonfasmallah3692
@bonfasmallah3692 15 сағат бұрын
Hakuna hawa usiku ni shida kubwa wapigwe
@annenyabuto6781
@annenyabuto6781 14 сағат бұрын
Wapigwe Waseme wale hawachaaacha
@felixokwara4446
@felixokwara4446 17 сағат бұрын
Hakuna cha dhuluma hapa. Ni juzi tu baba ameuawa mbele ya mwanawe huko mathare.
@PaulAgola
@PaulAgola 10 сағат бұрын
Unaibiwa watu wanaangalia tu,, because they know them and their parents so it's normal there,,If you have a thought like I did of touring mathare,, DON'T DO IT,,you will be robbed, either killed or injured like they did to me😢
@idrissmutinda6243
@idrissmutinda6243 23 сағат бұрын
Mpigwe kabisaa,wakati mlikuwa mnasumbua raia pia wao walikuwa wanalia but hamkuwa mnasikia.
@henrygitau1955
@henrygitau1955 21 сағат бұрын
Hiyo n kuwaamsha
@PaulAgola
@PaulAgola 10 сағат бұрын
Citizen tv has deleted my damn comment 😂😂I support the police work 10000% 😂 Delete this one too,, mathare isn't a place where normal people live in fact only goons and thugs live there,,I almost got killed just because of my mobile phone on 4th Dec 2024,,, wapigwe sanaa 😂Build affordable housing huko mathare
@Cocoa_nutz
@Cocoa_nutz 16 сағат бұрын
Izi story za 'aliacha kua mwizi' huwa story tu. People should pay for all their actions. Kama ulikua mwizi unafaa ushikwe ulipe uhalifu ulifanya wakati huo.
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 15 сағат бұрын
Hata Yesu msalabani kuna mwizi alimwambia si ujiokoe sasa tuone,wa pili akasema Yesu unapofika kwa Baba yako nikumbuke
@felixokwara4446
@felixokwara4446 17 сағат бұрын
Pigweni kabisaa.
@noel4778
@noel4778 20 сағат бұрын
Rong
Minong'ono yaibuka kambini huku serikali ikikatiza lishe kwa wanajeshi
2:31
Wafungwa 3 waliotoroka gerezani Kamiti walitoroka kwa saa 96
3:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 600 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Taarifa za Nipashe Wikendi ~ Januari 26, 2025
31:19
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 34 М.
Maisha ya Leaky Analo, kijana anayetumia TikTok kutafutia familia
3:43
The West speaks of defeat / Lukashenko attacks Zelensky
14:04
NEXTA Live
Рет қаралды 798 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН