Asant sana kaka yetu tunajifunz mengi kutoka kwako nakupend san ni aisha tok Burundi
@jacklineminja20225 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka yetu hii ndo walipaswa kujua mabint kabla ya kuoana . Lakin kufunda kwa namna hii ni njema sana asante sana
@UwimanaSumaiya-g9l5 ай бұрын
Asante sana kungwi dume unafunda mambo mazuri saana
@mariammariam57239 ай бұрын
Nakukubali sana kungwi dume uko kufinyia kwa ndan ni balaa mpz wangu popote ulipo naiman unanikumbuka najivunia kuzaliwa tanga tanzania ❤❤
@MARIAMKHAMISI-jz6ze9 ай бұрын
Uko vizuri kungwi dume naomba namba ya watsp
@ReginaStephano-pt9pc8 ай бұрын
Ahsante kungwi dume najifunza mengii kaka🤗
@IshaMuzhimu-lr8lr9 ай бұрын
❣️🔥Asante Sana Kungwi Dume kwa mafunzo yako mazuri.🔥❤️
@RahmaOmar-z9m2 ай бұрын
Mashaallah tabaarkallah kungu akuweke sana kaka asnte sana
@RzikiSaeed8 ай бұрын
Shukran mungu azd kukupa umri mrefu uzdi kutuelimsha Inshaallah
@bahatiomar52979 ай бұрын
Mashallah ubarikiwee sana kungwi dume kazi nzuri sana umeshinda hata hao kungwi wake jinsi unavyoelezea vizuri ❤from Kenya🙏🙏
@KulwaThomas-r7l2 ай бұрын
Kungwi hongela kwa somo. naomba uniunge kwenye gup
@AliceKathambi-gc9mt9 ай бұрын
Asante sana kungwi najifunza kutoka Kenya thanks so much 😊
@اسماعيلالعواد-ذ4ص9 ай бұрын
Mimi ningeomba nierekezwe gisi yakutumiya shanga kwasababu unajuwa wanaume Wangi mafunzo kama aya hawayapendi ungetuerekeza nasi tuwaerekeza asant🎉❤
@ماريافيدال5 ай бұрын
@@اسماعيلالعواد-ذ4ص mi pia natamani
@SophyMudrick11 күн бұрын
Waoo nimejifunza kitu kutoka kwako kugwi dume🥰
@BenardMsalama9 ай бұрын
Shukran sana kungwi tnajifunza mengiiiiiiii si utani ❤❤❤❤❤❤❤❤ tunajivunia uwepowako kungwi dume
@eshahamis-r5g3 ай бұрын
@@BenardMsalama Asante
@messishingi13 күн бұрын
Asante sn kaka yangu kwamashauri yako tunajifunza mengi sn ni zawadi niko zambia
@صالحالصوافي-غ5و9 ай бұрын
Asante kujitorea kuwafunda wanawake kupitia mitandao👏👏🫶🙏
@RehemaJuma-fr7yq9 ай бұрын
Ubalikiwe sana kaka ibra napia nimekumbuka sana ulipo kuja muheza mungu abaliki kipaji chako
@JanethSanga-kt7mn5 ай бұрын
Mume wangu anapenda sana kufinyiwa sana mpk analia
@MwanaishaMwamose8 ай бұрын
Mashaallah kungwi dume mungu akuzidishie kipaji ni Aisha kutoka Kenya kazi safi ndoa yangu ilikua ya msikitini lkn hk mafundzo yko ya linikuza sana nashukuru sana
@sinangoarashid5049 ай бұрын
😂😂 nilidhani kuna mbinu mpya ya kufinyilia kumbe ni vile ninavyo elewa asante sana kugwi🎉🎉
@zuhurahussein47389 ай бұрын
Asante kaka kwa mafundisho yako. Nakufuatilia kutoka Kenya
@ChristineNeema-u5j6 ай бұрын
Mbona kule kwa kusafisha uke umesema unaigiza kidole usafishe..Halafu hapa kutokana na sufuria unasema usitie kidole kusafisha uke ,kwa hiyo unaichanganya kidogo sikuelewi vizuri hapo🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
Kungwii asante jamani leo ndio nimeona hii nyiee❤❤❤
@ShadyaCHORA2 ай бұрын
Shukran sana ibra nimependa sana somo lako
@janetmbwana5539 ай бұрын
😂😂eti naona aibu👌👌tupee kaka
@marymassawe28539 ай бұрын
Kungwi dume uko vizuri sana mungu mwema elimu hamasa unyotupa ahsante sana
@DearJuma17 күн бұрын
🙏🙏🙏🌹🌹🌹upewe mauwa Yako kk yang
@SikudhaniKulonda-jy1bq9 ай бұрын
Jman humu ndan wengi wao bado waari in sha allah mungu awape waume wa halal
@Emily-k989 ай бұрын
Asante sana baba mrezi wetu ❤❤🎉🎉ila sijaelewa mno
@JanetRiziki-ut2is5 ай бұрын
Mungu akubariki sana nmejifunza kitu hapa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Ruqaiy-r5t5 ай бұрын
Kungwi ipo vizur
@fatumakushonda42779 ай бұрын
Tupe kungwi wetu,tujue kuifinyia ndani wewee❤🎉😂
@Brayanwilirck5 ай бұрын
Me naish arush 🎉🎉🎉nmependaaa mafunzo yaakoo
@SHAZIMINA559 ай бұрын
Nakupenda yani natamani ningekuwa nauwezo ukawa mumewangu hadiraha yani sikwakufonza uko
@Kau-tharKhamis9 ай бұрын
Asante kungwi kwa mafunzo yako
@kisaagustino32789 ай бұрын
Talaka iz coming
@mariamkibindo17419 ай бұрын
😂😂😂@@kisaagustino3278
@Stevenmwaipungu5 ай бұрын
Yaan mpka raha🤗🤗❤️
@mamakenajma32579 ай бұрын
Binafsi nakuelewa mno kaka barikiwa kwa kutuelimisha ❤from kenya
@RenaldaSulley4 ай бұрын
Kaz nzuri kaka niunge kwenye group
@jumaali83942 ай бұрын
niunge group
@adidjahassan60463 ай бұрын
Asant kwamafunzo kaka Ibrahim ❤
@mwanamksisoppah93253 ай бұрын
Uko vzr kk watupa utamu kama yote😅😅❤❤
@Modesterchoger3 ай бұрын
Ili kungwi akuunge kwa group lake unafanyaje me cna namba kama unazo naomba ili na mm niingie darasan kujifunza❤
@LeilaShaban-h4n6 ай бұрын
Jamani kungwi nimeyapenda mafunzo yako ❤❤❤ naomba uniunganishe katika grupu ili niyafahamu mengi zaiidi
@IrakozeMydear8 ай бұрын
Napenda sana mafunzo Yako brother ibrah
@Mlshi-p4z3 ай бұрын
Kazi nzuri kaka niunge group
@Rahma-r1y8 ай бұрын
Manshaaallah shukrani Sana my brother Naomba plz mimi naitaji kama una maji umkeni unaweza kufanza nini🙏🥰🤗
@MariettaNyoni8 ай бұрын
Kubania kwa ndani mala kwa mala ni hatali.kwa mwanamke kwasababu mishipa yako italegea na siku ya mwisho unajikuta umepata matatizo makubwa sana siwashauli wanawake kufinyia kwa ndani mala kwa mala ni hatali kwa afya yako
@ukthysalma99188 ай бұрын
Kama kuzaa tu hakulegezi mishipa itakua kuifinyilia ndani acha tuwafinyilie tu😂😂😂😂
@EddahBure-te7ft8 ай бұрын
@@ukthysalma9918 kaa apo apo na ujinga wako 😏 fatilia history ya wanawake wengi waliozaa sana wanavyopata maambukizi ya via vya uzazi na kupata kanza ya shingo wa mlango wa kizazi na kupelekea kutolewa kizazi baada ya kuuma na maradhi mengi
@HusnaMussa-dn9ml8 ай бұрын
Htr gan wakati inasaidia kukaza misuli ya uke
@MariettaNyoni8 ай бұрын
@@HusnaMussa-dn9ml acha ujinga ww ww unauke una mboo nani alikuambia inasaidia kukuza misuli ya uke ulisikia wap misuli ya uke inatakiwa ikue
@petermanala61388 ай бұрын
@@ukthysalma9918 😂😂😂😂finya mama
@Aishabankhadil9 ай бұрын
Asante sana kaka nakufuatilia nipo Burundi bujumbura ❤🎉
@RehemaHemedi-o7qАй бұрын
Naomba kuungwa kwa grp nnamengi Sana yakusoma kutoka kwako
@DOROTHYHELMAN-s4bАй бұрын
Naomba kuungwa ktk group. Thanks nimekupenda bure
@MwanahamisiMohammed-sn4fx5 ай бұрын
Kaka nakukubalisana naunatupa ujuzi nasisi wengine mungu akuweke🥰🥰
@KhadijaChiro-e2m8 ай бұрын
Ahsante sna bro nmekuelewa sna 🎉❤
@HarimaMohamed4 ай бұрын
Asante San nimejifunz meng mno
@RadjaboyKubita9 ай бұрын
Huku Congo 🇨🇩 Tunakupenda sana brother, congratulations my Big bro 💪
@ASHADANGA-t1m6 ай бұрын
Nimekuelewa sana kungwi najifuza niliya sahau tena
@AishaMurugi-g1j17 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉
@عايشهعمان6 ай бұрын
Wow ,,l love ❤❤❤
@BanglaBangla-t2tАй бұрын
Napenda kujifunza mafunzo Yako niweke kwa group lako
@LoyceJuma-z7y20 күн бұрын
Naomba kuungwa kweny group
@TamlaShekigenda3 ай бұрын
Hongera sana kaka,naomba km unagroup uniunge
@FatumaAbaa24 күн бұрын
Asnt kungwi dume naomba uniunge kwenye group
@RichardMwasumbi2 ай бұрын
Jamn nashukuru Kwa darasa lako nimejifunza samahn kungwi Nina swali shanga inatakiwa kuvaa ngap kupendezesha kiun
@eshamohd72689 ай бұрын
Kazi nzuri broo❤❤❤
@HusnaMustapha-f1m4 ай бұрын
Asante kwa kufundisha vizur naomba niunge kweny group la whatsaap
@AdelaGozbetusАй бұрын
Kungwi mm naomba unisaidie kitu kuna wanaume wanafanya na mwanamke mapenzi ndani ya mipigo ata mitatu lakini anakuja kumwagia mara ya nne hivi shida inakuwa nn Alf kingine kungwi naomba kuuliza njian za PID
@queenestherjoviale59195 ай бұрын
Asante 🙏 sana kungwi wetu tunajifunza mengi sana 🙏
@NoellaNdikumana8 ай бұрын
Mi niko burundi 🇧🇮 nimeolea ira kuna bitu bingi sibifahamu ndani ya ndoa.1 sizuwi kukata kiuno bingitu siyuw
@Awoshy8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@AminaRaisa-t8u6 ай бұрын
😂
@ماريافيدال5 ай бұрын
@@Awoshymbona mwamcheka mwanamke mwenzenu
@Jayjay-d8o4 ай бұрын
@@NoellaNdikumana We nawee 😂😂
@matridalucianАй бұрын
😂😂😂😂😂
@FatmaAbdulkadir-q7l6 ай бұрын
Some love from kenya❤
@SaumuSaumuomar16 күн бұрын
Asalam alaikum kungwi naomba uniunge kwa group yako nmependa mafundisho yako
@BeatriceNashon7 ай бұрын
Barikiwa kaka❤
@SabraIssa-s8l2 ай бұрын
jitaidisan kuka wafunda na wanaume maan kam wakwang nime mshindwa mie jamn asant
@husnaali20219 ай бұрын
MashaAllah kungwi mungu akuweke
@AminaRaisa-t8u6 ай бұрын
Shukran kak ibra njee uke ukiwa na matatizo ya infection upashwi kusafisha
@FatmaSultan-h9i14 күн бұрын
Naomba na mm uniunge kwenye group
@CathyPhillip-jg4zt4 ай бұрын
Ila hii mada mmmmh🔥.... fanyieni kazi tu🤭😂
@عايشهعمان6 ай бұрын
Kk Kaz yako nzuri 🎉🎉🎉
@SelinaImma3 ай бұрын
Nataka kujua jinsi yakuifinyia ndani ❤
@AminaJuma-b1n6 ай бұрын
Nimefurahi sana kwa somo lako nimejifunzq vyena kutoka saudi lakini mwenyeji 🇰🇪
@AishaRehema9 ай бұрын
Nakupenda bure Kaka yngu❤kwa mafunzo jmni👌kuna mengine nilikuwa sijui kbsa Asanteni ndgu maisha malefu nakuombea🙏🙏🙏🙏
Mashallah kungwi dume nilikuwa sijui kusinga mume wang allah akuzidichie skukinge na mahasd chukrsni
@AsiaAdinan-fj5yi9 ай бұрын
Asnt tunajifunza meng si utani❤🎉
@FaridaAbuu-n1j8 ай бұрын
Mbona huelezei vzr kufinyia kwandani
@DeBoy-oy2jg8 ай бұрын
Ukimaliza shughuli zako za leo,nitafute uje nyumbani nikufundishe zaidi
@PaulaIkigo2 ай бұрын
😊niunge kweny group
@Brayanwilirck5 ай бұрын
Asante sana nmependaaa mafunzo yaakoo
@mahamoddales44439 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu naaam ndugu angu asanteee Sana kwa elimu ilyo bora hasa kwa sisi vijana naomba2 hako kamwimbo kako uwe unakaachia kwa dakika kadhaa maana kamenifurahisha Sana
@HerbertAsante-u5q6 ай бұрын
Mimi kungwi hata sijamuelewa hiyo kuifinyia kwa ndan km kabana maneno😂😂😂
@elimukwadada9 ай бұрын
Unatumia misuli ya pelvic yaani kukaza misuli yako ya uke 😅😅 kwa ndani Dah 🙆🏾♀️💯💥🔥