Uko vzur Thedon ila unachelewesha,jitahidi bhana kutoa mzigo mapema,nawapenda sana team nzima❤❤❤❤❤
@FatmaKassim-fr3fd9 ай бұрын
Mambo fire I say mashallah mwanufrahish
@ladyaishaoloo-rd3ns9 ай бұрын
Mashallah ♥️🌹💕 mauwa ya kungwi kwa kazi mzuri
@ericmangera4659 ай бұрын
I really like it.Kisha mashabiki jamani let us be loyal fans to our brother😊😊.Tusimulaumu sana ndugu yetu kila mara hata hivyo anajituma zaidi.Kwa hakika si kazi rahisi kushoot na ku-upload video lazima uchukue muda.Pamoja mpaka tamati.Much love from +254
@ibrahthedon9 ай бұрын
Nashukuru kwa kunielewa 🤝
@ZulfaYussuf-b1rАй бұрын
@@ibrahthedonNiko ya 22 mwsho no episode ya ngapi ?
@carolineanthony54099 ай бұрын
Dah nzuri sana Mashallah
@BENEDICTKAMOLE9 ай бұрын
Very very good movie! Naombeni iwe muendelezo isiishie hapoooooo..... Good job guys😅
@JenipherSteven9 ай бұрын
Nzuri sana msichelewesh sehem ya ishirini na tatu
@ZulekhaRamadhan-k4o9 ай бұрын
Cjachelewa namm naomba like ata tano 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🙏🙏🙏
@Maymuna-wc8lz9 ай бұрын
Mahi Uko Oman🎉😂
@mbirizealice21389 ай бұрын
Asante sana kaka kwamafuzo mazuri barikiwa sana
@zaujiasadiq83479 ай бұрын
Ahsante kwa kaz nzuriiii
@azizahmwimbe85489 ай бұрын
Asante sana kaka Ibra kwa mafunzo yako really appreciate 🙏🙏
@aysherkabby59379 ай бұрын
The Don, husituweke sana kusubiri next episode 🙌🙌👏👏👏
@zenakioga65679 ай бұрын
Aisee naisi kilà nikiangalia najifunza meng na nabadilika kilà sk Kazi nzuri kungwi dume salute
@SairathAli-zf1vh9 ай бұрын
Asant kungu tunajifunza meng kupitia wew next plz
@SifaWangyaShabani-nt5ww9 ай бұрын
Mambo yako moto moto ❤❤❤
@rahmasuleiman93349 ай бұрын
Weweeeeeeeee hatumwi mtoto sokoni big up thedon 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@Classictv849 ай бұрын
Nakukubali sn Boss wangu nadjuwa ata wangapi wadje ww ni mshindi tu 🎉
@amisafaraji57969 ай бұрын
Jamani Ibra Lete vitu sio kwa kutupa raha hizi. loo sijui hii ndoa itanusurikaje🤷Laiti kama tunayoyapata humu tutayafanya kwenye maisha yetu,basi tutaishi maisha mazuri San. Allah akusimamie ktk kazi zak kaka ang 👌
@mariathashim13679 ай бұрын
Mashaa Allah brother Ibra
@NellyEsperanceTv9 ай бұрын
Vraiment nous sommes à vec vous tuna kukubali sn tena sn
@SakinaHassani-xm7ti9 ай бұрын
Maneno 🔥🔥🔥
@LeylaMgaya-og5mm9 ай бұрын
Mwanamke hana haya wala hajui vibaya arudi tena kwa kungwi.
@BintmohamedNasiri9 ай бұрын
Ila huyu mwanamke ana laaaaaaaaaaaaana😂😂😂wala sio lana😂
@FatumaHamisi-sr6yj9 ай бұрын
Hongera 🥳🥳🥳
@Nailaty5649 ай бұрын
Kungwi dume asante Kwa mafunzo lakin usicheleweshe sana
@noorramadan81569 ай бұрын
Mwanamke hana haya huyu eti kajirudisha nyumbani
@Oman-b3e2c9 ай бұрын
❤najifunza meng san kupitia wew kaka ubalikiwe san
@grice20759 ай бұрын
Mafunjo wazuri kakka ibra wanawake tutulieni kwenye ndoa zetu
@RehemaSalum-vp6rf7 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka nimetokea kuvutiwa sana na story Yako na ni mafunzo mazur sn ktk jamii sio kama awo wengine
@AshaShebeni4 ай бұрын
Tunajifunza mengi kwakweli shukrani zako🎉
@bahatiomar52977 ай бұрын
Kungwi dume ni Moja tuu penda sana movie zako ila sijapenda uyu biharusi anavyomfanyia kijana WA watu
@SillahMnkondya9 ай бұрын
Twaisubil
@FatmaKassim-fr3fd9 ай бұрын
Kipindi pambeeee mpk rahaa
@fatumakushonda42779 ай бұрын
Nazidi kuelimika yani 😍❤️
@SwabraAtiki-pr8uf4 ай бұрын
Nimengi tunayojifunza, kaka pongezi
@SakinaHassani-xm7ti9 ай бұрын
Kazi nzur 🔥💯🙏
@AshaAbdallah-y1h9 ай бұрын
Utamwambia nn mume akuamini wakati ukwl ashaujua
@shukurumushi63099 ай бұрын
Huu mzigo wa hii kungwi imenyooka
@rehemasilasi29859 ай бұрын
Kweli mwenye bahat habahatiki 😢😢😢
@AnnaMundia-d3o7 ай бұрын
Mambo mbaya ..Kungwi wewe tu!!
@chamamaambambi30199 ай бұрын
Two Zanzibar nimewahi
@shukurumushi63099 ай бұрын
Kwema broo mxig umeenyoka
@SwaumuKhatibu-qt5uz9 ай бұрын
Me aniacha hoi uyo mwanaum anayeboeka wanandoa wakiongea
@iddifatma53709 ай бұрын
Weee 😂hii noma
@samirajumanneanzuruni73207 ай бұрын
Nakuelewa kungwi
@SharifaKhamis-n2u9 ай бұрын
Waisha kitu Nilikua naisubiria kwa hamu
@Frola-r9z4 ай бұрын
Jamani 😭 😭😭😭 daaah wanawake tupewe nini🤔🤔
@MREZI-u9d9 ай бұрын
Kungwi dume nakubali picha zko ila ina uma xna isee.
@FridahKijumwa5 ай бұрын
eeeh... kumekuchaa, nafrahi sanaa si kwa mafunzo yako tu hata kwa masomo Yako ...🇰🇪
@MwanaidiShabani-c9g3 ай бұрын
Naomba niunge kwenye group
@MariamChande-s7t9 ай бұрын
dah! Uy dada atakuja kulia na uyo kibishoo chake akitakuja kumuowa kitamkimbia
@Bles-x1v19 күн бұрын
mmmmh hd nimetamani kulia yn kaka ana moyo wa busara kweli et mama yuupo wap anajibu kapat kaz yupo kzn dah!! mi ningepayuk nakusema aliniaga anakuja kwako unaumwa😂😂😂
@Bintiabdallahmwakulani2 ай бұрын
kweli kabisa dda
@MwanamkuuOmar-n5r9 ай бұрын
Kaka vp kuhusu hile group la mafunzo tunahitaji mafunzo zaidi
@ibrahthedon9 ай бұрын
Nalifanyia kazi usijali
@asminathkhalfan8 ай бұрын
@@ibrahthedon shukrani sana bro,ubarikiwe zaidi
@Tozdance35708 ай бұрын
Nikweli
@LukuNyomolelo9 ай бұрын
❤🎉
@mwasimwajambo46867 ай бұрын
Moris oa bwana tena wasikitika hasa we unaga nia ya kuoa yuataka kukupa handbag akuache
@AbusalimButchery9 ай бұрын
Wanawake wenye tabia hizi mungu anawaona
@MwanamisiMwamakalo9 ай бұрын
❤❤❤
@KhadijaNassor-g1q9 ай бұрын
Kwan huu mzig wa leo bc na mim nimewah ❤
@rehemachedi66159 ай бұрын
Mash Allah
@KhadijaNassor-g1q9 ай бұрын
Mashallah mung akuzidishie kipaji uzid kutuelimisha kaka, ila unachelew ckuiz 😂
@REHEMACHANIKA-i9o9 ай бұрын
Duh hadi aibu jaman tuletee ya 23 mapema mpendwa
@hanisasuleiman11899 ай бұрын
Twasubiri kwa amu tu
@RebeccaEdwadrEdwadr9 ай бұрын
Mh kimeumana
@cplusfilm69429 ай бұрын
Dah
@ZainabSaif-sr9jj9 ай бұрын
🙏🙏🙏
@MaitriseRiziki-w5c9 ай бұрын
Muendezo please 🙏
@MboneaMjema-bh6kfАй бұрын
mh jmn huyu dada jmn anakosea
@RuthAlleyo-g2b8 ай бұрын
Siku za mwizi 😅
@garirehema7679 ай бұрын
Kimemramba
@AshaShebeni4 ай бұрын
Bro uko vzr kwakweli
@MwanapiliAthumani8 ай бұрын
Naomba namba yako tafadhali
@MwaSukha9 ай бұрын
Wañaume wanpenda mwili w mtelezo,ila dada umetoa maamuz mazr y msmamo