KUNGWI DUME sehemu ya kumi na moja

  Рет қаралды 63,080

Ibrah Thedon

Ibrah Thedon

Күн бұрын

"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"

Пікірлер: 128
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Naona raha asaa❤❤❤jaman hadi namiss kuolewa kungwi dume ni mmoja tu tanzania hapana chezea ee👌
@zulfarashid5060
@zulfarashid5060 Жыл бұрын
Makabila tusiofundwa twajifunzia apoapo ubarikiwe kaka nikienda kuolewa nitayafanyia kazi
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 18 күн бұрын
Tupo wengi kipenzi
@halimahassan1930
@halimahassan1930 Жыл бұрын
Jamani unamaneno matamu sana mashaallah alafu tunajifuza pia❤❤❤🎉🎉🎉
@hidayaabdillah5756
@hidayaabdillah5756 Жыл бұрын
Mashallah mashallah
@BanyihishakLazarus-fg1tt
@BanyihishakLazarus-fg1tt 3 ай бұрын
Wakwanza kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿 naomba likes zangu
@NanahBrown
@NanahBrown Жыл бұрын
Wengne tuliolewa kibubu bubu hapa tunajifnza mana tulikua twaish Kwa ngv za allah
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Ndo ipoje hy kibubu bubu
@saumuraziinah1612
@saumuraziinah1612 11 ай бұрын
Kbxaa😂
@halimashaban3858
@halimashaban3858 Жыл бұрын
Yaan kam unatak kuingia kweny ndowa fatilia hii move
@hamisamadimpozi5923
@hamisamadimpozi5923 Жыл бұрын
Mashahalla somo mzuri tunajifuza kwa kweli somo tunaye popol popol halewa lewa namwambia popo walamaembee pekee kaziyake kutumwagia kokwa ❤❤
@SaidaNachiro
@SaidaNachiro Ай бұрын
Napenda hayo mafunzo maana kwetu hakuna hii ndio maana natenga muda Sana kufuatilia hii
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 Жыл бұрын
Good job inafundisha inaburudisha Allah akutunze uendelee kutuelimisha
@JumahaRamazani
@JumahaRamazani Ай бұрын
nimeji fuzakaka asate nikiolewa nitaya fanyiakz kak❤❤❤❤❤❤❤
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 Жыл бұрын
Chungu usichopika utakiw funuwa hahhahahahaha tulofunzwa tunajua😂😂😂😂
@Zaina403
@Zaina403 Жыл бұрын
Uyu babaake na sengo ana busara mashaallah!
@Attushbbyy
@Attushbbyy 4 ай бұрын
Mashallah yani nimejifunxa mengi ❤❤❤❤na nimetokeq kupenda haya mafunzo ..yani kungwi dume mungu akubariki insha Allah
@AbdullatifMasoud
@AbdullatifMasoud Жыл бұрын
Kungwi uko vizuri na vijimbo pambee bb ana sauti nzur mashallah
@Farthun
@Farthun Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah hongera sana
@munahmusa9922
@munahmusa9922 Жыл бұрын
Naisubiri kwa hamu inshaallah 🎉🎉🎉
@habibasalummbevi2683
@habibasalummbevi2683 Жыл бұрын
Hatimaye nimeipata
@maryburudi
@maryburudi Жыл бұрын
Keep going brother,am watching from Saudi Arabia, kama mimi sikufundwa ndiyo nafundwa nawe ndugu,Mungu akuhifadhi
@adammatina311
@adammatina311 Жыл бұрын
😂
@omankafa1555
@omankafa1555 Жыл бұрын
Haya endelea kutufunza mwaya Allah akuzidishie ujuzi zaidi
@BakarHamisBakar-qd4nj
@BakarHamisBakar-qd4nj 23 күн бұрын
mume wng yuko karibu nami sasa ❤❤nashukuru ❤❤kaka
@RizikiZiki
@RizikiZiki Жыл бұрын
Ongera kungwi dume ntakufata mpaka unamafunzo mazuri❤
@shaibchat8054
@shaibchat8054 Жыл бұрын
Ngoja nianze sehem ya kwanza kumbe napitwa na mamb na hamsem sijapenda
@rehemachedi6615
@rehemachedi6615 Жыл бұрын
Mash Allah nimeipenda sana movie yako ibra thank you so much mash Allah is nice movie
@SuleimanShaib-r1z
@SuleimanShaib-r1z 2 ай бұрын
Mashallah ibra ww n zaid ya kungw ibak t rehma ya mung ktk ndoa
@AshuraJafar-oe5bh
@AshuraJafar-oe5bh Жыл бұрын
Me bad sijafuzwa na bad sijaolewa ila nimejifuz mengi Lupita manen yako sin mengi ebu nisem tú mungu akupe maisha marefu kak Ang
@chrispinussikana94
@chrispinussikana94 Жыл бұрын
Kaka Mimi nakupenda sana na nakufuatia kwa Kila hatua nikiwa Kenya. Swali langu ni kwa wanaume wanaojioshea sufuria za wake zao na Miko zao wakati wake zao wamejiishia huko?
@stevenelias516
@stevenelias516 Ай бұрын
nimempenda baba wa sengo anameneno kuntu
@mariamsaidi1681
@mariamsaidi1681 Жыл бұрын
Hii movie inanikumbusha mbali sana yani ni maisha harisi kabisa kipindi cha kuchezwa ngoma full kufundwa hahahhaha yani naipenda sana ❤
@jacklinerichard-u2m
@jacklinerichard-u2m 2 ай бұрын
Mmh kaka unatufundishana kwelii kutunza ndoa zetu
@kanezaemelyne-px3ne
@kanezaemelyne-px3ne Жыл бұрын
Allah azidi kukupa afya njema 🙏uzidi kutuelimisha zaidi
@rodajaphet969
@rodajaphet969 Жыл бұрын
Jamani tulisubiri kwa hamu Sana duh hatimaye imekuja asante
@SanifaAthuman
@SanifaAthuman Жыл бұрын
Mashallah nazid kujifunza barikiwa sana kaka
@waondacyrille135
@waondacyrille135 Жыл бұрын
Uyu jama ananipa tamaa yakuwa kwenye ndoa ila sasa sijui kama wanawake wote walio angalia hii movie ni wangapi na je watafuata hayo mashauri
@AmaniMwinyi
@AmaniMwinyi Жыл бұрын
Mm nko hapa ❤❤❤
@RamadhaniJumanne-n2c
@RamadhaniJumanne-n2c 5 ай бұрын
Nimejifunza vitu vingi sn❤❤❤❤❤❤
@MishiMussa
@MishiMussa Жыл бұрын
Yan ibra uko vzur Sana ❤❤❤❤❤
@janethmgimba3084
@janethmgimba3084 Жыл бұрын
nakupenda sana kungwi dume tunafundwa bila kuwekwa ndani
@MaryamSuleiman-mr4pq
@MaryamSuleiman-mr4pq Жыл бұрын
Uko vzr ibra nimekupenda bure❤❤❤❤❤❤❤❤
@zenakioga6567
@zenakioga6567 Жыл бұрын
Tunajifunza na tunazingatia, Mungu àkubaliki sàna
@maryamthabiti
@maryamthabiti Жыл бұрын
Sai naskia raha azikai sana🥳🥳
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 Жыл бұрын
Shukran ibrah kwama funzo mazuri
@binabuu2477
@binabuu2477 Жыл бұрын
Upo vizuri kungwi najifunza mengi kwako
@SaidaSaida-ub4ez
@SaidaSaida-ub4ez 4 ай бұрын
MashaaAllah ♥️
@DdarweshDeva
@DdarweshDeva Ай бұрын
Mm jinalangu sabura nakaatumbatu mm hapa nauliza nn maamaya shagaaaa
@MohamediKilimila
@MohamediKilimila Жыл бұрын
Yani kila nikiangalia muda bado ila naisubili masha allah
@hamisamadimpozi5923
@hamisamadimpozi5923 Жыл бұрын
Unyago Na msondo nakumbuka uhooo
@hlimaa5182
@hlimaa5182 Жыл бұрын
Tamu sana yaani hadi raha ❤❤❤❤❤❤
@Ramlati-pw1jy
@Ramlati-pw1jy Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤hatari kaka unajuw❤
@Raz254ka
@Raz254ka Жыл бұрын
Shukuran the don🎉🎉🎉❤❤❤
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 Жыл бұрын
Kwa kweli huyu mma hana akili mbona ameenda kwa kivyere wake pasipo nidhamu na busara
@fatmakassim-xc3ki
@fatmakassim-xc3ki Жыл бұрын
Nimeisubry hatimaeee 😊😊😊
@GainoGabone
@GainoGabone 2 ай бұрын
Kungwi unafunda kweli au ni movie tu
@DeApple05
@DeApple05 Жыл бұрын
Naisubiri kwa hamu❤
@honeyhqueen8992
@honeyhqueen8992 Жыл бұрын
Uyu mama msungo anaenda kufumania mkwewe ovyoo alafu ajitambui mala amkataze mwanae asifundwe uyu ovyo Tena eti itakuja nyingine anataka azid kupata wajukuu wa njee loooh
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
😂😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Kuchanganyikiwa haamini kama mwanae anaolewa
@songorosongoro9927
@songorosongoro9927 10 ай бұрын
Namuona mnyamisi wa daisaama baba sengo na mwali hadija hapo sikitu
@joselinejuma7025
@joselinejuma7025 Жыл бұрын
Naendelea kujifunza mengi kutoka kwako pick up bro❤
@gosesmwambene795
@gosesmwambene795 Жыл бұрын
Mungu akubariki na akupe maisha marefu
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti Жыл бұрын
Mafunzo mazur 🔥🔥🔥🔥
@benedictalabu2967
@benedictalabu2967 3 ай бұрын
It's nice mr Ibra
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 11 ай бұрын
Ukiwa na Mama kama wa Sikitu utapata tabu sana..Mama msungo.
@RoyserDaudy
@RoyserDaudy Жыл бұрын
❤❤❤ hongera kungwi dume
@honeyhqueen8992
@honeyhqueen8992 Жыл бұрын
Yan uyu mama ovyo anaenda kishari bira ata kuchunguza ovyoo😏
@katanaajonathan6987
@katanaajonathan6987 Жыл бұрын
mimi tangu nianze kutazama filamu hii mkewangu ataona mabadiliko
@neemangeze8213
@neemangeze8213 Жыл бұрын
Nice ❤
@rhemajanette7423
@rhemajanette7423 Жыл бұрын
Mafunzo halisi ya ndoa💯💯
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 Жыл бұрын
Huyu mmaa kwanza angeenda kwa wazazi wa huyu kijana akaelezee ,hapo ndio angepata fumbuzi au ukweli halisi
@rodajaphet969
@rodajaphet969 Жыл бұрын
Nimejifunza mambo MENG mno kupitiaa hii
@DhB-z1p
@DhB-z1p 5 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu
@AhmadKakozigerant-bj6ln
@AhmadKakozigerant-bj6ln 5 ай бұрын
Kungwi twakutaka udje Africa kusini dirben
@ladyaishaoloo-rd3ns
@ladyaishaoloo-rd3ns 11 ай бұрын
Nae ejoy❤❤❤
@NajatRajab-x1k
@NajatRajab-x1k 7 ай бұрын
Mama kama jinga
@SalumSelan
@SalumSelan 5 ай бұрын
Najifunza mengi mpaka nikapo jaaliwa na mm
@mwanasitikoja8114
@mwanasitikoja8114 Жыл бұрын
At me natamn kuingia kweny ndoa kwel kungw ww untufunz
@NanaNana-xo2og
@NanaNana-xo2og Жыл бұрын
Kaka umetuweza ila mbona kipande kidogo sana.
@Aisha-o7r
@Aisha-o7r Жыл бұрын
Usicheleweshe basi sehemu ya kumi na mbili mpenzi
@SylivaObuka
@SylivaObuka Жыл бұрын
Nimependa kweli, mafuzo zuri sana
@QueenhalimaHalima-ry5tg
@QueenhalimaHalima-ry5tg Жыл бұрын
Hongera kaka
@AshuraBodi-sq7fm
@AshuraBodi-sq7fm 5 ай бұрын
🤣🤣🤣 bibi na miwani yake nimempenda bure kwakweli
@bintimrope
@bintimrope Жыл бұрын
Safi sana ❤❤🎉
@NanaNana-xo2og
@NanaNana-xo2og Жыл бұрын
Hatimae nimefanikiwa kuuona😂😂
@adammatina311
@adammatina311 Жыл бұрын
😂
@bintimarkan5898
@bintimarkan5898 Жыл бұрын
kabisa kaka ibrah nimejifunza meng kutoka kwako
@MullashaibuLemu-m2y
@MullashaibuLemu-m2y 7 ай бұрын
God job brother
@NoelLiloko-mt4cn
@NoelLiloko-mt4cn Жыл бұрын
Kazi nzuri
@monamaskari2175
@monamaskari2175 Жыл бұрын
Kwa kweli nimejifuza sana ❤
@AshaHussein-e1v
@AshaHussein-e1v Жыл бұрын
🔥🔥
@DdarweshDeva
@DdarweshDeva Ай бұрын
Ndoumemaa Isha nn
@peterchino3471
@peterchino3471 Жыл бұрын
Kwa usiku light kidogo ipo kwa mbali, mjitahidi kuongeza light kwa scene za usiku
@pendezawillson3499
@pendezawillson3499 Жыл бұрын
Asante Kutufunda
@MohamedIsmail-do5mq
@MohamedIsmail-do5mq Жыл бұрын
unafundisha kaka
@halimaali3719
@halimaali3719 Жыл бұрын
😅😅😅😅hallooo asanta nakubali
@pasiwabala8970
@pasiwabala8970 Жыл бұрын
Ni ww tu keep up brother 🙏
@susalsus6626
@susalsus6626 Жыл бұрын
Twaisuburia
@يحييالجابري-ح1ه
@يحييالجابري-ح1ه Жыл бұрын
Wa14 leo
@joy8508
@joy8508 11 ай бұрын
Weuhee... Raha iliyoje kupata mafunzo haya
@MaryamMwalim
@MaryamMwalim 11 ай бұрын
Mbona episodi nyengine hazitoki
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
💐💐💐
@AmaniMwinyi
@AmaniMwinyi Жыл бұрын
Congratulations ❤❤❤
@hamisamadimpozi5923
@hamisamadimpozi5923 Жыл бұрын
Tembo twalinywa mashahalla tangaaa rahaa jamani
@aminatarabana7959
@aminatarabana7959 Жыл бұрын
Hanajitahidi kweli
@fatumakassim
@fatumakassim Жыл бұрын
Mmmh atali
@lathvumi2893
@lathvumi2893 Жыл бұрын
wa kwanza
@saidomar3291
@saidomar3291 Жыл бұрын
Kumi na mbili itafika lini
@NaomiNaomi-z5v
@NaomiNaomi-z5v Жыл бұрын
❤❤❤❤
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na mbili
30:49
Ibrah Thedon
Рет қаралды 45 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 43 МЛН
HIZI HAPA SABABU ZA WANAWAKE KUTOKWA NA UCHAFU UKENI
5:38
Habari Mpya Tv
Рет қаралды 12 М.
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Ibrah Thedon
Рет қаралды 26 М.
Zuchu - Utaniua (Official Music Video)
4:01
Zuchu
Рет қаралды 23 МЛН
MTOTO WA BIBI SEHEMU YA 1
17:14
CHACHU 1
Рет қаралды 1,4 М.
SHILINGI  Ep 03
22:27
Roma Brand Ltd
Рет қаралды 164 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12