KUNGWI DUME Sehemu ya kumi na TISA

  Рет қаралды 31,822

Ibrah Thedon

Ibrah Thedon

Күн бұрын

Пікірлер: 128
@JeanneNiyonsaba-h9h
@JeanneNiyonsaba-h9h 11 ай бұрын
💃💃💃💃💃💃💃💃 Yaani lbrah kusema ukweli sina cha kukupa il mungu azidi kukutunza mim badoo mdogo il kupitia haya mafunzo yako hakika umenijenga upya tena sio kunijenga tu hakika ishii myaaka namyaaka ❤️❤️❤️❤️
@MwanamkuuOmar-n5r
@MwanamkuuOmar-n5r 11 ай бұрын
Jamani mm n pata funzo sn mana mm n mwari thanks so much kungwi kwa kazi yako bora
@mwanaashahamisi554
@mwanaashahamisi554 Жыл бұрын
💃💃💃💃💃💃Ambao wanaingoja kwa hamu kama mie gonga like nyingi nyingi 😂😂😂😂
@AishanzakaNzaka
@AishanzakaNzaka Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mm nko hpo nmeikodolea macho🙄🙄
@mwanaashahamisi554
@mwanaashahamisi554 Жыл бұрын
​@@AishanzakaNzaka😂😂😂😂uko kama mie my😂
@AishanzakaNzaka
@AishanzakaNzaka Жыл бұрын
Kaaa vzurii mpenziii usinizibe😂😂
@mwanaashahamisi554
@mwanaashahamisi554 Жыл бұрын
@@AishanzakaNzaka 😂😂😂😂😂😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂umenimaliza my
@فطومفاطمه-ش2و
@فطومفاطمه-ش2و Жыл бұрын
Mm huchungulia daily nione kungwi dume😂😂
@katanaajonathan6987
@katanaajonathan6987 Жыл бұрын
mwari katoka kula asali kajisahau kalala kwenye mzinga much love from 🇰🇪
@Bles-x1v
@Bles-x1v 2 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka nusu nijikojelee
@FatumaAmini-i1m
@FatumaAmini-i1m 6 күн бұрын
Jmn Kwan Hana group la wasp 🎉
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Жыл бұрын
😢😢😢 mume mpole mwny wee anafundwa vzr lkn huyo bi.harusi ajae gume gume.
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Tunausubiri kwa hamu yote kungwi wetu Mungu akupe maisha marefu ❤❤❤❤
@mwanaashahamisi554
@mwanaashahamisi554 Жыл бұрын
Amin yaarab 🤲
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
Amiin yarabi 🤲
@Emily-k98
@Emily-k98 Жыл бұрын
Asante sana BABA mrezi wangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@BintalyB
@BintalyB Жыл бұрын
Uwe kungwi wngu 😂😂uko na mafundicho mazuri sana❤❤
@Swabrina-k2e
@Swabrina-k2e 2 ай бұрын
Kungwi Dume shukrani sanaa kwa mafunzo mazuri, alhamdulillah nimejifunza mengi😊
@FatumaAmini-i1m
@FatumaAmini-i1m 6 күн бұрын
Jmn naomb kuulz syo Kwa ubya lkn jmn Kwan ibra the don hauna group la wasp nikufatilie😢😢
@bahatiomar5297
@bahatiomar5297 9 ай бұрын
Nakubali Ibrah we Ni kiboko wari wako wote mashallah ila subira ni kigego jaman hahha😂
@jacklineindoshi1810
@jacklineindoshi1810 Жыл бұрын
Much love from 🇰🇪
@MussaRamadhan-q7c
@MussaRamadhan-q7c Жыл бұрын
Nimekua wa kwnza Leo naomb like zengu
@iddifatma5370
@iddifatma5370 Жыл бұрын
Kungwi wa dume mma kungwi unajua❤❤❤❤somoooo uko juuu
@SaidaSaida-ub4ez
@SaidaSaida-ub4ez 8 ай бұрын
😂😂😂😂kaka Angu ❤❤❤ nakupenda
@Frola-r9z
@Frola-r9z 6 ай бұрын
Asante sana kaka najifunza mengi sana mume wangu mtalajiwa nipo najipatia madini hapa nije kuwa mkeo Bora 🙏
@IbrahimIbuart
@IbrahimIbuart 10 ай бұрын
Uyoo bib arusi ni shida kwakweli❤❤
@FridahKijumwa
@FridahKijumwa 6 ай бұрын
much love from kenya🇰🇪.... shukrani sanaaaaa
@rehemasilasi2985
@rehemasilasi2985 Жыл бұрын
Huna baya kungwi wetu mungu akuweke mwaya
@NeillahMcute
@NeillahMcute 9 ай бұрын
Hongera ibra ❤❤🎉🎉🎉 watufunza Allah akupe umri mrefu inshaAllah uzidi kutuelimisha
@BintalyB
@BintalyB Жыл бұрын
Nmewahi jmni nitakutafuta Ibrahim unifundiche 😂😂😂😂
@NusratBakari
@NusratBakari Жыл бұрын
Thekyou my love maan Kaz zako nzuli san❤❤
@Bimu-u3m
@Bimu-u3m Жыл бұрын
Waooo asante kwa muendelezo🎉🎉
@kwekwetsuma3524
@kwekwetsuma3524 5 ай бұрын
Asante ❤❤❤❤❤❤
@hidayahasani-mb5en
@hidayahasani-mb5en 11 ай бұрын
Kazi nzur jaman ❤❤❤❤
@OtiliaLuambano-d4o
@OtiliaLuambano-d4o 5 ай бұрын
Nakukubar San kungwi
@NasrahNahaa
@NasrahNahaa 5 ай бұрын
Kwel kungwi uko sahh
@AshleyShuu
@AshleyShuu Жыл бұрын
Zilipendwa zilipendwa cna haja nae tena 😂😂😂😂😂😂 we kugwi weeee
@hanamuson891
@hanamuson891 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@damarisnasike1712
@damarisnasike1712 Жыл бұрын
Hongera Sana . From Kenya 🇰🇪
@MwanaishaSalim-zr4gv
@MwanaishaSalim-zr4gv Жыл бұрын
Kazi nzuri bro
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 Жыл бұрын
Kungwi wetu hoyee🎉❤😂
@MeraiOmar-ok8bo
@MeraiOmar-ok8bo Жыл бұрын
Naipenda mno❤
@AzizaJuma-fo5ps
@AzizaJuma-fo5ps Жыл бұрын
Tuleteeni ya lshirini
@JenipherShirima-lp4rv
@JenipherShirima-lp4rv 9 ай бұрын
Ivi kumbe shangazi na baba eheeeeee Kam ilivyo mjomba ni mama😂😂
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 Жыл бұрын
Shukran sana
@furahadayson2664
@furahadayson2664 Жыл бұрын
Nzuri sana
@grice2075
@grice2075 Жыл бұрын
Mashallah ❤❤
@jameskalugo4583
@jameskalugo4583 8 ай бұрын
Hongera sana kungwi
@patopiitz
@patopiitz 11 ай бұрын
Ibrah the done ww n mtu muhimu kwangu umessuport kaz yang nikushkru tuu kaka kwa upendo wako
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 Жыл бұрын
Huyo.mwanaume mwngne kama anampenda si amuoe chefuu tumbo kama pakachaaa
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Awashy-e2i
@Awashy-e2i Жыл бұрын
😂😂😂 mbona pakacha
@NeillahMcute
@NeillahMcute 9 ай бұрын
😅😅😅😅
@DiDaAly
@DiDaAly 11 ай бұрын
Wari wote kungwi dume ila huyu mwari Malaya mbya 😂😂😂
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 Жыл бұрын
😂😂😂😂chukua chako kibovu shoga nakutumia😂😂
@AshleyShuu
@AshleyShuu Жыл бұрын
Shangazi ameupiga mwingi ad unamwagika 😂😂😂😂
@neemangeze8213
@neemangeze8213 Жыл бұрын
Nice ❤
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 Жыл бұрын
Huyo bibo harus kibok😂oo anapnda mjegedu balaaa
@FatimahAl-f1d
@FatimahAl-f1d 11 ай бұрын
Wapi kelele ya mwari😂😂😂😂😂
@zaitunibendera7988
@zaitunibendera7988 Жыл бұрын
Masha ALLAH kungwi❤❤
@mwanawetumwatumwa3000
@mwanawetumwatumwa3000 Жыл бұрын
❤❤❤ ma Shaa allaha
@AminaMjeni-c7c
@AminaMjeni-c7c Жыл бұрын
Waaaaa msala huwo😮😮😂
@mohammediomari6819
@mohammediomari6819 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@OrnellaHabonimana-gr7wp
@OrnellaHabonimana-gr7wp 11 ай бұрын
From Burundian maïsha marefuu ibran
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 8 ай бұрын
Mwari kigego 😂😂
@samirajumanneanzuruni7320
@samirajumanneanzuruni7320 8 ай бұрын
Mashallah
@fatumariziki7276
@fatumariziki7276 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@SofiaMohamed-k2j
@SofiaMohamed-k2j 28 күн бұрын
Jamani uyu kungwi anapatina wp
@TaniaBimo-gq9oj
@TaniaBimo-gq9oj Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😘🥰
@sofiarajabu1210
@sofiarajabu1210 10 ай бұрын
@Catherinelugadiru-gh9zg
@Catherinelugadiru-gh9zg 10 ай бұрын
Mafunzo tosha Kwa kweli 🙏
@Karyma-g3n
@Karyma-g3n Жыл бұрын
Mmh bibi arusi katoka kuzagamuliwa jmn hyu mwanamke htr jmn 😮
@samirajumanneanzuruni7320
@samirajumanneanzuruni7320 8 ай бұрын
😂😂mbona mwali kigego
@grice2075
@grice2075 Жыл бұрын
Mm pia sitakuaibisha kungwi
@TatuRashid-x1p
@TatuRashid-x1p 11 ай бұрын
Ibra kungwi ya sehemu yaishilin siiyon kaka
@zenakioga6567
@zenakioga6567 Жыл бұрын
Kweli tunajifunza mengi sn hongera sn kungwi dume
@AnnaMundia-d3o
@AnnaMundia-d3o 9 ай бұрын
Sijawai rusha comment ila huyu mwari kaniudhi mpaka..Ibra kwani kuna venye una macho yakiroho..😅😢??
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 8 ай бұрын
😂😂😂
@halimamohammed7863
@halimamohammed7863 Жыл бұрын
Subira ungepita na njia ya uani 🤔🙄
@ZenaMustapha-tj8yn
@ZenaMustapha-tj8yn Жыл бұрын
❤❤❤🎉🎉❤🎉❤🎉
@TaniaBimo-gq9oj
@TaniaBimo-gq9oj Жыл бұрын
Jmn bon kmy tena vp
@enosokwaro14
@enosokwaro14 Жыл бұрын
Vpi kama mwanamke wangu yupo kwenye siku zake alafu mm hahitaji tendo.then ni decide kutumia mpira itamwathiri kweli
@ibrahthedon
@ibrahthedon Жыл бұрын
Si busara sana kumuingilia mwanamke akiwa kwenye hedhi ila mwanamke snaeeza kutumia njia mbalimbali za kukufanya ujisikie huru na ufike unapopataka kwa maana mwanaume akishakojoa basi hamu ya lile tendo hupungua ama kuisha kabisa
@aishapogwa2916
@aishapogwa2916 Жыл бұрын
Kungwii rahass san
@elinathanjackie3042
@elinathanjackie3042 11 ай бұрын
Unajua kaka angu jaman
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid Жыл бұрын
Mwanake mwenyewe ndo uyo apenda maboroowa kweli jmn
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 Жыл бұрын
Kila siku afanywaaa loohh kwl apenda maborwaaa
@BilhudaBakari
@BilhudaBakari Жыл бұрын
Upo wapi kaka ibra nije mpaka ulipo
@aishapogwa2916
@aishapogwa2916 Жыл бұрын
Subira mwali kigego hyoo
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Wow mzigo mjengoni
@ZuwenRamadhan-o5p
@ZuwenRamadhan-o5p 3 ай бұрын
Jaman we kugwi pend xhan❤❤❤❤❤
@ZuwenRamadhan-o5p
@ZuwenRamadhan-o5p 3 ай бұрын
Me nakupa mauwa yako🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sofiarajabu1210
@sofiarajabu1210 Жыл бұрын
😂😂😂
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Жыл бұрын
Ila kungwi una masomo mazur sana.
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid Жыл бұрын
Mwanamke
@annanalompa-mr3bn
@annanalompa-mr3bn Жыл бұрын
Yani nilitaka kushangaa
@BilhudaBakari
@BilhudaBakari Жыл бұрын
Upo wapi kingwi dime nije mpaka ulipo
@AishaTuyishemeze
@AishaTuyishemeze Жыл бұрын
😅😅😅
@FatmaAlly-d5v
@FatmaAlly-d5v Жыл бұрын
Mwali kigego
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 Жыл бұрын
To be continued
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 9 ай бұрын
Ibra mtu wamaana kabisa
@Karyma-g3n
@Karyma-g3n Жыл бұрын
Tupo hpa kuangalia mwali kigego
@ZeynabKarama-hj1ux
@ZeynabKarama-hj1ux Жыл бұрын
Sehemu ya ishirini jamani
@NanahBrown
@NanahBrown Жыл бұрын
Mbn ya 18 mi siipat Kila nikiisuchi jmn😢
@felistermillinga5721
@felistermillinga5721 Жыл бұрын
Iko hewani mbona mm nimesearch nimeipata huyo sehemu ya 18
@NanahBrown
@NanahBrown Жыл бұрын
@@felistermillinga5721 niliona tangazo kama hili la sasa lakin sikuipata zinakuja za zaman
@mwanaashahamisi554
@mwanaashahamisi554 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ipo umeisuchi vibaya😂😂😂😂
@NanahBrown
@NanahBrown Жыл бұрын
Nishaibahatisha
@monarose6091
@monarose6091 Жыл бұрын
Wamwisho jamani
@FatmaOmar-py1cn
@FatmaOmar-py1cn 11 ай бұрын
Kungwi dume unakera tupe y 20 bc
@AishaAly-nl5ud
@AishaAly-nl5ud Жыл бұрын
Jaribu kutowa kwakila siku unakaa saa hujatowa una tutowa utamu bwana
@kizuwakambi5051
@kizuwakambi5051 Жыл бұрын
Shangazi hahahaha
@felistermillinga5721
@felistermillinga5721 Жыл бұрын
Tunaisubr kwa hamu sehemu ya 19 saa tatu inachelewa naona
@mwanaashahamisi554
@mwanaashahamisi554 Жыл бұрын
😂😂😂saaa tatu nyingi Sana 😂😂😂😂💃💃💃💃💃
@SaidaSaida-ub4ez
@SaidaSaida-ub4ez 8 ай бұрын
😂😂😂😂kaka Angu ❤❤❤ nakupenda
@Saintplamondon
@Saintplamondon Жыл бұрын
❤🎉🎉🎉❤
@amanihuseni5007
@amanihuseni5007 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SaumuGindo-hk8jz
@SaumuGindo-hk8jz Жыл бұрын
❤❤❤❤
@AishaTuyishemeze
@AishaTuyishemeze Жыл бұрын
😅😅😅
@FatmaMwinjuma-p5u
@FatmaMwinjuma-p5u Жыл бұрын
❤❤❤❤
KUNGWI DUME sehemu ya Ishirini
22:50
Ibrah Thedon
Рет қаралды 27 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
CHUKI YA WIFI PART 1 || NEW BONGO MOVIES 2023 || PILI MABOGA
23:55
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Ibrah Thedon
Рет қаралды 45 М.
KIKWAZO | FILM
48:48
Nexus Entertainment
Рет қаралды 112
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 840 М.
UUNGWANA EPISODE 3 (Fuatilia muendelezo huu ili uweze kujionea burudani)
15:01
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na mbili
30:49
Ibrah Thedon
Рет қаралды 48 М.
SIMULIZI FUPI: BINTI LISA Part 1, By Anko Jay
2:02:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 69 М.
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na SABA
25:24
Ibrah Thedon
Рет қаралды 36 М.
KUNGWI DUME sehemu ya ishirini na moja
22:14
Ibrah Thedon
Рет қаралды 25 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН