THANK YOU GUYS FOR ENDLESS SUPPORT ❤😢 I APPRECIATE 🙏
@WASHAmusik11 ай бұрын
🦅
@sixmelody434911 ай бұрын
🔥🔥🔥
@JosephEmmanuel-eb7gj11 ай бұрын
Bonge moja la video
@MashaKhalfan-b5n11 ай бұрын
Story inaeleweka kazi nzuri kaka kusah
@isaacadam25511 ай бұрын
Oyaaaa Kusah! wewe ni mwamba aisee. Dah! naiangalia hii movie mara kumikumi. Nashindwa ata niseme nini mzee dah! Wewe unajua, wewe ni mwanamuziki sio msanii
@Blessing3216211 ай бұрын
Mungu tyu ndiye muweza wa kila jambo kama unaamini gonga like nione❤!
@amraniibrahim690611 ай бұрын
❤
@KingsKasimila10 ай бұрын
Tutaonana
@SalumuIbraah8 ай бұрын
Laaaa?kweli
@davidshukuru69323 ай бұрын
❤🎉is 🎉🎉🎉
@joshuakirema9 ай бұрын
Hatuongopi mtu bana tunaonga mungu tu wapi like za hii verse
I love this song....mkiona nimenyamaza kila mara siingilii issues za watu utusi,ugasi nikama siskii wala sioni..."Hizi shida zangu ...zina nitosha"big up kusah .+254
@NgukuCarol11 ай бұрын
Representing 254 🇰🇪 nasiogopi na muogopa Mungu to such a powerful 2024 theme 👏
@brigid-vb7ep2 ай бұрын
🔥🔥🔥Mungu tu
@salimbazmul580611 ай бұрын
Wakwanza Wanangu Nipewe Like Zangu Tunaomkubali Mzee baba Kusah🔥🔥🔥
@RamadhanBushushu-kz8xv11 ай бұрын
Saw
@abubacarassanetoziy474711 ай бұрын
Kazi mzuri sana kussa kama unakubari uyu jama like hapo
@ChenchiKing11 ай бұрын
Kusah Is Very Talented So Let's Go Together To Support Him , Kam Unamkubal Weka Likes 🎉🎉🎉🎉🎉
@OFFICIALSEMAH11 ай бұрын
Kusah umepigajee hapo weka like hapa za god
@therapy_20309 ай бұрын
Na simuogopi mtu,,,,siogopi kitu,,,namuogopa MUNGU TU 💯
@sianne-es6yp6 ай бұрын
Binadamu siwawezi Bora nibaki na mwenyezi Kuna jua kuna mwezi Nakupangua hatuwezi Ahsante baba kwa mkate na bikombe Kilichobaki acha mimi nikuombe Aah binadmu metuumba na unyonge Nikikosea naomba mungu unione, tena Na siog opi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Na siog opi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Walishapiga na story niko hoi Siponi tena Wakaapa sitoboi sitoboi sitoboi tena Si walisema hayatopita Leo mungu kawanyamazisha Wakapanga mpaka vita Katikati yao nikapita Na siogopi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Na siog opi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo
@TodaynottomorrowUg11 ай бұрын
Watching from 🇺🇬 uganda. Show kusah some love of his vocal strength
@EdnaMathias-jc8rq5 ай бұрын
Hapo unajifunza sio Kila alioko Hela kakosa Kaka kusah umeimba baba mauwa yako❤❤❤❤ naombeni like zenu nawapenda wote
@anitah304379 ай бұрын
Nmejua this song kutoka video chira alijofanya na baba T love from Uganda rip chira
@cyruskoech17111 ай бұрын
Love from kenya bro❤
@Maryammimi909 ай бұрын
MashAllah TabarakAllah
@SylviaJohnson-r4w9 ай бұрын
Came here coz of chira may he continue resting in peace
@user-rw3rr6zd7c8 ай бұрын
We are so sorry ❤
@clementiddi57085 ай бұрын
I do remember the demise of that young brother. This song reflected what he went through.
@jeremiahkamau-g2v4 ай бұрын
sorry
@sharonochieng-gy1kt11 ай бұрын
I don't know what to say about this song I feel like crying 😢😭😭😭😭😭 I only respect God 🙏 he's everything in our life 🙏🙏🙏 Na God dey bless you abundantly KUSAH
@Aqbrown-k8q11 ай бұрын
Mimi pia ni msanii wa RnB and Bongo flavor. Ila namfwatilia Sana kusah. One of my favorite Tanzanian artist much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
@laxmajor11 ай бұрын
Uñyma mwingi kusah💯💯💯💯💯😍🇹🇿
@sarahyunise221811 ай бұрын
All the way from 🇰🇪..welove u kusah ❤❤
@shadyarif65311 ай бұрын
Artist mwenye huwa hana compee...more Love from kenya
@arabgandaempire11 ай бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@richvannyrichie11 ай бұрын
Wapi likes za wa kwanza huku kwa kusah ❤❤❤❤❤❤❤❤ from 254ke
@KennethGitau-v9z4 ай бұрын
Recieve your breakthrough in the mighty name of GOD believing in Jesus christ whom died for our sins
@neutybebz318711 ай бұрын
❤❤❤mungu tu
@mrben22711 ай бұрын
Mziki mzuri na wenye hisia sana ...congrats bro 🎉
@Ashmarie25411 ай бұрын
@kusah thankyooouuuuu for this video kwa kweli mungu hawezi kutusahau nakupenda sanaa kusah ❤❤❤mingu akubariki
@Futumaabdi-v2d9 ай бұрын
This song make someone to be strong enough to handle all problems u going through 😢
@JulistaHillary11 ай бұрын
Na siogopi mtu tu namuogopa Mungu tu nasijali lolote nimependa lisongi japo siyo shabiki wa hizi vitu❤
@SheilaQueen-tz7tp6 ай бұрын
ASANTE MUNGU KUNIJALIA. ASANTE KUNITENGEZEA NJIA KUPITA KATIKATI YA MADUI WANGU😭😭🙏🙏🙏
@oldtv698111 ай бұрын
duu with the video hii nyimbo hits different 🔥🔥🔥nice story man
@ifferallen805110 ай бұрын
Wimbo Wang pendwa😊
@Peninah-k7u11 ай бұрын
Mimi napenda mangoma Kama hayo yenye ujumbe mzuri itakubalika na jamii zote? Sio nyimbo za kuvaa uchi uchi Jamani tunaarabu watoto wetu? Kwanza wasani wa mziki mnasauti nzuri za kwimbimbia mbungu sijui mnakwama wap? Hongera sana kwa ngoma hiyo ipo good
@ShawnLexon11 ай бұрын
Kusah 🎉
@jeffnewsoul25411 ай бұрын
Kusah is a brother from the neighboring country, I have been listening to his amazing and wonderful songs, he amazes me every single day ❤ ♥ I don't know what to say men, keep gowing brother ❤
@starnleystarnz11 ай бұрын
Kali sana🎉
@SalimaNdee10 ай бұрын
Ngoma kali kwanza umeimba kwahisia kali hongera
@stevensamba10407 ай бұрын
Mung ndiyo kila ki2 maishan mwe2
@ObertinalepereSilvana6 ай бұрын
Mungu ndio anapaga kila kitu kwa maisha
@Legrand_Cheetah11 ай бұрын
Kumbe ni Mzee Tupa Tupa ndio alifanya hicho kitendo kibaya af wakamuekea Kusah 😢😢 enyewe tuko kampeni
@beatricemrisho84316 ай бұрын
Nyimbo hii huwa inanifariji sana kwenye maisha na mungu kanipitisha sasa niko juu yaooo. Asante yesuuuu. 🎉❤❤
@okothee254711 ай бұрын
Nimependa unavyowakilisha Broo ♥️💯
@victorjohnstone837010 ай бұрын
The best joh. Noma sana
@Unclesam25811 ай бұрын
Tanzania tujuane hapa kwa like
@CedricktshikomangongoNgongo11 ай бұрын
Kweli broh wemkali
@VALARIAAYUMAАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉nice song,,,kwa ukweli mm sitaki matatizo
@michaeljosephat2137 ай бұрын
Hii ni ya pili baada ya jike shupa Shows ur pure talent!
@ISSAJuma-i3u2 ай бұрын
Hii Ngoma ili Fanya vizir mpaka sasa
@ShabaniKizungu7 ай бұрын
Namuogopa Mungu tu
@Jk_rules_11 ай бұрын
Tamu❤
@fundiseif109611 ай бұрын
Mungu tu ngoma kali sana kusah umetisha sana 👊🔥🔥🔥💪
@oswardmwaluandaАй бұрын
❤❤❤❤❤❤ Mungu hawezi badilika daima mamshkulu kwa kila jambo 🎉🎉
@CATHERINEMUTUA-mj7kr11 ай бұрын
In God there is hope and restoration 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@billroberts82473 ай бұрын
Mungu tu ndiye anafaa kuogopwa💯
@kagwatheentertainer9 ай бұрын
Huu ni mwezi wangu wa kupokea🤲
@charlskaswiza298211 ай бұрын
Osie baba Keep it up
@Tozaboy11 ай бұрын
Natamani siku moja uwekezaji kwenye music uwe mkubwa ,nami niwe kwenye kutengeneza scripts za wasanii , pale hakimu anaangalia ile video ya ushahidi haikutakiwa kijana kamera ioneshe kwa juu yaan ,ilitakiwa ituoneshe tukio tu analo record ,ila mm Shabiki yako sana❤
@KercyJunior-nd9wy11 ай бұрын
Respect bro hii vidéo inaeleweka Na Pia inafunza allah ukupe mafanikio ndani ya huu mwaka 🙏🏽✊🏽 🇧🇮
@SophieAlexander-z8oАй бұрын
Saf sana nyimbo nzuri namuogopa mungu peke yake
@LauzeniMushani2 ай бұрын
hakika tunashinda Kwa neema zake tu
@SteveneJoshua-eh7kv11 ай бұрын
Nimerudia marambili ili nielewe video Kali.
@NirereEmelyne5 ай бұрын
Na mimi hata moja tu🎉🎉
@emmanuelkomen52248 ай бұрын
@kusah Ndo naskia kwa mara ya kwanza and it has made my morning
@Charliecoach911 ай бұрын
Big love💙♥️
@pkorirdunkhan986311 ай бұрын
The Video 👌👌👌 top top top!!
@msichana_fantastic5 ай бұрын
One thing for sure God is so good ..He favours ..He is merciful..He is Gracious
@rhodakathambi442710 ай бұрын
Everything is God.
@KizerboCiza2 ай бұрын
Mungu ndo yeye kila kitu❤❤
@yunushenry34729 ай бұрын
Mungu tu ndiye Muweza siku zote. Heshma kaka kwa huo wimbo. baraka tele.....
@hakimfischer71808 ай бұрын
Mungu pako yote, najuwa.
@catherinemutua39758 ай бұрын
Welcome tunakupenda sana
@NEEMALUGONO-p6j3 ай бұрын
Hongera kusah Kwa hizi nyimbo nzuri
@PotmimkadinaliPotmo8 ай бұрын
Doba iko poa bana mm ni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 best bro
@NmNm-n5gАй бұрын
Kweli namuogopa MUNGU tu hii nyimbo tamu sana ❤❤
@zaitunmwaktawa69715 ай бұрын
Hakika mungu ndo mpaji❤
@carolinemuriithi93957 ай бұрын
I will only fear God
@wanjala25411 ай бұрын
Halafu Kush anao pia uwezo mkubwa wa uigizaji safi sana big up from 254 KE
@VKevoh10 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 was here 💪🏾. This is real talent 💯
@hassansemwali84704 ай бұрын
nakubali sana mungu juu zaid hakuna mwingine
@swaxnews406911 ай бұрын
Mziki mzuri mno ya bonge la idea sikuwai kumkubali uyu jamaaa ila ni WA moto mno
@ChristineWanyama-v7y6 ай бұрын
🎉🎉🎉 nimeona bebii nko na Raha sanaa congratulation
@RehemaCharles-bf5qv5 ай бұрын
Mungu akutie nguvu kaka hakika nime balkiw ❤️❤️👌
@nagypromsafi11 ай бұрын
❤🎉😊😊😊 ❤🎉🎉🚀 kitu kizito kama alivyo imba baba angu CHUI 🔥🔥🔊 Rôle model 🚀🚀🚀📈📈📈
@raiyaomary19887 ай бұрын
Umetisha baba nono
@GeorginaMmboshia4 ай бұрын
Hi ngoma lmeweza nimemuona mzee tupatupa Much❤ from 🇰🇪
@rosemarymathew456911 ай бұрын
Jamani kibonge😂😂😂
@mogesibange89638 ай бұрын
Aki unafaa kuwa gospel artist
@ArnoldBonmoun10 ай бұрын
Wawww premier fwa mwen tombe sou vidéo sa mwen tèlman renmenl mwen gadel plusieurs fois
@ArnoldBonmoun10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@gracemwangi94179 ай бұрын
who are here after hearing this song in a video done by chira in tiktok.Tujuane na likes
@laurawiraka81763 ай бұрын
Namuogopa mungu tuu 🙏🙏🙏
@hamimhaslim85223 ай бұрын
I love this song....mkiona nimenyamaza kila mara siingilii issues za watu utusi,ugasi nikama siskii wala sioni..."Hizi shida zangu ...zina nitosha"big up kusah .+257 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@LOLISO_MP11 ай бұрын
Sisi wengine tunaskiliza mziki mzuri tu 😮😮 piga kali nyengine
@MeshackMbilinyi-pm5pb11 ай бұрын
#Kusah japo Kwa kuchelewa Ila makn sna🙌🙌🙌🙌
@sifaRejoice5 ай бұрын
Mungu ndo kila kitu
@kezzy484Ай бұрын
God above all
@luckyemmanuely156211 ай бұрын
Wapili❤❤❤❤
@danielkangethe99657 ай бұрын
Nasiogopi mtu naogopa mungutu aki my favorite song aki aki you have composed an impressive an imagenable great song of the entire century congrats to and keep on going we are with you all da way🙏🙏🙏🙏hivi shida zangu zina nitosha staki matatizo staki matatizo aki yawa you will go places I pray for you 🙏🙏🙏
@KennedyMuli-t7g11 ай бұрын
This has ALWAYS Been My G AND Will always BE.#KUSAH. more Love from 254.GOD BLESS.................................................