Subhaanallaah! Subhaanallaah! Wallahi hii elimu kwa kweli ni kubwa mnooo,yataka mtu anayetaka kufahamu hakki na sio mabishano yasiyo na maana. Jazaakallaahu yaa Sheikh Ahmed Aweis.
@sargentwalker70215 жыл бұрын
Elimu uliyo nayo sio wengi wanayo mada nzito kwli linahitajia masikilizi ya moyo kama ulivyo sema Allah akuzidishie Imam amir wangu Mubarak Awes