KUTANA NA MWALIMU ANAYEFUNDISHA KWA MBWEMBWE,ANAMFUNDISHA MAIZUMO

  Рет қаралды 66,833

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 122
@mansourisafa4092
@mansourisafa4092 5 жыл бұрын
very nice my mungu akupe ubunifu zaid na zaid Ayo tv vpi ile habar ya anthon mda sana tuletee tujue kafikia wap
@cypmkutubi3109
@cypmkutubi3109 5 жыл бұрын
Hongera sana Mwalimu, hii style yako inamfanya mwanafunzi kuvutiwa na shule na kumpenda sana mwalimu wake. Pia yale ya shuleni anashawishika kuyafanya nyumbani bila shuruti.
@festoaidan8955
@festoaidan8955 5 жыл бұрын
Namkubali sana Joyce
@suzanhumbi4178
@suzanhumbi4178 5 жыл бұрын
She is the best
@andrewchaula6134
@andrewchaula6134 5 жыл бұрын
The use of teaching aids contribute a lot on student understanding.
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
What she is doing is part of what she learnt in teaching. But most of teachers leave all when they graduate. In teaching what is insisted is for teacher to be creative. Big up madam
@sophieaden5367
@sophieaden5367 5 жыл бұрын
Passionate about her career
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 5 жыл бұрын
Nimekupenda sana ticha kwa kufundisha kwako
@shabanhunt5355
@shabanhunt5355 5 жыл бұрын
Comment yangu kwako ni positive.. Wewe dada unajua unachofanya.. Hongera sana!!
@gervasshayo7836
@gervasshayo7836 5 жыл бұрын
Madam your so creative well
@dr.sarahbusongo
@dr.sarahbusongo 5 жыл бұрын
"watoto wangu" I love that... Keep it up dada mzuri
@mjuba
@mjuba 5 жыл бұрын
Uko vizur sister!!!keep it up
@gomelimoto2751
@gomelimoto2751 5 жыл бұрын
Hongera sana,wewe ni miongoni mwa walimu tunaowahitaji Tanzania
@johnmbugani6532
@johnmbugani6532 5 жыл бұрын
Hongera mwalimu kwa ubunifu, Tanzania inahitaji sana watu km ninyi
@moseskayan3705
@moseskayan3705 5 жыл бұрын
Good relation ship with student hongera madam
@lulumichael8784
@lulumichael8784 5 жыл бұрын
Safi
@lucyakinyi5128
@lucyakinyi5128 5 жыл бұрын
chinese english teaching style,this is how i teach here in china too
@jeremiahmwanyika4441
@jeremiahmwanyika4441 5 жыл бұрын
“Watoto wangu “ dah nimeipenda iyo
@upendokariro4252
@upendokariro4252 2 жыл бұрын
Hongera mwanangu kazi yako ni njema naikubali
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 жыл бұрын
Hongera da
@MenTPL
@MenTPL 5 жыл бұрын
Ongera sana, kweli mwalimu ni lazma awe mbunifu kwa ajili wanafunzi waelewe vizuri
@a.856
@a.856 5 жыл бұрын
👏👏👏
@RehemaIssa-q7b
@RehemaIssa-q7b Ай бұрын
@johntonya436
@johntonya436 5 жыл бұрын
Nice
@mashmashmkeyenge9210
@mashmashmkeyenge9210 5 жыл бұрын
mbunifu sana lkn acha kujichubua nikuoe
@hawa4968
@hawa4968 5 жыл бұрын
Asante
@mashmashmkeyenge9210
@mashmashmkeyenge9210 5 жыл бұрын
@@hawa4968 umeipenda eee
@mwanamutemi
@mwanamutemi 5 жыл бұрын
Kenya wamebadilisha style ya kufundisha watoto wadogo. Nursery yaani chekechea HAKUNA KUSOMA BALI NI KUCHEZA NA KUZOEZESHWA KUWA NJE NA NYUMBANI kuanzia darasa la kwanza ndio sasa alfabeti zinaanza kusomeshwa kwa muda mchache sana, Huyu mwalimu amepata upeo huo yeye mwenyewe na nithibitisho la kweli kwamba watoto wadogo wanafaa kusaidiwa kuwa watoto wala sio kuwalimbikiza masomo masomo ili wafaulu mitihani pekeee !!!
@amidumselle5659
@amidumselle5659 5 жыл бұрын
I see you baby girl Nancy Mselle keep on moving dear. Congratulatiom madam Joyce #patmojuniourschool
@polycarplazaro8482
@polycarplazaro8482 5 жыл бұрын
Private schools ni HATARI.... watu wamechizika kufundisha sio mzaha na WANALIPWA BALAA NA POSHI KIBAO.... WHY NOT TEACHING WELL, CREATIVITY ETC!!!!!???
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 жыл бұрын
a
@kedy8297
@kedy8297 5 жыл бұрын
big up mrembbo
@mumybhay6561
@mumybhay6561 5 жыл бұрын
mbona miaka ulitaka ni kdg lakini sura imekomaa kweli!
@matha7750
@matha7750 3 жыл бұрын
She is right seriously coz ukimfundisha mtoto kwa michezo anakalili sana afu vtu vingi kwa wakat mmoja
@winfredbespoke8440
@winfredbespoke8440 5 жыл бұрын
Mda mwingi unatumia interview had inaboa
@Kidotii
@Kidotii 5 жыл бұрын
Big up Joyce!
@priscaandrew554
@priscaandrew554 5 жыл бұрын
On my side mm pia ni teacher,there is nothing new kwake...labda kwa asiye mwalimu anaweza akaona ni magen
@eliudbrown5
@eliudbrown5 5 жыл бұрын
Ni wivu tu
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 жыл бұрын
Acha wivu
@AishaAisha-xp6je
@AishaAisha-xp6je 5 жыл бұрын
Prisca Andrew acha wivu ww kama wajiweza na ww toa ubunifu wako tukuone
@ibrahimhemedy3810
@ibrahimhemedy3810 5 жыл бұрын
Teacher kuna tofauti...kubwa...ushaonekane Ayo TV...uchangamfu wake wa pkee ***nyotaaa
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 5 жыл бұрын
Hii inafanywa sana Ulaya niliona Hii Marekani
@gvanafrica2934
@gvanafrica2934 5 жыл бұрын
Marekani sio ulaya!!
@gvanafrica2934
@gvanafrica2934 5 жыл бұрын
Marekani sio ulaya
@rkhamis1771
@rkhamis1771 5 жыл бұрын
We nae muongo, marekani tang lini ikawa ulaya
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 5 жыл бұрын
@@rkhamis1771 Nitakutafutia hiyo vidéo ya huyo mwalimu wa kiume anafanya hiyo na nahisi ndiko huyo dada kaitowa ni kaiwada in Amerika Nipe email yako nikutumie
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 5 жыл бұрын
@@rkhamis1771 nimekuambia Marekani na Ulaya hiyo inafanyika
@mihatamnyaturu9069
@mihatamnyaturu9069 5 жыл бұрын
safi god
@marrystellahgulian2771
@marrystellahgulian2771 4 жыл бұрын
she is suitable but i wanna know which school she teach
@johnburra4975
@johnburra4975 5 жыл бұрын
Millard huyu reporter anaboaaaaa anashusha hadhi ya AyoTV
@mbanguluzito5496
@mbanguluzito5496 5 жыл бұрын
Kama mjapani uyu kaka mtangazaji
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 жыл бұрын
.
@missmoona4497
@missmoona4497 5 жыл бұрын
Maashallah unajitahid pia unafanya kaz nzur mno, lkn kwa miaka 25 hapana aisee sura tu inaongoza ww ni wa 30 naaa semann mwembamba lkn usikufanye ukajirudisha miaka mpnz
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 5 жыл бұрын
Huyu inawezekan akawa na umrii huo 25 ila sema nini mikorogo anayotumia ndio imemkomaza sura kakoroga ngozi matokeo anonekana tofauti na umrii wake.
@ashaali7154
@ashaali7154 5 жыл бұрын
Miss Moons acha kuwapa watu umri kutokana na muonekano wao kila mtu kaumbwa totauti wako walio na umri mkubwa lakini wana baby face hayo ni maumbile tu hata hivyo hapa tunaangalia kazi sio umri.
@injili90
@injili90 5 жыл бұрын
Punguza kula mafuta mtangazaji unahema sana au maiki nzito
@jojoshavu668
@jojoshavu668 5 жыл бұрын
ambokile mgimbe hahahahha
@potnews9702
@potnews9702 5 жыл бұрын
Hiyo njia inaitwa Montessori teaching method,, Joyce acha kujifanya huijui!! Ziko shule nyingi sana za Montessori zinatumia hii njia!!!
@elitegeneration1613
@elitegeneration1613 5 жыл бұрын
mtangazaji unaboa mzee
@andrewkazala9217
@andrewkazala9217 5 жыл бұрын
Napita
@hotpotato4191
@hotpotato4191 5 жыл бұрын
Yaani mm ni mkubwa zaidi yake? Sasa mbona naishi kwa wazazi bado? Nifanyeje?
@nurudovino288
@nurudovino288 5 жыл бұрын
Nyoo uuze matunda dukani kwangu utatoka kwenu usijar
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 5 жыл бұрын
ameolewa!?
@sabrinaramadhani332
@sabrinaramadhani332 5 жыл бұрын
She is
@rehemahramadhani3428
@rehemahramadhani3428 5 жыл бұрын
penda san dada joi
@jackyroy2985
@jackyroy2985 4 жыл бұрын
Kwan mtangazaji ana tatizo gani? Mbona kama kalewa hivi......am sorry lakini.
@mrautoelectrician8964
@mrautoelectrician8964 5 жыл бұрын
Huyu dada ako sawa juu anafanya masomo yanakua funny na hiko ndicho kiegezo bora ambacho wanafunzi wanahitaji nimempenda bure angekua kenya angesomesha watoto wangu
@justustwina7491
@justustwina7491 5 жыл бұрын
Uyu anamiaka 45 na hapo kajichubua tu asingejichubua angekuwa kama nani?
@nuruabeid7341
@nuruabeid7341 4 жыл бұрын
Jmn 25 cio 45 hahhaahhaah
@raymonddavid4061
@raymonddavid4061 5 жыл бұрын
Huyu jamaa mbona kama yupo high?
@asiaasia-pl4fl
@asiaasia-pl4fl 5 жыл бұрын
Jmn jmn jmn hee tuwe wakweli 25hehehehe saw ila usounamsuta 32😬😩😬
@kibibiseif7930
@kibibiseif7930 5 жыл бұрын
asia asia ... namie ndo nashangaa shoga angu 25?? Hapungui 32
@ibrahimhemedy3810
@ibrahimhemedy3810 5 жыл бұрын
Unaharibu point ,Elimu yako ndogo unaangalia uso ulimzaa wewe kuna maumbile yako tofauti...usi comment ..kama hufikiri..
@pendael02
@pendael02 5 жыл бұрын
Naomba chagua kuongea lugha moja. Aidha ongea english ama kiswahili. Ukichanganya changanya nakuoneni kama Kiowa_english. Mwl unachanganya changanya hivyo. Wewe ni mswahili au mu england ? Tuache ushamba baadhi yetu watanzania
@iddyamri2629
@iddyamri2629 5 жыл бұрын
Pendael Ulanga Hatujaskia vile lugha anachanganya,Dada yupo vizur
@bomplextv95
@bomplextv95 5 жыл бұрын
Fahamu nyimbo za mbele zenye maneno ya Kiswahili kzbin.info/www/bejne/haKXqYesjdWMf9U
@siwemamichael690
@siwemamichael690 5 жыл бұрын
Unamiaka 25 uso umechakaa hivyo
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 жыл бұрын
Chezea manii wewe😆😆😆
@robertyrwagasanarwagasana7154
@robertyrwagasanarwagasana7154 5 жыл бұрын
Siwema Michael dada kaz ya ualimu inachosha sana ,nilifundisha mwaka nikazee ,asante mungu nina biashara yangu sasa
@MusaNgao
@MusaNgao 5 жыл бұрын
Hatuishi namna hiyo.
@winfredbespoke8440
@winfredbespoke8440 5 жыл бұрын
Hata kama kachakaa ila ni mzr had raha
@siwemamichael690
@siwemamichael690 5 жыл бұрын
@@winfredbespoke8440 mbingu utaisikia tu
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 жыл бұрын
Usenge mtupu unawafundisha wtt kukata viuono
@winslowzirops3598
@winslowzirops3598 5 жыл бұрын
Shika Adabu kutukana watu bila sababu
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 жыл бұрын
@@winslowzirops3598 Hilo sio tusi ni hali halisi
@winfredbespoke8440
@winfredbespoke8440 5 жыл бұрын
Naww anza kuwafundisha kukata vichwa
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 жыл бұрын
Lakin mi simshangai kuwafundisha watoto upuuuzi huo kwani kilicho kua ndani ya debe ndo hicho hicho kitatoka km ni mahind mahind tu
@ashaali7154
@ashaali7154 5 жыл бұрын
@@zuheorsalim7759 Wanaofundisha wanafunzi kukataa viuno ni wale wasanii Wanaowafuata mashuleni au huwa huauwaoni acheni kumtukana mwalim kwa sababu munapenda tu kudhalilisha watu.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 66 МЛН
NA HII NDIO GENIUS KING'S WANAPOZALISHA WATOTO MAGENIUS
25:18
student connect Tz
Рет қаралды 6 М.
SAIKOLOJIA YA MWANAMME
53:34
Elmi TV
Рет қаралды 40 М.
MBINU NA ZANA  MBALIMBALI ZA KUFUNDISHIA ELIMU YA AWALI
14:35
ELIMU NA UBUNIFU
Рет қаралды 7 М.