Рет қаралды 153
Uwanja wa Makadara,mjini Mombasa umekuwa nguzo muhimu katika kuwaboresha wanaspoti mjini humo licha ya uhaba wa viwanja na vifaa muhimu vinavyohitajika na vijana hao. Kocha Khamis Baghazal na wasimamizi wa uwanja huo, wamekuwa wakijitolea kwa minajili ya jamii ili kuwazuia vijana dhidi ya kushiriki katika utumiaji wa mihadarati na uhalifu.