KWA UCHUNGU MAMA, MUME WA ALIYECHOMWA MOTO AKISIMULIA KILICHOTOKEA

  Рет қаралды 5,162

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Dainess Shao, mama mzazi wa Mkaguzi wa ndani wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, Jonais Shao(46) aliyefariki yeye na mwanaye Deidan Shao(7) kwa kuchomwa moto, ameeleza namna alivyokuwa akimsubiri mwanaye huyo siku ya alhamis aje amzike baba yake mdogo, ambaye alifariki dunia siku za hivi karibuni.
Mama huyo akisimulia kwa uchungu, amesema mwanaye huyo alikuwa ni mtoto wake wa kwanza na alikuwa ndio tegemeo lake kubwa baada ya baba yake mzazi, Edward Shao kufariki dunia miaka michache iliyopita.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Septemba 23, mwaka huu na Kamanda wa polisi mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi ni kwamba miili ya watu hao ilikutwa imechomwa moto na watu wasiojulikana, usiku wa saa tatu, Septemba 23, mwaka huu eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo kijiji cha Sindeni wilayani Handeni, mkoa wa Tanga.
Kamanda Muchunguzi alisema jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuwatafuta wa husika wa tukio hilo.
Video na Ombeni Daniel

Пікірлер: 15
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 23 сағат бұрын
Pole sana bibi angu mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigum inaumiza sana😢😢😢
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 23 сағат бұрын
Nikamwambia nipo POA,safi kabisa Bibi yangu,MUNGU AKUPE NGUVU
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 Күн бұрын
Pole Sana mama😭
@ishumaelmathayo1060
@ishumaelmathayo1060 22 сағат бұрын
Pole mama
@mwanas2
@mwanas2 23 сағат бұрын
Polen sana wanafamilia ivi vitendo vinaumiza mno labda walichukuliwa ata viungo ndio kisha kuchomwa jmni hujui watu wekua na roho ngumu nikuogopana tu sasa ivi jmni
@NeemaDamas-c3q
@NeemaDamas-c3q 19 сағат бұрын
Poleni inauma mnoo wanacdam tumekuwa Kama simbaa .
@romanilyimo
@romanilyimo 5 сағат бұрын
Poleni sana kwa msiba
@AntonyBruno-om8mr
@AntonyBruno-om8mr 20 сағат бұрын
Eeee jamani poleni sana wafiwa mmmh!!!
@agathadangat3132
@agathadangat3132 21 сағат бұрын
Poleni sana Mungu awatie nguvu wafiwa
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 21 сағат бұрын
😭😭😭😭😭🤲🙏🙏 pole bibi yng
@LevinaKiria-z5r
@LevinaKiria-z5r 18 сағат бұрын
Mingu anawaona jamani inauma
@ScolaMashalo
@ScolaMashalo 17 сағат бұрын
Inaumaa sana 😢😢
@HappinessNgowi-c9x
@HappinessNgowi-c9x Күн бұрын
Poleni sana
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Күн бұрын
Polen sana familia jaman
@TheresiafaustineMeela
@TheresiafaustineMeela 22 сағат бұрын
😢😢😢😢
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 13 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Mkali wa Danadana anavyoteseka Dar, amtaja Donald Trump, Jakaya Kikwete ...
25:54
Language Review: Arabic
21:44
Language Simp
Рет қаралды 255 М.
MTOTO WA TASA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
16:32
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 2,7 М.
7 Weird Facial Expressions of a Narcissist
12:22
Danish Bashir
Рет қаралды 390 М.