KWAMBOKA's baby daddy is here claiming he will Stop the wedding bcoz Kwambox is his Wife

  Рет қаралды 12,488

Easterntv

Easterntv

Күн бұрын

Пікірлер: 335
@NAOMIWANJIRU-ri4th
@NAOMIWANJIRU-ri4th 9 сағат бұрын
Mara ya kwanza kujipata wa kwanza huku kwa sama ....nipatieni ka like team eastern tv .
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women 9 сағат бұрын
Congratulations . 🎉🎉
@ivykerry3110
@ivykerry3110 5 сағат бұрын
Welcome,hapa ndio Canaan 😂
@ygvejbd4091
@ygvejbd4091 5 сағат бұрын
Karibu mama..uku uki ingia kutoka ni ngumu😂
@warigialifestyle
@warigialifestyle 6 сағат бұрын
Huyu hana nyota ya kuolewa...ako na ya kupendwa tu😂😂msinipige sana naumwa na kidole ya mkono inatype😂😂
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women 6 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ruthmongina7611
@ruthmongina7611 5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂namhurumia itabid aeende nyota mavueni
@sammykamau4575
@sammykamau4575 2 сағат бұрын
Atembelee Pastor Ng'ang'a au Kanyari arudishiwe nyota.
@gracemaina1406
@gracemaina1406 48 минут бұрын
😂😂😂😂😂
@florencemuiruri6499
@florencemuiruri6499 9 сағат бұрын
One lady two men kuna sisi ata rafiki Hakuna this world no balance 😳😳😳😳
@elizanyaga3502
@elizanyaga3502 7 сағат бұрын
😂😂😂😂
@TabithaWaiharo-f9g
@TabithaWaiharo-f9g 7 сағат бұрын
Nyota ndio hatuna ama
@LosyLoosy-k6b
@LosyLoosy-k6b 7 сағат бұрын
😂😂😂😂
@dianahmurutu6112
@dianahmurutu6112 7 сағат бұрын
Maybe God alisahau wetu kwa matope😢😢
@joycewanjiru9813
@joycewanjiru9813 7 сағат бұрын
😂😂😂
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women 9 сағат бұрын
Bitter truth. This woman loves this baby daddy , ata alimtext , ati , "ashajua ukweli",, meaning anampasha ata updates😂. In real sense , if this man style up and be a responsible man, Kwamboka will go for him. She is with the current guy Jeff only because of her hard curcamstances, not because of love . 🤭
@Mwewesa
@Mwewesa 9 сағат бұрын
I love your thoughts. ❤❤
@christine4072
@christine4072 9 сағат бұрын
It is like that
@shadrackamani7675
@shadrackamani7675 8 сағат бұрын
I will not even add a comma. You summarised well.
@blackylampard640
@blackylampard640 7 сағат бұрын
That's the whole truth
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 сағат бұрын
I accept
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂sama Leo umejua kutufurahisha et mmmh kwamboka how many husbands do you have 😅😅😅😅
@gracenyambura1620-tk9jd
@gracenyambura1620-tk9jd 5 сағат бұрын
Baby no. 2 we need you here kufa makanga kufa dereva
@LindahChebungei
@LindahChebungei 3 сағат бұрын
kufa abiria
@jetitahkarimi
@jetitahkarimi 10 минут бұрын
😭😭 huyu mwanaume KAZI yake niiku block life ya huyu madam iliawe anamtumia Tu mwanaume shetani wewe
@Wilky254
@Wilky254 6 сағат бұрын
Spirit of Rejection following Kwamboka... Omba Mungu sanaaa.....
@BlessedMammy
@BlessedMammy 6 сағат бұрын
huh 😮!!! she hide her child of 8 years to two men , that’s not spirit of rejection , it’s a lying spirit and cunningness . If she was truthful to this fiancee her life could be bright .
@bintikib254
@bintikib254 5 сағат бұрын
Mbona yeye ulala na ma ex,mpaka tym ameolewayete ni mjinga sana
@PanndayWanjiruwanjiku
@PanndayWanjiruwanjiku Сағат бұрын
Uko true
@gracenyambura1620-tk9jd
@gracenyambura1620-tk9jd 6 сағат бұрын
Kumbe ni mrasia 😂😂😂I thought ni wa mrema😂😂😂😂
@MeryNdegwa
@MeryNdegwa 7 сағат бұрын
Mwanamuke Moja wanaume watatu na Mimi nateseka nikitafuta wakuniambia I need you ama you look smart. Nipatieni ata pole. 😌😌😌
@christine4072
@christine4072 7 сағат бұрын
Pole mamaa utapata 😂😂😂😂
@MeryNdegwa
@MeryNdegwa 7 сағат бұрын
@christine4072 thank you Tina ☺️
@theafricanamish
@theafricanamish 7 сағат бұрын
You're not alone kmumy
@MeryNdegwa
@MeryNdegwa 7 сағат бұрын
@theafricanamish tuko kimoja . Haki hii maisha inapileleka wangara wangara
@zippykerubo2322
@zippykerubo2322 6 сағат бұрын
😅😅😅😅
@PhiliceIsutse
@PhiliceIsutse 7 сағат бұрын
Atapoteza wote,she loves him.😮
@johnmwangi-mj7iw
@johnmwangi-mj7iw 7 сағат бұрын
Hiyu mwanaume mbona asimove on,,,anaforce issues mbona
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 сағат бұрын
Mke we Bado anamtaka
@omanoman2044
@omanoman2044 8 сағат бұрын
Wanawake mbon mko na tamaa mungu wanvu mtu anakupiga nahuwwz badilika mungu wangu
@CynthiaKatunge-e1i
@CynthiaKatunge-e1i 9 сағат бұрын
Kwamboka is ready kupea baby daddy doh abuy gari juu amechoka kubebwa na nduthi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@reginanasirumbi1646
@reginanasirumbi1646 7 сағат бұрын
😂😂😂😂 ukweli kabisa
@marynyakio681
@marynyakio681 5 сағат бұрын
😢
@irenembithe305
@irenembithe305 7 сағат бұрын
Kuzaa na mtu haimanishi we husband wake
@remmyspartah365
@remmyspartah365 2 сағат бұрын
Thid man reminds me of my baby daddy ,may God help him ,mimi sikuwahi rudi kwake when i left. Been raising my kid alone . Huyu ni narcissist, selfish, arrogant man . Ungekimbia kitambo ,i had trauma i got from that ex man ,i thank God He is healing me . THIS ONE can do worst gaaai 😢
@monicakaranja1631
@monicakaranja1631 9 сағат бұрын
Pesa ya wizi mungu ni Nani expose them they steal money wakieka Kwa account ya kwamboka
@Mwewesa
@Mwewesa 9 сағат бұрын
Oooohh kumbe you have noticed , 😂😂😂😂
@Oderorege
@Oderorege 7 сағат бұрын
Wewe bwana ni Zakayo hua tuna HEPA 😁😁
@monicakaranja1631
@monicakaranja1631 7 сағат бұрын
Yes na jamaa akaona mama atatomboa Siri akajipea shughli
@wambuimwangi5123
@wambuimwangi5123 6 сағат бұрын
There is illegal business he does with the uncle and his Yues babe..He is not a political analyst.
@Oderorege
@Oderorege 6 сағат бұрын
@wambuimwangi5123 Ama ndio wauzaji wa kidney
@robijorum4113
@robijorum4113 6 сағат бұрын
kuoa singo matha ujue baby daddy hanyimwangwi , lazma mtashare kuma 😂😂
@christine4072
@christine4072 5 сағат бұрын
@@robijorum4113 na bona then waaachane si waendelee kukaa pamoja juu hakuna tofauti
@miriamwanyoike3771
@miriamwanyoike3771 9 сағат бұрын
Huyu Sasa 😂😂😂😂ndio ametupa mbao
@christine4072
@christine4072 7 сағат бұрын
😂😂😂😂
@joycewairimu2448
@joycewairimu2448 Сағат бұрын
Manze uache Chali kama Jeff unalala na hiki kinyangarika... My class won't allow me to stoop this low. Jeff is smart n classy .. full of respect. Wueh. Lord connect me na msee kama Jeff
@gracenyambura1620-tk9jd
@gracenyambura1620-tk9jd 5 сағат бұрын
But kwamboka mbona uropokwe kusuhu pesa mimi ningendelea kuwa accountant wao mapenzi eka kando but ukianza nyenye utakufa ubwa wewe...yani unatrustiwa na mapesa mingi hivyo alafu unarudia katumani imesota anakupiga 😢women twataka nini walai😂😂😂😂
@christine4072
@christine4072 5 сағат бұрын
@@gracenyambura1620-tk9jd 😂😂🤣🤣🤣katumani
@SamuelKabuku-fd1qs
@SamuelKabuku-fd1qs 5 сағат бұрын
Chuma ya ndoshi ndio iko sawa
@Shazatis
@Shazatis 4 сағат бұрын
Wueh Dunia ina mambo...
@consolatanechesa3004
@consolatanechesa3004 5 сағат бұрын
Baby dad wote wakuje on set mbaya mbaya qwani Iko nn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kilogreek4050
@kilogreek4050 2 сағат бұрын
Huyu Madam Anampenda baba mtoto wake kwanini Amwambie yote kuolewa na mambo mengine???😂😂😂
@nashryans7727
@nashryans7727 7 сағат бұрын
Wewe mwanamke unapenda uyu jamaa sana.mbona uambie uyu mwanaume unaolewa ama unafanya arusi..jipange sasa
@Grace.ke02
@Grace.ke02 Сағат бұрын
True love from first love is hard to break... huyu mama ata ni pĺayer akae tu na huyu akapalale nauko
@lucychuvih3593
@lucychuvih3593 4 сағат бұрын
She gave you a beautiful son😂😂😂😂
@DasMasters
@DasMasters 7 сағат бұрын
@18:25, Wanaume wanagombania Nyash ya Kwambox!
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 сағат бұрын
Mimi siwezi hata ku raise my hand eti Nina fight for nyash 😂😂😂
@TabithaTabitha-t6s
@TabithaTabitha-t6s 6 сағат бұрын
Huyu amezindi walai😂😂
@abdigiro7701
@abdigiro7701 6 сағат бұрын
Ukiona dem anapiganiwa na watu wawili big up uko sawa
@winskitchen.602
@winskitchen.602 5 сағат бұрын
Ni ukweli, mm sipiganiwi😂😂😂😂😂
@STEVEWANJIRU-y9l
@STEVEWANJIRU-y9l 5 сағат бұрын
Kwanza watatu
@Wildflower254
@Wildflower254 4 сағат бұрын
Ni jui ya Nyash😂😂
@abdigiro7701
@abdigiro7701 2 сағат бұрын
@Wildflower254 🤣🤣🤣🤣
@dominicnyamweya2852
@dominicnyamweya2852 4 сағат бұрын
Nilidhani wasichana wakisii wanatairishwa ndio watulie kumbe ndio kinembe inakuwa na mamioto
@SoziSozi2020
@SoziSozi2020 7 сағат бұрын
kulikwambia ufafanulie sama mambo yako utapata baby dads hapo ukusikia sasa ona kamami kitakuramba 😂😂😂😂
@agnesepete3367
@agnesepete3367 4 сағат бұрын
Si mko na nyota huku nje😂
@janeotiso552
@janeotiso552 5 сағат бұрын
Seriously, kwamboka with 2 husbands! Kwambox jaribu nani best?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwamboka, matanga hahaha😅😅😅😅....
@leahchristamakori6992
@leahchristamakori6992 8 сағат бұрын
He cant stop the wedding awache ujinga only.through a court order
@blackylampard640
@blackylampard640 7 сағат бұрын
Why should the wedding go ahead in the first place, the woman is untrustworthy and she has already betrayed the trust
@elizabethkosgei4731
@elizabethkosgei4731 6 сағат бұрын
if it's church he will have to stop the wedding,
@SoziSozi2020
@SoziSozi2020 7 сағат бұрын
😂😂😂 sasa niyanini vita
@CateKiminja
@CateKiminja 7 сағат бұрын
Ok huyu mwanamke kazi yake nikuzaa na kukanyanga kubwa kubwa ...ata wakiachwa na jeff ata zaa then apate mwingine ako na nyota ya kupewa mimba😢😢😢😂
@halimacute
@halimacute 7 сағат бұрын
Ety n zangu 😂😂 mapenzi shikamoo 🤝
@TimothyKiplimo-pl1nn
@TimothyKiplimo-pl1nn 7 сағат бұрын
𝐻𝑢𝑦𝑢 𝑛𝑎 𝑛𝑦𝑜𝑡𝑎 𝑦𝑎 𝑛𝑑𝑜𝑎 𝑛𝑖 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑚𝑎𝑗𝑖 𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎😅😅😅
@kenyamedia-t2e
@kenyamedia-t2e 9 сағат бұрын
kumbe ni mama mzee hivyo kijana aliona nyashi tu nothing else
@georgejuma9221
@georgejuma9221 8 сағат бұрын
😂😂😂😂
@BintiDanford
@BintiDanford 6 сағат бұрын
Ni Mzee na bado hajielewi😂
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 сағат бұрын
Ukweli kabisa
@terrymwangi6516
@terrymwangi6516 46 минут бұрын
Shinda sio uzee shinda hajielewi
@rolinekathure3021
@rolinekathure3021 6 сағат бұрын
Mamaa uko na nyota ya wanaume naona by ufikishe 40yrs utakuwa na baby daddies kama 50😅😅😅
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women 6 сағат бұрын
Ngaaaaiiihhhhhh 😮😮😮😮
@gracenyambura1620-tk9jd
@gracenyambura1620-tk9jd 5 сағат бұрын
😂😂😂😂 mwambia welcome back to the streets mama single sana mac muga na watoto wanne😂😂😂😂
@pharoah-ahmose6075
@pharoah-ahmose6075 5 сағат бұрын
Why did you cut off when the action was about to start yawa😂😂😂
@emeldernyamwaya2573
@emeldernyamwaya2573 9 сағат бұрын
Huyo kasichana anakaa tu Faith wa Eugene 😂same case
@dancanomwenga1987
@dancanomwenga1987 3 сағат бұрын
Mnagwarana sababu ya mwanamke😢😢 wanaume style up😢 mbona si wanawake ni wengi, chagueni wengine tena
@victormaina9343
@victormaina9343 6 сағат бұрын
This guy in my opinion he's a narcissist and he wants to destroy this lady's life...
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh 5 сағат бұрын
Huyu mdame anaenda akizaazaa ovyo unatakaje sasa wewe na mabwana watatu aiii😢
@faithkanana7634
@faithkanana7634 7 сағат бұрын
My sister run for yr life 😂
@robertkelem5144
@robertkelem5144 5 сағат бұрын
Fighting for junk must be so painful indeed !!!
@LucyKibebe
@LucyKibebe 6 сағат бұрын
Hawa wanaume wenye hukatalia kwa wanawake wanatokanga wapi useless
@ChuiMacharia-iy6og
@ChuiMacharia-iy6og 3 сағат бұрын
Samaritan this jama hako serious, mbona hajali ako na watoto wawili na huyu madam+ huyu madam ni cheater
@nyakunditruphena7433
@nyakunditruphena7433 5 сағат бұрын
This man is narcissistic and controlling 😢😢😢😢kwamboka will forever be single😢😢
@georgejuma9221
@georgejuma9221 8 сағат бұрын
From the look of things, he is a beneficiary from this relationship, which is already terminated,so stopping astaggering shit 😅😅😅😅😅
@rahema907
@rahema907 7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nacheka nn mbwa mm
@christine4072
@christine4072 7 сағат бұрын
😂😂😂😂
@loseeal3440
@loseeal3440 3 сағат бұрын
Mtaka yote hukosa yote kula kiburi yako maraya hii😂
@Ruthkamau-f5n
@Ruthkamau-f5n 7 сағат бұрын
Shinda siati ako na watoto, Watu huoleka Mpaka na 5 kids. But how comes alificha kijana akakosa kuambia Jeff and the bad thing, she's still sleeping with the ex. Why can't she be loyal??? And which Man can accept that surely??. Ladies let us love ourselves and be open if we decide to move on 😮
@akoyaonyoyo2361
@akoyaonyoyo2361 6 сағат бұрын
Ataiyo mimba inaeza kua ya x
@Jescah-d2c
@Jescah-d2c 6 сағат бұрын
Imagine 😢
@DorrenJuma-zf5jx
@DorrenJuma-zf5jx 6 сағат бұрын
Very true .shida Sasa inakam mahali anahung up na ex
@ivykerry3110
@ivykerry3110 5 сағат бұрын
Kwamboka umefika kuchomea wakisii Na vile tulikuwa tusafishe rada huu mwaka😂
@gakiimiriti9809
@gakiimiriti9809 5 сағат бұрын
Truth
@kylo5418
@kylo5418 5 сағат бұрын
Wenye mnaoa single mums mjue baby daddy lazima akule vitu .... Usikubali kuingia kwa family ya wengine 😂
@aln9225
@aln9225 3 сағат бұрын
Wamevaa similar bracelet
@marydavid9635
@marydavid9635 7 сағат бұрын
Mwanamke ako na wanaume watatu 1st baba daddy 2nd twins 3nd jeff waa dunia imeoza
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 сағат бұрын
Nyash kaletwa shida hapa
@loseeal3440
@loseeal3440 3 сағат бұрын
No weddings no weddings umaraya yako ikule sasa
@MargaretshishWanjiku
@MargaretshishWanjiku Сағат бұрын
Kuna story ingine ilikua kaa ii sijui dame alikua anaitwa amani yeah..
@wairimuwaihwa2475
@wairimuwaihwa2475 6 сағат бұрын
This woman is decisionless She is weak Infront of these guy who is abusive but loves him....😢😢😢
@navukalunavatanzi6227
@navukalunavatanzi6227 44 минут бұрын
Acha uwongo mbona unalala naye
@susanmathenge-mf9xy
@susanmathenge-mf9xy 3 сағат бұрын
Kwamboka kusema ukweli shape uko nayo but huna akili ,utaendelea kuzalishwa na wanaume tofauti tofauti
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 6 сағат бұрын
Pole mary wako atakuja
@GeoffreyShikami
@GeoffreyShikami 7 сағат бұрын
Mimi kama mkenya I fear mademu hutoka kisii ladies wako nyash 😃😃 but kuplay outside aki siwezi you can't marry one 😮😮
@nancymoraa6491
@nancymoraa6491 5 сағат бұрын
Sio wakisii wote wako na nyash na kuplay please 🥺
@GeoffreyShikami
@GeoffreyShikami 5 сағат бұрын
@nancymoraa6491 i fear aki I had two wacha Tu wanapenda kugongwa Tu sana
@GladysNduku-x8y
@GladysNduku-x8y Сағат бұрын
Mi naona huyu kwambox anapenda baby daddy,but anachuma pesa kwa huyo mwingine but she wl regret when it's too late
@shikusteve
@shikusteve 6 сағат бұрын
Now see the consequences of allowing your ex in your life your the course of all this now carry your burden
@DominicMwangi-n7l
@DominicMwangi-n7l 5 сағат бұрын
Madam hauna luck ya ndoa utazaa watoto kumi na Tano na wanaume tofauti
@NancyKarash-j2k
@NancyKarash-j2k 7 сағат бұрын
Wewe Mama una msimamo
@beatricebrownie
@beatricebrownie 8 сағат бұрын
Mwanaume amejua Dem alipata mtu akona mapesa ,,so kazi ni kudanganya kwamboka,, Kwamboka you will regret meeting Samaritan and revealing your dark secrets
@TimothyKiplimo-pl1nn
@TimothyKiplimo-pl1nn 7 сағат бұрын
𝐻𝑢𝑦𝑢 𝑚𝑖𝑙𝑎𝑔𝑒 𝑖𝑙𝑖𝑠𝑜𝑛𝑔𝑎,𝑠𝑎𝑚𝑎𝑎 𝑔𝑜𝑜𝑑 𝑗𝑜𝑏
@MaryWangari-ce1dk
@MaryWangari-ce1dk 5 сағат бұрын
Sama Hawa watu wanapedana 😅😅
@treasureforashes3497
@treasureforashes3497 7 сағат бұрын
Kwamboka you are the problem, sio wewe wa kwanza kuwa na watoto ,but when you cut ties you cut permanently, wewe you've never left it can't work
@athulumargaret8372
@athulumargaret8372 3 сағат бұрын
Girl uko na shida...you dont go back to your ex!
@charity4908
@charity4908 7 сағат бұрын
Even Jesus told the woman who had five men that neither of them were hers. It is really out of order for a woman to have more than one husband na alala nao at the same time. My goodness. Woman, umefanya vubaya and repent and move one.
@MillicentAseyo
@MillicentAseyo 7 сағат бұрын
Uko na mkosi ya rejection spirit your first husband will remain your husband huyo guy ako sawa go back to your first husband wacha kutangatanga kwa wanaume
@BintiDanford
@BintiDanford 6 сағат бұрын
Huyu dada anampenda huyu jamaa maana mpaka leo bado anaenda kwake na bado anamshirikisha mambo yake na mume tuseme ukweli huwezi mwambia ex maisha yako bila sababu mtu humpendi mda wote unaenda kufanya nae mapenzi huyu dada hajielewi kabisa atakosa yote asipochunga
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 5 сағат бұрын
Niulize huyu mwanaume son anafaa kua handsome ama beauty full 😂😂
@jumaomari285
@jumaomari285 3 сағат бұрын
Over handsome
@AllanKalu-y3u
@AllanKalu-y3u 5 сағат бұрын
Huyu dem anapenda huyumwanamke anadaganya bwanaharusi
@alexndonde3068
@alexndonde3068 4 сағат бұрын
Huyu mwanamke na huyu jamaa ana agenda ya Siri hawa wa wili
@Jaminblsed
@Jaminblsed Сағат бұрын
Huyu mwanaume aachane na huyu mama coz hampendi
@valentinej.chirchir9475
@valentinej.chirchir9475 7 сағат бұрын
This slim guys ptoo
@MargaretshishWanjiku
@MargaretshishWanjiku Сағат бұрын
Uyu mwanaume ni ng'ombe ata kama
@wambuimwangi5123
@wambuimwangi5123 7 сағат бұрын
The power of the first love
@joycechebet7557
@joycechebet7557 6 сағат бұрын
Ni game tu anatafuta kwa huyu hapati kwa jamaa wake
@njerinyambura2691
@njerinyambura2691 5 сағат бұрын
Those twins ni ya hawa jamaa
@shadrackamani7675
@shadrackamani7675 8 сағат бұрын
Kuna kashfa hapa..! Wacha tusubiri..🤔🤔
@mamaboizpure842
@mamaboizpure842 6 сағат бұрын
Mbona uende kulala na x kama haumtaki from the msgs sijasikia eny threatening msg mnaPendana na mko kimoja
@victorkiprotich7851
@victorkiprotich7851 Сағат бұрын
Hawa wanapendana, sio siri *
@ChristopherMutumaMuthuri-n5j
@ChristopherMutumaMuthuri-n5j 5 сағат бұрын
Wapasueni roho muone kama wanaongea ukweli,,,,hawa watu wanapendana
@JaneWangui-xy2gf
@JaneWangui-xy2gf 5 сағат бұрын
I blame this woman,she is not honest at all
@elizabethgitau980
@elizabethgitau980 6 сағат бұрын
Who notices she's is talking about watoto..I doubt the child left behind is one only..
@newug3347
@newug3347 6 сағат бұрын
Ladies, be aware of small guys
@bedicaambani4741
@bedicaambani4741 6 сағат бұрын
I have reason to believe the twins are belonging to this man and also hiyo mimba ya Saa hii .. Trust me when i say that Kwamboka and this Jambazi they have 3 children plus the pregnancy.... Sama Please do DNA and save the situation
@catherinemuthinimusau5042
@catherinemuthinimusau5042 7 сағат бұрын
The slim man,phothooooo, shindwe jeff continue with your wedding, forgive her kindly
@consolatanechesa3004
@consolatanechesa3004 5 сағат бұрын
Ata niwe na watoto kumi siwezi ficha mm mwanake mjinga matako kumbwa bila akili nkt
@nicholasouma4390
@nicholasouma4390 7 сағат бұрын
Wewe mwana dada acha nikuibie Siri ni kifo inakutafuta chunga xana ni hayo tu
@christine4072
@christine4072 7 сағат бұрын
Truee
@MagretAndeka
@MagretAndeka 5 сағат бұрын
Waah .na ndo uko na bol ingine ya mme mwingine hii ni spirit gani jameni😢
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 5 сағат бұрын
e-x spirit
@navukalunavatanzi6227
@navukalunavatanzi6227 46 минут бұрын
Hamjawahi kuwachana bado unampeya
@Isabella-Key245
@Isabella-Key245 7 сағат бұрын
One woman three men gaki kwamboka why
@PhilisKundu
@PhilisKundu 7 сағат бұрын
Wee mbon mtu anakungoka na bato unausiano na yeye
@wamzy1110
@wamzy1110 7 сағат бұрын
This baby daddy is truly caustic. Why does he need to know what Kwomboka and/of Jeff is doing??? Is love by force? Hapa kuna shida na huyu jamaa
@rozinapeshu233
@rozinapeshu233 5 сағат бұрын
Jeff run for your life
How I Finally Proposed to my wife after 20 years of marriage!
12:01
Kingsley Okonkwo
Рет қаралды 65 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Madam Diana Our Female CID Breathing Fire !!!
36:39
PASTA SHOW
Рет қаралды 9 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН