Allah akupe umri ... One of the only shaykh with true knowledge ..
@سالم-ك7ر Жыл бұрын
ALLAH atuhifadhi na vishindo vya shetani.
@user-ur4bd6wq7e Жыл бұрын
بارك الله فيك يا شيخنا الله يحفظك و يسر امورك فى الدنيا و الآخرة
@yassinm69 Жыл бұрын
Tatizo sisi waislam hatupendi kuambiwa ukweli,, asante shekh muhammad
@maalimkhamis996 ай бұрын
ما شاءالله تبارك الله
@JamilaRahim-d2f10 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh
@hadijasufiani6167 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuhifadhi shekh islam
@abumalikhussein8365 Жыл бұрын
Allahumma Bariklak Ya Fadhillahtu Shaykh Muhammad Islam
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
@abeidjuma1855 Жыл бұрын
Maashallah maneno ya wazi kabisa
@yagazyagaz Жыл бұрын
Mashallah iko vzuir
@mamlomamlo9064 Жыл бұрын
Shukran kwa kutuamsha
@katore19827 ай бұрын
BarakaAllah fii ustadhi!
@universitylink Жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu
@fatumajuma8113 Жыл бұрын
Mashallah ❤❤
@HajraHajra-s5e Жыл бұрын
Barakallah
@yahyarashid8038 Жыл бұрын
Masheikh wapotofu ndio wanao juzisha mambo haya ya ansheed mpaka yamekita kwenye nyoyo za waisilamu na kufikia kuiyacha kuisikiliza qura an wajuwe wana maswal mazito mbele ya allah yuko sh kenye yy ndie muanzilishaj mkubwa wa anasheed aelewe amebeba mzigo wake na mzigo wa wanaomfuata nahis anajulikana allah amuongoze kunako kher lakin akifa hajarekebisha jambo lake hili bas yupo kwenye matash ya allah والله أعلم بارك الله فيكم
@mohassan1978 Жыл бұрын
Mashairi hayajakatwa na uislam na yanakubalika. Lkn ukiingiza mirindimo na kupandisha na kushusha sauti inakuwa nasheed sio mashauri tena. Na asili ya nasheed ni kuwaiga wakristo wenye kwaya makanisani Hivyo nasheed haiwezi kuitwa mashairi na ibatoka nje ya uislam. Anaetaka nasaha atunie mashairi tu bila ya rythym na beats au instruments. Ama mchanganyiko wa wanaume na wanawake hilo haram kabisa halina hata utata
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Maa shaa Allah. Lakini nilijaribu kuwauliza Masheikh wa salafiy kuhusu dufu kama zilipigwa kipindi cha mtume S.A.W walijaribu kuzunguka mwisho wa siku wakasema zilipigwa dufu na mahsiri yaliimbwa. Ukijumlisha dufu na mashairi kinacho patikana ni muziki. Je Mtume S.A.W aliruhusu haram!?. Khadithi zipo nyingi zinazo onesha Mtume S.A.W kuruhusu dufu na mashairi kwa watoto na wanawake. Pamoja na maswahaba katika kazi mbali mbali walikuwa wakisoma mashairi ya kishujaa ya kuwapa nguvu katika mambo mbali mbali na hawakutumia Quran kwanini!?. 🤔
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Aliruhusu lakini alisema isiwe ndio mwenendo wa waislamu yaani tusifocus sana na mambo haya but tufocus na Quran na dini zaidi
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@badmanno.1650 ushahidi wa hadithi unaosema alisema tusifocus na hayo upo!?
@badmanno.1650 Жыл бұрын
@@DonMooSTUDIO_Express haya piga dufu kuliko kusoma quran bro ... Kila mtu na maisha yake.
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@badmanno.1650 😁 unaposema Mtume S.A.W alisema ni hatari sana kama hauna uhakika halafu unasema alisema, huo unakuwa ni uzushi ulio mzushia. Bora useme tu faida ya dufu na kuimba sio kubwa kwasasa, tena kwa zama hizi madhara yake ni makubwa kuliko faida. Jambo la msingi ni kusoma dini vema. Hapo ungekuwa sawa kuliko kusema alisema. Hakina haditbi hata dhaifu isemayo alisema tusifokasi sana na madufu.
@badmanno.1650 Жыл бұрын
The correct view is that it is not permissible to beat the daff except for women. If a man does that, he is imitating women, which is a major sin. Shaykh al-Islam (Ibn Taymiyah - may Allaah have mercy on him) said: In general, it is a well known principle of the Islamic religion that the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) did not prescribe that the righteous men, devoted worshippers and ascetics of this ummah should gather to listen to verses of poetry chanted to the accompaniment of handclapping, rhythm sticks or daffs. It is not permissible for anyone to go beyond the limits of Islam and follow something other than that which was narrated in the Qur’aan and Sunnah, whether that has to do with inward matters or outward, whether for the common man or the elite. But the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) granted a concession for some kinds of entertainment on the occasion of weddings and the like, and he also granted a concession to women allowing them to beat the daff at weddings and on other joyous occasions. But with regard to the men of his time, none of them used to beat the daff or clap his hands, rather it was proven in al-Saheeh that he said, ‘Clapping is for women, and Tasbeeh is for men,’ and he cursed women who imitate men and men who imitate women. Because singing, beating the daff and clapping the hands are actions of women, the salaf used to call a man who did that mukhannath (effeminate), and they used to call male singers makhaaneeth (pl. of mukhannath). This is well known. Majmoo’ al-Fataawa, 11/565, 566
@universitylink Жыл бұрын
NAAM NGAMIA ANATAKA SAUTI NZITO
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Halafu nina swali Sheikh Islam au kwa yeyote mwenye elim atakaye ona comment hii. Je, yafaa kufanya jimai il hal umefungulia katika redio yako Quran!?
@aishaabdalla7624 Жыл бұрын
Na itakaposomwa QUR-AN nyamazeni, iskilizeni (izingatieni) ili mpate kurehemewa .........
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@aishaabdalla7624 maa shaa Allah, shukran.
@adnansaid2928 Жыл бұрын
Ustadha Niko na swali?sisi tuko ndani ya airport kwa mda wa week tatu tukiwa tunasbri visa,jee tunapaswa kuswali vipindi viwili kwa kuchanganya Swala zetu na kuswali rakaa mbili mbili?ama tunapaswa kuswali Kama kawaida qamea swalati?naomba kupata jawabu swahihi?