Tukiendelea kuwa na mawazo kama haya,,watu weusi tutatawalika karne na Karne,,sisi kwa mawazo haya bdo tunategemea kutumia vitu vilivotengenezwa na hawa tunaowaita 666😂😂,,iko kipaza saut unatumia ni idea za kina Tesla,Einstein tubadilike wafrica
@BisekoDaudi20 күн бұрын
Hajakwambia usitumiee!!!! Manake hata bible inazo amri kumi za mungu,je hujawahi kosea ama kukiuka!! it's the matter of knowing what's going on,tumwombe mungu kwa sana.