Mko vizuri sana Kwa uimbaji mbarikiwe YESU Kwa huu utumishi
@chalengosmmbingya-ns7te3 ай бұрын
Hongereni sana kwa wimbo nzuri. Ila ndugu Joshua promise,huyo dada mtumaji huwa nzuri kwa nyimbo za kibembe na siyo kiswaili, maana huwa anatuma kiswaili kama kibembe. Kwa wakati mwingine,hangalie vizuri kwa kutumia mwengine au ajirekebishe kwa nyimbo za kiswaili. Maneno mazuri kwa utumaji wa kwanza na chorus ya kwanza.
@pasiwabala89703 ай бұрын
Asante mtumishi kwa mashauri ubarikiwe 🙏
@marthabiringanine51513 ай бұрын
Ahsante mtumishi kwa maoni yako. Tutayafanyia kazi.
@molinangoy8933 ай бұрын
Huyu dada Mungu hazidi kumuinua kwenye viwango vya juu.❤️🤲🏾
@mtyona3 ай бұрын
Mimi nampokelea izo baraka 😊😊😅 ubarikiwe pia da Molina 😊
@starfordmwambalange28093 ай бұрын
Mbarikiwe Sana madhabauni hapo panauwepo
@gastondofra91512 ай бұрын
Mungu awabariki sana uhimbaji nzuri mnaoimba ksabisa.Nimebarikiwa sana
@damarcy12703 ай бұрын
Da Pasi Mama ubarikiwe na mbingu ziwe na nena mema kwajili yako Dada yahani utumaji upo unanena wasi wasi kwajili ya kanisa za Leo ndo ivyo tu wanavyo fanya Ila Mungu atufungue macho 💔💔
@pasiwabala89703 ай бұрын
Amen amen dada 🙏
@MalemboMarc3 ай бұрын
Ohhhh it was very wondering kuona jinsi mlivyo shusha magogo