Kuhusu kusuka anachofundisha mtumishi ni sahihi ila mke wake kutokutii neno hayo ni maamzi yake kwakuwa kila mtu ataubeba mzigo wake. Tatizo la wake za wachungaji walio wengi wao huwaona waume zao kwenye nafasi moja tu ya mme nafasi ya mchungaji hawaioni hivyo hawako tayari kujifunza wakati waume wao wanapokuwa madhabahuni.