Masha Allah, Allah akulipe unachosema ni kweli kabisa.
@omargargaar5611Ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh wg umeongea ukweli
@StephenOmoitАй бұрын
Swadakta sheikh
@hajikomora703Ай бұрын
Jazaaka llah kheira kwa kusuema ukweli
@hassanmpemba5747Ай бұрын
Asalam alaikum sheikh unaongea ukweli kabisa tunayaona ni mtihani sana sana dah
@hamynasАй бұрын
leo nimekukamilishieni dini yenu....”(Qur’an 5:3) na hii imeripotiwa na maulamaa wakubwa wa kisuni (1) al-Durr al-Manthur, by al-Hafiz Jalaluddin al-Suyuti, v3, p19 (2) Tarikh, by Khatib al-Baghdadi, v8, pp 290,596 from Abu Hurayra (3) Manaqaib, by Ibn Maghazali, p19 (4) History of Damascus, Ibn Asakir, v2, p75 (5) al-Itqan, by al-Suyuti, v1, p13 (6) Manaqib, by Khawarazmi al-Hanfi, p80 (7) al-Bidayah wal-Nihayah, by Ibn Kathir, v3, p213 (8) Yanabi’ al-Mawaddah, by al-Qudoozi al-Hanafi, p115 (9) Nuzul al-Qur’an, by al-Hafiz Abu Nu’aym narrated on the authority Abu Sa’id Khudri.
@hamynasАй бұрын
vitabu ni vingi saana vya kisuni sema tuu hamuvisomi wazee - Musnad Ahmad Ibn Hanbal, v1, p119, see also v5, p366 - Khasa’is, by al-Nisa’i, pp 21,103, narrated similar to above on the authority of three others: Umayah Ibn Sa’d, Zaid Ibn yathigh, and Sa’id Ibn Wahab.
@ibunjumuatv9502Ай бұрын
@@hamynas Pole Shia maana sasa mnakua wazi
@hamynasАй бұрын
@ibunjumuatv9502 umesoma hivyo vitabu vyenu?au huwezi unaogopa kusoma na kuona ukweli?
@hamynasАй бұрын
@ibunjumuatv9502 nenda kasome wacha kukopi na kufyatua viclip hivi tena vya nwaka jana hivi hata hauvsaidii kitu na havina kilma za kielimu zaidi ya vijembe na porojo KASOME REJEA HIZO ZA VITABU VYENU NIMEKUWEKEA HAPO KASOME TAFADHALI URUDI HAPA
@ibunjumuatv9502Ай бұрын
@hamynas Kama nivyamwaka Jana wewe vyakuumia nini sasa si ungelivipuuza na sio kufuatilia kimoja baada ya kingine pia kama wewe wajua saana na wavijua saana vitabu vya KISUNNAH bas simama uwaelimishe waislamu na sio kuconment hapa na kuandika ANDIKA Allah akuongoze tu
@hamynasАй бұрын
@ibunjumuatv9502 wewe unapotosha watu kwa kuwashambulia mashia,ILA TUKIKULETEA HIZI REJEA UNAJIFANYA HUVIONI SABABU WEWE NI MCHOVU WA ELIMU MAJI MAREFU HAYA KAMA UNA CHEMBE YA UFAHAMU, HEBU PITIA VITABU VYENU NIMEKUANDIKIA HAPO UJE UTOE NREJESHO USIRUKERUKE KAMA NGEDERE MARA HOJA HII MARA HOJA ILE SOMA HIVYO VITABU VYENU VINA MAJIBU YA HAYA MANENO MATUPU YA MASHEIKH UMEWEKA HAPA
@ZaituniMassaweАй бұрын
Ushia ndiyo hakika. Acha kupotosha kina mama wewe mzeee
@majidabas3843Ай бұрын
USHIA UNA ITIKADI MBAYA NYINGI MF, MKE AKUWA HEDHI ETI UMUINGILIE KINYUME. PIPI NDOA ZA MUTA A MARA FATMA MUHUNI
@AbdulRama-u7dАй бұрын
Uyo mzee yuko sahihi kabisa
@hajiramadhanihaji355Ай бұрын
Ushia unakuwa kwa spidi kubwa na kadrinvyozidi kuwashambulia ndivyo eanavyoogezeka kwa Kasi sana@@majidabas3843
@AminaKassim-ni9wdАй бұрын
Inaakili ww na ujiangalie namuomba Allah aninusuru na ushia
@moredigital_Ай бұрын
Chaajabu unakua mwanamke halafu kafiri, inahuzinisha sana
@rashidabasi7940Ай бұрын
Shio sio wanafiki. Wanasimama kutetea hao suni wenzenu wanao uwawa kila siki. Ninyi suni unafiki ndio kipaumbele.. na umadhehebu ndio kipaumbele chenu.
@hamynasАй бұрын
hata baada ya kufariki mtume saww. imam ali aliendelea kuwakumbusha jambo hili kila mara maswahaba waliokengeuka amri ya mtume saww kama vitabu vya kisuni vilivyoandika hapa - al-Mustadrak, by al-Hakim, v3, pp 169,371 - Musnad Ahmad Ibn Hanbal, on the authority of Ilyas al-Dhabbi - Muruj al-Dhahab, by al-Mas’udi, v4, p321 - Majma’ al-Zawa’id, by al-Haythami, v9, p107
@abuhsanono4392Ай бұрын
Asalam alaikum w.w Muono wangu siku moja wahabi na shia wataapizana tuone mwenye atayendondoka Rabda ummah utajua ukweli Alakini wasomi wasio kua na ujanja wanaujua ukweli nauko karbu kuzihiri in sh Allah
@hamynasАй бұрын
kuhusu pesa, madhehebu inayoongoza kwa kutoa pesa ndefu saana ni mawahabi wa saudia arabia kwa vigezo vya kujenga misikiti na kuchimba visima..ukipita mikoa ya nyanda za juu kusini, kila baada ya kilometer kadhaa unakuta msikiti wa mawahabi umejengwa kwa pesa ndefu umeandikwa DHII NURAINI MASJID na hata haiswaliwi imeanza kuchakaa na kukaliwa na mijusi kwa kukosa wafuasi
@MhinaKulewaАй бұрын
Inawezekana huujui ushia vizuri na hujafuatilia namna wanavyopotosha umma.
@hamynasАй бұрын
@MhinaKulewa nakuuliza ,ninyi masuni mnaishi bila missada ya arabuni?mbona siyo wakweli?
@hamynasАй бұрын
kasomeni na hapa - A’alam al-Wara, pp 132-133 - Tadhkirat al-Khawas al-Ummah, Sibt Ibn al-Jawzi al-Hanafi, pp 28-33 - al-Sirah al-Halabiyyah, by Noor al-Din al-Halabi, v3, p273
@AliDullaАй бұрын
Sunni shia wote ni muslim tatizo nn
@AbdulIssa-o7e29 күн бұрын
@@AliDulla alikwambia shia ni muslim nani au kwavile wavaa vilemba na makanzzu hiyo so hoja hata kina abu jahli walivaaa vilemba na kanzu pia jee walikuwa waislamu,,,, huwa namuonea huruma xana mtu ambae hajui ushia laiti angekuwa anajuya yaliyo nyuma ya pazia na itikadi zao utasema ni bora wakristo kabisaa wallahy, sasa watu walomtukana wakeze wa mtume kuwa waxinifu mama aysha aitwa mzinifu,, afsa mzinifu,,, ni matusi kwa mtume hayoo wameona tusilengee yeye moja kwa moja wamepita wakeze mtume na swahaba,, hivi kiakili tuuh ukisema aiyyasha alikuwa mzinufu ni sawa na kusema mtume aliishi na mwanamke kahaba,, sasa mtume wa mungu aliteuliwa na mungu ndoa zake ni mipango. Yake Allah,,, utasemaje mkewe hivo arafu unadai uislamu ww??? Wanaamini Ally Alistahiki kupewa utume jibrili akafanya ihyana anampelekea muhammadi,,, inamana jibrili katuhumiwa hafanyi kitu kwa amri ya Allah kuwa anaweza malaika muhafu Allah na yeye akasema bhasi madamu umeshampa yule basi yani inakuingia akilini hiyo??? Hapo si wamemfanya Allah anamapungufu katika amri zake kuwa anaweza amua kitu kisitiimie arafu hapo pia utume wa muhammadi manake wa bahati mbaya,,,, Allah akupanga sasa si ukafiri huo kuitakidi itikadi kama hizi bado muislamu ww?? Wakati Allah anasema malaika anamuharifu Allah na wanafanya wanayoamrishw na mola wao,,,, Kisha Allah akajisifu uumpa ufalme amtakae,,, umuondolea ufalme amtakae,, umpa daraja amtakae ushusha daraja,,kwa amtakae,,, umpa cheo amtakae na humuondolea cheo amtakae vipi useme utume ulikosewa arafu udai uislamu la hasha wengi amujui itikadi za mashia sabu waislamu wengi hawajui dini yao,,, ndo msiba uliopo anajuwa wale waislamu tuuh hajui sharti za kumuingiza mtu kwenye uislamu ni zipi vitu gani akikiuka mtu anatenguwa uislamu watu huenda kama magari bovu tuuh mtihani xana
Mashia wana dhihirisha kher lakini nyuma ya pazia makusudio yao sio mazur soma vzur dini wacha kuhongwa sent semeni na njaa zenu
@shaykhmulabasalehlulat4909Ай бұрын
Shk wangu, sikiliza toa dalili na panua akili yako na achana na hoja za uzushi. 1. Kwanza nikushukuru kwa kutangaza Ushia kwa kuelezea ukhalifa, Ghadir Khumm, na kumtangaza Ali. Kama wewe unafuata porojo za hao mabwana zako, elewa ya kwamba tukio la Ghadir Khumm ni Mutawaatir. Hakuna hadithi iliyokuwa na nguvu ktk vitabu vya maSunni kama hiyo. Kwa hiyo jifanyie insaf, soma na ujue ukweli. Asante tena kwa kuwafungua waislamu macho. Wenye akili watafanya utafiti. Ubarikiwe sana. 2. Ushia ni wa masahaba na wala sio dini ya wa Irani na wa Hindi kama mnavyowadanganya watu
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
Wee mzee tubia tuuh maana moto wa Allah mkubwa na adhabu zake ni Kali hakuna atakae weza, tubia silimu maana ushia ni dini tuuh mbali na uislamu, ukifa na itikadi hiyo umekufa kafiri
@JumaaNgua-gx8zzАй бұрын
Huyu shehena hajasoma hajafundishwa uislam amefundishwa ijinga wa fitina kuwafarikisha waislam,waislam wanaona haki niipi mazungumzo yake yote hayana dalili wala hoja anabwabwaja kwa aliyofundishwa na mayahudi tumefeli sana kuwa namasheikh kama hawa,
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
@@JumaaNgua-gx8zz wwe ndo wasema hivyo Shia so watu wazuri wanakuja na nembo ya umoja kumbe wanavunja uislamu na kuuwa uislamu hivi mpk leo watu hawaamini kuruani utawahesabu waislamu, wanapomtukana mke wa mtume mzinufu,inamana mtume aliishi na kahaba?? Kama ni Shia uraaniwe kama ni msuni umetumwa kumtetea mshia Allah akuongoze ujue ubaya wa maadui wa Hawa wa dini ya mwenyezi mungu kupitia uislamu nawe kama unajuwa Allah atakuingiza katika raana za Hawa kama hujui ubaya wao basi ujue kuanzia Leo ukafiri wa kundi ovu la kishia nyi wajidanganya umoja hakuna umoja feki kama huo toka lini mayai yakakaa na mawe kwenye kapu moja. Umoja waupeleke kwa watu wa maulidi sisi hatutaki umoja huo wakutukaniwa maswahaba tutawahami maswahaba wa mtume na maadui Hawa Hadi kiama saa ninyi mnaotaka umoja wa motoni huo so hatutaki
@massoudkhamis-k3hАй бұрын
@@AbdulIssa-o7e tubia ww hata usuni siyo dini mtume Muhammad s.a.w.w alikuwa ni suni??
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
@massoudkhamis-k3h daah subuhana llah ni sawa umejizira kama kwenda jahanamu potelea mbali sioo, hatari unang' an'sna na dini inayomtukana mtume na wakeze na kuutuhumu quruani na kuwatukana swahaba bado wajiona una uislamu apo au umekubali ukafiri dhahiri niende motoni tuuh sioo hatari xana dini inamtuhumu Hadi mtume wa mwenyezi mungu alikosea kupewa utume na katuhumiwa Allah anafanya vitu kwa bahati mbaya subuhana llah mara ally ni mungu nyi watu, wa Ahlu nnari wazi kabisa
@khalidmdotta3843Ай бұрын
Mashia sio wanafiki
@AminaKassim-ni9wdАй бұрын
Wanafiki namba moja
@massoudkhamis-k3hАй бұрын
Wapalestina leo kwa kiasi kikubwa wanasaidiwa na mashia masuni hamupo muko wapi? Au ile siyo jihad
@hajiramadhanihaji355Ай бұрын
Waambie hao
@StephenOmoitАй бұрын
Mjue hata mashia wakisaidia vipi kama wanapinga maswahaba ambao Allah amewatakasa kwa kuran ni makafiri
@JailanRamadhanАй бұрын
We mzee hiyo Hadith unavyosema tushikamane na suna zake ipo wapi😂😂 Acha kuwadanganya watu
@abdalamakajula3883Ай бұрын
Ushia ndo habari ya Mujini sheikh bwege wa akili...
@majidabas3843Ай бұрын
USHIA unatukana bi Aisha na mswahabaa. Bado MKE AKUWA hedhini wanaitikadi ETI umuingie KINYUME na maumbile
@AminaKassim-ni9wdАй бұрын
Una akili kutetea ushia
@AbdulIssa-o7e29 күн бұрын
@@abdalamakajula3883 wew mtu nakushauri tuuh dini ulovamia ni hatariii xana, kama unakhofu na mwenyezi mungu tubia na usilimu utamke shahada uoya uwe mwislamu,,, kiukweli,, imani hiyo so nzuri na utaenda kuangamia na mafikio mabaya,, hakuna mwanadamu awezae adhabu za Allah nakuhurumia xana ndugu,, ikiwa unaogopa kiama na adhabu za Allah basi tubia madamu uhai bado unao Allah atakupokea kwa touba,, Ila kama unaona potelea mbali Mimi nimefata maslahi yangu ,, endelea tuuh Ila kiukweli umeangamia kabla hujafa nakuonea huruma xana ndugu tubia hiyo dini so nzuri kabisa Rudi katika uislamu,,, najuwa wengi wamesombwa tuuh hawajui yaliyopo huko kiundani mpk ufatilie na usome vzr ndo utajuwa kweli nimepotea ushauri wangu tuuh ukiona feki endelea ila ipo siku utakuja kujuta na muda umeisha
@AbdulIssa-o7e27 күн бұрын
@@abdalamakajula3883 ni habari ya mjini kweli siumeruhusu kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile ndomana mmeganda,, katika ushetwani huko ungekuwa habari ya mungu usingefanya hayo lakini umethibitisha mwenyewe ushia habari ya mjini ndio, na mambo hayo tunayoyaskia kwenu ni ya ajabu ni ya mjini kweli so ya mungu,,, Allah akuruhisu wanawake waingiliwe kinyume na maumbile,,, raana tullah Allah waongoze katika kundi Hilo la upotevu na watakaokataa kuongoka kwa kibri,,, waraani kama ulivyo waraani kaumu luuti
@Suleiman-ve5jtАй бұрын
Mimi nao na tuungane sote Shia mbona hawana tabu
@MohamedAhmed-yi1yfАй бұрын
Ushia unasambaa kama nzige hili janga kubwa
@Suleiman-ve5jtАй бұрын
Tatizonini
@JailanRamadhanАй бұрын
Wewe unaweza kutoa hoja ya kielim ya kunikinaisha kuhusu ukafir wa kishia?😂😂 Acha kuropoka mzee njoo tukusomeahe
@Suleiman-ve5jtАй бұрын
Kwa ni Shia niwakriso
@JailanRamadhanАй бұрын
Unaweza kufanya mnakasha we mzee na mashia? Ok andika barua tufanye mnakasha wa wazi juu ya madi yako hata tufanye taifa alf waumin wako woote waje na sisi tuje tujadili kielim
@Baaqir-g8eАй бұрын
yani mpka leo watu mnaongelea ushia mpaka sasa ndugu zangu hamjajua adui wenu wa uislamu yani huyu shekh ni msenge Sana mbwa huyu
@ibunjumuatv9502Ай бұрын
@@Baaqir-g8e Allah akusamehe
@drbalagomwatvonline4937Ай бұрын
We ndiye haujitambui kabisa usimtukane mtu kuwa ni mbwa hali yakuwa anaongea ukweli.
@AsiaMsengaАй бұрын
Wewe unaetukan unadhima kubwa wenyewe mashia wànamuelewa huyu vizur,ttaizo tamaa ,Allaa amekupa kipaji chako na akuhifadhi,sisi tuliopo kurdistan ndio tunajua jinsigani mashia walivonakufuru
@AsiaMsengaАй бұрын
Tatizo njaa inatupoteza imani ya Allaaah hatusomi tuptupo tu kufata tamaa za nafsi Allaah atuongoe
@AminaKassim-ni9wdАй бұрын
Tatizo amna akili ila wenyewe mnajiona wajanja kupotosha watu
@faridaally-jp1gxАй бұрын
Mimi mashia siwakubali kabisaaa
@YusufSasamalo-uz4iiАй бұрын
Uislam kama hauna namna gani kiongozi anapatikana, mpaka mtume anakufa basi uislam ulikua haujakamilika Haiwezekani mtume afundishe vitu vya siri kama kuoga janaba, kuisha maiti alafu aache kuelekeza vipi kiongozi anapatikana,useless Waache waislam wafanye utafiti wenyewe
@Tupena-ov7xqАй бұрын
Sasa waislam wataijuaje dini yao kivipi huku lugha iliyoandikwa ni kiarabu
@aasatt78Ай бұрын
Ila Mashia pia wanaongoza kurtad
@hajiramadhanihaji355Ай бұрын
Si kweli.
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
Ushia ni ukafiri tunashangaa mashekh fulani kwenye maulid zao wapo nao sijui wanawapenda hawoo kuliko maswahaba njaaa mashekh, mtu anakubali kushirikiana na lishia linalomtukans mke wa mtume na maswahaba.
@AminaKassim-ni9wdАй бұрын
Njaa xitawapeleka pabaya
@hamynasАй бұрын
izaa jaa nasru llah wa lfathu..waraita nnasa yadhuluna fii dini llah afwajan....Quran ilishaweka wazi mnauliza maswali ambayo ni dhaifu saana nyie....kwani mtu akisoma usuni na uwahabi akagundua kuwa ni dhehebu lililoanzishwa bila kuwa na mafungamano na matukufu yeyote ya dini ya kiislamu wala masalafi wa mwanzo kama aboubakar umar na uthman ,unadhani ataendelea kubaki katika hilo dhehebu?
@salmanmagwe2612Ай бұрын
Funga mdomo wewe WAHABI mpumbavu,mashia sio kiwango chako kabisa,na yachokonoe tuone kama utayaweza. Nenda ukasome tena acha blaa blaa za kiwahabi manajisi
@zainabJuma-x9jАй бұрын
mpinge usimtukane ndio maana hta kutukana makhalifa hamuogopi
@ibrahimayoub8972Ай бұрын
huyu shkh nimzayuni lijinga kwelikweli ktk mishehena mishoga hili ni lakwanza. linaendeleza sela za waizilael shia ndie anaetete wapalestina wanao kufa huko, wale nimashia, simasuni wewe msuni kama kweli upo sahihi mbona hukemei hilo, acha ushoga hanisi weee
@RamadhaniHamadi-qi3jfАй бұрын
Wewe ni mpumbavu suala zito kama uongozi mtume asiache kiongozi
@ibunjumuatv9502Ай бұрын
@@RamadhaniHamadi-qi3jf ndio kazi yenu hio kutukana mnaposhikwa panapo Allah awaongoze hakika
@zainabJuma-x9jАй бұрын
ukitukana baba wamwenzio nawakwako atatukanwa
@zainabJuma-x9jАй бұрын
ALLAH akuongoze
@HassanWasiwasi-lq1khАй бұрын
@@ibunjumuatv9502katumia lugha ngumu msamehe: Ila tujiulize kama MTUME MUHAMMAD (S) hakuacha wasia wa kuhusu kiongozi baada yake na badala yake akaliacha jambo hilo kwawaislamu sasa ni kwanini Abuu bakari khalifa wa kwanza na omary khalifa wa pili waone umuhimu wa kuacha wosia wa nani awe kiongozi? Tutafakari kwa pamoja inshaallah
@AbdulIssa-o7e29 күн бұрын
@@RamadhaniHamadi-qi3jf la msingi ndugu tubia tuuh usilimu ue mwislamu bhasi utamke shahada upya Allah atakusamehe ila kama umeona potelea mbali mimi adhabu za Allah ntaendazikabili huku napata maslahi yangu endelea ushauri wangu ,, huo,, hiyo itikadi na dini ya kishia so dini wamekufuru na kama hawatotubia adhabu juu yao inawaongoja hamtopata msaidizi siku hiyo na uzuri saivi nasaha zipo mnatukana matusi itakusaidia Nini kaburini utakwenda peke ako bado hujachelewa Allah apokea toba za walopotea na kumkufuru yey anawpokelea