No video

KWANINI VIJANA WENGI WANAKIMBILIA SOUTH AFRICA ?

  Рет қаралды 852

KUSINI NEWS

KUSINI NEWS

7 жыл бұрын

NIKIWA South Africa na wanahabari wenzangu wa nne katika mafunzo ya Uhifadhi. Tulifanikiwa kuona maeneo mbalimbali ya Uhifadhi .Tukiwa katika Kituo cha Habari cha kimataifa cha South African Broadcasting Corparation (SABC) Mtangazaji wa TBC Lillian Shirima alihoji kwanini vijana kutoka nchi mbalimbali wanakimbilia South Africa?.Takwimu za mwaka 2013 kutoka Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya kusini zinaonesha kuwa Kila mwezi vijana zaidi ya 200 walikuwa wanarudishwa nchini Tanzania toka Afrika ya kusini kutokana na kuingia katika nchi hiyo bila vibali na Hati ya kusafiria.

Пікірлер
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 69 МЛН
Wananchi watoa maoni mseto baada ya Gavana Mwangaza kubanduliwa
7:13
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 31 М.
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 2 МЛН
MALORI 120 HUBEBA MAKAA YA MAWE KWA SIKU JITEGEMEE MBINGA
3:01
NGOMA YA KIODA KUTOKA LINDA,MBAMBA BAY,WILAYANI NYASA
3:53
Nyasa DC Online
Рет қаралды 15 М.