LISSU ATEMA CHECHE SINGIDA MAHAKAMANI KESI YA ASKOFU MWANAMAPINDUZI, "HAKUNA KESI HAPA"

  Рет қаралды 12,041

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 2 күн бұрын
Asante Tundulissu mwanasheria unaejitambua,Mungu akulinde daima Mzalendo wa Taifa letu, na katika kesi hiyo ya uonevu, Naomba Mungu asimame na wenye haki. Nuru ishinde Giza na Haki ishinde Dhuluma!
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Күн бұрын
Akili kubwa sana
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 2 күн бұрын
Kwako hawachomoi, sisi tusio na uwezo wa mwamasheria ndio tunao fungwa na madhalimu
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 2 күн бұрын
Hiyo kesi imeishaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
Haipo .. mashtaka ya kufikirika kutoka kwa Polisi wetu na wanasheria wetu.. aibu..
@geofreyanania1108
@geofreyanania1108 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 күн бұрын
👏🏻
@GodwinIssack
@GodwinIssack 2 күн бұрын
Serikali ya ccm haijawahi kuwa kesi zenye mantiki, ni kesi za ajabu na za kutia aibu
@Daudmatonange-i5u
@Daudmatonange-i5u 2 күн бұрын
Oyyyy
@mpendamema3694
@mpendamema3694 2 күн бұрын
LISSU AMURU VIKOSI VICHOME NYUMA ZA MADIWANI,WATENDAJI,NAWAKURUGEZI HADI WATAKAPOSIMAMIA HAKI NA KUACHA UASI .ACHENI UOGA KIPINDI CHA DR. SLAA MBONA CCM WALISHIKA ADABU WTF
@Mwafrika2021
@Mwafrika2021 2 күн бұрын
Ushindwe na ulegee, Lissu sio wa hivyo, CCM wataikimbia nchi wenyewe bila hata kuvunjwa ukucha wa mtu
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 2 күн бұрын
una akili mbovu sana mdanganye
@MarryMwamwezi
@MarryMwamwezi 2 күн бұрын
Choma wewe kama hujanyea debe
@charlessomeke8992
@charlessomeke8992 2 күн бұрын
Unazani Amani ikivunjika wewe utapona?
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 2 күн бұрын
Huwezi kutetea haki kwa kuharibu mali za watu, huo ni uhuni, na Chadema si chama cha wahuni!
Walking on LEGO Be Like... #shorts #mingweirocks
00:41
mingweirocks
Рет қаралды 6 МЛН
Triple kill😹
00:18
GG Animation
Рет қаралды 18 МЛН
Haunted House 😰😨 LeoNata family #shorts
00:37
LeoNata Family
Рет қаралды 6 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2 МЛН
Lema Awawashia Moto CCM Kuhusu Wagombea wa CHADEMA Kuenguliwa.
30:41
Kigaila: CHADEMA na CCM Nani Alijiandaa Vizuri kwa Uchaguzi?
42:08
YESUUUUU!!!!...Tundu Lissu AMZUNGUMZIA Trump, UCHAGUZI wa Marekani!!
17:08
Walking on LEGO Be Like... #shorts #mingweirocks
00:41
mingweirocks
Рет қаралды 6 МЛН