LA UCHUNGU HALISAHAULIKI ZENNA MOHAMEDI/FIVE STAR MODERN TARAAB

  Рет қаралды 47,593

Bakari kijazi

Bakari kijazi

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@AngelMwakyusa-l6p
@AngelMwakyusa-l6p 2 ай бұрын
Nyimbo yangu pendwa mbk now2024
@KarimuMohamed-w9p
@KarimuMohamed-w9p 4 күн бұрын
Tujuane wadau
@cwrybeautylicious8545
@cwrybeautylicious8545 8 жыл бұрын
😭😭kweli halisahauliki kha!
@EmmyNadia-r5x
@EmmyNadia-r5x 15 күн бұрын
Pambee tyuu❤
@nasrasuley2636
@nasrasuley2636 2 ай бұрын
My mom favorite song 😢😢😢
@EmmyNadia-r5x
@EmmyNadia-r5x 15 күн бұрын
Kwa mbali namuona mariamu khamis daaaa😭
@arafsaaa8844
@arafsaaa8844 7 жыл бұрын
yaan hii nyimbo dah😢😢😢😢😢😢
@fatmajambia4968
@fatmajambia4968 8 жыл бұрын
kweli la uchungu halisauliki hata mm nikikumbuka nalia tuh lakini insha Allah Mola atanipa wepesi
@mwanaisha9549
@mwanaisha9549 8 жыл бұрын
la uchungu halisahaulik ivo yan dah😥😥😥😣
@twaibahamza5865
@twaibahamza5865 8 жыл бұрын
kwa kweli wimbo mzuri sana sana mashalla Zena
@khadijasefi8599
@khadijasefi8599 8 жыл бұрын
yaan weachatu nakumbuka mengi mungu ndie anjua....sinahàmu kabisa duuh
@MarleyBrown-iq9pl
@MarleyBrown-iq9pl 8 жыл бұрын
wawooooo lauchungu halisahauliki K weli kabisa
@MaombiJohannes
@MaombiJohannes 3 күн бұрын
Sana inauma
@shabaniyahaya5808
@shabaniyahaya5808 8 жыл бұрын
wimbo huu naukubari ujumbe
@mwanamtubwi7591
@mwanamtubwi7591 8 жыл бұрын
umenikunaje Zena na Lauchungu halisahauliki yaan kama ulinijulia hiyo nyimbo Ahsant saana
@EsterWilliamMshuza
@EsterWilliamMshuza 2 ай бұрын
2024 october 🎉
@sawsanbader2675
@sawsanbader2675 7 жыл бұрын
Yaan hii taarab daaa inagusa hisia za wengi naipenda kupita maelezo
@lukwar0.amfinangamfinanga554
@lukwar0.amfinangamfinanga554 8 жыл бұрын
Njimbo nzuri sana bal hamchez
@AngelMwakyusa-l6p
@AngelMwakyusa-l6p 2 ай бұрын
LAuchungu alisahauliki kwer
@mwanamtubwi7591
@mwanamtubwi7591 8 жыл бұрын
Zena mo'hd Yuko juu na Lauchungu Halisahuliki abadn Big up zena
@nurukambaya3764
@nurukambaya3764 8 жыл бұрын
huu wimbo kwa kweli kama hakuna unaemuumiza moyo, sidhani hongera mtunzi.
@bisibozuberi394
@bisibozuberi394 8 жыл бұрын
na kweli la uchungu halisahauliki kabisaaaaaa!
@leapendasanamwanadada8036
@leapendasanamwanadada8036 8 жыл бұрын
safi sana
@leylakassimu5475
@leylakassimu5475 8 жыл бұрын
nyimbo nkiisikiliza nalia
@fbhj443
@fbhj443 7 жыл бұрын
Leyla Kassimu pole dea
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 8 жыл бұрын
huwa naipenda sana
@FatumaKahapa-n9z
@FatumaKahapa-n9z 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@OmanPhone-c5v
@OmanPhone-c5v Ай бұрын
Taarabu hii tamu inaingia hadi ndani Yamoyo😢😢 kama umepitia. Maisha magumu inauma sanaaa
@tariqmohamed4314
@tariqmohamed4314 2 ай бұрын
8:51
@rithanganda7691
@rithanganda7691 8 жыл бұрын
r i p bi shakir
@mwanaisha9549
@mwanaisha9549 8 жыл бұрын
mung akurehem insha allah
@leylabashir6601
@leylabashir6601 7 жыл бұрын
Mwana Isha Zena bado yuko hai
@mwanaisha9549
@mwanaisha9549 7 жыл бұрын
+Leyla Bashir mmmh kumbe😃😃😃
@leylabashir6601
@leylabashir6601 7 жыл бұрын
Mwana Isha aliyekufa Mariam Khamis mwenye nguo ya pink, alikufa kwa uzazi na Husna mwenye Tshirt ya njano alikufa kwenye ajali ya gari
@mwanaisha9549
@mwanaisha9549 7 жыл бұрын
+Leyla Bashir mmh ahsante kwa kunifahamisha
@shanishwari3137
@shanishwari3137 8 жыл бұрын
R.I.P Mungu awarehemu
8 жыл бұрын
Amina rabilalaamina
@lazaiskitoday1369
@lazaiskitoday1369 8 жыл бұрын
Samahani kwa kuuliza,hawa waimbaji kwani ni marehemu?
@lazaiskitoday1369
@lazaiskitoday1369 8 жыл бұрын
+Bakari kijazi tafadhali tuwekee Maneno ya mkosaji by Leyla Rashid
8 жыл бұрын
Hapana zenna bado yu hai na anatumikia kundi moja la Five star lenye makazi yake hapa Dar
@lazaiskitoday1369
@lazaiskitoday1369 8 жыл бұрын
+Bakari kijazi Ahsante kwa kukunijuza,mm nilikua cjui.
@hashimmusa9485
@hashimmusa9485 8 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@zainabumanenokuntuhadijama6337
@zainabumanenokuntuhadijama6337 8 жыл бұрын
R.i.p mungu awarehemu
@SuleimanKinumene
@SuleimanKinumene 8 күн бұрын
Atari warimwrng ndo 6:06
@halimasuleiman9756
@halimasuleiman9756 8 жыл бұрын
Yani nyimbo imenigusa mara zote nairudia
@MaombiJohannes
@MaombiJohannes 3 күн бұрын
Kumbe nmalem 4:23
@sawsanbader2675
@sawsanbader2675 7 жыл бұрын
Bakari kijazi naomba hii taarabu pls
@khaltumaali301
@khaltumaali301 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
RIZIKI MWANZO WA CHUKI   KHADIJA YUSSUFU/JAHAZI MODERN TAARAB
15:15
Bakari kijazi
Рет қаралды 75 М.
UTAKUFA NACHO KIJIBA CHA ROHO... JOKHA KASSIM
17:35
dolphin tv
Рет қаралды 154 М.
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
Umejuaje Kama si Umbea -Mwana Idi Shaban
13:48
Kiboisbreeders
Рет қаралды 4,2 МЛН
MOSSY SULEIMAN _ SOTE TWASAKA RIZIKI WITH DAR MODERN TAARAB
13:47
Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song
13:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 15 МЛН
MTOTO KITU NA BOX {audio} - ADBULI MISAMBANO - T.O.T. TARAAB
13:50
Bakari kijazi
Рет қаралды 31 М.
East African Melody Modern Taarab - Zoa Zoa (Official Video)
18:24
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,5 МЛН
UZUSHI WENU - MARIAM KHAMIS
16:33
dolphin tv
Рет қаралды 223 М.
Mama Nipe Radhi
19:32
Isha Mashauzi
Рет қаралды 47 М.
RIZIKI MAFUNGU SABA - JOKHA KASSIMU - ZANZIBAR STARS
15:33
Bakari kijazi
Рет қаралды 24 М.
Jahazi Modern Taarab - Niepushe (Official Video) Miriam Mwinyijuma
17:32
sikudhani Ali _ndugu wa mume
16:13
MAMA SIMBA
Рет қаралды 46 М.
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН