𝐑𝐎𝐍𝐃𝐎 la Wachezaji wa YANGA ni Balaa/MAX na Wenzake wakiwasha🤩

  Рет қаралды 12,873

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@Vinmediatv
@Vinmediatv 10 сағат бұрын
Young African 💚💚💚💛💛 forever tujuane hapa
@MuslihiShafii
@MuslihiShafii 8 сағат бұрын
Kazi njema kwenu
@meddyjr19
@meddyjr19 11 сағат бұрын
💪💪✊✊🔥🔥🔥
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 11 сағат бұрын
Nafurahi sana kumuona mwanangu fundi clement mzize na Dr aucho🎉🎉
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 10 сағат бұрын
Kwenye mazoez timu yangu inanipanga Raha Njoo uwanjan sasa hata ivyo Matokeo yoyote mi nitayapokea kwa moyo woteeee🔰🔰🔰🔰🔰
@RachaelEmmanuel-ky5ri
@RachaelEmmanuel-ky5ri 9 сағат бұрын
Upo Sawa kabisa
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 8 сағат бұрын
Tuwaombee jmn huwezi jua walipatwa na nn kwa hiz mechi zote jmn
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 7 сағат бұрын
@magrethyeremia2279 Maombi ni mhimu dear
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 11 сағат бұрын
Kila la kheri inshaallah nawatakia ushindi mnono daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 11 сағат бұрын
Kira la heri team yetu, mora akawabariki sana uko congo Amina
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 11 сағат бұрын
All the best
@5googleuuu727
@5googleuuu727 10 сағат бұрын
Dua Zangu tu kwa wachezaji kesho ushindi 💚💛💚💛
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 7 сағат бұрын
Mungu mwema sana tutashinda tuwaombee wachezaji wetu 💛💚💚💪
@meddyjr19
@meddyjr19 11 сағат бұрын
kesho ushindi muhimu wananchi daima mbele nyuma mwiko
@divaidachboy2339
@divaidachboy2339 9 сағат бұрын
Kila la heri kesh mungu akipenda tutavuna tulichopamba
@raymondkisinga4374
@raymondkisinga4374 8 сағат бұрын
TP Mazembe wamejichanganya,,all the best Yangasc 💚💛✅️
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 10 сағат бұрын
Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉kesho mpate ushindi jumamosi 2.1
@BUCHUMIONLINETV-lu5jk
@BUCHUMIONLINETV-lu5jk 10 сағат бұрын
Naomba kushauri jamani kama inawezekana dirisha dogo mmsajili beki ANDI BIKOKO anaweza akasaidia
@mwanahamisihatibu590
@mwanahamisihatibu590 6 сағат бұрын
💚💚💚💚💛💛💛
@ramadhanikuchuna5410
@ramadhanikuchuna5410 10 сағат бұрын
Hii timu bado iko vzr, upumbavu uliofanywa wa kuruhusu wachezaji watokee majumbani ndiyo imefanya wachezaji washuke víwango
@AmosLeonard-e6l
@AmosLeonard-e6l 10 сағат бұрын
Mazembe anapigwa 4
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 6 сағат бұрын
🎉🎉💚💚💛💛💥🔥🔥
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 10 сағат бұрын
🎉🎉🎉
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 9 сағат бұрын
Allaah Akbar
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 5 сағат бұрын
Kila la heri!!
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 10 сағат бұрын
Wachezaji Allah atangulie msìfungwe point 3 muhimu 🎉🎉🎉🎉🎉
@thomasmushi00
@thomasmushi00 10 сағат бұрын
Mm amani kupatikana nimuone boka(boda boda) angalau nitaamin yanga tunarud kwenye ubora
@aminasogo5780
@aminasogo5780 11 сағат бұрын
Wenzenu atuna raha tunaitaji tunaitaji furaha kesho mngu awajalie
@nurubazaar5295
@nurubazaar5295 11 сағат бұрын
Kila la kheri wananchi daima mbele nyuma mwiko
@egespomwenda8155
@egespomwenda8155 11 сағат бұрын
Kikundi cha walevi 😅😅 kwenye mazoezi muko serious ila kwenye mechi mnapepesuka
@drdd774
@drdd774 11 сағат бұрын
Kwenye mazoezi mnafanya vizuri, but kwenye mechi mnatushangaza
@marthamjandwa4325
@marthamjandwa4325 9 сағат бұрын
Naimani kesho tutapata ushid
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 9 сағат бұрын
Leteni mbwembwe kipigo kipo palepale
@BUCHUMIONLINETV-lu5jk
@BUCHUMIONLINETV-lu5jk 10 сағат бұрын
WACHEZAJI NAOMBENI KESHO JAMANI USIHINDI UPATIKANE KWA HALI YOYOTE ILE HUKUU MITAANI HATULALI😢😢😢😢
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 9 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 671 М.
MURO: YANGA WAKIFANYA HAYA MAZEMBE HAWACHOMOKI
22:59
Data Sports Tv
Рет қаралды 3,8 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 9 МЛН