Lady Jaydee Feat TID - Understanding (Official Video)

  Рет қаралды 554,990

LadyJaydee

LadyJaydee

Күн бұрын

Пікірлер: 411
@kibinda
@kibinda 10 ай бұрын
Kama umeitazama hii ngoma mwaka 2024 gonga like hapa 🔥
@MamaLorenzo
@MamaLorenzo 20 күн бұрын
Niko hapa❤❤
@jahson460
@jahson460 11 ай бұрын
Who's watching/Listening in 2024...
@jfm6999
@jfm6999 8 ай бұрын
☝️
@barberickkenya1657
@barberickkenya1657 8 ай бұрын
31/3/2024 nimetimiza miaka 38 Mungu zidi kunilinda
@phodzieretabale9511
@phodzieretabale9511 4 ай бұрын
Long live champ
@phodzieretabale9511
@phodzieretabale9511 4 ай бұрын
Just turned 37 1st of July n l thank God 🙏🙏
@KainzwaBuzohera
@KainzwaBuzohera 3 ай бұрын
Tumezaliwa siku moja na mwezi mmoja🎉
@KabaisaGodi
@KabaisaGodi 2 ай бұрын
We tunalingan
@SaedMamoka-lu9nr
@SaedMamoka-lu9nr 8 ай бұрын
2024 April 12 naskiza hii ngoma imenirudisha mbali sana enzi niko O- level mpka saaa niko na familia oooh!! Kale ni dhahabu.
@williamdouglaskiondo8270
@williamdouglaskiondo8270 Жыл бұрын
nimelia sana kusikiliza hii nyimbo nimekumbuka wapendwa wangu ukiambiwa nipo hai mpaka leo daaah nyimbo imenikumbusha imeniumiza moyo sijui kwanini tu😭😭😭
@CatherineChales-gf1uw
@CatherineChales-gf1uw Жыл бұрын
Wa amapiano mtupishe kabisaa
@dramachatta3851
@dramachatta3851 4 жыл бұрын
Miaka inaenda na wengi wameshatangulia oooh mungu wangu Dah maisha haya, watu tunachukiana tunafamyiana ubaya na wote ni wakupita.. Nimeskiliza nyimbo nikiwa mdogo sana IRINGA huko do siku kweli hazigandi
@BrooklynMBE
@BrooklynMBE 4 жыл бұрын
Kweli kaka
@husseinmohamed1777
@husseinmohamed1777 3 жыл бұрын
Yeah
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Daaaah kweli kaka, was a good hit,good melody and good production. But most of listeners of this song have passed away, they are no longer with us.
@innocentking5709
@innocentking5709 Жыл бұрын
Daah, umenena kabisa wwngi hatupo nao sasa, ikifikia hapo inabidi tuu tumrudie mola maana ukuu tunapita
@williamdouglaskiondo8270
@williamdouglaskiondo8270 Жыл бұрын
daaah umesema kweli tangu mda wa nyimbo hii mpaka leo wapendwa majamaa marafiki wengi tu wametuacha duniani kweli tunapita sijui nitawaona wapi wapendwa wangu wamelala nimeshikwa na huzuni sana kwa hii nyimbo😭😭
@Pulse_tips
@Pulse_tips 8 ай бұрын
2024 like hapa baada ya kusikia whose this guy, 😂😂😂
@marybelle1385
@marybelle1385 8 ай бұрын
Me lol
@SamiraUphill-ww2nm
@SamiraUphill-ww2nm 8 ай бұрын
😂😂😂tupo
@KhajiRashid-lk6fi
@KhajiRashid-lk6fi 7 ай бұрын
2024
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤
@EmilyMose-hm7qv
@EmilyMose-hm7qv 9 ай бұрын
Team 2024 gather here pls
@bama9271
@bama9271 2 жыл бұрын
Are we together guys in 2022? Best music stays forever
@muzheelyhasheem2796
@muzheelyhasheem2796 2 жыл бұрын
yap
@nancylukela7123
@nancylukela7123 2 жыл бұрын
Yeah....
@fantuskahindi9092
@fantuskahindi9092 2 жыл бұрын
We all
@stellahpattu2621
@stellahpattu2621 2 жыл бұрын
Am here with you 2022 after elections 🇰🇪 good memories only
@elijahmasika4147
@elijahmasika4147 2 жыл бұрын
I'm also here sep 2022
@Jumasephani
@Jumasephani 2 жыл бұрын
Kama nawewe wahisikia 2022 gonga like 👍 tujuwane apa
@samsonkihwele6544
@samsonkihwele6544 10 ай бұрын
2024 mko wapi jamani
@elizabethnyambura5617
@elizabethnyambura5617 8 ай бұрын
here we are
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 7 ай бұрын
Tubo
@agnesbarasa5429
@agnesbarasa5429 7 ай бұрын
Tupo
@bairaally7123
@bairaally7123 7 ай бұрын
Tupo
@rhodalupenza8410
@rhodalupenza8410 6 ай бұрын
Niko chanika
@johnbarasa9929
@johnbarasa9929 Ай бұрын
Both of the artists have dope vocals alafu Lady jdee ni Tajiri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@AlphaBoyie
@AlphaBoyie 8 ай бұрын
so this guy is TID😂😂😂
@rwm1885
@rwm1885 8 ай бұрын
TID's voice is so sultry and beautiful to the ears. He had (still has, I suppose) pure talent for making catchy earworms and writing meaningful lyrics. Thank you for the songs of my youth. Transports me asap to my uni days❤❤❤
@annaathanas5225
@annaathanas5225 3 жыл бұрын
Hakuna km wewe judith hauchuji kipindi nasikia huu wimbo nilikuwa mdogo darasa la 4 mbaka leo haujachuja hakuna km wewe dada nakupenda sana❤❤❤❤❤😘
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 2 жыл бұрын
Tid mwimbaji mzri sana,madawa ndiyo yalimpotezea netwk
@joseymanyara6282
@joseymanyara6282 4 жыл бұрын
Aki watoto wa siku hizi ,can't understand when we say nyimbo zilikua zamani siku hizi kelele tu
@deibscassie649
@deibscassie649 3 жыл бұрын
Absolutely,this are the songs ❤️🔥🔥
@patrickamariati5981
@patrickamariati5981 3 жыл бұрын
When music was good, with strong educational lyrics. It never gets old
@AssieMukakarangwa-hp1lk
@AssieMukakarangwa-hp1lk 5 ай бұрын
Tunawakumbuka sana jamaa mko wapiiii❤❤❤❤❤❤
@EmmanuelMwambaji-g9s
@EmmanuelMwambaji-g9s 7 ай бұрын
Who is watching this masterpiece??why...why...why between my interview you're passing around 😂😂😂😂
@JacqDaniels-hu5xj
@JacqDaniels-hu5xj 8 ай бұрын
Tid kabla hajachanganyikiwa 2024
@ericonchangu7830
@ericonchangu7830 8 ай бұрын
Why between my interview you pass around? .I hate you❤
@jerrjamary2649
@jerrjamary2649 Жыл бұрын
7/6 / 2023 kiukweli ni jambo la kushangaa sana kwanini tumefika aje uku like vikongwe wezangu😊😊
@TuzoMtuku-ju6id
@TuzoMtuku-ju6id Жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati 🙏
@microssadamu7556
@microssadamu7556 4 жыл бұрын
Hii ilikuwa bonge moja la ngoma knoma noma yani, halafu jide weka ngoma zako zote youtube isee.
@isackobadiah484
@isackobadiah484 4 жыл бұрын
Kwelii kabsaa, Komando anaweza
@nusurasalumnusura1106
@nusurasalumnusura1106 Ай бұрын
Dah miaka inakatika jaman nazeeka sasa kitambo hii nyimbo rafiki zngu wote mlotamgulia mbele za haki mpumzike kwa aman 😢
@diananovarth7125
@diananovarth7125 8 ай бұрын
T.I.D🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@olgacaleb6822
@olgacaleb6822 4 жыл бұрын
Jide hawezi kuchuja ata wakiungana kwa jide hawawezi kazi kubwa miaka iyo lakini utafikiri imetoka Leo be blessed my siz
@rashidkulwa2570
@rashidkulwa2570 2 ай бұрын
bless sana ndugu Goma n qaliii na alipingwi
@Masaki_001
@Masaki_001 9 ай бұрын
It's 2024❤❤❤
@adamsdaud9268
@adamsdaud9268 4 жыл бұрын
kweli hii track badoo ni hot...kwa masikio yangu
@meremetasanga1992
@meremetasanga1992 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri. Hapo wakati T.I.D hajaanza kutumia vile vitu vyake.
@sadikiluvanda5169
@sadikiluvanda5169 4 жыл бұрын
Iv ninan aliemshauri aanze kutumia had kaharibika
@belindajomalema-vy1fz
@belindajomalema-vy1fz 7 ай бұрын
2024 still rocking
@evansmumo3921
@evansmumo3921 8 ай бұрын
Sai TID amefulia mbaya sana
@DM.2200
@DM.2200 7 ай бұрын
Aise jide una maudhui mazur over dahhh wasanii wengine waige bas 🎉
@agatha7535
@agatha7535 3 ай бұрын
2024 tupo tupo🎉🇨🇩🇨🇩
@rowelymarick6400
@rowelymarick6400 Жыл бұрын
Miaka 15 iliyopta na zaidi bado Ya moto sana 🔥🙌🏻
@jmg1001
@jmg1001 11 ай бұрын
Wow! Just wow! I love this song. I am blessed to have lived in the days when music was actually sweet.
@sandianasamijo6426
@sandianasamijo6426 2 жыл бұрын
Izi ndo nyimbo tunaziidaji za enzi apana izi zaleo zamidomo kubwa kubwa
@tadeucsamwel8397
@tadeucsamwel8397 3 жыл бұрын
mama mama nimeshakuowa acha mumeo nikatafute pesa 2021 ni 🔥🔥🔥🔥
@Elkhamasi
@Elkhamasi Жыл бұрын
From the 1st time I heard this one, I knew it would never leave my playlist
@ombenimhanzi3940
@ombenimhanzi3940 Жыл бұрын
Gold song
@lyegojaphet1964
@lyegojaphet1964 Жыл бұрын
​@@ombenimhanzi3940f
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 13 күн бұрын
Nyimbo Moja inayoishi
@majabalugoko774
@majabalugoko774 2 ай бұрын
Kitambo sana jamani tumewamis
@maniofficialtz9936
@maniofficialtz9936 Жыл бұрын
Leo tarehe 21 /11/2023 na sakiliz hii nyimbo daaah najikut machozi yana nitoka 😢😢😢
@simplemanmtotowamamazawadi5848
@simplemanmtotowamamazawadi5848 Ай бұрын
2024 leo... zaman sana miaka ya2000 natoka zangu kahama kwa baiskeli naenda mwanza nafika sehem moja kivukoni wanavuka kwa mtumbwi jamaa anaepiga gasia akataka kunizamisha yaani aniuee na hicho kiredio kinapiga huo wimbo sasa daaaaaaaaah😅
@musyokanzilu9459
@musyokanzilu9459 4 жыл бұрын
Msanii mkongwe lady jaydee ndio maana kanyakua tuzo afrobeats
@iglesiaswilliams7161
@iglesiaswilliams7161 5 ай бұрын
Nliskia hii hit kwa mara ya kwanza 2007 nkiwa mdogo sana,saizi ni miaka mingi sana imepita lakini bado inakaa mpya.namtambua sana qchief
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt Жыл бұрын
Kama wewe unasikiliza 2023 gonga like hapa🎶🎶
@NtahondereyeSilas
@NtahondereyeSilas Жыл бұрын
Nakumbuka enzi zetu sasa ngoma hii irikuwa moto
@SoniaShabani-s3b
@SoniaShabani-s3b Жыл бұрын
Miaka buku ngoma kali
@rajabuseifr2065
@rajabuseifr2065 4 жыл бұрын
Nakumbuka sana when I was doing my O level studies....Ngoma Kali sana hii and still listening here in 2020,Miaka inakwenda sana.
@Benjaminkakamasha662
@Benjaminkakamasha662 7 ай бұрын
Hongera lady
@blackschooltv
@blackschooltv 8 ай бұрын
Hizi ndio nyimbo zetu sasa Bongo Flevaa OG
@mosesmashili4969
@mosesmashili4969 4 жыл бұрын
Music zamani bhana......🙏🙏🙏
@hassanngozi9104
@hassanngozi9104 3 жыл бұрын
Kweli sikupingi mziki zamani
@cherry-kq4vc
@cherry-kq4vc 8 ай бұрын
Tid was is still a legend hope he can come back and give us the hits like he used to do
@Therealrashyy
@Therealrashyy 4 жыл бұрын
Kama imetoka jana aisee 🔥
@anitamwehonge8287
@anitamwehonge8287 3 жыл бұрын
Yaani Acha kabisa still ina namba 2021
@VictoriaMsiagi
@VictoriaMsiagi 4 ай бұрын
Nime kuwa muhenga sasa miaka 36 na naisikiliza tena hii nyimbo ❤😢
@Chakulachakiroho
@Chakulachakiroho 3 жыл бұрын
Wakali kabisa...... #Nakubali
@wangash6144
@wangash6144 2 жыл бұрын
kweli mkianza safari sio wote watatoboa
@hansgarngombe1999
@hansgarngombe1999 2 ай бұрын
moja kati ya nyimbo kali za tid
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
Mzik mzur unaish🔥
@digital21.13
@digital21.13 4 жыл бұрын
Ngoma kubwa sana hiii..... COMANDOOOO
@clintonshiroya4941
@clintonshiroya4941 2 жыл бұрын
Used to listen to this back then in primary school. Purely nostalgic.
@josephinakwaselema8224
@josephinakwaselema8224 3 жыл бұрын
Jide Kama jide huchuji mama nyimbo zako conki 👏👏👏❤️
@ashirimamultimedia1580
@ashirimamultimedia1580 4 жыл бұрын
Watching from Cape town, one of my favorite artist.Thumbs up
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 4 жыл бұрын
Huu ndo muziki hizi za saiv ni matusi matupu
@godfreyhitra5678
@godfreyhitra5678 7 ай бұрын
Nakukubali mwamba😊
@congoboymbeyas2440
@congoboymbeyas2440 Жыл бұрын
Top in Dar TID unajuwa sana mwamba
@jamessiame823
@jamessiame823 2 жыл бұрын
Confidence, motive,message, that's all we need from songs because they add more value to it, I salute you jaydee for such a wonderful song that it doesn't get out of my memories ❤ 💜 ♥ 💙 💖
@YusuphMpolo-mn5ul
@YusuphMpolo-mn5ul 5 ай бұрын
Ni yeyeeeee
@francismsami2169
@francismsami2169 4 жыл бұрын
Who else is here in 2020
@lidyakisota10
@lidyakisota10 4 жыл бұрын
Halooo👋🏿 hatujawahi ondokaaa💃🏻
@maqwaybaran9905
@maqwaybaran9905 4 жыл бұрын
Me
@josephamihanda4860
@josephamihanda4860 4 жыл бұрын
I'm here in 2021
@karoltunduli107
@karoltunduli107 3 жыл бұрын
2021
@saidially5892
@saidially5892 2 жыл бұрын
2022 bado wahenga Tunapasua anga🔥🔥🔥
@bintimkitosi6187
@bintimkitosi6187 4 жыл бұрын
Continue uploading your music. It is timeless.
@arthurelakano6905
@arthurelakano6905 Жыл бұрын
I was quite young. I didn’t speak Swahili well but. Since 2021 I’ve been listening to it non-stop and it has a lot of meaning. I hope the artist knows how lucky we are to have it. Beautiful words, beautiful melodies. In short, I simply love it. The melody reminds me a lot of things
@NiyonzimaJeanddieu
@NiyonzimaJeanddieu 4 ай бұрын
Hapa rwanda turikumbuka mziki yazamani Zirisikika vizuri
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 жыл бұрын
Hivi kweli TID anatumia dawa mbaya? Hebu niambie ukweli naskia tu hii habari niko mbali na nyumbani. Only I need from you is understanding 👍🇹🇿🇬🇧
@KATIBUSTAR
@KATIBUSTAR 4 жыл бұрын
Ni kweli but sijui kama ameacha
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 жыл бұрын
KATIBU STAR .Asante bro
@robertsabatia5230
@robertsabatia5230 5 ай бұрын
Leo 2024
@halimamapusa1351
@halimamapusa1351 2 жыл бұрын
Nimemiss mziki mzuri nipo kuangalia leo
@googleus4903
@googleus4903 8 ай бұрын
APRIL 2024 GONGA LIKE HAPA TUJUANE PLEASE
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru 10 ай бұрын
God bless you lady jaydee na tid ❤❤❤
@margaretkinyanjui9237
@margaretkinyanjui9237 3 жыл бұрын
I'm here 2021,ill never get enough of this song
@ChirstianDembe
@ChirstianDembe 7 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊
@muddyfadhili1289
@muddyfadhili1289 8 ай бұрын
Legends i appreciated what they did til now
@WilleMwangomba
@WilleMwangomba 8 ай бұрын
Awajawai kosea
@Goldsule
@Goldsule 4 жыл бұрын
Big up sana Lady jaydee
@anithaphilip3526
@anithaphilip3526 7 ай бұрын
Watoto wadogo tulieni 😂, don't come here asking "who is this guy?" This is TID mnyama #niyeye still can't believe this song is 20 years old now, it's crayzy!
@robbyawesometv7030
@robbyawesometv7030 2 жыл бұрын
Lady jaydee nakutafuta sanaaa
@dmuraguri4009
@dmuraguri4009 2 жыл бұрын
These were the kind of music that make me feel like jumping out of a cars window if I happened to hear it sound somewhere. I felt like I'm the TID when dancing to it in high school
@stellahmiles2369
@stellahmiles2369 4 жыл бұрын
Watching
@mrmkandaras7491
@mrmkandaras7491 4 жыл бұрын
Fanyeni Rimix so nyote mko hapo jaman Asee 🤸🤸🤸🤸🤸
@glorykishimbo474
@glorykishimbo474 Жыл бұрын
Jaman nipo hp 2023 na nitqendelea kkuwepo kwa sb there good
@abubakarishekhan2394
@abubakarishekhan2394 4 жыл бұрын
Hii nyimbo Hot sana kama imetoka Leo hii
@issabaruani4433
@issabaruani4433 Жыл бұрын
Nyie nyie 😂😂😂, ❤❤❤
@umusenziog9783
@umusenziog9783 Жыл бұрын
Abaje ngaha bavuye muri show yo ku mutwenzi nipeni like
@FaridaNtakarutimana
@FaridaNtakarutimana 2 ай бұрын
Haha
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 3 ай бұрын
jaman wasan wa zaman heshima kwenu mliimba tena vitu vya maana
@BonifaceMungai-mx9ft
@BonifaceMungai-mx9ft 4 ай бұрын
Tid much love from kenya
@eliyankerebuka9280
@eliyankerebuka9280 9 ай бұрын
One of the best combo
@miltonemusumbah2544
@miltonemusumbah2544 6 күн бұрын
I love Jaydee
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 5 ай бұрын
❤❤❤❤KAMA NI DHAHABU❤❤❤❤
@JumaMwinyi-p2v
@JumaMwinyi-p2v 4 ай бұрын
🔥🔥💥team 2024
@nurubiccomponda9444
@nurubiccomponda9444 Жыл бұрын
are we together....content wise and context wise....! old is gold
@geoffreytola9818
@geoffreytola9818 4 жыл бұрын
This is classic. I see it now
@khamisramadhan5133
@khamisramadhan5133 Жыл бұрын
Who else is here listening 🎶 this perfect masterpiece.@TID
KIDUM Feat. LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO) HD
5:12
Maramoja Filmz Directed
Рет қаралды 6 МЛН
TID - Asha feat TOP Band (Official Video)
4:09
TID Music
Рет қаралды 403 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 10 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 2,7 МЛН
EXPOSED!!! DIANA BAHATI EX-NANNY JOSEPHINE REVEALS WHY SHE LEFT
16:05
Obinna TV Updates
Рет қаралды 47 М.
Mandojo & Domokaya - Wanok Nok
5:00
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 418 М.
Mapozi
5:15
Mbechezi Ibrahim
Рет қаралды 374 М.
Mhogo-Wa-Jangombe
7:23
LadyJaydee
Рет қаралды 11 М.
Lady JayDee Ft  Mr Blue - Wangu (Official Video)
4:57
LadyJaydee
Рет қаралды 780 М.
Kassim   Haiwezekani
5:09
vasinvic
Рет қаралды 251 М.
Nilikataa (feat. Q Chief & Mr Blue)
4:03
TID Music
Рет қаралды 28 М.
KIDUM Feat  LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO HD)
5:12
Kidum Kibido
Рет қаралды 1,5 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 10 МЛН