tekenya tunaendelea kusikia wimbo mkali sana 🇹🇿🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻 Mr love bite Lava always proud of you bro ❤️
@Jkemtranslators3 жыл бұрын
Lavalava mashabiki zako hapa nyanza kenya tunakuomba baada ya korona upige show babkubwa huku
@samsonimnguruta63194 жыл бұрын
Watekenye mpaka wachoke Moto 🔥 🔥🔥🔥🔥 🔥 mpaka walie haoooo hyo nd WCB bahna wew konde boy kohoa nahapo sas Tena hautu shitui sis
@eizerbitz67154 жыл бұрын
Kila siku nyimbo zile zile... Kamenichanganya, kamenikosha, kamenitekenya, kamenibamba... Tungo za matusi ndio mziki wenu.. Inatosha mazee... Kwa mtu anafikiria sana mziki wenu ni ule ule... Uimbaji, utunzi, uchezaji, beats... Naruhusu matusi kwa wasiojua mziki.. Karibuni sana..
@kidugaofficial66024 жыл бұрын
Ww inakuhusu nn kama hutak kuskia kausha tena uache shobo
@brainfigure944 жыл бұрын
eyo bizo vanny boy hujawai anguka kwenye verse umetisha sanaaaa
@drizla.4 жыл бұрын
Kumbe wale watoto watatu wa Baringo wametoa style ikafika international 😁😁 Through Jeff Koinange💪💪 #kuku kishingo🙌
@hussenkyando23204 жыл бұрын
Rayvann mmmmh ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@shabazulu66704 жыл бұрын
Nawakubaligi sana WCB daah nyinyi zaidi ya moto 🔥🔥🔥🔥nipo South Africa cape town
@Zanzibar_quiztv4 жыл бұрын
Shaba Zulu kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@shahamtindo4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@robertedfin98304 жыл бұрын
💃
@asma24644 жыл бұрын
@@robertedfin9830 Tizama yaliyo mkuta SOUDY BROWN wa shilawadu👇 kzbin.info/www/bejne/gKSkk4h7eqqomtE
@deniskimutai37624 жыл бұрын
South afrika mnajua kiswahili
@linusrobert51924 жыл бұрын
Mm nimependa wote ila zaid huyo mdada mwenye brich anacheza vizur Sana kapendezesha nyimbo✔️👍
@linusiedesi9404 жыл бұрын
Watoto wamondiiii hawoooooooooo nihatariiiiii fire
@joelyona47684 жыл бұрын
Nakubalii ngoma kalii kama umeikubali #tekenya ya #lavalava gonga #like down👇👇👇👌
@abuuhaji55944 жыл бұрын
Amkeniii🗣🗣mnyamwez karud tena...wcb for life
@africanboyamani86404 жыл бұрын
Vannboy noma sana 🔥🔥🔥🔥 lavalava umeua nakubali wcb4life
@getrudelaurence57994 жыл бұрын
More than fireee yan Mr.lovebite cjui mana daaaah natapatapa kama mfamajiii
@gizzotz71674 жыл бұрын
Daaah..! Hawa vijana wa wcb tuwaacheni tuu jamani. Hawawezekan#fire.
@presenternathan94904 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 kwa jumla, Nairobi,mombasa ,Nakuru n Eldoret kama unatekenya gonga like hapa
Lots of ❤️ from ITALY..... Sweet song from u Wasafi artists
@stevensimon23934 жыл бұрын
Amna mambo ya onaday 1M dah mwaka huu Kaz Hipo
@freadyjackson315 Жыл бұрын
Naombeni like senu ravnnyn
@amoury14814 жыл бұрын
I'm just hold the congratulations of this crew
@godyhaulle59594 жыл бұрын
Jina zuli Sana chita
@amoury14814 жыл бұрын
@@godyhaulle5959 sijakupata mwana
@godyhaulle59594 жыл бұрын
Vanny boy ukofreshi
@godyhaulle59594 жыл бұрын
rimx kolasi ikopiwa Hadi sio powa
@BYZOOHTV4 жыл бұрын
Angalia review hii kzbin.info/www/bejne/p2KXl4WKg81rrM0
@khanifajoy74734 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥kenyans mko wapi tu tekenye
@scolarkageni25634 жыл бұрын
I love u lavalava🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@innocentboykid2444 жыл бұрын
Tunge la diamond limeimba na Rayvanny
@kassimmohamed2254 жыл бұрын
Ngoma kali Idea kama zote...🙌
@genevakarani8084 жыл бұрын
Oh WAU WAU !! 👍👍👍👍👍👍👍💃💃💃 NICE TO SEE TALL BLACK BEAUTYS MODELS OF TEKENYA👍👍👍👍👍👍CONGRATULATIONS @ VANNY BOY@ LAVALAVA OH YES ITS ABOUT TIME YOU BRING ALL EAST AFRIQUE TALL NAOMI CAMPEBELLS ON BOARD AS V Vixens, GOOD JOB GUYZ👌👌👌👌
@halisientertainment64894 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/opXFgqhpndCbd9E tizama maajabu ya tekenya cover
@corneliuskipkemei14224 жыл бұрын
Hatari🔥🔥🔥🔥 wasafi hawajawi tulet down sisi mashabiki #tekenya Watching all the way from 254.. Tap hyo like if una amini itafika 1 M views in 48hrs
@sentaboy95784 жыл бұрын
Bonge la ngoma ,gonga like Team Diamond . Mim Team Kiba