Nilijua nkija apaa ntakuta wa2 washaanza kusema oohh mm wa kwanza naomba like,,,sasa mm siombi like lakn zitakuja zenyew,,,,lakn kanyimb katam haka cha lavalava,,,,mzigo si wa buku jero hahahahahahha
@OfficialKiliPaul5 жыл бұрын
Sijawahi pata ata like moja jamani Hata huku kwa lavalava nako🔥🔥🔥🔥
@rosemsengi71585 жыл бұрын
Pow
@fiddahmazoea76255 жыл бұрын
Chiibonge
@kimutaikosgei59085 жыл бұрын
Najua nikisema much love from Kenya hamtagonga likes ju tumezoeana sana.
@omboks4 жыл бұрын
😆😂😓😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✌️
@jonaschibile80133 жыл бұрын
oyooooo 👊👊👊👊 pamoja xan
@Zzz-fl2gr2 жыл бұрын
Wakenya Doro.
@muniraahmed6245 жыл бұрын
Nani anaangalia video huku anasoma comments kama mm. Huu ndo mziki bora kutoka kwa huyu bro who's agree that🙆
@issamuhsin57253 жыл бұрын
Mm tuko p1
@issamuhsin57253 жыл бұрын
Tunasoma comment
@becksbinladen62933 жыл бұрын
I agree with you dear 2021
@mohamedadan31103 жыл бұрын
Naikubali ila Dede pia noma
@habarikaonlinetv5 жыл бұрын
Jamani naombeni like mie huwa ata, 10 sifiki 😥😥😥😥 naombeni Leo kwa mapenzi ya lavalava mnifikishe 1k jamani
@fatmasleman30135 жыл бұрын
habarika online tv pole sn jmn ucjl ilove you lava lava
@jazyjuma14415 жыл бұрын
Ok
@jazyjuma14415 жыл бұрын
Ok fine
@yohanasalu55255 жыл бұрын
Kama umeona Changes kubwa kutoka kwa Mr Lovebite Gonga LIKE 💗
@materekajunior43395 жыл бұрын
kwamba din sana afu kuvalia heren ama ipi ingine
@hamzatimothe37855 жыл бұрын
😊😊😊
@yohanasalu55255 жыл бұрын
@@materekajunior4339 hiyo hiyo mkuu
@baldwinmbemba5305 жыл бұрын
HEllo bro are you
@willypoet1195 жыл бұрын
Kenyaa,, tugonge likes za mr. Lovebite basi.. Wcb4life
@momozoafricanmedic78465 жыл бұрын
Chris Brown wa EA..... Mr.love bite mwenyewe ...mob support from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hon.maambo3425 жыл бұрын
Tanzania is a special place in Africa. I got addicted to the place. Very calm humble people. But kizungu shida tu. Once you learn kizwahili upo Sawa. Zambia in the building. Ngoma nzuri
@virginianjoki664 жыл бұрын
. Hi . All no. N7
@farhiakaftan76892 жыл бұрын
Somalia is special place in Africa🇸🇴🤣🤣🤣
@TheWalicade2 жыл бұрын
Yu you
@jimmyjam41082 жыл бұрын
Habibi
@nawalmohamed74812 жыл бұрын
you
@raoulkedro45395 жыл бұрын
gonga like kama unapenda lava lava 🙏🙏 love from burundi
@mohamedykhalifa77245 жыл бұрын
Jaman nimeacha kazi zangu kukimbilia like . . Alafu sijui itanisaidia nin😣
@fartunissack44515 жыл бұрын
Itakusaidia kupenda bibi yako zaidi
@mnomahboybright47435 жыл бұрын
Mohamedy Khalifa 😃 faala
@rahana7nyanda8265 жыл бұрын
shiringi
@wellingtonokilla55798 ай бұрын
❤
@isaackndiritu43332 ай бұрын
muuzie lovebite
@agogodadimwa1955 жыл бұрын
Hivi like ndo kitu gani jamani,hebu nionyesheni kupitia hili song👍
@amnemkubwa73535 жыл бұрын
Nenda Google
@maryambhallo3335 жыл бұрын
@@amnemkubwa7353 jijjjjjjjjhhhhbhh
@magdalenewangari76045 жыл бұрын
Una rangi ya chotara Manga manga asili ya ki-Zanzibari Chokoleti colour mixer m-Tanga Tanga Una ng'ara ng'aring'ari Ngozi laini kanchori, sambusa bhajia Upo kama mdoli, yaani kama wa bandia Eeeh eeh eeeh.. Ukitembea koko(Koko) Huko nyuma baikoko(Koko) Mzigo siwabuku ngojero Sotojo la bokoboko(Boko) Laini nyanya ya kopo(Kopo) Yaani bonyero bonyero Eeeh achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo(Habibi) Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo uwooo Penzi lisiwe dibaji Zidisha utamu tende Mahaba yawe full charge Tukomeshe visadi viwebe Nikande kande masaji Wabaki kupiga vijembe Wakailiki magadi Ongeza na peremende(Aah) Mchunge shetwani Mama twende pole pole(Aah) Kuna Esma, Khan Akina Juma Lokole(Aah) Wasikupande kichwani Wakazua mambo ya uchochole(Aah) Iwe aibu mtaani Insta michambo wanichore Achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo(Habibi) Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo uwooo (Ayolizer) Usije kughairi ghairi Mi mwingine sina Usije kughairi ghairi Penzi likachina Usije kughairi ghairi Ukanitosa mazima Usije kughairi ghairi Nuru ikazima (Wasafi)
@abderedenamkiyoo85714 жыл бұрын
Nakubali mrembo
@aminasuleyman8034 жыл бұрын
MAGDALENE WANGARI wooo cool lyrics keep it up
@mospeciol4 жыл бұрын
Edit: achana na kina gigi...nyonga mkalia ini
@ZawadiBirya4 жыл бұрын
Asante jamani
@Creative-life1734 жыл бұрын
Ala uko fits kuandika nyimbo
@pranknation78735 жыл бұрын
The most talented artist from wasafi bt underated,, I really like lavalava and mbosso's songs they sing real love
@supernicksan5 жыл бұрын
kabisa manze
@kevinatinda22425 жыл бұрын
I also didnot know his music, until nikaskiza wimbo mmoja nikiwa nimetulia, nikasikia messegi, Mbosso and Lavalava ndio pekeao wanaimba Classic bongo fleva, wcb
@ashatasaidi64814 жыл бұрын
True. Lava Lava kawashinda WOTE kwa sauti. MashAllah he has a real musical melodious, strong, appealing and romantic voice. He sings from his heart.
@auntyadusi48254 жыл бұрын
True👌
@hassanitheafricanlion94404 жыл бұрын
I agree mbosso n lavalava should b up there in wasafi
@sadiltzchannel20965 жыл бұрын
Wanaomkubali Lava Lava naomba tujuane kwa kulike apaaa👍👍👍👍
@AhmadHasana-os8ed3 ай бұрын
Dan uwanku daga sahara ta yamma wannan itace waka mafi dadi ❤️❤️❤️🥰
@lussambokingwamishe5 жыл бұрын
Weka like hapa km ww ni shabiki wa Lava damu
@allyzombie9955 жыл бұрын
Kama uko hapa tu kwa sauti ya Mr love bite nipeni likes angalau 10
@seifabdulsattar72234 жыл бұрын
Hadi leo nashindwa kuelewa ni kwa nini nyimbo hii haikutamba sna kama nilivyotarajia....ONE OF THE BEST SONG IN 2019 but it is much underrated
@ibrahimxasan48882 жыл бұрын
Ilove you
@lizlovedbyGod5 жыл бұрын
Sauti iyoooo...ukiskiza na earphones unajiskia kama unatekenywa sikio wallahi...za iPhone lakini sio earphones za ofia😂😂😂😂
@uzurichannel52235 жыл бұрын
Leo nimekua wakwanza nipeni like zangu
@sammykimutai51115 жыл бұрын
Really?
@maduhushauli13635 жыл бұрын
Kayuba.jumu
@enockkindole26245 жыл бұрын
Ngoma kali kama huna kinyongo like za nguvu
@nassorsaid53245 жыл бұрын
Together
@izackbarnaba95105 жыл бұрын
Enock kindole madudu
@emmapaul17665 жыл бұрын
Hizo nyimbo za tarabu atasikiliza nan sasa labda pwan waliozizoea.
@madalitsosandram15763 жыл бұрын
I love you lavalava🌹
@middlesimba5 жыл бұрын
Congrats lavalava,mziki mzuri,kwa pamoja let's take our African music to the world. #middlesimba #WeAreEverywhere
@bildimpozygahmed99205 жыл бұрын
Middle simba channel 🔥
@ramarashid725 жыл бұрын
Iko powa
@ramarashid725 жыл бұрын
Middle Simba nakukubal mwana harakat
@AskariKidume5 жыл бұрын
Middle Lion 4life
@saidilikwena73915 жыл бұрын
Middle simba unaongea sana kwenye chaneli yako
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Nakuombea Kwa Allah..akurudishe kwenye..Qur.an..masha Allah..ume soma dini vzr tu...lkn dunia ime kuteka... insha Allah.. Allah akujalie uache mziki...
@musamahonda25 күн бұрын
wew kumbe akiri huna hata kidogo kumbe
@rahmaa97915 жыл бұрын
Tanzania’s treasure and dynamite 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ashatasaidi64814 жыл бұрын
Talented....like the way he puts his soul unto his music..
@rashidmasoud69395 жыл бұрын
leo nimekua wa kwanza jamani nipeni like zenu kama tumekubalia na lavalava
@ramarashid725 жыл бұрын
Gonga like Kama una mpenda lava lava
@nyebukahaji14055 жыл бұрын
😄😄😄
@maombiukovizurimwailima39555 жыл бұрын
Rama Rashid
@ramarashid725 жыл бұрын
Nambie
@joshuasauli70875 жыл бұрын
Nice
@ramarashid725 жыл бұрын
Thanks brother
@habarikazanzibar36675 жыл бұрын
Sisi wavamizi huku South Africa tunaendelea kuuombea Mziki wa Tz
@juliusmkwiji2835 жыл бұрын
Hii nyimbo sichoki kuisikiliza aisee, lavalava hii uliandika na melodies ziko safi kabisa 🔥🔥🔥
@amoswekesa14765 жыл бұрын
''Yan bunyero nyero''...This line makes me a complete man
@danielmrombo5 жыл бұрын
Likes za lavalava nazimwagike hapa, mistari iko juu kweli kweli, make this 👇 blue if u agree
@alexanderwille92825 жыл бұрын
Daniel Mrombo g
@shuuswaleh70724 жыл бұрын
Thanks a lot lavalava mziki wa hit tu xana
@shuuswaleh70724 жыл бұрын
Habibi :dha mean i understand mpenzi
@enockkindole26245 жыл бұрын
Lava lava ni hatali ngoma Kali sana kama umeuelewa like hapo
@MusemaKweliTV5 жыл бұрын
Nani mwingine ana watch zaidi ya Mara 1“GONGA LIKE”
@galteo1735 жыл бұрын
You are so talented mashallah 🤗
@habibangonyani99044 жыл бұрын
Musema Kweli gMn
@georgethiongomathenge53664 жыл бұрын
My favoirite
@hassansultan88743 жыл бұрын
I'm Somali but my wife Zanzibari I can never get enough for this song my Allah bless all of you Zanzibari óoóooyeé
@zainabramadhan80442 жыл бұрын
Ameen
@mufasarenaissancemank9s7874 жыл бұрын
this is what music should sound like, the poetry in his Swahili is mesmerizing. from kenya loving TZ MUSIC
@puritypendo64725 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 If you feel this is a hit, gonga like 💃💃💃💃💃
@ashahamisi58845 жыл бұрын
Mashaallah huu wimbo mzuri umefanyiwa video ZANZIBAR town ndani ya mji mkwenge waooooo nyumbani nyumbani tamu
@edwingwesso1295 жыл бұрын
Wangap watagonga like baada ya kuona hii bendela🇹🇿
@Genz-v8c5 жыл бұрын
Gonga like wasomali wote kama unampenda lavalva
@rukiamsomi68695 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@warioimshussein9455 жыл бұрын
si bendela ni bendera bro ghai 😂😂
@mamasofia46565 жыл бұрын
Mkenya Mimi
@husseinfatime97685 жыл бұрын
Ni bendera si bendela watanzania bana its r not l
@mohamedbukhaari29095 жыл бұрын
I'm from somalia 🇸🇴🇸🇴 I'm proud to be african ❤️❤️ I love all africans keep going bro
@sidibagos60714 жыл бұрын
yessssssssssssss bro
@abdiqadardahir52724 жыл бұрын
🇸🇴🇹🇿❤️💯🤗That's Y We Are One👌🏽😍💪
@sconto72 жыл бұрын
We arabs bro🤣🤣🤣
@kamikaziadidja25392 жыл бұрын
@@sidibagos6071 w
@omarbarakobe37422 жыл бұрын
. . M Imm
@jamwashjoni23552 жыл бұрын
This one makes me Feel so African & more so East African.. Lava lava 🇰🇪
@papaezra95645 жыл бұрын
Lava Lava funs from 254 🇰🇪 wekeni hapa 👇tukisonga.
@abubacargiramogiramo48925 жыл бұрын
Mozambique wote piga like kama umikubali ngoma!🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@sarahandrew57105 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@cassismail42355 жыл бұрын
This guy is so talented. Respect from a Mozambican🇲🇿
@imaraimara49755 жыл бұрын
If only you cud understand the lyrics.
@cassismail42355 жыл бұрын
@@imaraimara4975 somo parts of northern Mozambique actualy speaks Swahili. But im from the central part, i dont get a word.
@faithfultoyeshua4576 Жыл бұрын
@@cassismail4235it's very poetic. This song is a masterpiece
@bozocadet3623 жыл бұрын
Una rangi ya chotara manga manga asili ya kizanzibari Chocolate color mixer mtanga tanga unang'ara ng'aring'ari Ngozi laini kachori sambusa bagia Upo kama mdoli yaani kama wabandia eeeeh eeh eeeh Ukitembea koko(koko) uko nyuma baikoko(koko) mzigo sio wa buku jero Sotojo la bokoboko(boko) laini Nyanya ya kopo(kopo) yaani bunyero bunyero Eeeh eeh achana na kina Gigi hawana lolote Watazusha nawajigjig penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi Habibi Nurul'ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh oooh Habibi Nurul'ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh oooh Mmh penzi lisiwe dibaji zidisha utamu tende Mahaba yawe full chaji tukomeshe fisadi viwembe Nikandekande massage wabaki kupiga vijembe Weka hiriki magadi ongeza na peremende Ah haaa mchunge shetwani mama twende pole pole Ah haaa kuna Esma Khan na kina Juma Lokole Ah haaa wasikupande kichwani wakazua mambo uchocholee Ah haaa iwe aibu mtaani insta michambo wanichore Achana na kina Gigi hawana lolote Watazusha nawajigjig penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi Habibi Nurul'ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh oooh Habibi Nurul'ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh oooh Usije kughaili ghaili, mi mwingine sina Usije kughaili ghaili, penzi likachina Usije kughaili ghaili, ukanitosa mazima Usije kughaili ghaili, nuru ikazima Eh eeh
@Silent_cries64 ай бұрын
KAMA UNAANGALIA HII NGOMA 2024 GONGA LIKE APA😍😍😍😍
@sekiesteem55755 жыл бұрын
Kama umemuona video Queen ni mkali gonga like
@timothykirema12505 жыл бұрын
from nairobi kenya we love this! likes za labalaba ziko wapi?
@mwaxsol4 жыл бұрын
Deep lyrics ,he is by far the most poetic of the wasafi group but underrated unless you appreciate kiswahili poetic form (Shairi) . Sample this "Penzi lisiwe dibaji Zidisha utamu tende" Love should not end up being about keeping scores instead Dates(the fruit i.e tende) should taste even sweeter!
@sarahmushani67584 жыл бұрын
Too true have listened to him
@mwanafalsafa36134 жыл бұрын
Nini maana ya dibaji?
@fadhilrashid41754 жыл бұрын
No offense he's very good but there is this other guy mbosso motoo
@mwaxsol3 жыл бұрын
@@mwanafalsafa3613 Yaani kumbukumbu ya vitendo vizuri au vibaya alivyokutendea mwandani
@shakurfaith2 жыл бұрын
@@mwanafalsafa3613 simply ni debate
@Mtesomtesi2 ай бұрын
We need this lava lava back bwana hivo sijui amapiano sareee bro we miss this you😥😥😥😥😦
@jumahumphrey36565 жыл бұрын
Alieona movement za moyo wangu wa diamond tupo pamoja♨️
@kyelayetu43835 жыл бұрын
Juma Humphrey kzbin.info/www/bejne/gmSTZ3WtqpKnZqs saidia kusubscribed
@mwanaidinusra42485 жыл бұрын
Kama upenda izo nguo za lava lava gonga like yako apa
@kbmsouth5 жыл бұрын
Mwanaidi Nusra maparshut haya ila nme yaelewa dada
@tresorkongolo85914 жыл бұрын
Jamani naomba like zenu nice song from DRC 🇨🇩🇨🇩🇹🇿
@saidmvugalo2822 жыл бұрын
Lava lava keep your style tight..one day these ungrateful listeners will appreciate you! Your style is unique..only u on your lane, nobody else!! ❤
Habibi rocking my speakers all the way from Germany.. Keep the good music alive ❤
@nicksonmakubo64153 жыл бұрын
Man unajua sana
@jackiekhendy52595 жыл бұрын
Been going thru the comments and everyone is like.... "Nipeeni likes" Am I missing sth!?Are people getting paid ama whasup!?kwani kwa ground kukoje!?.....love the song....mmwaaaaah lava lava
@marjana11265 жыл бұрын
Mashallah ngoma ipo vizur sana nimeipenda ❤️❤️
@ruhaimamohammed70225 жыл бұрын
I dnt understand a word but my heart melts listening to his songs.
@locoloco75 жыл бұрын
Me too
@shaabanrajabu40785 жыл бұрын
#HeartFeels🌹🎻
@bettybetty35185 жыл бұрын
Pole Sana @Ruhaima Mohammed...the language is too sweet ooh!
@mtumzurigoodman7204 жыл бұрын
Jifunze kiswahili Dada, raha thupu
@georgethiongomathenge53664 жыл бұрын
One guy from Nepal was dancing this song as if she knows the meaning of these words
@miriamjonas28435 жыл бұрын
Like kama we sio fan wa lavalava lakini hii nyimbo imekufanya uanze kumfolo kidogo kidogo
@sharktusk49315 жыл бұрын
Wimbo ni moja..sio nyimbo.
@abiolao53712 жыл бұрын
Yo!! Nigeria in the building! I visited Tanzania and then this song was played one afternoon, I’ve been listening to it ever since
@beenten7758 Жыл бұрын
🎉💪
@zenamadhan25175 жыл бұрын
Hawa ndio madaktari wa mapenzi..lavalava n mbosso khan..sio Abdul kiba..na group lake
@derrickobango35462 жыл бұрын
Dude is sooo talented, one of the best vocalists I know, still don't understand why he's so underated
@bernie.213 жыл бұрын
Aiiiiish nyimbo yajiuza tuu kenya 🇰🇪 tupo
@jaymopogba86555 жыл бұрын
Kama bdo unaicheki from Kenya nawakilisha lamu county gonga hapa👇👇👇❤️🔥❤️🔥❤️lava lava big up xna ##habibi
@ramarashid725 жыл бұрын
Nimekua wapil leo kuangalia video hii
@nasibndaro62815 жыл бұрын
All the way from Bahrain still listen to this Romantic n emotional song thumb up ..lava x2. Mzigo c wa buku jero.
@AbdifataxAbdifatax-e9s Жыл бұрын
I'm somalia boy africa keep going
@JOSEPHKHARIS243 Жыл бұрын
musuc tamu sana ila daaah support ndogo kweli
@toureskepta59875 жыл бұрын
Kama unaangalia hii utafaulu kwa maisha yako na itaishi maisha mazuri gonga like
@zoazoatv5225 жыл бұрын
km unamkubali KONDE boy gonga like hapa Tujuane team JESHI........
@daudbuswelu86505 жыл бұрын
WAUNGWA TV #jeshiiii
@makalasaigoni22755 жыл бұрын
nami leo nimewahi. au nina gundu cpati like jaman
@samanthaali8735 жыл бұрын
Ss Watu Mombasa twacomment wapi wee mtto sivyo unavyo tujuolia😂😂Mzigo sio buko wa jerooo duh wachana na gigy
@martinmomanyi68032 жыл бұрын
Sijui nihamie Tanzania cause artists are so dope 🔥🔥🔥🔥
@abderedenamkiyoo85714 жыл бұрын
Akh napenda xna hii nyimbo walai lavalava nakubali ustadhi
@preshnazziah12355 жыл бұрын
Kenyans who love bongo si tuonane😂😂
@denniskimani48725 жыл бұрын
Am here
@eunicesaumu74865 жыл бұрын
Am here
@denniskimani48725 жыл бұрын
@@eunicesaumu7486 could you mind to contact
@Nelly_Kifano..20145 жыл бұрын
Check 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kalvindamian34765 жыл бұрын
Yes babe
@mursilmursal5 жыл бұрын
Wachana wakina gigi hawana lolote gonga like kama unakubaliana na lava lava👇👇👇
@dynamicvisionstudios5 жыл бұрын
Nawatch nikiwa +254 Piga Like hapa Tukisonga
@nurumwashiuyashamandi175 жыл бұрын
Dante Kymra k
@khamisconvoy67985 жыл бұрын
igekuwa saf sana igeimba mboso
@banzibanzi94995 жыл бұрын
Unapata faida gan ?
@ramakimolo1253 жыл бұрын
Lava lava bora uchezee humu naona unaeezea kuliko mbosso
@AbdulSalam-bs4js5 жыл бұрын
muqdishu boy ndani hapa wapi like zangu plz. lava lava
@saeedaltooqi97545 жыл бұрын
Love from Oman🇴🇲🇴🇲 this song is something else👌
@georgekalamba20305 жыл бұрын
Somethings else like?
@saeedaltooqi97545 жыл бұрын
@@zeyanaali8257 😂😂😂😂
@ahmedios53905 жыл бұрын
Zeyana Ali انتي من وين
@ahmedios53905 жыл бұрын
Zeyana Ali اه انا أفريقي بس انتي ليه هنا
@ahmedios53905 жыл бұрын
Zeyana Ali Somali Maa Tahay :)
@bambistarr19203 жыл бұрын
LavaLava King of bongo He be the realest in this game..love you
@mirajihazard21175 жыл бұрын
wa mwanzo ku coment kutoka zanzibar naomba like zenu jamani pls
@bennokibassa68595 жыл бұрын
Mnaogongeana like ingekua wote mna rudia kuitazama hii video ingefikisha viwers 1M ndani ya saa kadhaa tuu lakini likes nyingi kuliko viwers
@HawaAdam-t2l2 ай бұрын
Hinyimbo nzuri sana,ita ishi
@sadatkassim73065 жыл бұрын
Kama unapenda lava lava like hapo
@saidommary84544 жыл бұрын
Yuko vzl
@warrensimbake71745 жыл бұрын
lava lava i love it when you flow emotionally, thats where your talent and flow lies. kuos papa. look for otile
@salmasaeed93575 жыл бұрын
I lyk it 😍😍😍 kma umeipenda pia gonga like
@ramamohammed14383 жыл бұрын
Yaaani Lava Lava...Big up sana....napenda sana yaani mzigo si wa buku jero... Hongera man🎊🎉🎊🎉
@Mukalawi6 ай бұрын
Am somali from Somalia and I alwayz love to hear Tanzanian songs I insha allah 1day I will be there in Zanzibar much 'love guys❤
@mustaphardennice96495 жыл бұрын
Wallahi In Sha Allah nitakapo kuwa na harusi Lava Lava ndiye atakayeimba kwa hiyo harusi
@saidkimbe90755 жыл бұрын
Gonga like kama unaangalia huku unasoma comments
@liliannyambura65115 жыл бұрын
Vivian
@ROTES19915 жыл бұрын
I'm from Eritrean. I do not understand this language, but I love you this Classic
@Imbosagerald3 жыл бұрын
Nurulaini kipenda roho.....
@salimali51595 жыл бұрын
lava lava tutengez video bwan kam hujui kutengeneza video mwambie baba yak mind au ndug yak mboss nyimbo mzur video mbayaaaaa lava waharb video
@johnmnjama68374 жыл бұрын
Ten times still can't stop listening to ur songs bro..this is a good example of musical intelligence
@susanchege4825 жыл бұрын
It's time lava lava and mbosso gave us a collabo
@mouhamadoulamine2793 жыл бұрын
And what a collabo!!!!!!!
@dennisakumu66903 жыл бұрын
@@mouhamadoulamine279 check basi tu
@dennisakumu66903 жыл бұрын
Kuna nyimbo Yao wawili
@asallymbwego59065 жыл бұрын
Love bite,jamani tu like hapa tuliopenda Neno Bunyerobunyero!.
@petermwami44232 күн бұрын
Kweli miaka inasonga ikiwa huu wimbo sai ni kama TBT. Hata hivyo, utaishi hit kubwa🔥🔥
@brotherfahad31585 жыл бұрын
Boss lover lover huyu heroine bomba sana jamani eeeh kma msichana bomba bonyeza like hapo chini
@Lifeindubai1015 жыл бұрын
Una rangi ya chotara Manga manga asili ya ki-Zanzibari Chokoleti colour mixer m-Tanga Tanga Una ng'ara ng'aring'ari Ngozi laini kanchori, sambusa bhajia Upo kama mdoli, yaani kama wa bandia Eeeh eeh eeeh.. Ukitembea koko(Koko) Huko nyuma baikoko(Koko) Mzigo siwabuku ngojero Sotojo la bokoboko(Boko) Laini nyanya ya kopo(Kopo) Yaani bonyero bonyero Eeeh achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo(Habibi) Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo uwooo Penzi lisiwe dibaji Zidisha utamu tende Mahaba yawe full charge Tukomeshe visadi viwebe Nikande kande masaji Wabaki kupiga vijembe Wakailiki magadi Ongeza na peremende(Aah) Mchunge shetwani Mama twende pole pole(Aah) Kuna Esma, Khan Akina Juma Lokole(Aah) Wasikupande kichwani Wakazua mambo ya uchochole(Aah) Iwe aibu mtaani Insta michambo wanichore Achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo(Habibi) Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo uwooo (Ayolizer) Usije kughairi ghairi Mi mwingine sina Usije kughairi ghairi Penzi likachina Usije kughairi ghairi Ukanitosa mazima Usije kughairi ghairi Nuru ikazima (Wasafi)
@tedbrown2631 Жыл бұрын
Mashallah
@cashaabdi1903 Жыл бұрын
Gud work
@kijanawagovernor Жыл бұрын
Clean work
@mercychebet5349 Жыл бұрын
Safi
@MaryanAbdulaahimaxamed Жыл бұрын
Uuᴜᴜᴜᴜᴜᴜᴜᴜ ᴜᴜᴜ ᴜUᴜ# 7 7ᴜᴜ ᴜᴜᴜʙᴜʙᴜᴜᴜᴜᴜᴜ ᴜᴜɪᴜᴜ
@hassansalim70265 жыл бұрын
You killed it my man, Mob love from kenya this is lit Gonga like