Lava lava huna baya ndugu yangu nyimbo hii ni mzuri sana
@frizzy67663 жыл бұрын
Lava mwenyew mungine fake sitakii sitaki 🤸♀️💃❤
@wingstone53033 жыл бұрын
Oyoo ndo lavabait kaijoih kua singo sasa ana injoi na wake sasa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MashabikiwambossoOfficial3 жыл бұрын
Hit Song in American now Keep it’s up Brother Lava Lava We Love you Music 🥰❤️❤️❤️✅
@shadyarif6533 жыл бұрын
Huyu Ndiye Lavalava Wa "Bora Tuachane" ,,huwa Habahatishi! One Love from Kenya Mr Lavabite!.. kzbin.info/door/bpIzaqgbPOUGhVMQrG-_Aw
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@grandpalitohtv17063 жыл бұрын
Noma sana🔥🔥Brand New🇰🇪📀 kzbin.info/www/bejne/imeskpuvbZJ0Z9k *PRETTY LITTLE TING OFFICIAL VIDEO🎶* *By GRAND PALITOH* *#subscribe**#share**👊🏼*
@margaretwambui26173 жыл бұрын
Wow
@officialbetterboy81303 жыл бұрын
Baibuda ndio mzm wa lava lava sijui mwamba anafeli wapi i see bonge la wimboooooo
@petermuya88703 жыл бұрын
Lavalava anajuwa Sana 💙💙💙🌟. likes from Kenya 🇰🇪 zinadrop apa.
@amanisalum32483 жыл бұрын
Lava lava wewe nifundi nanusu me shabiki ako namba 1 kaka yan simu nimeazima nisikilize tuh ngari ngari ebwana unijibu usinijibu wewe fundiii
@abdulhakimabdallah93923 жыл бұрын
WATAKAOUNGA MKONO GONGA LIKE.. "LAVA LAVA UMEIMBA VIZURI ILA SSA PONGEZI NYIGI ZIENDE KW LIZER CLASIC MAANA WIMBO KAUTULIZA UNAVYOTAKIA NA NAKUOMBA HII KAZI DEREITER ASIMAMIE HANCANA FUNDI WA HD BABA...NGOMA TUMEIPOKEA VIZURI SANA
@gunimwatela41433 жыл бұрын
Hii nyimbo nikali hata imeshinda ile niko single....uko vizuri broo usikate tamaa
@Davidmue2543 жыл бұрын
Walisema hana nyota .,....wamebaki midomo wazi🙏❤️❤️❤️
@robertmwangi30043 жыл бұрын
WCB nzima kwa uandishi mboso no.1, lava lava akifuata
@Mbeyaconscious3 жыл бұрын
Good Sound Muhindi Wa Kusini 💥💥💥
@shadyarif6533 жыл бұрын
Huyu Ndiye Lavalava Wa "Bora Tuachane" ,,huwa Habahatishi! One Love from Kenya Mr Lavabite!.. kzbin.info/door/bpIzaqgbPOUGhVMQrG-_Aw
Music mzuri hauhitaji kukodiwa watu hata kidogo unajibeba wenyewe hongera Mr love bite😚🥰
@globalkenyanews3 жыл бұрын
Lava lava mwenye kiswahili konki🔥🔥🔥🔥
@yunushamdan60793 жыл бұрын
Ikiw kunamtu kaisklza mar moj hii song namuomba ajitokeze
@Amiboy4253 жыл бұрын
Mziki mzurii bhana aaah
@seifkipwasa13533 жыл бұрын
Nyimbo imepata muimbaji ongera Sana brother 🔥🔥🔥
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu Lyrics ya Hii nyimbo nitapost
@kaya.o54833 жыл бұрын
Wewe ni kali kwa bongo fleva
@MashabikiwambossoOfficial3 жыл бұрын
Much Love to Lava Lava in America 🥰❤️❤️❤️
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu Lyrics ya Hii nyimbo nitapost
@MashabikiwambossoOfficial3 жыл бұрын
kzbin.info/door/rclkhR-VNHAQ53MMdVfikg
@mshefabiro32993 жыл бұрын
athman hapa umeimba uko vizuri ww kisha unajua sana big up bro
@taiyomakikitvsupportto100k73 жыл бұрын
All the way from Kenya,,,, I love wasafi songs,,,, keep it up bro
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu Lyrics ya Hii nyimbo nitapost
@shadyarif6533 жыл бұрын
Huyu Ndiye Lavalava Wa "Bora Tuachane" ,,huwa Habahatishi! One Love from Kenya Mr Lavabite!.. kzbin.info/door/bpIzaqgbPOUGhVMQrG-_Aw
@anungao57763 жыл бұрын
This lavalava ambay namjua
@alexmichael89503 жыл бұрын
Beat ipo advance sanaa... Vyombo vimepigwa mpaka basi.. dakika ya 2:28 kuna snare zimepigwa Abazo bado hazijanipa majibu mpaka sasa 🔥🔥🔥
@maikojohn33623 жыл бұрын
Atari🔥🔥🔥🔥
@emanuelhezron42623 жыл бұрын
Zifikisheni Salamu kwa Yule kidudu Mtu,Mwambieni Kutesa Kwa Zamu,Asipige Marufuku, Ya nini Mashamu shamu leo Boko lipo huku
@edwinkwemoi96623 жыл бұрын
Lava lava has always been great, he's the best in the game. Kazi safi Mr lovebite
@mariamhassan64113 жыл бұрын
We lava weeeee umeweza wallah
@trendycollections00133 жыл бұрын
I have just repeated the song more than 5 times dancing with my wife.. good job 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much luv from us.. Big up
@queenestherngrit64153 жыл бұрын
kzbin.info4PjUFG38QpE?feature=share?
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@frizzy67663 жыл бұрын
Me too ✋
@mohamedkhalfan66463 жыл бұрын
Najiamini niko pekee yangu ndio maana natambaa 🎶🎶🎶
@idaretv67103 жыл бұрын
Good music😍😻 he does not force...pure talent..big up lizer too
@queenestherngrit64153 жыл бұрын
kzbin.info4PjUFG38QpE?feature=share?
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@neemayusuphu15913 жыл бұрын
Kaka Wa TAIFA lavalava nakuomba nawewe utoe kolabu Na wasaniii Wa inje kuongeza mashabiki Na ukubwa Wa jina ukaje siku moja malawa kuna washabiki wako wanaupenda sana mziki wako
@raelmumo3963 жыл бұрын
His hard work 💯 hata hatujapumua na kukua single
@costaramerican49013 жыл бұрын
Kitu sana mzee wangu
@clintonarnold62913 жыл бұрын
We mjinga saiv unajua yan umechange, ngoma za saiv kali Sanaaa big up....lazma upande San...maan sio kwa ngoma hizii, na kwahali hii hatutakusema vibaya tena you deserve to be WCB 💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@dfordadu1763 жыл бұрын
Kauli yako umeianza na ukali sana braza nilikua nimeshtuka. We nimjinga pia😃
@nalandayusuf71793 жыл бұрын
Huyuu ndoo lava tunaye mfahamu ,nipe likes za congo Drc
@Fidepozee_3 жыл бұрын
A good one brother Lava Lava your songs are just too emotional💪🤝❤️i love them its now on repeat mode
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu Lyrics ya Hii nyimbo nitapost
@shadyarif6533 жыл бұрын
Huyu Ndiye Lavalava Wa "Bora Tuachane" ,,huwa Habahatishi! One Love from Kenya Mr Lavabite!.. kzbin.info/door/bpIzaqgbPOUGhVMQrG-_Aw
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@shangaziwataifa86753 жыл бұрын
Jamani asante mungu....lavalava leo haliii...kapata mapenziiiiii
@amadejanfar80703 жыл бұрын
Boa música meu irmão#lavalava 🇲🇿🇲🇿
@josephmutinda61313 жыл бұрын
Ngoma ni Kali sana ndugu
@taiyomakikitvsupportto100k73 жыл бұрын
The chemistry of this song is very organized,,, keep me likes please
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@kessyfadhili28133 жыл бұрын
Kumbe hii nyimbo nzuri hv 😞😞 mbn watu Muna roho mbaya sana
@latestminhokidonly17343 жыл бұрын
Mwanangu endelea kupambana TABIA ZA TUNASIKIA ULITAKA KUACHA MZIKI, ndio changamoto ni nyingi tusizozijua mashabiki ILA IYO NDO KAZI YAKO NDO MAISHA YAKO
@neilkifano25043 жыл бұрын
Kenya inakubali 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aguzah3 жыл бұрын
Noma Sana wale mnapenda support pita na kwangu pia🔥🔥🔥🔥
@youngresearchkenyalimited31833 жыл бұрын
Songi safi sana. Lovebyt hii umeweza. Kutoka 254 saluti.
@swabrimbaruk85713 жыл бұрын
Kaka Lava miondoko yako sio ya kitoto , big up this is what I hv been waiting for long # NGARINGARI
@mwanawote3 жыл бұрын
This now lavlava i kniw 😍 💪
@MsChocoFlava3 жыл бұрын
Who is listening to this song kwenye Independence Day ya Tanzania 🇹🇿. I have been missing this kind of song from lavalava jamani 😍😍 huu wimbo jamani 🙌🏽🙌🏽
@beesmarttv37923 жыл бұрын
Dah!!🎧 bro umeimba aiseh!! Sio sir
@descairodescairo67703 жыл бұрын
Lavalava umomoo😍🔥🔥🇰🇪🐐
@habumugishaegide10793 жыл бұрын
The return of mr love bite....umetisha sana mzee
@stanleymusyoka60383 жыл бұрын
The man in his on level💣🔥Lavalava never disappoint when comes to diz kind of Songz❤️❤️❤️❤️
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu
@stanleymusyoka60383 жыл бұрын
@@mombasagossipclub9587 poa bro
@shadyarif6533 жыл бұрын
Huyu Ndiye Lavalava Wa "Bora Tuachane" ,,huwa Habahatishi! One Love from Kenya Mr Lavabite!.. kzbin.info/door/bpIzaqgbPOUGhVMQrG-_Aw
Melody tamu,jameni lavalava mr.lovebite the song is making me light on alot of udi flavours.....this is dope....
@acrambacari41873 жыл бұрын
huu ndiyo mziki wako sas achana na makelel unayopiga sio kila mtu anataka acheze IMBA LAVA LAVA IIIIIIIMBAH
@CCqueen43 жыл бұрын
How can i click on the like button a thousand times! ♥️🔥🔥Nani mwingine ameskiza huu wimbo zaidi ya Mara mia?
@emmanuelchogo47353 жыл бұрын
Kazi swafi iko repeat mode
@Westsidemose3 жыл бұрын
Lava lava manze never disappoint me , much love Mr lover bite , kumfu master
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@gariyamiraa21283 жыл бұрын
Does he sing for you?
@Westsidemose3 жыл бұрын
@@gariyamiraa2128 Your 40 Year old but still looking your still breastfeeding, what kind of stupidity are bringing to me
@gariyamiraa21283 жыл бұрын
@@Westsidemose I wld have engaged you but unfortunately your brain Threshold is below par
@mehdiramin40543 жыл бұрын
Kitu motooooo Mr love bite karudi na ngoma kaliii mnoooo Gonga like tuende swa
@kelvinbenson37263 жыл бұрын
This song is so Great,🔥Lava lava thank you for the big tune, representing 🇰🇪🇰🇪
@erastonjenge53573 жыл бұрын
Iko vizuri sanaaaaa hii nyimbo by Waziri mkuu wa Kampuni ya Phasto Nchini Tanzania
@josephchege19053 жыл бұрын
The man is back with a hit again, keep it bro
@queenestherngrit64153 жыл бұрын
kzbin.info4PjUFG38QpE?feature=share?
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@ismailseiphuuu27133 жыл бұрын
U know what huyu ndie lava tunayemtaka good music umetulia kwenye mixtali nimeckiliza zaidy ya mala 5 na bhado cjaichoka hongera kaka endelea kufanya vizury
@musanicxon71543 жыл бұрын
U never disappoint my bro...
@abdallamzee31993 жыл бұрын
Amka jomba waona saizi unaanzakutoa ngoma Kali kali
@Masterboy-ct4vk3 жыл бұрын
Noma sana
@singidaprincetz18833 жыл бұрын
Unajuaaaaaaa saaanaaa broo.....
@willeydavid21083 жыл бұрын
Another banger another hit in town all the way from Canada 🇨🇦
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu
@d-maxScarlageKe3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jXrRdomtm76tlZY
@ibnukathir76233 жыл бұрын
Anitaa Anitaani Aayuuni... Namwita namwita nyonda sabuuni... Anipa anipa mpaka bafuni... Sio mbwembwe ndio zake tamaduni...🔥🔥
@mr.lovebite353 жыл бұрын
Umeuwaaa sana kaka🔥🔥🔥🔥
@mombasagossipclub95873 жыл бұрын
Please subscribe pia kwangu Lyrics ya Hii nyimbo nitapost
@lareineminah13533 жыл бұрын
Nta pata tu 😍😍😍😍 soon tu
@sharonatabachi96563 жыл бұрын
Wooooow soooo nice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 keep it up brother. I'm in love with this song. Much love ❤️❤️😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
@aminahadi19663 жыл бұрын
We lava lava huu wimbo umeutoa wakati mzuri sana salary yote napewa na bwana
@luopeansultan0013 жыл бұрын
Issa beautiful Morning💯🇰🇪
@yokshanmethod91863 жыл бұрын
Nmexkiliza nyimbo kwa cku tatu mfululizo na cjachoka..nyc melody fantastic beats ....kitu kizito umedondoxha brother