Great work,,i am a kenyan and the way you explain is easy for a begginer to understand thanks so much.
@nazmulgazi67935 жыл бұрын
Wow! Best Forex Broker with M-PESA. It is very easy and profitable for traders.
@DaudMeleka Жыл бұрын
Yes I need broker
@emmanuelmaende-z6j4 ай бұрын
Thanks for explanation
@rizikisangawe23082 жыл бұрын
Unaelezea vizuri sana mpaka hapa naelewa vizuri
@alphakapinga31824 жыл бұрын
Thanks for your explanation
@alliehtv95093 жыл бұрын
Thanks
@DzMaST3R5 жыл бұрын
thanks for sharing .u are the best
@ernestchristopher71512 жыл бұрын
Kaka wewe unajua kufundisha sana
@denisderamu43554 жыл бұрын
I feel it
@servasmrosso79486 жыл бұрын
Asante sana. Nimekuwa nikifuatilia elimu hii kwa umakini sana. Bado najifunza na elimu hii imekuwa msaada sana
@ntihinyuzwabennhy55154 жыл бұрын
Mbone mimi nataka nifanye hivyo ndaanza aje?
@jimisonpius81005 жыл бұрын
Uko vzuri sana bro
@bernadokujela2 жыл бұрын
Very good
@pascalboniphace1895 Жыл бұрын
Nice
@islamratul4185 жыл бұрын
nice job
@sambusasambusa95065 жыл бұрын
Nimekuwa nifatilia hii biashara ya forex kwa mda sasa naona ni mda wa kuingia maana nimeifatilia kwa mda sasa ngoja nimalizie na kozi yako naamini kuna kitu ntapata pia
@nascentnoel3952 жыл бұрын
Umepata??
@abdunnayeem3835 жыл бұрын
impressive
@kellynashon30172 жыл бұрын
Asante kwa maelezo .....samahani nataka kujua akaunti nafungua vipi???
@godwinegacharo90014 жыл бұрын
Vipi kwa anaehitaji elimu zaidi. Bei zako zikoje
@scalpkingsfx74934 жыл бұрын
GACHARO 4G Physical Training na mentorship tunafanyia ofisini kwetu urafiki ubungo, dar es salaam, pembeni ya jengo la kituo cha polisi cha urafiki. Pia kuna online trainings kwa watu walio mbali na ambao hawawezi kufika ofisini kwetu ambazo zinafanyika kupitia app ya zoom. Training ni one to one na inachukua week 2, ambapo kutakua na darasa la mfululizo jumatatu hadi ijumaa kwa masaa 2 kwa hizo week 2 (Kuna special cases ya kuomba kufundishwa masaa mengi kwa siku ili umalize content yote kwa week 1 ili kuanza practice mapema). Baada ya darasa la week 2 mfululizo, kinaanza kipindi cha mentorship ambapo utakua unayafanyia practice yale uliyofundishwa huku ukipata usikamizi wa karibu kutoka kwa mentor hadi pale utakapokuwa comfortable na uwezo wa ku trade mwenyewe(mentorship is lifetime). Gharama ya training pamoja na mentorship ni 250,000 fixed onetime payment. Darasa linaanza siku yeyote. Pia kuna trainings kwa mfumo wa videos ambazo zinapatikana katika tovuti yetu www.tradewithsabayo.com pamoja na www.scalpkingsfx.com
@NDaKI250 Жыл бұрын
@@scalpkingsfx7493 mkuu nmekufatilia sana nahitaji mawasiliano yako
@stellamuyenjwamboyi7559 Жыл бұрын
Broker hapa Tanzania nitampata kama Eg Solomon
@mathiasmathias81912 жыл бұрын
Within minutes currency price can rise and fall
@mashakamnyamisi27002 жыл бұрын
Checked
@dadahmary10824 жыл бұрын
ATA Mimi nko kwenye maeneo ya kenya..nimependa unavyo eleza
Boss thanks for sharing that madini, but swali langu ni kwamba vp kuhusu kuwthdraw profit yako inapokua interms of USD napo ili upate faida kubwa zaid utaangalia trend ya USD kupanda thamani ndo utoe ama haina effect kweny kuwthdraw????
@scalpkingsfx74935 жыл бұрын
Rate ya kwenye ku withdrawal hua inategemeana na njia unayotumia ku withdrawal mfano kama ni njia ya bank basi rate ya ku withdrawal hua ni ile ya kwenye bank husika unayotumia
@davzumbuclasic70885 жыл бұрын
@@scalpkingsfx7493 nitampataje broker mzuri
@respiciakanimba65656 жыл бұрын
Mbona video kwangu sioni
@stephanolaizer98246 жыл бұрын
Respicia Kanimba nitawezaje kufungua account kwa broker
@piuslamson97565 жыл бұрын
Hbr ofisi zipo ubungo sehemu gani?nipo dar
@scalpkingsfx74935 жыл бұрын
Opposite na geti la kiwanda cha urafiki au pembeni ya kituo cha polisi cha urafiki
@scalpkingsfx74935 жыл бұрын
Urafiki ubungo pembeni ya jengo la kituo cha polisi cha urafiki. Unaweza angalia kwenye google map kwa ku search SCALPKINGS FX
@wofirefx46304 жыл бұрын
@@scalpkingsfx7493 Appreciated
@zullysereri25334 жыл бұрын
@@scalpkingsfx7493 na vp kwa mkoa wa dodoma?
@stellamuyenjwamboyi7559 Жыл бұрын
Sawa tupo elezea tuelimishwe vizuri kuhusu broker hapa Tanzania
@Rosieposie12e Жыл бұрын
Nambie BRAZZA vipi hamna group ata la WhatsApp basi tujiunge ili tuwe tunapata signal???
@joseepngalyamunu9116 жыл бұрын
Kaka ningependa suku1 tungekutana
@scalpkingsfx74936 жыл бұрын
Karibu sanaa ofisini kwetu. Urafiki industries Estate Block J, 2nd floor, room 16 Ubungo, Dar es salaam
@aliusanthony91586 жыл бұрын
Kaka na mm nitakuja ofisini kwenu napenda kujifunza zaidi