Jamani Kuna mijitu haina akili na haielewi. LEMA anaongea Point kabisaaa, mijitu mnaccoment ujinga. Nyie mmelogwa na CCM siyo bure.
@ScopionScopion-zj9cd2 күн бұрын
mimi Naamini selikali hiii inauwezo wakukufanya chochote hapo hapo alusha ndani ya makonda acha jeuli huna ubavu uwakushindana Na selikali ww Nimpuvu2 wewe omba mungu tumpate rais awe makonda au wazili mkuu sio chadema sioni rais chadema mimi wote wapigaji2 nyinyi mliokua mkimpinga magufuli mfai kua viongozi kwenye nchi hii CCM hapo hapo tutapata mtu mwenye maamuzi magumu ipo siku2
@FrenkMushi-i7f3 күн бұрын
Nakukubali sanaaa
@JoyceVenas3 күн бұрын
Alie ona bendera ya ccm inapepea nyuma yake alike hapa kwangu 😂😂
@RacksonBabiligi-gl5fp3 күн бұрын
Jamaa anaumia na kinachoendelea kwenye nchi yetu, anaongea kwa hisia na asila sana na kwa kifupi kuna baadhi ya mambo yupo sahihi sana.
@ifmknowledgepower73333 күн бұрын
Mara paaa, makonda kahamia chadema mtaanza kumsifia tena na kumpa nafasi ya kugombea urais, mtajua kutuona watanzania mabwabwa😂😂
@adamnasibu59313 күн бұрын
Hamnaga mfano wa hivyo
@ifmknowledgepower73332 күн бұрын
@adamnasibu5931 unataka kujisahaulisha swala la lowasa mliemchafua kua ni fisadi alipokuja chadema eti mgombea urais 😂😂 hakuna kitu pale, porojo tu kwa mdomo
@adamnasibu59312 күн бұрын
@@ifmknowledgepower7333 Acha kuongelea watu walokufa
@Ushauri2353 күн бұрын
Hii nchi lema ina mapoyoyo wengi ndio maana hata Hawa kuelewi unachoongea
@muniraahmed6243 күн бұрын
Huyuu jaaamaaa nomaaa
@abilahyusufu90012 күн бұрын
Wamarekani wagombanishi tu hawapendi nchi ziwe na amani mbn siku zote hawakusema mpk kipindi cha uchaguzi usiwadanganye watu ww
@ScopionScopion-zj9cd2 күн бұрын
Yani selikali iliompga idi Amin dadaa mpaka akakimbia Uganda ikatekwa miyezi mitatu ishindwe kukufanya chochote wewe lema unakili kweli ww
@martinwilson33573 күн бұрын
sas mnafany campaign zanin wakat wagombea wenu wote wameenguliw duh ila hii nchi ngum sana poleni saaan
@NestoKipila2 күн бұрын
Usiri kamanda hawa ccm ni makamongo yasio jielewa
@barackmoses70032 күн бұрын
Huyu hajielewi
@mtotowamanka3 күн бұрын
Arusha ni kubwa, #lemambunge2025😮
@HanifaUrassa3 күн бұрын
Usituchoshe na hadithi zako za alinacha kila siku huna Agenda mpya
@JemaMhagama-oz6me3 күн бұрын
Kwani wagombea wengine hawapo wa ubunge Arusha Kila siku lema?
@nicolauslema883 күн бұрын
Ww www.
@MatendoMenganyi-xq8lx2 күн бұрын
Umeanza kilele tena
@JehhusRaoul3 күн бұрын
Huna hoja lema we ni msaniii
@romastasenterprises44473 күн бұрын
Nawakubali Chadema ila Watanzania hawataki malalamiko kinachotakiwa ni kutueleza mkipata nafasi mtatufanyia nini. Manake mnaowaita wezi ni wanadamu na nyie hamjatoka mbinguni so tueleze mtakachofanya achaneni na hao wezi. Elezeni mbadala
@Dicmely-t5f3 күн бұрын
Ayo nanyie msha anza mambo ya FM mna post je video agest na kichwa cha habari acheni upira wa FM tunawakubal
@yussufhashim44723 күн бұрын
Sio hana hoja hana maamuzi mwenyewe amechoka
@rebekakulwa61593 күн бұрын
Fidiemu mna hoja ya matundu ya vyoo madarasa bila walimu vijihospital vyenye panadol kuuza rasilimali za tanganyika miaka 65 hizo ndio. Hoja zenu
@CopperBelt3 күн бұрын
Lema huna hoja hakuna fala tena
@FrenkMushi-i7f3 күн бұрын
Wewe ndo auna ojaa acha ufala kengee km kengeee wengine
@DicksonJaphet-fq7ov3 күн бұрын
Wewe Mwenyewe Rofa😢
@CopperBelt3 күн бұрын
@@FrenkMushi-i7f we nyani wacha kelele acha binadamu watawale
@chomasongidion60473 күн бұрын
Masikini huwa sikuelewi ,sana nasikia kelele tu yaani
@adamnasibu59313 күн бұрын
Utamuelewa vipi wakati Huna akili ya kuchakata😂
@AndrewKisava3 күн бұрын
Si kikiziwi wewe utamsikiaje mjinga mkubwa na Chawa la adesina wa kisimkazi wewe kwendraaaa