LEMA avunja ukimya atabiri mwisho wa wasira baada ya kauli ya wasira ya ccm kutoondoka madarakani

  Рет қаралды 8,108

Linconmedia

Linconmedia

Күн бұрын

#chadema #lissu #samia #mbowe #ccm #tanzania #uchaguzichadema #uchaguzi2025 #drslaa #Wasira#mzeewasira

Пікірлер: 41
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 2 сағат бұрын
Wewe mzee mfundishe mungu kazi soon atawaonyesha kwamba kila kitu kina mwisho
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Сағат бұрын
Usicheze na mungu waulize marekani kilicho wakuta
@SteveShemsanga-il3ct
@SteveShemsanga-il3ct 2 сағат бұрын
Mbona jamani imewauma sana kuambiwa atakufa nahuyu MWAMBA akitabili huwa inatokea hivyo tutubu haraka namuwache kula jasho lawanyonge maskini bira hivyo tutamwanbia nabiii atabili
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 15 минут бұрын
@@SteveShemsanga-il3ct Muombe akutabirie na wewe kama kufa ni kuzuri! Kwani yeye jiwe! Mbona hasemi atakufa lini!
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 3 сағат бұрын
Yani lema kuwa tabilia watu kufa kwanza toa boliti ktk jicho lako ndio utowe kibanzi ktk jicho la mwenzio ujitabilie kufa utakufa lini hakuna anae juwa nafsi ila Mwenyezi Mungu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 сағат бұрын
Utakufa mwenyewe mbwa wewe kila siku unatabiri kifo kwa watu kwani wewe hutakufa
@salimbinargan9658
@salimbinargan9658 2 сағат бұрын
Mtu kama kifikia halihii ijuwe ameshaishiwe iakili wa imani yeye anachukua kama ni allaha mwenyi mungu kusema atakufa aniambie nani asiweza kuwa yeye hatakufa hiyo ni ayejua wenyezi mungu tu mwenye kauli ya kuanua nani afe na nani ataishi watu wengie ni matapeli tu
@katondostudio652
@katondostudio652 3 сағат бұрын
kzbin.info/www/bejne/eneZd6utp72Ngs0si=dX18ZtKJle6yfJrb
@AwaziRajab
@AwaziRajab 54 минут бұрын
Unapotabili Inamana Unajiweka Kwenye Wakati Mgumu Wa Kuakikisha Kinatokea We Lema Acha Uchawi Wako
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v Сағат бұрын
Barikiwa nabii 🙏
@StellaKaluwa
@StellaKaluwa 46 минут бұрын
Duh inashamgaza sana huyu jamaa kilasiku anawatabilia wezake kifa lsrael Lema siopoa
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 2 сағат бұрын
Lema ana laana, kila mara anawatabiria watu kufa, hatumii akili kufikiria hivi chadema itaitoa ccm madarakani kwa style hii kweli?
@mussaelias3535
@mussaelias3535 2 сағат бұрын
Ataanza kufa yeye mpuuzi huyu ndumila kuwili kamzunguka mbowe kipindi chake kawaletea baadhi ya wana chadema kukimbia chama
@cypriantarimo1457
@cypriantarimo1457 44 минут бұрын
Hujui kujieleza
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Сағат бұрын
Hu😊yu nae kila siku kutabiria kifo wenzie! Kwani yeye ni jiwe hatakufa?? Lema utakufa tena utakufa mdomo wazi! Mwache Wasira afanye yake!
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 27 минут бұрын
Siasa imemshinda atakufa yeye
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 21 минут бұрын
@alphoncewilliam4325 Wameshavurugwa hawa! Wanaitamani Ikulu bila vigezo! Kuongoza Nchi sio sawa na kuongoza familia!
@numohammed926
@numohammed926 2 сағат бұрын
Wanajidanganya wekeni tume huru muone kweli mnayo sema
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 28 минут бұрын
Lema siasa imemshinda Atakufa yeye
@tabumagige7604
@tabumagige7604 2 сағат бұрын
Wewe lema ninani unaetabilia watu vifo utakufa Wewe kwani
@maase2023
@maase2023 51 минут бұрын
Huyu nae.yy ni hodari kutabiria wenzake vifo tu anajisahau yy
@hamadhamud-n4j
@hamadhamud-n4j 4 сағат бұрын
Yeye anajua kutabiri vifo vya watu.je yeye anakufa lini?
@XYZ123-t4b
@XYZ123-t4b 3 сағат бұрын
Unachobisha ni nini? Kama unakataa utabiri ina maana na wewe ni mtabiri. Wewe kuna mtu alikukataza kutabiri? Toa utabiri wako na wewe.
@JosephWambwe
@JosephWambwe Сағат бұрын
Lema umekuwa mtabiri wa vifo na wewe ujitabirie basi
@QwakuHangu
@QwakuHangu Сағат бұрын
Huyu lema msenge Yani yeye anatabiria watu vifo yeye amekuwa jiwe? Mpumbavu
@BonifaceShiyo
@BonifaceShiyo 3 сағат бұрын
NYIE MSIKASHIFU WATU
@peterjohnson167
@peterjohnson167 4 сағат бұрын
Nabii mjinga aitwaye Lema.... Zaidi nabii feki anaye jitafutia umarufu ambao hana... Chadema mgawanyiko upo nabii Lema una tabiri nini? kwa sasa hivi ni 2 Chadema.
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 2 сағат бұрын
Wewe ndo mjinga,tena kubwa jinga kkabisa
@benderakashindi3834
@benderakashindi3834 Сағат бұрын
Mwaka huu CCM inaenda.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 17 минут бұрын
@@benderakashindi3834 Kwa lipi jipya! Mtasubiri sana! Ikulu ileeeee! Poleni!
@rahmamikidadi2213
@rahmamikidadi2213 3 сағат бұрын
Hatar
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya Сағат бұрын
Lemma shame on you, Stop Nonsense, try to use your common sense period.
@tabumagige7604
@tabumagige7604 2 сағат бұрын
Acha upumbavu safari hii utakufa wewe
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 сағат бұрын
Chama chochote kitakachokuwa madarakani watafanya miradi ya maendeleo! Hizi kauli za kijinga. Hela za kodi zinachangiwa na wote na sio chama fulani!
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 3 сағат бұрын
Waambie wa tz wengi wajinga, kauli za kufuru na kaburi Yesu atawatoa madarakani mwaka huu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 сағат бұрын
Kwa hiyo imekuma kunywa sumu basi 😂😂😂
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 2 сағат бұрын
@halimamasai2234 acha ROho yakichawi wewe
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 11 минут бұрын
@@OS-pf6op Kama maendeleo mnayaona sasa mnataka nini! Sera hawana kutwa kuropoka tu! Hii ni nchi sio kijiji brother!
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 4 сағат бұрын
Lema nimtu asiyenaakili timamu watu wa Arusha walichaguwa mbunge kichwa .Kufa hata wewe Lema unaweza kufa .Kwani utaishi milele.?!!!
@bahatielias6443
@bahatielias6443 3 сағат бұрын
Kwani alikuambia kuwa hatakufa
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 2 сағат бұрын
Wewe ndiye huna akili timamu maana hujaambiwa we Wala hujatabiliwa ww cha ajabu aliyetabiliwa hajaongea wewe ndiye imekuuma unaongea,sasa hapo mjinga Ni nani wewe au aliyetabili?we kweli kichwa tikiti
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
В Швеции ищут, кто разорвал подводный кабель
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 48 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН