Рет қаралды 3,424
Leo #MariaSpaces tunajadili: #NoReformNoElection na Vijana
Kwa nini CCM imepanic?
Tumeona kauli za viongozi wa CCM zikiashiria hofu kubwa ya kampeni ya #NoReformNoElection huku vijana wakituhumiwa kuwa wafanya fujo?
Nini kimewapelekea ku panic?