Sasa mkuu Abiud utataka Lisu aongoze nchi bila chama cha siasa? Ukipenda boga, penda na ua lake. Wote tunampenda Lisu ila Mbowe anastahili heshima kubwa kufuatia aliyoyafanya ndani ya CHADEMA.
@raymondnlelwa4274 сағат бұрын
Mimi naamini, mchango wa Mbowe CDM ni mkubwa sana na kwa kisi kikubwa amekiinua vhama kwa kiasi ikubwa sana. Hata hivo si vibaya Tundu Antipus Lisu akapewa nafasi kipindi hiki aongoze.
@raymondnlelwa4273 сағат бұрын
Kingine bwana Abiud yeye Mbowe hadi sasa hana mahali popote alipoandika au kutoa maelekezo kwamba anagombea! Mimi nadhani tusimuhukumu mtu huyu, si sawa.