These old musicians should be helped to stand up again
@lucasdiscoveriesmedia36956 жыл бұрын
Les Wanyika, legends🇰🇪
@marangujoy93136 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuona baadhi ya hawa waimbaji bado wako hai.nikiwa mtoto mdogo nakumbuka baba alikuwa na redio ya SANYO miaka ya themanini nilipenda sana mziki wa zilizopendwa hadi leo hii nasikiliza tu .MWENYEZI MUNGU awape maisha marefu na waliotuacha wapumzike kwa amani.
@stephennsereko2273 жыл бұрын
These guys will continue being music heroes
@deethedj24536 жыл бұрын
Hii video ni Thamani kubwa sana. Watangazaji wazidi kutuletea mengi ya kale. This is a reference point to the Music Industry. We shall surely find our roots soon.
@shamallahwashamallah9464 Жыл бұрын
Memories are made of these
@KevinWamalwa-ne1kq7 ай бұрын
Legends
@tonnykasibante88232 жыл бұрын
Kusems ukweli.mimi niko mjini kampala lakini ni namini yakwamba kazi bora less wanyika walitufanyia haiwezi kusawalika.
@ethanmugo80054 жыл бұрын
legends
@AbuuLingula9 ай бұрын
Mm nampenda huyo Sheri anavyoongea
@leonardsira29513 жыл бұрын
Boma sanaaaaaa
@DerickSamweli-xv1lq Жыл бұрын
Mwandishi 😂😂👍
@mwendemwendwa6882 Жыл бұрын
Hehe don't murder the song 😂
@willysaid31972 жыл бұрын
Hao jamaa kwakweli hongeleeni
@athumanijuma9304 жыл бұрын
Magwiji
@kalindajean6207Ай бұрын
Napenda nyimbo Za Wanyika kabisa Mungu akubalikie Musigilizaji !!!