Huku Tanzania usitumie neno KULENGA, ukisema kulenga umemaanisha kitu tofauti uwe unasema UMENIKATAA. Kulenga ni kama AIMING, au niseme TARGET kwa huku Tanzania.
@georgew93398 ай бұрын
😂😂
@georgepresley51206 ай бұрын
Watu wa Nairobi hawajui kiswahili.Pia huku Mombasa ukitumia neno kulenga mtu atakuelewa visivyo..kulenga inatokana na neno lenga na inatoa maneno kama malengo,kulenga,n.k.
Ulisema n kuwakilisha kila mahali dennyc,love the vibe ❤❤,n urudi nyumbani tumemiss drama z bang gals wa uku kenya
@Spencersanya8 ай бұрын
She dressed like a wife material but behaved 100% as a deeper gold digger.
@jackrinedugange28888 ай бұрын
Denny-c si ufike Iringa bhana😀😀 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko Dar-es-salaam dada zetu wanatuchomea vibaya sana
@isaacchumba8 ай бұрын
Iringa ni hivo hivo tu, kuchoma tu😂😂😂😂
@jackrinedugange28888 ай бұрын
@@isaacchumba 😀😀 hapana huku hawawez choma kias hicho
@Madisonmahondo94108 ай бұрын
Najua Iringa yangu hawawezi kuingia Box kiboya hivi
@jackrinedugange28888 ай бұрын
@@Madisonmahondo9410 kabisa ndug yangu
@mwajumahemed75828 ай бұрын
Akutane na wanachuo,wataharibu tu😂
@KalalaErick-n7d8 ай бұрын
Dannyc uwe unachukuwa sim zao unasubscrib ili utakapo posty wajione watambuwe kwamba tamaa nimbaya
@meekyhommy97588 ай бұрын
hapo sasa
@AlexKamuri8 ай бұрын
Na support hiyo ,,kuwa wawaomba cmu unasubscribe na cmu zao ndio wanajiona
@samkameekaze75728 ай бұрын
Mwanamke ni shapu, akiona hivo tageuza tabia... Pia ata report account
@wycliff8608 ай бұрын
Kabisa😊
@lilianmbinya65538 ай бұрын
Mkenya !!!!!! Na Princess tangu lini they link up 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lilianmbinya65538 ай бұрын
Mkenya njaa tena 😂😂😂😂😂😂😂
@hamisihussein23528 ай бұрын
Yaani umestruggle yako yote kuongea kiswahili yao lakini bado unaambiwa lafudhi yako si ya huko😅😅😅
@mosesnjuguna57128 ай бұрын
😂😂😂😂 Denny c you always see 👀 good nyash everyday
@Bagenzi4life8 ай бұрын
We mkenya acha maneno mengi weka mziki 😂😂😂😂😂😂
@Saidyaa8 ай бұрын
Rafudhi Denny umefloat😂
@PetersonOmwoyo8 ай бұрын
Yeye ndio Ako na uo ujinga Denncy pick up bro👍👍👍
@paulmaganga41388 ай бұрын
I know this girl, anapatikana Mwenge.........
@RobertsonNandime-eo9fp8 ай бұрын
Mwambie asiwe na tamaa basi😂😂😂😂😂
@japhetjuliusTheRock8 ай бұрын
Aache tamaa...leo kachona😂😂
@Kimokole8 ай бұрын
katuharibia mbaya 😂
@kidatokassim76168 ай бұрын
Mm ningekua na ukimwi saiz mana nikitest nakula kabisa 😂😂
@sheiiknaum29518 ай бұрын
Ivi wanaume wa kenya kudadeki hawatumii pesa carelessly 😂😂😂😅🎉🎉🎉 na twawapenda ivo Ivo 😅
@alvoo1338 ай бұрын
Deno anadhani ni Fudhi 😂😂😂💔 Gadamt 😂
@skiahiitv74618 ай бұрын
😂😂😂😂
@JULIUSAbongon8 ай бұрын
😂😂😂😂
@shanteynjeri6076 ай бұрын
Wewe ni hensam😂😂kweli kweli😂😂😂
@WalterLema-zd6qv6 ай бұрын
Wanawake wote duniani wako hivivi, tabia ni hizi hizi iwe Marekani, ulaya, Asia, popote ni hivi, nimeshaona hizi prank za sehemu nyingi za Kenya nimeishaona sana sijaona tofauti yoyote iwe na akili uelewa wala kuwa materialistic.
@wilsongatuma47108 ай бұрын
When she said ""Siamini unamiliki gari kama hili""😂😂😂😂 💯 sign of a gold digger
@rinahwafula-fj1oq8 ай бұрын
Ati u look handsome ju amekuona na gari 😂😂😂😂
@Maloddy0017 ай бұрын
Ati amesema Lo!😂😂😂
@HarrisonCharles-z1i8 ай бұрын
Umerukwa na akili that one caught me😢
@eduhscott59988 ай бұрын
Haraka kitu gani hamna 😂😂😂yaani Rudi tu nyumbani huko da!
@kevinasuma49168 ай бұрын
Comrades in the house 😮😮❤❤❤
@sameersaeed25928 ай бұрын
Denny eti umesema restoranti😂😂😂
@eddyokello47998 ай бұрын
Ladies never open your love to prove legs....I mean never legs your prove to love,aaiii! Whatever but don't legs
@ChristineMwelu-dh7jy8 ай бұрын
From Kenya amakueni
@bernardthuo24558 ай бұрын
Lakini sherehe lazima tupige ya kuacha kukuwa single. Mimi bado nangoja sherehe kubwa
@MpokiMwaisaka8 ай бұрын
Denncy wafanyie wadada wa uswahilini wavaa Vijoro na madera uko BUZA , MAGOMENI AU TANDIKA ,TEMEKE
@Kimokole8 ай бұрын
Aje Mbagala Kiburugwa huku wampopoe kwa maneno 🤣🤣🤣🤣
@SIMONOMORI8 ай бұрын
Yaani hawa wasichana wote hawaoni huyu ni mkenya ako na gari yenye iko na number plate za tz
@dennydenny36658 ай бұрын
Mbona watu wengi ata Kenya wako na magari number plate ya TZ
@wellsnyumbila90438 ай бұрын
Gari nayo iko na Kiatu Kali💥
@manabiadke8 ай бұрын
huyu ni mbleina😂si eti
@brendasindani45528 ай бұрын
Mistari nayo 😂😂😂weeh Hawa wa tz weeh wanoma
@itsmike-c8 ай бұрын
Mr polite ngori Joh eti mkenya njatu🤣😂
@paulngigi46308 ай бұрын
leo nikutumia pick up line😅
@sallyasoro37138 ай бұрын
Dennis you look handsome coz of your car huyo ni bibi ya mtu 😂😂😂😂😂 anataka photo za kwenda ku slay
@harunamashaka62008 ай бұрын
Mkenya acha kuongea sana😂😂😂😂
@jumaaggy8 ай бұрын
Wakenya hawana mda shuguli mingi masaa ni machache😅😅😅
@harunamashaka62008 ай бұрын
😂😂
@kiokokasivu97208 ай бұрын
Mkenya wacha kuogea sana 😀😀😀
@gracemurayah8 ай бұрын
The reason i work so hard to drive my own car
@shikusteve8 ай бұрын
This is more than crazy
@MaryNdichu-cm9yr8 ай бұрын
tamaa ni mbaya sana 😂😂😂😂😂
@VictorShajema8 ай бұрын
😂😂 pole kwake
@fredbuyegio81728 ай бұрын
Am here watching you from 🇬🇧
@shamary69158 ай бұрын
Mkenya njaa 😂😂😂😂😂😂
@Kimokole8 ай бұрын
Njoo Mbagala huku utawaokota wengi sanaaaa
@PendaPurity-go4it8 ай бұрын
Mkenya acha kuongea sana😅😅
@stellakagendo73248 ай бұрын
I thought Tanzania women are romantic...kumbe wakenya ni afadhali .
@donaldmwahalende48418 ай бұрын
Hahahaha
@jedidahbintidaudi82417 ай бұрын
hahaaaa sie watanzania hatujui eti? 😆
@ShawnLexon8 ай бұрын
Good stuff bruh
@maverickcaryard8 ай бұрын
ungegongwa tungesema nini Denny c
@PeterBaton8 ай бұрын
Dani Ukienda hiyo Wavuvi Camp Utarudi Mifuko haina Pesa
@Daniel-ed5zb8 ай бұрын
Watanzania wanaringa saaana 🤨🤨
@elvisbabu13248 ай бұрын
Ladies awana aibu kabisa
@TheeAlligator8 ай бұрын
Deno unatumia uchawi gani mpaka wanaamini gari la Tz ni lako na we ni mkenya 😂😂
@njugunafrank94978 ай бұрын
huyu ni kienyeji proper
@muchirinjokitutorials80367 ай бұрын
Lafunzi .. Accent.. Waoh.. I have learnt something
@jedidahbintidaudi82417 ай бұрын
no its lafudhi
@dedankimathi83063 ай бұрын
Lafudhi😅
@abdallahkassim99738 ай бұрын
Kiswahili hatusemi umenilenga tuna sema umenizingua Na gold digger ni kama chuma ulete (Ila c sanifu kivileee)
@jumaaggy8 ай бұрын
Tuna learn polepole😂
@nawinahke7108 ай бұрын
Gold digger tunasema mdangaji
@jedidahbintidaudi82417 ай бұрын
@@jumaaggy namna jifunza haraka kweli.. Kenya bhana wanaakili kweli jmni
@byamugishaoswald60988 ай бұрын
I thought she was late for a wedding party some where
@StephenKariuki-z7e4 ай бұрын
Yani Kenya tunajulikana ati tunapenda kuhongwa hey ai
@Maloddy0017 ай бұрын
Restoranti 😂😂😂
@Habertkesi5117Ай бұрын
Lafudhi ndio nini wadau😂
@irenemshindi43368 ай бұрын
Wasichana na magarii😂😂😂😂😂😂khai ndio maana tunauliwaanga aki
@ajamesnoel44918 ай бұрын
From : Comoros
@cyrusngenoh26168 ай бұрын
hello denny c...it is a personal quiz but i wanted to ask the approximate cost of E.African tour !!!
@brother_majesty8 ай бұрын
Apo alikubamba...ht ukawa una-loose
@bonniekariuki24448 ай бұрын
Eti mafudhi yake si ya huko
@rocky76138 ай бұрын
Hii introduction inakuanga "thanks for the always supporting me..." ama maskio ndio mbaya 😀
@evansnzioki27748 ай бұрын
Thanks for the love
@ThiophilasMuli8 ай бұрын
Wakibogo wajeuri twathani wasitarabu wakenya
@blackdimensionafrica8 ай бұрын
MR polite.... Watching from Kenya umoja area
@dennyctv8 ай бұрын
Big up
@blackdimensionafrica8 ай бұрын
Unarudi mtaa lini buda?
@onesmustop4band118 ай бұрын
Habbit is next to nature .... Lazima denu we ni hatari ata kwa ground ......kama kwa camera uko moto ipo!!!¡!
@fredrickkyenze39778 ай бұрын
Vile hawa watu hurudi wakiona gari Aiiiiiiii apan A